Mmmhhhh…kama mimi hapa niwa kumuachia Mungu, lakini nakumbuka nilikwenda lamu back in 2009 nikaingia duka flani kununua chain na Pete za silver. Huyo jamaa aliniangalia tu ma akasema huyu ana hasad nyingi zinamfata 😂😂alafu akanizawadi pete flani which i really liked. But kufika kwa sheikh akasema nikama nitakua naamini pete kuliko Allah nikaitupa 😂😂
Huyu dada si ndo wa NYUMA NTAKUPA MBELE KWA BABA YAKO 😅😅 . Kitambo sana sema kazidi kuwa mrembo ❤❤
Ndiyeeee haswa haya subscribe basi usipote tena
Kuna macho