NINGEMSIKILIZA MAGUFULI HAYA YASINGETOKEA/LAZIMA MAKAMBA AWAAMBIE WATU UKWELI/MUULIZE MBOWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #magufuli #iringa #msigwa

КОМЕНТАРІ • 107

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 Рік тому +22

    Toka akiwa hai Magufuri nikitoa itikadi ni Raisi niliyekubali kusimamia rasilimali za nchi na kuijenga nchi kwa miundo mbinu lala salaama John tunakukumbuka

    • @saynabmohammed6263
      @saynabmohammed6263 Рік тому +1

      Hakika kabisa

    • @nurdinngwegwe2943
      @nurdinngwegwe2943 Рік тому

      siku ZOTE MJINGA HAJIJUI. WANAJIBIWA NA FEDHA ZETU AMBAZO TUNAZIONA KWA MIUNDO MBINU YA MALI YA UMMA. Mf. Nipo Dar NATAMBA NA MADARAJA, MIJENGO . WANANCHI WANASEREREKA TU MADEGE, MAMELI NK. LAZIMA UKAE.

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 Рік тому +16

    JPM hakutaka maneno matupu au majungu yasiyo na tija. Alikuwa mchapa kazi na aliamini katika kupiga kazi na siyo maumbea yasiyo na malengo yanayoeleweka.
    Ndiyo maana katika kipindi kifupi aliweza kufanya maajabu ya kimarndeleo yaliyoonekana bila kuhitaji darubini. Huo ndio uongozi na uzalendo wa kweli.
    Kulinda nchi na Kulinda rasilimali za nchi.
    Mwacheni mwamba apumzike kwa amani……itatuchukua karne kupata mwingine kama huyo

  • @ZagambaMnubi
    @ZagambaMnubi Рік тому +17

    Wachungaji wa mchongo mpo wengi unasema Jpm alikosea kwa matumbo yenu siyo ya wengi achana kabisa na yule Mwamba

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      Mmm mwamba yupo wapi

    • @ZagambaMnubi
      @ZagambaMnubi Рік тому

      @@kisangageorgethomasi2830 tumemutanguliza mbele ili afungue lango la ikulu maana kaijenga mwenyewe

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      @@kisangageorgethomasi2830 ametangulia ambapo na wewe kesho utakuwa huko huko. Au tuseme unamcheka kwa kutangulia?? watch out

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому

      @@kisangageorgethomasi2830 yuko na sisi spiritually au kiroho na ataishi milele ndani yetu.
      Je wewe utakumbukwa siku ukimfuata?

    • @kisangageorgethomasi2830
      @kisangageorgethomasi2830 Рік тому

      @@marieconnect6389 anakumbukwa muhamad na yesu tu wengine makapi kumbukumbu zao azipeleki mtu peponi

  • @benjooh_official8944
    @benjooh_official8944 Рік тому +3

    Pongezi kwa @Dar24 interview bora na quality,Pongezi kwa Mtangazaji anauliza maswali ya msingi na yenye hoja njema ktk Taifa, Pongezi za mwisho kwa Mhe Msigwa kuweza kujibu maswali vizurii na kwa weledii . KAMA UMENIELEWA GONGA LIKE 👍 HAPAA 🔥

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 Рік тому +19

    Magufuri alikuwa kiongozi saizi ni mipasho tu ni nchi imeshaingia gizani Na wamerudishwa wezi na wamekumbatiana ili nchi iwe mfilisi tutakoma

  • @laprincevonkingpin2538
    @laprincevonkingpin2538 Рік тому +8

    RIP...JPM

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому +7

    Akili ya Magufuli ilikuwa juu ya yako.Hakutaka mikutano kwa sababu ingechelewesha maendeleo.Alitaka watu wafanye kazi..kwani mikutano ndani haiendi,?J.k, mlimtukana sanaaaa.JPM alipendwa sanaa..na watu wa kawaida sanaa..ilifika mahali hata umhimu wa vyama vya siasa havikuhitajika.tulitamani nchi iongozwe na Rais, makamu wa ,Rais na waziri mkuu walitosha sanaa

  • @makara6671
    @makara6671 Рік тому +8

    R.I.P JPM

  • @noeljosee8384
    @noeljosee8384 Рік тому +7

    Sema huyu braza anaye interview ni smart sana, lakini pia Mh Msigwa ni smart ziadi.

    • @nurdinngwegwe2943
      @nurdinngwegwe2943 Рік тому +1

      pia ni true man. ANAMUELEWA KIONGOZI MAREHEM JPM. Salute Kiongozi Msigwa One. 5hizo

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 Рік тому +8

    Mama ambaye Ni raisi hataki kuulizwa

  • @mburawambulanga3500
    @mburawambulanga3500 Рік тому +8

    JPM legacy lives forever

    • @jeremiahngoka4980
      @jeremiahngoka4980 Рік тому

      Lbd kwako.Aende tu na huku aende tena

    • @jonathanmwakabuku4714
      @jonathanmwakabuku4714 Рік тому

      Wakati wa JK pamoja na kusema mlirekebisha nini Sasa? Maana mapato ya TRA yalikuwa chini kwa JPM yalipanda sana

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 Рік тому +1

    Kusema Nyerere hakuwa na succession plan is an understatement to say the least. Kutojua historia na cheap politicking. Walikuweko akina Sokaine, Salim, Mwinyi, etc. Waulize wakongwe wakuelimishe. Poor you.

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 Рік тому +33

    Ukisema Magufuri alikosea utajikuta wewe ndio utakosea zaidi jamaa alitumia taaluma yake kutatua matatizo ya Watu hasa Masikini alikuwa ana liandaa Taifa letu liweze kujitegemea kwa miaka ijayo lkn kwa bahati mbaya kuna baadhi ya Wananchi hawakumuelewa lkn kwa sasa wanaanza kumkumbuka.. Ametangulia mbele ya haki Mungu ndio mjuzi atamweka pale panapostahili

    • @happinessmwenda2773
      @happinessmwenda2773 Рік тому

      Masikini ni nani???MUNGU HAKUMPA MTU UMASIKINI.BINADAMU WOTE NI SAWA

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 Рік тому

      Ni kweli huyu jamaa yuko vizuri sana alipambana sana naye yule wa muyaya ...!

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому +1

      @@happinessmwenda2773 ni kweli hakuna aliyeumbwa masikini lakini watu hawalingani na hilo halina ubishi.
      Ndiyo maana watawala kazi yao mi kuhalikisha kila mtu wanapata kwa usawa. Kuhalikisha hali zinatendeka kwa wote. Kuhakikisha keki ya taifa inaliwa ma watu wote kwa usawa wao na siyo wajanja wachache. Hao ndio wanaofanya wengine waonelane kuwa masikini na wengine miungu watu.

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 Рік тому +1

      @@happinessmwenda2773 shkuru MUNGU ww unakula unashiba hii ktu umaskin ilikwepo tangia Enzi zilee so haina haja ya kpnga

    • @marieconnect6389
      @marieconnect6389 Рік тому +1

      @@happinessmwenda2773 ni kweli lakini cha ajabuviongozi wajanja wasio na mioyo ya utu wala huruma wanalazimisha kunyang'anya watu keki zao kwa nguvu na kuwafanya waishi kama masikini wakati Mungu hakutuumba wala hapendi hivyo.
      Wanatenda kazi kiushetani zaidi kuliko kimungu.
      wanatengeneza masikini ambao hawakupaswa kuwepo. hoyo ndiyo hali halisi

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 Рік тому +6

    Mchungaji Msigwa
    Nakuona una sura ya uongozi lkn lazima ujue mapungufu yako ikusaidie kuwa aina tofauti sana ya kiongozi maana una hiyo kaliba.
    Epuka sana ushabiki wa kisiasa na usikukae sana kwenye Ubongo.
    Lugha zako zikae kwenye heshima zako. Kauli ya kusema Magufuli kwa lugha ulotumia itafakari sana.
    Ccm ina maisha yake sio Magufuli. Ccm wana tabia ya kubadilika kulingana na mnavyo wadhania.
    Kwa sasa wana waona mnavyo baki kuwa Magufuli ndio sababu lkn mnasahau kuwa Ccm ile ndio mipango yao.
    Bro Msigwa
    Ccm yenyewe ilimuona JPM ni kikwazo lkn kikwazo walicho kitengeneza ili iwavushe na walimuondoa kwakua lengo lao lilitimia na walitaka sasa mbaki na wazo kuwa ni Magufuli na hana nafasi ya kujibu yenu na ya wana Ccm.
    Wana Ccm leo wanafurahi kuwa mmeingia mtego wao kuwa ni Magufuli.
    Kaka badili mtazamo utaona ukubwa wa akili yako.
    Ccm inawaingiza chaka na ninyi mmekubali.
    Pambaneni na Ccm sio Magufuli.
    Mna tengenezewa Bomu

    • @salehematimbwa4684
      @salehematimbwa4684 Рік тому

      Hongela Msingwa kwa Hoja zako penye ukweli Lazima Uwe mkweli

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera141 Рік тому

    Safi sana Kiongozi

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Рік тому +1

    Hongela sana msingwa100%

  • @edmundchota2664
    @edmundchota2664 Рік тому +1

    Very true Mchungaji!!

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +30

    JPM, kumpata tena ni labda baada ya miaka 100, RIP JPM hakika tumepoteza kiongozi mwenye maoni shupavu mzalendo wa kweli hakutaka wananchi wake wateseke 💔🙏

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 Рік тому +2

      Wewe mwehu tu,kamamagufuli unamaana kudhulumu watu uongozi je hawo siyo wananchi???

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Рік тому

      @@josephmakutano7067 Kwa mujibu wa huyo, "SIO WANANCHI!"

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 Рік тому +1

      @@TamuzaKale pumbavu kabisa akilimbovu unashida sana naubinafsi,hutafikambali!!!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Рік тому +1

      @@josephmakutano7067 Kaka, sina kifunghshio kinachoweza kudhibiti vimiminika ningekufungashia povu lako. Sina kazi nalo!

    • @muhsinikoki4060
      @muhsinikoki4060 Рік тому

      dahhnaonamajinga niwengisama mitumeyamungu wamefaliki iweje magufuli unamuwona Kama yanibinadam sijuiwa ainagan yan

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +11

    J.P.M bwana alifaulu sana hasa kwenye miundo mbinu na nishati cha kushangaza leo tunalala giza kwani kuna nani wakati ule kulikuwa nini?

  • @stanleylameck5243
    @stanleylameck5243 Рік тому +7

    Nimekuelewa kwenye umeme hapo maana tuna vyanzo vingi Kama vile maji, ges ,upepo ,makaa ya mawe navingine vingi

  • @elvisnzovu8282
    @elvisnzovu8282 Рік тому +2

    Mchungaji huwa napenda sana unavyo analyze mambo, congratulations!

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 Рік тому +6

    KUKOSOA MAMBO YA MSINGI NA KUSIFIA MAMBO YA KIJINGA.Hizo ndizo akili za mtu mweusi .NDIO MAANA TUKO TULIVYO.

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 7 днів тому

    Yuda aliyechangamka akapewa tange ili afahamike .

  • @noeljosee8384
    @noeljosee8384 Рік тому +3

    And very sad enough vijana wengi wa kitanzania wanaendekeza habari za udaku na upuuzi badala ya kufuatilia kujifunza kukuabali na kukosoa upuuzi na mazuri yanayo fanywa na serekali. Vijana wanafuga virasta vya hovyo tuu. Nchi ya vijana wa hovyo sana hii

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 Рік тому +3

    Walikunyoosha mamae🤣🤣🤣

  • @dannywiston6391
    @dannywiston6391 Рік тому

    Jamaa ana akiri Sana ila hakubaliani na itikadi za mbowe

  • @kalutalumenge5260
    @kalutalumenge5260 Рік тому +4

    Mch. Msigwa, for the first time nimekuelewa sana kuhusu Uongozi. Ni kweli nilazima Viongozi kuwa tunafanya utafiti na kujifunza kila siku.

  • @elyudsaleh6044
    @elyudsaleh6044 Рік тому

    Mchungaji naona unajiandaa kuhamia mtumbwi mpya!

  • @johnchuwa2888
    @johnchuwa2888 Рік тому +1

    Ni kweli ukiwa kiongozi unatakiwa kujifunza kill siku.nkujifunza,ni pamoja nakumsikilizamtu oja yake na umjibu kwa hoja pia.

  • @ramadhanikalungwana6809
    @ramadhanikalungwana6809 Рік тому

    Mm nashukuru kwa kutambua kuwa JPM alikuwa zaidi ya wengi si ww pekee yako!! Yan umekuja kuona matokeo baadaye!!! Kwa hiyo hata hayo mapungufu ya JPM km mikutano!!!! Km utafikiri zaidi ya hapo, pia utagundua alikuwa sahihi tena!!! Acha kabisa!! Zingatia Maneno ya Rais msaafu Mwinyi!!! JPM hakuwa wa kawaida!!!

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh7103 Рік тому +2

    Na wewe ukenda kwa mungu ukahakikishe tu kama makufuli kakuzulumu mchungaji kauli hiyo tunaisikia

  • @michaelmahenge593
    @michaelmahenge593 Рік тому +3

    Mchungaji una uhakika kwamba Mwalimu hakuwa na succeion plan!?
    Inawezekana hujafanya utafiti wa kutosha, naomba urudi kwenye utafiti then utakuja kujua kazi ya Chuo Cha Viongozi wa CHAMA Kivukoni then uje tena kwa media .

  • @herbertngongi5212
    @herbertngongi5212 Рік тому

    Ndiyo msigwa kuuliza na kusema ni haki ya kila mtu ,siyo iwe Mali yao nchi

  • @salumramadhan8352
    @salumramadhan8352 Рік тому +1

    Yule nibinadam lakn hawazi kuwa kamil Kila kitu ndomaana alisema wakati anamwachia madaraka mwinyi yaliyomazur yachukuwen mabaya yaachen

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому +1

    Msigwa huwezi kuhamia ccm kwasabbu unapendasana haki ,Kama ungehamiakule ccm ungejikuta unaabudu sanamu usingepata amani kwakadri ninavyokujuwa,

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 Рік тому +1

    Msigwa Ni mwanasiasa bora sana. Napenda falsafa yake

  • @marthauisso5803
    @marthauisso5803 Рік тому

    pamoja na shibambu hawa watu ni kiboko chama tawala cha south
    africa

  • @MAFUNDISHO1
    @MAFUNDISHO1 Рік тому

    Kusema muhimu ila maandamano, kiukweli c afya Kwa Taifa, Mimi nakuelewa ila nazani tujiulize ni siasa za namna gani tunataka kufanya Kwa Maslahi mapana ya Taifa

  • @bakarimkuzu183
    @bakarimkuzu183 Рік тому

    JK ni mmoja TU ndie Alie watoa watanzania gizani utake usitake ni yeye

  • @callistchrisant1876
    @callistchrisant1876 Рік тому

    Ulipodhulumiwa ulichukua hatua ipi?

  • @edmundchota2664
    @edmundchota2664 Рік тому

    Kiukweli Msigwa ana mambo ambayo ni ya uwazi na ukweli

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Рік тому

    Mmh msigwa si yote yanapangwa na Mungu...."Mungu" ni Haki, Ukweli, Furaha, Uzuri halisi, Umilele, Nguvu, ....sasa basi...dhuluma ni sifa za walio kunyang'a kura (yaani CCM) na sio Mungu!!!

  • @frbm1729
    @frbm1729 Рік тому

    Mnamlaumu jpm aliwadhulumu .nyie wapinzani feki wachumia matumbo yenu mmewadhulumu watu wenu vingapi? Tangu mmelipwa posho mamilioni ya fedha mmefanya Nini?

  • @papaadialoo
    @papaadialoo Рік тому

    Habari hizi ndo tunaziitaji

  • @marthauisso5803
    @marthauisso5803 Рік тому

    Ukizingumzia viongozi wa chama cha upinzani, unawazungumzia, Msigwa, Sugu, na Lissu hawa watu walinyoosha bunge la ccm. ninawafananisha na chama cha upinzan cha South Africa EFF ambao ni Julius Malema, Ndlozi, na wenzake

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 Рік тому

    Lazima kikwete mmsifu tuu,

  • @kashindisimon5265
    @kashindisimon5265 Рік тому

    Hili na hili na hili huo ni unafiki si useme Tu !???

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 Рік тому

    Acha propaganda hauwezi kujitegemea km hauna VIWANDA Sasa cherehani ni kiwanda basi HATUWEZI kuendelea

  • @calimahad9274
    @calimahad9274 Рік тому

    Kukosea NI sifa muhimu ya binaadam, sasa mukisikia JPM aliboronga sio mutete Tu. JPM aliirudisha nyuma Sana nchi hii na katika watu wake kufikiri, hii ilikua hatari kubwa Sana kumzuia binaadam kufikiri na kuto maoni yake

  • @jeanmusamba3253
    @jeanmusamba3253 Рік тому

    hata me naona eneo hilo nyerere alifeli japo mazuri yake ni zaidi ya 96%,huwezi pewa vipaji vyote

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 Рік тому

    Jpm alikuwa mtekelezaji wa mambo yaliyo lala miaka mingi mambo hayaendi kwa jili ya ufisadi tu akafaulu kuwafumbua macho wa tz hata msigwa alikuwa mtekerezaji alikuta miradi imeainizwa miaka mingi ila haienda kajitahidi kuipigia kerere ikainda so msigwa uwa hajijui kuwa uongozi wake una elment ya jpm hata hatakiwi kumusema jpm yeye ni kama cop ya jpm mimi nilimpenda lakin jpm ndo bigwa wa afica hakuna ,fano wake

  • @thieryniyonkuru5023
    @thieryniyonkuru5023 Рік тому

    Ni kweli team Mlema hawezi kuwa bora kama ya Chadema ila sasa…
    Kati Maleria na Corona, ni kweli uchague Maleria japo nalo ni gonjwa. 😂

  • @patkrinsliy7389
    @patkrinsliy7389 Рік тому

    Muandishi hukukksea kusema akili za chadema ni kupinga kila kitu kwani msigwa kashindwa uchaguzi kihalali kabisa liakni anapinga katakata kuwa alishindwa na anasingizia kudhimiwa yaani hovyo kabisa.

  • @mashirimathias6006
    @mashirimathias6006 Рік тому

    Upuuzi mtupu hakuna kitu

  • @sahirdaruhesh4178
    @sahirdaruhesh4178 Рік тому

    Kwer

  • @herbertngongi5212
    @herbertngongi5212 Рік тому

    Msigwa sawa alikwambia Nini ? Sasa hayupo kwa faida yeye na kizazi kijacho plz tuambie yule ugomvi wake ni kukosolewa lkn kwa kazi alichapa kazi hakuna atakayefikia kile alichokifanya kwa muda mfipi ,Hakika ameacha alama japo ktk ujenzi wa uchumi lazima watu waumie ,JPM pumzika kwa Amani tunaendelea kukumbuka daima ,Sasa ule mgao wa umeme umerudi ambao tuliusahau kipindi Chako chote

  • @mfinangamwamvita2619
    @mfinangamwamvita2619 Рік тому +1

    Msigwa tangu uachane na ubunge hata afya yako imeimarika. Wewe chunga kondoo siasa haikufai,
    hata tulikuwa hatukuelewa kuwa wewe ni mchungaji ulitetereka kiroho. rudi kwa Mungu kindaki ndaki ombea taifa si lazima uwe mwanasiasa.

    • @wilsonsikahanga1761
      @wilsonsikahanga1761 Рік тому

      Msigwa unatakiwa kurudi iringa town kama Mbunge na huo ndio wito wako!!!

  • @farajiharuna6600
    @farajiharuna6600 Рік тому

    We ni zero

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 Рік тому

    Nasikia ulikuwa na kiburi shenzi wewe

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 Рік тому

      Sio kibuli wala hakuna aja ya matus kwanza mtu mwenye akili timam uwa hanajihamin anachofanya kama wewe una uwezo mdogo wa kufulikili utaishi kwa kumtegemea mtu kuliko kile unachohamini wewe

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 Рік тому

    haka kamchungaji hovyo chadema bila mbowe hakuna hoja

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому

    Huitaji kufumua mfumo mzima
    Just mumsikize ngwajima anasema
    Kuwe na maono nchi Iwe na maono
    Kila kitu kitakuwa sawa kama hivo unavosema et chi za wezetu hakuna kugombea kwa kuonesha umefanya hivi na hivi na put hakuna nchi inauo orojo wenu et kiongozi hakai foleni
    Hakuna hayo ni nyinyi tu

    • @estonsaimon6671
      @estonsaimon6671 Рік тому

      Anayoongea gwajima saivi bro ni marudio ya kauli ya LEMA ebu tafuta clip yake kipindi Cha JPM