Wewe ndio mtumishi wa mungu kweli,ni mhimu kukemea uovu,uonevu,dhuruma zinazofanywa na watawala,ubarikiwe sana,hapo ndipo unaona tofauti ya wachungaji wachumia tumbo na waliotumwa na mungu.
Nakubariana na Msimamo thabiti Wa Kanisa juu ya Loriondo.kuachaNnchi kama koroni ni dhambi,Taifa ni letu ni la Watanzania Wote. ,mahari pafanywapo uonezi tusimame kama Watu wa Taifa moja .na tutetee Taifa letu. na Watu wake.kupora ardhi za Watu ni dhambi ,mbere ya Mungu.
Yesu alikuja kwa ajili ya kutukomboa ktk dhiki na dhambi ni mfano hai wa kuwatetea wamasai ni sehemu anayoifanya Fr Kitima katibu wa baraza la askofu Tz
Mutumishi wa mngu ukwer Tanzania hatuna mahakama Wala jeshi tuna kikundi Cha kijambaz na kihun kwaiy usitegeme kuwa mahakama hii yakihun itatoa hak niuongo
Wanapiga huku Hela za mwaarabu Niko loliondo kama upo mbali ndo hivo wamasai wanatolewa waarabu ndani ya hifadhi afu mwaarabu anawinda wanyama ila huku baba ukikamatwa hata na njiwa ni jela
Hakuna muislamu anaeshirikiana na kafiri dhidi ya kumdhalilisha kiongozi wa kiislamu kwa maslahi ya kanisa na mikakati yao ya siri dhidi ya utawala uliopo😢
Muarabu anataka kujenga Misikiti Loliondo na Ngorongoro Kueni Macho na Waisilamu wanataka Kuingiza Udini Ngorongoro na Loliondo Waangalieni Waisilamu Kwa Macho mawili wakiwa na Mwavuli wa Uwekezaji na U CCM kueni Makini sana.
Mwarabu hatakubali muendelee kuhubiri Ukristo huko. Kwa vile na kwa sababu wamemilikishwa eneo hilo wao ndiyo wanaruhusiwa kuhubiri dini yao huko. Hili halikutokea kwa bahati mbaya.
Sawa kabisa Father Kitima pambaneni hadi mwisho Wawekezaji wamekuwa muhimu kuliko watanzania wenyewe tena waraabu hatuwataki mama huyu anajengesha chuki za ajabu
Shida dini yenu mumeifanya kama pango la kupigia hela na biashara ndio maana unaona mnamanabii wakutosha Tanzania na duniani kote lakini wao sio wateule Wa MUNGU bali watumishi Wa shetani Wanao jishikiza kwa mgongo Wa kuhubiri injili, Hakuna anaehubiri zaidi ya kutangaza miujiza ya kuvutia Wateja wake wa sadaka maana wanatafuta utajili sio neema wala wokovu, Wanatoa pepo kwa pepo au mafuta au Pete za kishetani jee YESU alifundisha hivyo au yeye alihubiri hivo? Au yeye yesu alikuwa anakula sadaka za kondoo wake? Au alimiliki nyumba na magari kwa utajili utokanao na miujiza yake?
Ndg kule walialikwa bila kuambiwa agenda iliyopo ndipo wakashtukia kuna kutia sahihi na kusemwa vibaya juu ya mavyakula(mavi)tu. serikali kwa muundo inaouendeshea nchi ipo siku ni hatari.
Hizi ndiyo kauli za viongozi wa dini wakati flani serekali itawaona tofauti ila mbele za Mungu mseme kweli maana watanzania wanaumia sana tatizo pa kusemea ndiyo changamoto Lakini na nyinyi mkikaa kimya mnafanya Imani zetu zipunguwe kwa kuona viongozi wetu mpo kimyaa
Mi nauliza tu hivi wewe Kitima huogopi unavoongea hivo???? Utaambiwa mchochezi hiyo Ishu ya loliondo ni nyeti sana ndugu yangu, nakuonea huruma wakikukamata hawakawii hao. Tansania yenyewe haijielewi na hasa uonevu uliofanyika kule Roliondo ni kufulu
Kipindi cha JPM ajali zilipungua sana,barabarani rushwa zimetawala ndo maaana ajali nyingi sana,yaaani hiii serikali haiwajibiki kabisa upigaji tu wa pesa za wananchi,Rais unaangushwa sana na viongozi wako,ndo maana Magufuri hadi leo wantanzania wanamkumbuka sana,maana watendaji walikuwa wanahudumia wananchi kwasasa hilo halipo
Padri,ubarikiwe,ila huyu mama anatakiwa atuachie nchi yetu,Yani kwa matatizo yote haya Bado anataka uraisi,mama kapumzike unatafuta balaa,umetuchosha!..
Ni vema ungejiunga na siasa ukaachana na dini maana imewashinda, shetani anazidi kupata ushindi Kwa kuwanyakua kondoo wa bwana akiwaangusha dhambini Kwa ulevi uzinifu ulawiti ilhali nyie mmekalia siasa
Yani ww askofu nakupendaga ww ni basi tu sina hakika kama naweza kuonana na ww uso kwa uso mungu akubarik sanaa unajua mambo alafu hupindishi mambo ww ni mfano wakuingwa
Tatizo la ajali ni kwamba kwa sasa magari yanaendeshwa na vijana watoto hawana maadili kinachohitajika dreva wa bus awe na miaka kuanzia 35,awe na familia
Kwani hawa TEC kwenye nchi hii ni akina nani, ukweli sisi waislamu wala hatuungani na njama zenu za kututumia sisi waislamu kwa kumchafua raisi na viongozi na mikakati yake kwa maslahi yenu binafsi ya kanisa, na hata hao bakwata na sisi waislamu kwa ujumla ukweli ni kuwa wala hatuko upande wenu wa kanisa😊
Hongera sana Pd. Kitima, elimu kwa madereva ni muhimu sana, na kwa ardhi ulivyosema haingezeki ni kweli kabisa, tatizo la watanzania ni ujenzi holela wa makazi ambao unapunguza ardhi kusiko mpangilio na hii inachangiwa pia na wanasiasa,hata serikali kuhudumia wananchi inanguwa ngumu.
Hili suala la ajali linasababishwa na stress malipo duni pamoja na wamiliki kutaka wao ndiyo wafuatwe siyo Sheria za Usalama barabarani vile vile matamko yamekuwa mengi kuliko Sheria hilo nalo ni changamoto; kila Wakilala wakiamka tamko, tukiongelea sumu hela ya kujikimu lazima lizuke Tamko mnavyoona mmechoka huko kwenye vyama vya Siasa na Makanisani huku ndiyo kabisaaa tunachanganywa kunywa mtori nyama zipo chini tunafia nyumba za kupanga na watoto wasio na malezi ya baba mda wote tupo bz na magari na Mali zao Lakini Hata bima ya afya unakatwa na kazi ikiisha na yenyewe imekwishaa
Wewe umeletwa hapa duniani kutetea wanyonge, mungu akulinde na hii selikalii ya unyanyasaji
Asante sana fadher Kitima ubarikiwe sana
Sijutii mb zangu 🙏
Wewe ndio mtumishi wa mungu kweli,ni mhimu kukemea uovu,uonevu,dhuruma zinazofanywa na watawala,ubarikiwe sana,hapo ndipo unaona tofauti ya wachungaji wachumia tumbo na waliotumwa na mungu.
Kichwa sana Yani nafurahi kuona mmeamua kua watetezi wetu kwakua ilikua ni wajibu wenu kuchunga kondoo na Haki zao❤❤❤❤❤
Baba padre Kitima, safi sana, you 're the best, thanks!
Uuuuuuuuuuuuhh! Asante baba Askofu : "Kazi unayo ifanya kwa nia njema ni Sala." ❤❤❤
Nimepata jambo kubwa hapa. Kwamba ardhi haiongezeki watu ndiyo wanaongezeka.
Nataka kuwa mkatoliki sasa ..!! Asante Mtumishi wa Mungu.
Mungu awabariki sana Katoliki
Nakubariana na Msimamo thabiti Wa Kanisa juu ya Loriondo.kuachaNnchi kama koroni ni dhambi,Taifa ni letu ni la Watanzania Wote. ,mahari pafanywapo uonezi tusimame kama Watu wa Taifa moja .na tutetee Taifa letu. na Watu wake.kupora ardhi za Watu ni dhambi ,mbere ya Mungu.
Umeongea vizuri sana nadhani wamekuelewa
BRAVO FATHER KITIMA....MANENO YA HEKIMA NA BU
Asante I kanisa langu kwakua na msimamo ktk kuilinda haki maana haki huinua taifa kwahiyo Asanteni kwakutaka taifa liinuke.
Yesu alikuja kwa ajili ya kutukomboa ktk dhiki na dhambi ni mfano hai wa kuwatetea wamasai ni sehemu anayoifanya Fr Kitima katibu wa baraza la askofu Tz
Mungu akulinde baba!
Akili kubwa sana Dr kitima
Haparuhusiwi kukaliwa na watu je wawekezaji ni wanyama?
Mutumishi wa mngu ukwer Tanzania hatuna mahakama Wala jeshi tuna kikundi Cha kijambaz na kihun kwaiy usitegeme kuwa mahakama hii yakihun itatoa hak niuongo
Kama hapatakiwi kukaa mtu hao wawekezaji sio watu
Wanapiga huku Hela za mwaarabu Niko loliondo kama upo mbali ndo hivo wamasai wanatolewa waarabu ndani ya hifadhi afu mwaarabu anawinda wanyama ila huku baba ukikamatwa hata na njiwa ni jela
Asante sana kanisa langu kutoa msimamo wa kanisa. Ilikuwa kidogo tuhame dhehebu kama mngeacha waumini yatima
Nasimama na katoliki. Mimi ni mwislamu lakini naunga mkono hoja hii . Tumeuza bandar tusiuze na loliondo
ukwei NI haki
Wanaitaka nini hii NCHI wanasiasa mbonamko hivyo
Hakuna muislamu anaeshirikiana na kafiri dhidi ya kumdhalilisha kiongozi wa kiislamu kwa maslahi ya kanisa na mikakati yao ya siri dhidi ya utawala uliopo😢
@@kibokutiwanatanyika1540AKILI KISODA
@@kibokutiwanatanyika1540akili kisoda mmejazwa chuki kuliko akili ,mnatete ujinga wa RAIS kisa muislam,Sasa msaportini ninyi Ndo mtakufa na dhiki , watetez watabaki salama
❤❤❤❤❤Yes,you are the only one, religious leader, strong, in fhe eyes of public justice.
Hongereni viongozi wetu....
Tunako kwenda ni giza nene Sana
Tatizo Kuna aina ya matumbo yasiyoshiba, ni viwavi kabisa.
kanisa katoliki mpo sahihi mungu atawapigania kumshinda huyu mpinga kristo mama yetu wa kambo samia h suluhu amina
Bado mna makasiriko na DP 🌎
halafu inaonekana hajamfahamu vizuri padri, hajapingana na Serikali kuhusu kuhamishwa watu anataka haki itendeke@@abdulkatalango2890
@@abdulkatalango2890 Nyundo ya kichwa. Rais atishiwe na WARAKA hahahaa
Hata sisi raia hatuna imani na mahakama kabisaa
Hatuwataki hawa warabu uchwara kwani hatuwezi kufanya yakwetu bila hao warabu tusikubali kubuluzwa
Napenda kuuliza kanisa mwekezaji na mwanchi wako nani zaidi pili kwamba tuna foss uwekezaji? Hilo ccm itawacosti
Asante sana baba asikofu
Kitima you are very intelectural!!!
Fala tu huyu eti anapingana na serikali
Hatukupata Uhuru tuwe watumwa kwenye nchi yetu@@cath-ef7wd
Asante father kitima kwa hekima
Ubunifu tunao, ila watcha wetu, watumika kuuwa vya nyumbani.
Umenena vyema father tuko pamoja katka Bwana
Safi sanaaa msitoke mpaka kieleweke. Kwa nini serikali hii inawanyanyasa sanaa bila huruma?
Padre wacha udini
Muarabu anataka kujenga Misikiti Loliondo na Ngorongoro Kueni Macho na Waisilamu wanataka Kuingiza Udini Ngorongoro na Loliondo Waangalieni Waisilamu Kwa Macho mawili wakiwa na Mwavuli wa Uwekezaji na U CCM kueni Makini sana.
Siku hizi watu wanafukuzia ulaji wa ' urefu wa kamba yake '
Kitu uzalendo ni lugha iliyopitwa.
Uwekezaji sawa,lakini mbona tunashida nyingi.
Mwarabu hatakubali muendelee kuhubiri Ukristo huko. Kwa vile na kwa sababu wamemilikishwa eneo hilo wao ndiyo wanaruhusiwa kuhubiri dini yao huko. Hili halikutokea kwa bahati mbaya.
👹👹👹👹👈🏿 muarabu
Sawa kabisa Father Kitima pambaneni hadi mwisho Wawekezaji wamekuwa muhimu kuliko watanzania wenyewe tena waraabu hatuwataki mama huyu anajengesha chuki za ajabu
Usimshauri mtu kupambana na mamlaka itumike busara
Sio waarabu na wazungu
@@DaudFataki sijaelewa?
@@hassanmsumari1200ni wapi ameshauri watu wapambane na mamlaka? Tujiepushe na upotoshaji wa taarifa.
@@hassanmsumari1200@ wapi kashauri watu kupambana na mamlaka ???????????????
Padri Kitima anaongea ukweli na kama, serikali imegeuka ya kikoloni tujue!!
Viwanda nivigumu Tanzania kwasababu yatamaa yapesa
Hakika huyu ni Dr. kweli kweli!
Tunakushukuru sana mtumishi wa Mungu padri Kitima
Sema yote padri wetu mpendwa sasa hivi Kuna ukabila wa kati ya sekta binafisi na serikali ubaguzi mkubwa sana hata kwenye mikopo benki mashariti kibao
Bwana ni mwema kuondolewa kwenye eneo mama bila uhiali siyo sahihi
Mungu akulinde father
Bravo father
Mtumishi uko sawa kabisa
Mungu azidi kukubariki na kukulinda
Appreciated 👍
Na SS waislaamu misikiti yetu Loliondo wasiondoke loliondo
Amina❤❤
hapa manabii na mitume wapo kimya hawana mchango wowote juu yataifa wao ni kupiga elatu nakutowa unabii usio natija katika taifa
Hakuna nabii wala mtume wote wamichongo
Shida dini yenu mumeifanya kama pango la kupigia hela na biashara ndio maana unaona mnamanabii wakutosha Tanzania na duniani kote lakini wao sio wateule Wa MUNGU bali watumishi Wa shetani Wanao jishikiza kwa mgongo Wa kuhubiri injili, Hakuna anaehubiri zaidi ya kutangaza miujiza ya kuvutia Wateja wake wa sadaka maana wanatafuta utajili sio neema wala wokovu, Wanatoa pepo kwa pepo au mafuta au Pete za kishetani jee YESU alifundisha hivyo au yeye alihubiri hivo? Au yeye yesu alikuwa anakula sadaka za kondoo wake? Au alimiliki nyumba na magari kwa utajili utokanao na miujiza yake?
Wale hakuna kitu kwanza shule kichwani hakuna kabisa.
❤❤❤❤❤❤BABA ASKOFU
Mlikuwa wapinzani wa bandari ila mbona niliwaona baafhi yenu kwenye kutia saini
Ni kweli wewe ni mjinga,lakini jaribu basi kuficha ujinga wako mbele ya hadhara ndg yangu
Ndg kule walialikwa bila kuambiwa agenda iliyopo ndipo wakashtukia kuna kutia sahihi na kusemwa vibaya juu ya mavyakula(mavi)tu. serikali kwa muundo inaouendeshea nchi ipo siku ni hatari.
Mungu akubaliki
Nawashukuru sana Maaskofu wa Kikatoriki, Asante Kwa Katibu mkuu wa Baraza,Wapentekoste wako wap kwenye mambo ya nchi?
Wapo kwenye mkesha wa kuteka anga
Kweli bb
Hizi ndiyo kauli za viongozi wa dini wakati flani serekali itawaona tofauti ila mbele za Mungu mseme kweli maana watanzania wanaumia sana tatizo pa kusemea ndiyo changamoto Lakini na nyinyi mkikaa kimya mnafanya Imani zetu zipunguwe kwa kuona viongozi wetu mpo kimyaa
Well said baba padri
Serekali yoyote isiyo sikivu husababishia wananchi wake matatizo, maana ya kukosa haki mahakamani tunapelekea kuzidai barabarani:
Mungu akutunze
pambana father kitima tumechoka kudharauliwa wakatoliki mnaalikwa Ikulu mnasema mmekwenda kufuata ubwabwa mpoto mungu amlaani
Eti viashiria vya uchochezi ccm na misukule yenu hamtaki. Watu waseme ukweli
RAHA YA KUWA HAI NI UWE NA HURUMA NA UPENDO❤️🩹🙏
Angalizo MUNGU ANALIPA HAPA HAPA DUNIANI🚨
Mi nauliza tu hivi wewe Kitima huogopi unavoongea hivo???? Utaambiwa mchochezi hiyo Ishu ya loliondo ni nyeti sana ndugu yangu, nakuonea huruma wakikukamata hawakawii hao. Tansania yenyewe haijielewi na hasa uonevu uliofanyika kule Roliondo ni kufulu
Kiongozi wa dini hawezi kuogopa kifo Kwa kuipigania haki
Good good baba
Nyie mnaweza
Ni kweli kabixa
Ukweli kabisa
HUYU SHETANI WA NCHI YETU ANAEIZIKA HAKI YA WANANCHI WENZETU MUNGU ATAWAONA NA KUWAHUKUMU MWENYEWE.😭😭😭😭
Dios te bendiga
Kipindi cha JPM ajali zilipungua sana,barabarani rushwa zimetawala ndo maaana ajali nyingi sana,yaaani hiii serikali haiwajibiki kabisa upigaji tu wa pesa za wananchi,Rais unaangushwa sana na viongozi wako,ndo maana Magufuri hadi leo wantanzania wanamkumbuka sana,maana watendaji walikuwa wanahudumia wananchi kwasasa hilo halipo
😅😅😅 Ukiona mtu anapanda bus bovu ujue anamzigo wake, kumbe kuna chenu pale loliondo ndio maaana😊😊😊😊😊
Akili Huna
Padri,ubarikiwe,ila huyu mama anatakiwa atuachie nchi yetu,Yani kwa matatizo yote haya Bado anataka uraisi,mama kapumzike unatafuta balaa,umetuchosha!..
Makanisa mengine mpo wapi ktk uchawa au
Wajinga wote sio rahisi kumwelewa Padre kitima
Mjinga ni wewe ambaye hujielewi, kwani hao maaskofu ni wale wale Tu wachumia tumbo
Ni vema ungejiunga na siasa ukaachana na dini maana imewashinda, shetani anazidi kupata ushindi Kwa kuwanyakua kondoo wa bwana akiwaangusha dhambini Kwa ulevi uzinifu ulawiti ilhali nyie mmekalia siasa
@@jumakapilima7295kweli bro nakuunga mkono
Wewe ndio zuzu sasa Sema hujielewi
Safi san vizur san kama viongoz wa din mmeamka sasa
Huyu ndo Dr. mwenyewe wale madokta wa kupewa huwa hawana uelewa kama huu
Yani ww askofu nakupendaga ww ni basi tu sina hakika kama naweza kuonana na ww uso kwa uso mungu akubarik sanaa unajua mambo alafu hupindishi mambo ww ni mfano wakuingwa
Tatizo la ajali ni kwamba kwa sasa magari yanaendeshwa na vijana watoto hawana maadili kinachohitajika dreva wa bus awe na miaka kuanzia 35,awe na familia
Naunga mkono hoja
Viongozi wa Serikali Hatuwaogopi pamoja na Vitisho vyao vya kubambikiza.
Na mimi nasema pia, hatuondoki Loliondo
Hivi ninyi viongozi Wa Tanzania mmezaliwa wapi? Kwa matendo ya kikatiri Kwa wananchi?
Madreva ni wazembe sana,ushauri wanaosababisha ajali,wafungwe wakipatikana na hatia.
Mchungaji mwema aliacha wale kodoo 99 akaenda kumtafuta yule mmoja mpaka akampata. Watumishi endeleeni kupigania kondoo wa Bwana.
Sisi tuliokuwa wafanyakazi iliyokuwa hotel 77 ya Arusha hatujalipwa madai yetu mpaka Leo baba askofu tusaidie kupata haki
Really!😢
Uangaloe huyu jamaa anavyoyema point halafu uje ukute mtu anazingumzia Dr sule lazima ucheke
Mungu aamue haki na akulinde pia mtumishi wake❤
Hata Mwabukusi na Mdude walisema lazima waaandame. Kilichotekea ........
Kipind Cha magu mbona hukusema
Magu hakuuza bandari wala kufukuza watanzania wenzake.
Acha ujinga rudi shule ukasomee pumbafuu wew umeshiba damu ya. Watanzania wazalendo uwoni aibu kuongea pumbaa 😢
Kitima,mwamakulla ,na Bagonza ndio viongozi wa dini wanaotetea wananchi.waliobaki ni wanafiki tu.
Kwani hawa TEC kwenye nchi hii ni akina nani, ukweli sisi waislamu wala hatuungani na njama zenu za kututumia sisi waislamu kwa kumchafua raisi na viongozi na mikakati yake kwa maslahi yenu binafsi ya kanisa, na hata hao bakwata na sisi waislamu kwa ujumla ukweli ni kuwa wala hatuko upande wenu wa kanisa😊
SADAKA ZIMEPUNGUA SASA MAASKOFU NI SIASA WANATAKA KULA ASALI
Hapo nimeongea nini sasa ? Padre kaongea njama gani za kumchafua rais ?
Acha ujinga ndio maan shule umefeli tatzo ubongo umesha gandaaa 😢
@@OmmyJames-xn7jituliza komweee hilo ndio maan umefeli shule
@@c.l.g.mchurch6426 Asante PALOKO iko siku utaamka kama mimi
Hongera sana Pd. Kitima, elimu kwa madereva ni muhimu sana, na kwa ardhi ulivyosema haingezeki ni kweli kabisa, tatizo la watanzania ni ujenzi holela wa makazi ambao unapunguza ardhi kusiko mpangilio na hii inachangiwa pia na wanasiasa,hata serikali kuhudumia wananchi inanguwa ngumu.
Over speeding is a big Issue😢
Nchi inauzwa kila kona bandari imeuzwa kila kitu kinauzwa tunaomba viongozi wa dini ingilieni kati
Sio kama wasasikii .. napita tuuu
Hili suala la ajali linasababishwa na stress malipo duni pamoja na wamiliki kutaka wao ndiyo wafuatwe siyo Sheria za Usalama barabarani vile vile matamko yamekuwa mengi kuliko Sheria hilo nalo ni changamoto; kila Wakilala wakiamka tamko, tukiongelea sumu hela ya kujikimu lazima lizuke Tamko mnavyoona mmechoka huko kwenye vyama vya Siasa na Makanisani huku ndiyo kabisaaa tunachanganywa kunywa mtori nyama zipo chini tunafia nyumba za kupanga na watoto wasio na malezi ya baba mda wote tupo bz na magari na Mali zao Lakini Hata bima ya afya unakatwa na kazi ikiisha na yenyewe imekwishaa
Nilikuwa nazulula tu bila dini wala dhehebu nikijua ni wababaishaji. Sasa nitalitafuta kanisa la RC nipumzike humo.
❤❤❤
Ameeeeeeen Ameeeeeeen Ameeeeeeen