Baba joan ama kwel una kipaji mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili uendelee kutufunza kwel kila kukicha unakuja na mapya na mazuri zaidi hongera sana❤❤❤❤
Kazi nzuri sana baba Joan pamoja na wenzako mnaoshirikiana nawapeni Maya yenu❤. Nawapenda sana toka Kenya. Naomba siku Moja kufanya kazi nanyi Inshallah.
Tuliotamani kuona movie hii gonga like 🥰 much love baba Joan. 💘
Haya Sasa hatimaye tumeinza vyema Watoto wangu team strong 🇴🇲🇴🇲🇧🇮
Tujuane mapemaaaaa tunaoanza kufutalia watoto wangu weka alama yako hapa
Tupo pamoja
Nawapenda sana Karobo na omari watoto wazuri munavichwa vakushika sana ata shuleni mungu awatangulie INSHAALLAH🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Mpyaaaaaaaa❤
Ubarikiwe sana ba karobo pia hii move imenikumbusha kitabu cha takadin kina sekai Kaz nzur sana
Naipenda sana baba Joan ❤❤❤❤
Waouh congratulations baba joan wewe ni mkali movie yamafundisho hii mimi natuliya zangu kufata hii movie 🇧🇮
Asante Sana Baba Joan Kwa kutuletea vitu vikali Sana much love from Kenya congratulations 👏 Kwa kazi nzuri 🎉🎉❤
Wakwanza kutoka kenya nipe like zangu
Kazi nzuri sana 😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Watching from +254 Kenya 🇰🇪❣️
Karibuni Tena tuko pamoja Kigali 🇷🇼❤❤❤❤❤ cyaneeeee
Karibu tena🇰🇪🇰🇪
Jiwe jipya ilo kali❤❤🎉🎉🎉🎉 hongera baba Joan
Wa kwanxa kutoka kenya❤❤kama unakubali Baba Joan gonga tukisonga❤❤❤
Nice job baba karobo nazikubari kazi zako ❤
Wanao utamani watoto pacha km hawa gonga dole ya umoja mungu atubariki tupate kwa haraka
Nimefurahi shwari ❤😂
Kazi nzuri sana Baba Joan🇹🇿
Nimekuwa wakwanza watoto ❤❤❤❤ Ep 1 kama tutakuwa nanyinyi kutoka Burundi nataka nione upendo wenu gonna like❤❤❤❤ zameni
Unajidanganya
😢❤@@Al-farsy-l6p
Mama kibendu uki huku kuumbe♥️♥️like zako
Nimekua wa kwanza kwenye episode ya kwanza like zangu plz 😂😂🎉🎉🎉
Mmeanza vizuri muimalize vizuri kuliko ulivyoimaliza vibaya ya mama kalobo
Mmmh,iliisha vibaya kweli?
Jmn wee dada ww muvi iliisha vzr sana et imeisha vibay
Duuuuuh kumbe iliisha vibaya
Walimaliza vizur kipenz najua pale kat ilikuchosha ila alihamdulilah
Makofi mengi kwa baba joan kwa kitajali MASHABIKI zake hii movie inaonekana nzuri sana, walioona utamu WA hii movie ka mimi like my comment
🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿
Tumeianza leo 6/11/2024 jumatano,Eee Mungu wetu tunakuomba ukawe nasi hadi tamati ya tamthilia hii...ulinde kila mmoja wetu hadi tamati🙏🙏🙏
Ameeni
Amen Thuma Amin Yarabb 🤲
Amin yaraby
Allahum amiin
Ameen
Kazi safi 🎉🎉🎉
Waoooo jaman hongera sana baba Johan karobo nmemkumbuka Safi sana mtoto unajua kuvaa uhusika sana
Nawaangalia nikiwa 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦team strong mko wpi mbn cwaoni uku ndani mm nko tyri😂😂😂😂
Tuko hap mbon dear
Tupo mbn lihomu wajid shughul😅😅😅
Tuwete nalo adi muwesho like please 😊
😂😂😂pamoja Habibi
Oman 🇴🇲
baba joani move zako zinanifurahisha sana
Metoo
Tumeanza na nyie Mungu atusaidie tumalize na nyie❤❤❤
Wakenya tupo 😂
Tupo
Tupp😂
Tupo wengi muno
Tupo
Tupo 😅
Movie za baba Joan sinakuaga moto moto sinampagilio Wa ukweli ata hii tutaifuatiria sana❤❤❤
Kwaheri hii movie ni 🔥🔥🔥twendelee vivyo hivyo much❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇶🇦🇶🇦🇶🇦
🎉🎉🎉hatupoi twendeni nalo tuipe nguvu kama babayangu n kipofu❤❤❤pia mnifatilia mm pia n muimbaji from Kenya 🎉
Na uyo jamaaa Si Ni mrefu sana
Huyo ni mrefu kuliko wote Afrika Mashariki😂 na pia ni kivutio Cha utalii😂
Mashallah
🤣🤣🤣@@user-vi5zj7yi1d
🎉🎉haya hatimae tumianz vzr watto wangu 🎉🎉🎉🎉
+254 Kenya following this new movie.
Pamoja sana Baba Joaan
Daah bonge la movie
Movie nzuri sana hii nafuatilia hadi mwisho
Kazi mzuri sana baba karobo❤❤❤
❤❤❤❤❤ kaza moyo baba joan❤🎉🎉
Leo wakwanza kutokeya congo 🇨🇩 🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali baba Joan
Kanzi Nzuri San ❤❤❤❤
Jamani iyi move ni moto yani ninzuri sana baba Joan mauwayako ayo🎉🎉🎉🎉🎉Mungu azidi kukupa nguvu yakutuelimisha insha Allah
Zuri sana😘
Kazi nzuriiii ila sauti ya mziki ipo juu sana zinamezana na maneno,ni vema ikawa chini zaidi au wakati wamazungumzo isiwepo kabisa ila big up sana
Wa kwanza leo
Vizuri sana
Daah kali kuliko mambo yanakuwa mazurii🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana baba karobo ❤❤❤❤
Hongera kwa kazi nzuri Alice John wa mbeya
Kazi IPO ntamu sanaaaaaaa jean from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Duuh mpka kwenye huku tumepata kaka kasongo noma sana
Kazi njema sana hongera ❤❤❤
Baba Joan kiukweli filamu zako mara nyingi ni za maarifa na maadili katika jamii kongole sana . Tunakukubali kutoka Kenya 🇰🇪
Kazi nzuri sana Mungu walinde 🙏🙏🙏🎉🎉🎉❤❤❤
Awo walinzi wa chief 😂😂😂😂
Ni shida jinsi walivo😂😂😂😂
@olicej7837 😂
😂😂😂
Weee kazi safi kakaa tamu sanaa kuliko baba karobo
❤❤❤❤❤hawa watoto wawili nawapenda bureee karobo na omar
Baba joan ama kwel una kipaji mungu aendelee kukujalia maisha marefu ili uendelee kutufunza kwel kila kukicha unakuja na mapya na mazuri zaidi hongera sana❤❤❤❤
Aya sasa twende sawa tena kutoka kwa baba yangu kipofu tumekutana kwenye watoto wangu🇲🇿🇲🇿🥀🌹😝🤣🤪
Aki nataka baba joan from a,z
1 2 3, Set? Goooooooo✊😊🔥🔥💥💥🇰🇪🇰🇪
jamani kazi nzuli sana baba kalobo❤❤❤❤❤
mungu abariki sana kazi ya uchezaji wenu izidi kuimarika. Inapendeza sana kbs wow, babajoani......❤❤❤😂
Ii movie ni moto🎉🎉🎉🎉🎉
Napo Mozambique nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wow kazi nzuri sana hongera baba karobo ❤❤❤🎉🎉
Hongera sana baba joan sema isiwe ndefu saaana inapoteza radha tunasahau mwanzo
Kazi nzuri ba karobo
Kazi nzuri sana baba Joan pamoja na wenzako mnaoshirikiana nawapeni Maya yenu❤. Nawapenda sana toka Kenya. Naomba siku Moja kufanya kazi nanyi Inshallah.
Kanzi nzuri🎉🎉
Hongera sana baba calobo Mungu awaongezee vipaj
Jamani nipo pamoja na nyie kutoka baba yangu kipofu hii movie nzr sana aisee nipo chini ya magoti yenu tupeni episode nyingine nimeipenda sana.
Jama mlefu wa level ya kuzidia ulefu nyumba 😂😂😂
Hiyiii movie noma sana
😂😂😂
❤❤❤movie nzuri sana inapendeza ❤❤
Da yani kazi ni nzuri sana
Waaa mmetumalizia 🔥 mmetulitea faya😂😂😂😂😂😂😂😂 more love team baba karombo hongereni kwa kazi nzuri ❤❤❤
Safi sana tulikuwa tunasubiri kwa hamu na gamu.
Huyu mtu mrefu Ni mtu au nakama Ni mtu Basi Ni mrefu SN wwwwe🎉🎉🎉🎉🎉
Japo sasa kazi inaanza ya kuweza ku musapoti musanii wetu baba kalobo yaani baba tupo nyumako kaabisa
Kazi nzuri sana baba karobo
Courage ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Baba joan hongera kaz nzuri
Congratulations kwa kazi nzuri 👏👏🎉🎉💖
Wewe baba kalobo unaanza guchezea hakili zetu sasa
Waoh nimechelewa Ila tupo pamoja❤❤
Baba Joan napenda sana Movi zako
Safi sana 🎉🎉🎉
C🎉🎉good start
baba Joan kamaliza chuma ya baba yangu kipofu kaleta chuma ya wanangu bonge moja la movies aseee Allah akuzidishie kipaji kaka
Movie mzuriii tupo pamoja nawewe
Hongera baba Joan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuli sana baba jhoni
Wooow❤❤❤❤ mzri sana
Kaz nzur baba Joan 🙏🙏🙏
Mashaallah kazi nzuri sana❤❤❤
Niiliisubiri muda mrefu sana kwakweli team baba karobo hongereni sana
Mmmmh kazi nsuri sana
Kaz nzur sana baba joan