Meneja wa Mshambuliaji MPANZU Athibitisha SIMBA Kumsajili ELI MPANZU Kutoka CONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 3

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 6 місяців тому +2

    Mpanzu aje Simba Fred atoke tu jamani ❤❤❤ kwa Amani na Aish Manula hapana huyo ni kampuni moja la.Chama, Inonga na Mangungu kuihujum team asirudi Simba kudaka anasimama kama Nguzo Golin Ally Salum Katolo anaweza tumwamini nae bado kijana Manula kazeeka aende Azam ama Yanga na team ya Taifa jamaa huyo ni dudu akirudi Simba hapana😂

  • @asumanikung-x1e
    @asumanikung-x1e 5 місяців тому +1

    Kila ski kudanganyana mtandaon

  • @mzibhazofficial4829
    @mzibhazofficial4829 6 місяців тому

    We nae ni wale wale uongo umekujaa aliethibitisha nani?