Dah move nzuri nimeitazama hii kiukweli imeningusa imeelezea maisha haris ya vijijini mungu akupe hekima na busara ili uweze kuelimisha jamiii nawapenda wote mlio usika kuaandaaa kitu kizuri kama hikiii❤️🤝
African tunashobokea sana vitu vya wenzetu lakn kwao ni opposite hawana habari na vitu vyetu now siwez kufurahia uongo wa waindia nikaacha movie nzuri kama hii.... I love you so much all actors and actresses
Huku Kenya wanakuita Andre Onana kazi mzuri kwenye filamu, baraka tele kakangu ambia huyo Balotelli awache masiara na uhuni. Kijana wako naye awache wizi wa kuku hahaha
J'aime beaucoup ce film, la conception et les acteurs car ils ont réellement incarnés les personnages. J'apprécie l'expression de Gato voir même l'action de Gamba. Ai delà de tout le pardon doit primer... que Dieu vs bénisse !
Jua kabisa hapa duniani yule unayemsaidia anakuwa kitendawili, lakini jifunze pia kumsaidia mtu sikwamba naye ataludisha shukran kuwa2 makini katika hayo yote
Kweli kitu kizuri sana sijawahi icheki ila leo nimekutana nayo nimeicheki yote online akika kweli umeyagusa maisha yangu napenda sana kuangalia muv na kuimba kweli imenigusa sana kwazia mwanzo mpka mwisho umeandika vizuri sana nafatilia kazi zako sana tunaomba utuletee vitu vizir kama hivi pia ukiwa waitaji muimbaji nitafute napenda sana kuimba nyimbo za injili pia za kufariji watu pia napenda sana kuangalia mov mungu akupe ujuzi mzuri kesho na kesho kutwa ufunguwe kampuni yako vijana wapate ajira 🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲
@Sada Mohammed n. N. Nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnn n nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn not in nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn n not need new nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn not in nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnNnnnnnnnNnnn
Stive nakupenda San nimeangali muv zako nying cana mungu aibariki Kaz ya mikono yako
Jaman hii move nmeipenda san na brother ruka nmpenda san alaf nmefulah zaid kuona imeshutiwa MBEYA
Kumbe ni mbeya
Hongela sana kakangu!! I like this movie intelligent movie!!!!! From Burundi
Dah move nzuri nimeitazama hii kiukweli imeningusa imeelezea maisha haris ya vijijini mungu akupe hekima na busara ili uweze kuelimisha jamiii nawapenda wote mlio usika kuaandaaa kitu kizuri kama hikiii❤️🤝
Jina ya filam inaitwaj?
Kwakwel gamba unaigiza vizuri san ❤ nimepend mungu akuimarish zaid na zaid
African tunashobokea sana vitu vya wenzetu lakn kwao ni opposite hawana habari na vitu vyetu now siwez kufurahia uongo wa waindia nikaacha movie nzuri kama hii.... I love you so much all actors and actresses
kipindi chakwanza jamani
kabisaa
😮😮😮
❤❤
Huyu Africa Steve ako poa na video zake congratulations Steve au Africa Big up man to action
Nakukubali sana uko vizuri sana😊😊😊😊😊❤❤❤❤😂😂😂😂
Bon
Waooo jamani Mungu abariki kazi ya mikono yako luka ❤❤
Haswa
Woow hongera kamba kwa kua na moyo wa utu nawapenda sana movie kali kweli
Mbona vitu vitamu alafu mme vificha aise wekk nakupenda bule kila filam unayo icheza nzuli dula luka ha gamba ❤️
Nimekukubali dogo uko vizuri Mungu akutie nguvu
Kwakwel anajitaidi mungu amuezeshe
Yani ruka Nakupenda kutoka kwenye mishipa yangu yadamu🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 nice move 🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kabisaaaaaa❤
😂😂😂😂😂😂
❤
Uyu kaka anawez San anajua mpk anaker mung akutangulie broo yani ww ni Kanumba nayoyote awez kataa kufanya kaz naww respect broo nawixh day1 nifanye kaz nww
Huku Kenya wanakuita Andre Onana kazi mzuri kwenye filamu, baraka tele kakangu ambia huyo Balotelli awache masiara na uhuni. Kijana wako naye awache wizi wa kuku hahaha
More exciting,hongera sana kakangu
Nkupenda sana kaka yangu nmewatch hii movie aty nkatoa chozi
Dada ww nimujinga sana tana sana film yanu nimebooooo sana
Yan we kaka uko na mkono wa sueta kweli mm nakupenda ivyo ivyo ❣️❣️❣️❣️❣️😘
🤣🤣🤣 Tumupende wote sio kwa uzuri iyo🤪💃🤸♀️
Kwani inamaanisha Nini mkono sueta🤣🤣🤣🤣nataka kuelewa
@@sumayauwamahoro5586 🤣🤣🤣🤣ww bdo umtoto mitandaoni ulifata nn😂😂😂😂😂nimtu ambae ajatairiwa au kudekwa
@@furahahappiness110 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@neemamzande8547 😆😆😆😆
mwanqngu wewe kiboko ,any of your movie lazma nione BIG UP BRO from NAIROBI
Part 2 iko wapi jamani ninxuri hno movi naomba part 2
Nimeagalia ni nzuriiii sana jaman kwanini usigeirefushaaaa?sijui nisemeje ila nimevutiwa sanaaaaaa duuuuh hongera❤❤❤❤❤❤❤❤❤💘💘💖💕💜🖤💝💓
J'aime beaucoup ce film, la conception et les acteurs car ils ont réellement incarnés les personnages. J'apprécie l'expression de Gato voir même l'action de Gamba. Ai delà de tout le pardon doit primer... que Dieu vs bénisse !
mer6
Nimejisikia kukupenda stive una act very good Na mimi ni muigizaji mwenzako Ila sijasonga mbele ningariki chini naomba unifunze Ku act
Hongera kaka yetu kwa kazi nzuri
Jua kabisa hapa duniani yule unayemsaidia anakuwa kitendawili, lakini jifunze pia kumsaidia mtu sikwamba naye ataludisha shukran kuwa2 makini katika hayo yote
Kweli kitu kizuri sana sijawahi icheki ila leo nimekutana nayo nimeicheki yote online akika kweli umeyagusa maisha yangu napenda sana kuangalia muv na kuimba kweli imenigusa sana kwazia mwanzo mpka mwisho umeandika vizuri sana nafatilia kazi zako sana tunaomba utuletee vitu vizir kama hivi pia ukiwa waitaji muimbaji nitafute napenda sana kuimba nyimbo za injili pia za kufariji watu pia napenda sana kuangalia mov mungu akupe ujuzi mzuri kesho na kesho kutwa ufunguwe kampuni yako vijana wapate ajira 🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲
❤❤❤
L
🙏🙏🙏♥️♥️
❤❤❤❤❤
Hi
Kazi nzuri Gamba...na funzo kwenye jamii
Luka upo🔥🔥🔥njoo zako kinjana washabiki wako tunasema unajua unajua unajua tena
kabisa an
anaweza sana jamani❤❤❤
Kueza tu zaid ya kuez
Umeweza broo laiti ungekua mume wangu ningejihis mwenye furaha sikuzote
Nmemwona MTU humu sikujua kama anaweza ila all in all God bless you mnajua sanaaa
Nimependa sana ❤ila chozi ndo lilikua lambele dah hii muvi imeniliza ila na mzuri na inafundisha sana
Isalito mungu aendeleeee kukupa umri mlefu
Nakupenda sanaa kaka angu kipenzi nakuombea ck zoteee
Congratulations Gamba from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 unapendwa Sana kama ujaoa nikujie mm😅😅
Ushapata
@@patrickmuli2253 bado sijapata nakungojea ww
Hongera sana kaka
❤❤❤filam hii kweli ina mafuzo tafazali jaribu ku tazama utapata mafuzo zaidi asate❤❤❤❤
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Gamba good job much expected from you guys
Dah mpaka nimetoa machozi walah Hongera xana unajua unajua unajua tena kila la kheri inshaallah
@Sada Mohammed n. N. Nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnn n nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn not in nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn n not need new nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn not in nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnNnnnnnnnNnnn
Wooh good job
Hii movies nzuri inafunza sana but pia wanawake wengi ndivyo walivyo wambea na hawana Siri. Uyo dada amenitia hasira kurudiana na jamaa
Wawoo Kaz nzuri sana!!
Daah atariii very nice ❤❤❤
Nimeipenda japo imeniliza sanaaa
Hii imesinda yote ni jawai ona..ni poa sana ...part two aki👏👏👏👏🔥🔥🔥🌹🌹💯💯
Vinanda vinanikumbusha mbali sana ..... African artist
Nimechelewa sana ila hongera zangu kwako zikufikie kaka unaweza sana
Muvi Kali sana hongera
Ni nzuri sana
Ichi ni kijiji gani
Yaan huyu dada n mbwa kuliko hata mbwa mwenyewe anaenda kumsema mwenzake anamkono wa sweta kwann
Anaweza mungu akulinde na hasadi Nisha Allah
Safi sana Kwa kuelimisha, Kwa ujumbe mzur
Nimempenda sana mdogo wake na tuma
Hongera kijana kwa kuumpambania ddaaako❤❤❤❤
Mungu azidi kukubariki kaka upo vizuri 🎉🎉🎉🎉
Dullah from Sanura seriez good boy
Nimeimependa saana hii movie, keep it up , good work
movie Kali sanaaaaa ni vile promotion ndogo sanaaa❤️❤️❤️❤️
Daah! broo umetixha xan broo hongr xan
ongereni sana kwa film kama naiyi mnafania vizuri sana🇨🇩
Nakupenda Sana kaka angu mungu akupe maisha malefu
Duuuh 🤣🤣❤🥰 kakosa kupasha masikini jaman😮😮
Movi nzuri sana nimejifunza jambo kubwa sana
Napenda filamu huyu Steve sana...nataka kuona filamu zaidi
Unajua sqna isarito love you so much❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wanawake dah, yani we tuma!!🙌🏾
Much ❤from Burundi good job na mnaweza
Namm pia napenda kuangalia muv zakitanzania wasanii ongezeni juhudi
Movie nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzu sana 🙏🙏🙏🙏🙏
❤ nimemupenda mkaka huyu kwa kuelimisha Jamie
Nice one ak,....imenibamba kinoma wallai
Uyo dada nimwehu sana kweli shiiiiiiiiii 😮😮😮😮😮😮😮
Kaz zuri Sana kaka yangu mungu akubariki❤❤❤
Maana halisi ya kioo cha jamii, filamu yenye maudhui yakufundisha na kuelimisha jamii. Kongole ISARITO MWAKALINDILE 🏅
Shajara katoliki
Shajara katoliki 10:52
10:52 shajar
Tunahitaji movie kalikali endelea kitupatia much love from kenya 🇰🇪
Akosawa
❤
BIG UP MY PEOPLE KEEP UP THE GOOD WORK.
Nzurii sanaa chukueni🎉🎉🎉🎉yenuu
Movie Kali hongereni wote wahusika.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥sanaaaa more ❤❤❤❤
Kwel kabisa nafasi ya pili msiwai jaribu maana huwez jua mtu atarudi vp
Iko sawa tunakubali kazi broo
Wow,wow nice movie next💃💃
Duh iko vizuri nimeicheki imenichekesha
Mbona move onaniriza kabla zijafwatiria vizuli ,mvuwa yamachozi inaja
Luck,, very nice 👍❤️ like you bro
Hakika nataka sitaki pia nataka sitaki wanawake hapana kusamehe kwa Ivo dk2 mtu kasameh
Mm mwenyewe huo ugonjwa umenikuta nilipokuwa najifungua
Wallai movie hii imenidondosha machizi,,Mungu saidia kila mmoja anayepitia halii ngumu
ingine vipi iko pw sana hii mabroo
Very nice movie nimehipenda sana
Hongerah🎉Sana kaka
Wawoo Good job 👌👌👌 courage 🔥🔥🥰
Uko njema Bunji wa Hidaya ila kipara kinakutoa zaidi😂😂😂
Napenda msimamo wako Steven mungu skufunike n tamu yake I love u
Move zako n tamu sn zinafutia n kufundisha ubarikiwe Steve
😀😀😀💉📥😋
mko vizuri jaman nawaomba muendelee kutoa na zingnezo
uko vzr brother nice movie
Iyi ni funzo nzuri
Kazi kutoka Mbeya nasaluti kazi zenu benroyal pictures
Steven nakupenda bure tuu
Gamba kaqchixha dude safiiiiii nakbaliiii
Nzur sana nmeipenda ❤
Daaar move ninzur Sana inafundisha
Luka WA jua kali uko vizur
Sana yaani