The Mafik - Tumia (Visualizer)
Вставка
- Опубліковано 15 вер 2024
- Tumia by The Mafik (C) 2024 King Solomon Empire.
TUMIA OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by: The Mafik
For Bookings: TheMafikTz@gmail.com
Follow The Mafik on:
/ themafik_
/ themafik_
/ themafiktz
so jichanganye nikuto😁😁😁 wenye tumetoka TikTok after like basi hapa
Tumefika😂😂😂😂
😂😂😂😂 jomonii
Nmm nimetokea tiktok
Na mimi
😂😂😂😂😂
Usiibe niombe …..sa jichanganye nkuto😂😂 from tiktok 🇹🇿 Naombeni likes wasee
Mnaimba vzuri mpaka najiskia Amani huku kaburini Mimi ni Mbalamwezi❤❤❤ I miss you Guys Mick singer Play my part
💯💯🔥🔥🔥😎
Imenitoa ticktok...nimekuja kuingalia baada ya kusikia usiibe niombe
This boscotones guy is a national treasure. Tanzanians should protect him.
kama umemuona Bambo ngoja like🎉🎉🎉🎉
Dem wangu mchawi
Akiona kibunda anaweuka
Ananichanganya uyoo
Bambo wamoto sana
Tumio zikuzoeo bambo noma😂
Wakwanza leo mm like ziwe zakutosha
Ngoma ni Kali sana
Hatar
Noma sanaaa
Good music
I thanks God
tumeeanza na mungu sasa tutumie
Noma san
Wana wa Mungu Naombeni like hata 20 plzzz
Jichanganye nikutoo😊
Tumia zikuzoee
Tumia
Mwanaume kazi😂
Tumia likes zkuzoee
Bless
Moja ya Makundi Bora kabisa. Sema Hamadai ndiye alipaswa kufungua hapa.
Balaa ni zitooo
Mzuka sanaaa
Kila mtu na maisha yake
Tusipangiane
Kwani nikue mnyonge
Nyimbo kali sana itawaeudisha kwenye game
usiibe niombe ..........................................................................................jichanganye
Bia tamu
Firee
Motooo
imenitoa TikTok 😂😂😂😂
Ila Bosco anajua sana aisee🎉
This is real diamond from east Africa.bosco number one❤
Hamadai ameuwa sanaa
Hamadai ni fundi sanaa
hawa jamaa wanajua hatari,,,Mungu awaepushe na magomvi track kama hizi huwa zinaishi muda mrefu sana.....
Nina wakubali Sana kutoka Congo 🎉🎉🎉🎉
Mama tumia
Full raha
Kila mtu na maisha yake
Kimpango wake
Appreciate sana
Noma
My brother Bosco Tones juu sanaaa
huyu bwana ni noma 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
mstari gani umeipenda
Goo
Boom
Safi
Kali Sanaa ❤
Noma sanaaa
Inatisha sanaa
Balaa sio la kitoto
Mzuka sanaaa
kuna sauti naisikia, ni sauti ya madhabahuni kabisa. ni sauti ya kitumishi kabisa. ni sauti ya kumuimbia Mungu.
Mtajee
Nan uyooo
@@Malume05😅..namtaja. ni huyo aliyeimba baada ya hamadai
Hatari sanaaa
Ngoma ni Kali sanaa
HAMADAI🎉
King
Uyu jamaanoma sana
Yamoto sana hii
Sana sana kaka
Ila hii nyimbo kali sana
Kabisa yan
Lazima ifike mbali
Uhakik mzee
Wanajua sanaa
Video kali sanaa
🔥🔥🔥🔥🔥
The mafic ❤❤❤
East africa hakuna kama wao
Washkaj wamebarikiwa vipaji
Noma sana hawa
@@Malume05 jamaa wanawez sana
🔥 🔥
Oyaa hawa watu ban very 🎶🎶
Mziki toka damuni awa wazee
Bosco mnampa Verse ndogo aisee Kuna nini
Nomaa
Sikupingi
Mmerudi tena🎉
Bonge la song sema pale jichanganye nikutoo!
🔥
Jichanganye nkutoe malinda😂
Makubwa 😂😂😂
Kali sana
Good songs 🎉🎉tumia ziku zoweye❤❤
Oyaa wee
Bosco tones kiumbe na nusu ana tone yake io au naona peke yangu
Much love from kenya this is one amoung the big bangers in 2024..
Jamani ee ebu tumuwekee Bambo Likes zake.😅😅
This collabo ikiendelea itakuwa Moto sana🔥💎wote mmetisha
❤❤❤❤❤❤
Kali
Sanaaaa
Originality 🎉
Nomaaa
Wamba mnajua sana
Boom
Kishindo ataree
Nani katokea Tiktok 😄😄😄
Wengi
Nilishaagasema wewe jay ni star mkubwa wa baadae nakuombea Dua kutoka moyoni ufike mbali unakitu. Tangu nianze kukufatilia nimeeona ukibadilika badilika
🎥
The mafiki mmetisha
Nomaaa
Sanaaa
Nyimbo Kali sana 🇿🇲
Boscotones always 🔥🔥Keep goin bruv
Noma ila Kuna hamadai
Challenge ya hamadai noma sanaa
Uwezo
Aiiih
Kula chuma iko
🎉🎉🎉🎉
Hamadai👑
Big time papa rama
Mwanaume pesa
Ziliwe na mwanamke daah
Tumia zkuzoeee
🎉🎉
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 tunahitaji kazi kama iz🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa kabisa yaan
Noma sana
NOMA SANA
Motooo
Sanaaaa
Wameua
Unyama
Noma sana
Tumia tumia
Zikuzoeee
Pesa kaz yake kuliwa....
Bombaa
Sanaaa
Nom
safi
Noma sana hii
😊😊😊😊😊
tumia
Zikuzoee
Keep Going Guys🔥🔥
💎💎💎💎💎💎💎💎
Hamadai ni shidaaa....🎉
Kaka niatari uyu jamaa
,🔥 🙌
Wametisha saana
Vibes
Ngoma ni kali sanaa
Balaa zitoo
Mnajuwa sanaaa napenda haso za hamadai
😮😮😮😮
Bosco tones on 🔥
Nanusu
Nice job
Too much
Kali sana
Bambo umeua sana aisee,nimecheka sana. Ila the mafq mmeua sana, Bonge la Ngoma .
weleeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Watu nomaaaaa awaaaaaa
Usiibe niombe
Vitagongana vikombe
Tumia zikuzoee
All the Best the mafiki
Huyu Bosco noma xan namkubali
Anajua sana
Ngoma kali sana
Fund
Tuondoke
Sawa hakuna xhido
Nzuri
Pure bongo Flavour
Hii ngoma yetu sisi walevi t mayatima wa mapenzi mtuache 🍷🍾🍻
10
Never give up on your dreams ma bro msiteteleke huu ndo mziki 🎉🎉🎉🎉🎉
Kwani kuna shidooooooo
Hatar sanaa
Tatizo hamubadilishi muonekano kila wimbo mavazi yanafanana na mawigi kama hamjasoma bhana
kwahyo hapo ilibidi wavae suti??
Ndio uhalisia Wao Waache Wenyewe tuinjoi
😅😅😅😅punguza makasiriko
Badilika ww tuone😂
Ila hamadai 😆
Kali na nusu🙌
The Mafk Love Song
Nyimbo kali sana big up sana wanangu...💪🏾
Yaan lazma tufike
Mbali mnooo
My team in tanzania 🎉🎉