SITAKI KUTUMIA MAJI CHOONI NITAOGA JIONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Please subscribe to my UA-cam channel for more educative, exiting and informative videos.

КОМЕНТАРІ • 106

  • @mujibushamba4383
    @mujibushamba4383 2 роки тому +4

    Shekh style ya daawa munaofanya jaribuni kueneza afrika mashariki haswa Tanzania

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +5

    Subuhanallah ... Inamaana Hao wakristo wajisaidia hawanawi na maji.. Allahu Akibar. . Allhamdulillah kwa Allah kunichagua kuwa muislam

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +10

    Kwahio wakristo wanakaa na harufu mpka Jioni duh. kisha wanajipodoapodoa nakujirembesha juu juu ndani hakuskiliziki. Njooni kwenye usafi kwa uislamu

    • @azizalaobaid7520
      @azizalaobaid7520 2 роки тому

      Awapendi usafi ya ndani..ila wangejijua tu ndo kwanza wa dini ya usafi

    • @lovemwantiti8130
      @lovemwantiti8130 2 роки тому +1

      Hahaha wakristo.sasa imagine 🤣 😅 😂 unakojoa, unakunya huchambi,hiyo harufu itakuaje sasa jamani.wanaume mnao oa wakristo kazi mnayo

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому +1

      @@lovemwantiti8130 zile tundu natural Huwa zinatoa harufu hata ukazisafisha, je usiposafisha

    • @lovemwantiti8130
      @lovemwantiti8130 2 роки тому +2

      @@maherzain615 🤣🤣🤣 kweli kabisaa. Hasaa kwa wanawake.yaani sipati picha hawa wenzetu wakitumia tissue haisaidii mpaka mnuke. Sasa tissue itatoa mavi, je harufu,tena uchanganye mkojo.duu makubwa haya jamani na minywele yao pia wanakaa bila kuosha.ata janaba hawaogi.sasa,ata wakiwa hedhi hawatumii maji?

    • @maherzain615
      @maherzain615 2 роки тому +2

      @@lovemwantiti8130 Hawa shida ni dini hawana.maana dini ndio inakupa muelekeo wa maisha wao hata hio biblia yenyewe hawafati.biblia inafundisha kutawadha huku nakule,wao hawataki.inakaza ulevi,kula ngurue lkn wanafanya yte.wao hufata maandiko ya Paulo lkn ya kwenye injeel na torat hawataki

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому +3

    MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah uzidi kumtangaza Allah lnshaallah nahakupe pepo ya fildas lnshaallah

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 2 роки тому +2

    Mashallah napenda sanaa hii daawa mtaani Allha awalipe kheri mashe wetu

  • @abubakarhassan-kq2rh
    @abubakarhassan-kq2rh 10 місяців тому +1

    Masha Allah

  • @adamusama7917
    @adamusama7917 2 роки тому +3

    Mashallah tabarakaallah sheikh wetu

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 роки тому +3

    Mashaalah mafundisho yameeleweka Allah azidi kuwaongoza kueleza njia ya haqi inshaalah

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 3 місяці тому +1

    Kazi nzuri ndugu zangu. Allah awape taufiq na endeleeni na kazi. Watu wengi hawana elimu ya uislamu hata kidogo au walionayo inakuwa ni propaganda walizosikia za urongo

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 2 роки тому +4

    Sheikh huyo Eric msimuache anaweza silimu kama vile alivyoongea!

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 роки тому +3

    Masha Allah Sheikh Ramadhan Allah akufanyie wepes Kwa kila hatua 🤲

  • @mujibushamba4383
    @mujibushamba4383 2 роки тому +1

    Shekh maashaalaah unafanya daawa KW njia nzuri na kistaarabu ujitahidi

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 роки тому +1

    Mashaallah jazakumllah kheir kwa kazi nzr ust ramadhan mola azidikusaidia ktk hilo amiin

  • @garatdubow3387
    @garatdubow3387 2 роки тому +2

    Sheikh ramadan na imàaam wa makroini may Allah blessed you all♥️

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Рік тому

    Watching this from green and spice island Zanzibar, huyu dada mzuri MashaAllah akisilimu mimi nitakuja Kenya tufunge ndoa na wewe Kaka Ramadhani utakuwa sheikh kiupande wangu.😊😊

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 роки тому +3

    Masha Allah, Allahu Akbar, Allah azidi kukupa nguvu, akuzidishie elmu, afya njema na subra pamoja na familia yako katika kazi unayo fanya Allah Ummah Amiin

  • @fadumarage2682
    @fadumarage2682 2 роки тому +1

    Manshaala tabaraka lah Allah Awape nguvu ya kuendelea mbele uislamu ni kitu kubwa duani, Alhamtulilah tumshukuru mungu,

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому +2

    Mashallah Allah

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 роки тому +1

    MASHA ALLAH SHEKHE RAMADHALI UKO NA KISWAHILI KIZUURII NA UKO NA HEKMA ZUURII NA MWENYE SUBRA

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 2 роки тому +1

    Julius Ako fanny SANA🤣🤣,,ila Mashaallah sheikh Ramadhan Allah awazidishie kuwapa Daawa ndgu zetu

  • @hamdishide3137
    @hamdishide3137 2 роки тому +4

    I'm around

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  2 роки тому +2

      Welcome

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 роки тому +3

      الحمدلله رب العالمين
      الحمدلله على الإسلام والسنة ،وعلى منهج السلف الأمة، والشهدان لا إله إلا الله وحده لا شريك له
      وأشهد أن محمد عبده ورسوله صلى الله عليه وسلم

  • @hajjiyasin4255
    @hajjiyasin4255 2 роки тому +2

    Shk Ramadhani plz Endelea ni hii dawaah kenya mzima

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 роки тому +2

    Keep going sheikh

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 роки тому +2

    Mwenyezi Mungu alituma Mitume wengi na wanaojiita Wakristo wanaosoma Bibilia wanajua baadhi ya Mitume kama vile Mtume, Nuhu, na Ibrahim na Ismaeli na Ishaq na Yaqub na Isa mwana wa Mariam, watu wanamuita Yesu Kristo. Tujueni wote hao wamezaliwa wapi? Middle East. Mwenyezi Mungu akiwaterenshia vitabu kama vile Taurati na Zaburi na Injili na Qur'an. Waarabu wote wanajua Mwenyezi Mungu anaitwa Allah. Tazama Watu wengi wa nchi zile Mitume walitoka ni Waislamu. Waliposikia tu kuhusu Allah na Mtume Muhammad na kuhusu Qur'an walisilimu.

  • @mujibushamba4383
    @mujibushamba4383 2 роки тому +1

    Maashaalaah

  • @hajjiyasin4255
    @hajjiyasin4255 2 роки тому

    Walahi hii ni best daawah, naomba mungu awapee nguvu zaidi kufikishsa daawah.tukiendea hivi kufikisha dawaah Allah atatufanyia kila kitu rahisi ktk maisha.

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 2 роки тому

    Mungu atakulipeni inshaallah masheikh hiyo kazi ningumu sans hongereni sana na shukrani

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +2

    MashaAllah.

  • @fadumarage2682
    @fadumarage2682 2 роки тому +2

    Nawafurahia Sana vile mnainua dini ya kislamu,

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 2 роки тому +1

    Daaaa Mtihan wallah

  • @josephkalonga550
    @josephkalonga550 2 роки тому +1

    Kinacho yakiwa ni usafi wa Roho. Sio usafi wa kutawaza kila unapo jisaidia. Maana Ata Yesu , alizaliwa sehemu inayo lala mifugo" sizioni" ( ni sehemu sio safi)

  • @iddyjumanne
    @iddyjumanne 2 роки тому

    MashaAllah nakufuatilia niko Arusha Tz

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 2 роки тому

    Someof us Kikuyu we don't believe in religions but we believe in Ngai in before religions came to kenya

  • @husnanancyatieno2391
    @husnanancyatieno2391 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @allymwase6546
    @allymwase6546 2 роки тому

    Mashaallah Allah akupe afya njema , umri mrefu wenye manufaa, akupe zaid katika kutupatia dawaah

  • @binbhahan3435
    @binbhahan3435 2 роки тому +2

    kwenda chooni na maji ni utamaduni tu huku kwetu Tanzania mbona hata wakristo wanatumia maji sana ila huo utamaduni wa kizungu wameadupt

  • @Kaimukumwa
    @Kaimukumwa 2 роки тому +3

    لقد دعوتك هنا في kabaru هنا ، أحتاجك حقًا لتثقيف الناس حول الإسلام ، فأنا المسلم الوحيد هنا من فضلك لا تفشل في المجيء هذه المرة لقد دعوتك عدة مرات ولكن لم أراك وأتمنى الأفضل إن شاء الله

    • @chiefmkalikibz1503
      @chiefmkalikibz1503 2 роки тому

      Assalam alleykum. Afwan Dadaa, fanya subra hakika ALLAH Ndiye Mwenye kuezesha... Ipo siku Inshaa Allah

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 роки тому +5

    Kwa hiyo wanakaa na mnato wa mavi Kila siku lini tissue ikaondoa mavi wafunzeni ustarabu hao ili na wao wastarabike wasitembee na mnato wa mavi tena

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 2 роки тому

      Hahahaha 🤣🤣🤣 umenifanya nimecheka kwa sauti kaka Hassan 🤣🤣🤣

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 роки тому

      Hahaaa eti mnato WA mavi

    • @rahmasoliman489
      @rahmasoliman489 2 роки тому +1

      Yan nikisikia watu kuhusu kushaangaa kwenda namaji Chooni yani wananitia kinyaa sana

    • @jaymwinyi6957
      @jaymwinyi6957 2 роки тому

      🤣🤣☝️

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Hahahaaa ahsante ndugu kwrli wapewe elimu

  • @salminmabrouk5433
    @salminmabrouk5433 2 роки тому +3

    Tatizo hawana Elimu

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 2 роки тому +1

    Sisi waisilamu wenyewe km sio wasafi kutoharika haturuhusiwi kushika Quran as iweje hao wanashika

  • @sadiqmwafrica6759
    @sadiqmwafrica6759 2 роки тому

    MashaAllah, Allah hu Akbar

  • @jaffarmohamed6859
    @jaffarmohamed6859 2 роки тому

    Heri inshallah

  • @mrok284
    @mrok284 2 роки тому +2

    😂 Dini ya mkikuyu😂
    Allah atuongoze.

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 Рік тому

    Mrembo tumia Maji usitumie tissue itakuharibu makalio itanukia vibaya ,😁😃

  • @alinuribrahim4216
    @alinuribrahim4216 2 роки тому

    MashaAllah

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 роки тому +1

    Tuna Kuombea Kila La Kheeri Ww Na Wenzako

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 2 роки тому +1

    sheikh juma nakutaja Leo bsi km Quran au hivyo vitabu hufunguwi bsi Shika hio sipika ili umsaidie shekh wet jaman

  • @nooor1120
    @nooor1120 Рік тому

    Yaa Rab tunakuomba kwa uwezo wako na utukufu wako mhifadhi na mpe afya na kheri zote sheikh Ramadhan na wenzake na kila mpigania dini hii ya kiislam dini ya haki.

  • @khamissalim8708
    @khamissalim8708 2 роки тому

    Alhamduliah

  • @abdullahijma2073
    @abdullahijma2073 Рік тому

    Imagine msichana mchafu kama huyo😂

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 2 роки тому +1

    na kwenye priodi kwenye siku zake ungemuliza anatumia nn tugekua

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Hapo ndio usipime itakuwa hadi amalize sikuzake ndio akoge labda mtihani huu wallahi

    • @khadijaali2173
      @khadijaali2173 2 роки тому

      @@telaamtauta2227 😁😂😂😂😂😂

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      @@khadijaali2173 ndugu mdada mrembo kumbe mmmhhhh oficen kupo hoi

    • @khadijaali2173
      @khadijaali2173 2 роки тому

      @@telaamtauta2227 ila mtihani mkubwa Sana mungu awasaidie

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      @@khadijaali2173 amiin yaarab

  • @babazfirenaya7171
    @babazfirenaya7171 2 роки тому

    duh demu mzuri kumbe balaaa kweli uzuri wa nyumba ingia ndani

    • @khadijaali2173
      @khadijaali2173 2 роки тому

      😂😂kwaio atakua ananuka wacha t nicheke

    • @babazfirenaya7171
      @babazfirenaya7171 2 роки тому

      @@khadijaali2173 obviously .

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Haswaa ulijuwajee wewe kama sumkorofii hahahaaaaneno hiloo

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 2 роки тому +1

    Pale unaposukwa msujo uitwao kilimanjaro, msusi ndo huyo anaetumia tishu. Weeee! Utakoma hiyo harufu inayo toka uko chini.

  • @babanajibsuleiman1643
    @babanajibsuleiman1643 2 роки тому

    Uyu mzae wa tatu acahana nayo....amefinya maji..

  • @africanchild4374
    @africanchild4374 2 роки тому

    Hatutaki majini, majini ni mashetani..

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 2 роки тому

    Yani huyo dem anacheka kabisa

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 2 роки тому

    daaa Huyo msichana mchafu

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому

    Unakuta mdada mzuri kma huyo anatumia tissue .. tena hawataki kabisa story za maji .. who taught them to use tissues tho ?? 😔😔😐😐

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 2 роки тому

    Uyo dada uslay queen ndio unamsumbua but ataelewa tu

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 роки тому +3

    Huyu Imam Juma ata changamuka lini? Mbona bado ame via?
    Imam Juma, kumbuka, waKristo waki gusa gusa Quran kwa sababu wewe hau taki kui soma, na ku jua ku fungua Quran, basi hiyo 'nagis' la Quran ita kuwa juu yako.
    Kwa sababu Ustad Rama ako na mikono miwili tuu, na hawezi ku fanya kila kitu, na WEWE ume simama tuu!

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 2 роки тому +2

      Kweli kabisa.
      WaKristo hawa fai ku gusa QURAN kwa sababu hawana usafi, na wana kula Nguruwe na Pombe.
      Halafu, kwa vile Imam Juma hataki ku fungua Quran, na kui soma, ina bidi Ustad awape Wakristo Quran kui gusa gusa na mikono zao za Nagis!
      Halafu huyu Imam Juma ame simama tuu, aki angalia WaKristo Nagis, waki igusa Quran na mikono zao Chafu!
      What is wrong with this guy?.

    • @bahiyaseleman5838
      @bahiyaseleman5838 2 роки тому +1

      Nimependa ushauri yako

    • @Sal.0
      @Sal.0 2 роки тому

      @@bahiyaseleman5838 JazakAllah Kheir.

    • @bahiyaseleman5838
      @bahiyaseleman5838 2 роки тому

      @@Sal.0 waanta kadhalika

    • @salehabdulaziz9218
      @salehabdulaziz9218 2 роки тому

      @@Sai.Mo69 watajuaje quran bila kuishika na kuisoma...hii ni tafsiri ya quran na imeteremshwa kwa watu wote duniani si kwa waislamu tuh..usifanye dini ngumu kaka

  • @jumamraba5391
    @jumamraba5391 3 місяці тому

    Inalilah wainaillah rajun poleni...wakristo..et tishu.hata Kwa vitendo vya ngono siwez nyonya pussy isiyo nawishwa

  • @zaburi2386
    @zaburi2386 2 роки тому

    Waislam YESU sio Isaiah , Isaiah atarudi hapa dunian kuja kuoa cjui atamuoa Nan? Isaiah hakufa msalaban Isaiah hakubatizwa njoo I Kwa YESU KRISTO yeye ndie ufufuo na uzima

  • @khadijaali2173
    @khadijaali2173 2 роки тому

    kushika hio Quran mtu ambaye hujuwi km msafi au laa

    • @salehabdulaziz9218
      @salehabdulaziz9218 2 роки тому

      quran imeteremshwa kwa ulimwengu mzima si kwa waislamu pekee

    • @salehabdulaziz9218
      @salehabdulaziz9218 2 роки тому

      usifanye dini ngumu waache wasome wajionee wenyewe na iko siku mungu atawafanya wawe wasafi katika mili zao..Allah is the most forgiving