nafuraha kumsikia huyu superstar wangu nyimbo zake tamu sauti kabarikiwa Mungu amzidishie. Aso mtu ana mungu twaskiza hadi sasa. Mtaratibu swabaha she is very humble ❤❤. Live long dadangu swabaha❤❤🎉🎉🎉🎉🎉sauti yake tunayo huku kilifi twamskiza
Nampenda uyu Mama bureee kbsaa😍😍😍😍😍.uish miaka mingi mamyy kilichobak umuimbie MUNGU tu.sasa inatosha umeshaimba kufuruhisha dunia n watu .Sasa mtukuze MUNGU ktk uimbaj wako .imba sifa za MUNGU tu.nakupndaaa Mamy sabahaa
sabahi umenifaya niliye hiyo nyimbo imenigusa mm Nina uchugu sana jinsi niloyapata lakiniiii mm namuachiya mugu diye at akaye nilipiga wala Sito msamehe malipo yapo hapa duniya I nionyeshe we kalba sijaodoka duniya bado nayaona megi ukouweza Moya wako na Subira. Kuwa nayo sanaaaa
dunia ina ghurur ewe mja wa Allah muislam sibora ukarudi kwa Molla wako mwana Adam hajijui lini ataondoka dunia hii inamwisho sibora ukatafuta kazi nyingine ya halal ukafanya kuliko kujipalilia moto , tahadhari usisahau kwamba iko siku utaondoka , anaekusifu ujue hakupendi lakini anaekuzindua ndio bora , wengi walikuepo leo hawapotena
🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹 pepea bendera ya ITaly ndani ya Tanzania maashaalla huyu sauti Kapewa na Allah ila pumzika mamaa umrii unakwendaa ila vijimbo vyake daaah vitamu🤣🤣🤣🤣
Allah akuhidi. Jitahidi kurudi Kwa Allah
nafuraha kumsikia huyu superstar wangu nyimbo zake tamu sauti kabarikiwa Mungu amzidishie. Aso mtu ana mungu twaskiza hadi sasa. Mtaratibu swabaha she is very humble ❤❤. Live long dadangu swabaha❤❤🎉🎉🎉🎉🎉sauti yake tunayo huku kilifi twamskiza
Nazipenda sana nyimbo zako Sabah zote ni nzuri mashaallah
Subhanallah Allah atuongoze waja wake yaan hapo ulipo unamshukur Allah kwa kukuinua kwenye music😭😭😭Allah akuongoze😭😭😭😭atuongoze na sote 🤲
Amiin Yarabby 🤲
Amiin
Angeacha mzikiii akarudi kwa Allah
Hajitambui
Bora huyu muimba taarabu tuna jua ni mziki wa kidunia kuliko wale wanaojiita waimmba qaswida. Kumbe waipo mduoara
Nampenda uyu Mama bureee kbsaa😍😍😍😍😍.uish miaka mingi mamyy kilichobak umuimbie MUNGU tu.sasa inatosha umeshaimba kufuruhisha dunia n watu .Sasa mtukuze MUNGU ktk uimbaj wako .imba sifa za MUNGU tu.nakupndaaa Mamy sabahaa
sabahi umenifaya niliye hiyo nyimbo imenigusa mm Nina uchugu sana jinsi niloyapata lakiniiii mm namuachiya mugu diye at akaye nilipiga wala Sito msamehe malipo yapo hapa duniya I nionyeshe we kalba sijaodoka duniya bado nayaona megi ukouweza Moya wako na Subira. Kuwa nayo sanaaaa
Mlango wa mungu song hatari sana 🔥🔥❤️
Mama mzuri huyu dah Masha Allah🌹
Acheni kuimba watu wazima nyinyi wacheni tena tubiyeni tunataka kufa muda wowote
Kweli kabisa
Sio mnaonekana wahuni ila ngoma mungu hataki Bora usome mashairi tu
Kweli kabsa ila aza kwaz ww zidisha piy muombee mungu ili waache kuimba taarab
Aache kuimba haifaiii
@@nasmanasma8607 ajiombe yeye mwenyewe sio mtoto
Sikuhizi majimbo yote mitusi mitupu aibu hasaaa mimi hujiuliza wanoimba hawana familiaa majumbani chefuuuu
Kweli unayosema mpk kinyaa
Nampenda uyu mama anasauti nzur🥰💞❤️
Kumbe ni mtu wa mombasa pia mashaAllah
Heko maneno kunto ni ukweli iwapo anaona hapo kapata hajijui kua kapatikana ahsante dada sabah Salim kwa ubusara wako WE Always loving you♥️♥️♥️
Mweupe balaaa songi tam balaaa hisan yangu 🥰
Mbona waongea km z'bar hivi❤
Nyimbo zake sio mwaka mmoja bl ni miyaka yote
Mashahllah ❤Habibty
Mashaallah nakupenda sana mama from oman🤗
I like ur songs,,jua Mlango ya mungu ni Wazi ♥️😇🙏.
Sanaaa
Sanaaa
@@maloomaalmnsj5111 Ahsante saana ♥️💓. Even now 🙏 am.
Please 🙏♥️😇.,Naomba ,Mwenyenzi Mungu"Akubariki".:.🙏.Sina mengi.,Nataka tu U barikiwe;.🙏💓😇.
@@maloomaalmnsj5111 i need ur nr.Please.
Mashallah mashallah mashallah yani ninavo kupeda allah anajua usiwe na shaka mm nitakusaidia kiarabu I❤U aunty sabah🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Somo napenda saanaa nyimbo zako
Mmungu akuepushe nasharizamahasid
100 %true mja hanawema mpanga mchanga wa kaburi maashallah nilifikiria Zungu anapiga tu Muscat Oman
dunia ina ghurur ewe mja wa Allah muislam sibora ukarudi kwa Molla wako mwana Adam hajijui lini ataondoka dunia hii inamwisho sibora ukatafuta kazi nyingine ya
halal ukafanya kuliko kujipalilia moto , tahadhari usisahau kwamba iko siku utaondoka , anaekusifu ujue hakupendi lakini anaekuzindua ndio bora , wengi walikuepo leo hawapotena
Mtangazi mbna unakuja kuziba pengo
Jamani mbona kawa mweupe sana yarabi
Make up haijamkaa kawa mweupee sanaa too much kama mtu mweupee
Naip3nda nyimbo ya map3nzi hayana formula kwaukweli ile nyimbo imeimbwa
Mashallah tabarrakallah yani nyimbo yako imenigusa.
Shetani hodari lkn jitahidi kupigana nae
Voice 🔥🔥🔥🔥go garl💪💪
nilikijuwa siku zote huyu wa mombasa tanzania kaendea kazi tu
Napenda nyimbo zako sanaaa
Anaitwaje mzuri sana na maneno yake mazuri
Nampenda sana sana wallah allah azid kumtunza
Sabah muchacho. Aunty best
Nampenda I like her so much sauti yake amazing 🤩
🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹 pepea bendera ya ITaly ndani ya Tanzania maashaalla huyu sauti Kapewa na Allah ila pumzika mamaa umrii unakwendaa ila vijimbo vyake daaah vitamu🤣🤣🤣🤣
Tubu tena ukifa hapo unaimba nihasara
Uyu mama mrembo hatar❤️❤️
Sauti mashallah 🎶👌👌👌
Masha’ALLAH she’s so pretty 🥰🥰Maximam tv munatumia jina gani kwenye ticktock please ❤
Maximum tv
I love you songs ❤❤❤❤❤❤❤
❤❤
Nampenda dada Sabaha mchacho
Nakupendaga bure mama
Ni kweli ukiwa na maisha duni ni wachache watakao kudhamini
Mama mrembo sana
Kweli kabisa mama ukiwa duni
Mashallah
Sabah Salum ww ushakuwa bi kizee. Acha kujichubua, umekuwa kituko kabisa, unatisha. Mbona rangi yako ilikuwa inapendeza tu bila kujichubua.
Umekosa cha kuongea hapa????
Hahahahhah ndugu kujichubua khaaa hata cream haijui tafuta helaaa ungareee nyoooo😂😂😂 umaskini unakusumbua ww et anajicream 😂
We lini ulimuona mweus huyo ????
Isani yangu
🥰🥰🥰
🔥🔥🔥❤️❤️
Alhaji huyoo ukiona hivo pesa ya hijja ni ya haramu au tiketi ya kugaiwa
Hajat
Allah anajua zaidi . sio kazi yetu kupasisha matenfo ya watu .
@@kiri5807 Mhmm mwenye macho
@@kiri5807 yaanii
@@sabihaibrahim143 hao unaofikiria wewe pesa yao ya halali ni wepi ?
watu wanapenda uarabu
Wewe unapenda nini?
wanapenda uarabu kwani huyo sabah muchacho yeye nani
Apewe tuzo hiyu
T unaboa sasa ndo nn yani malingo kiufupi ujui bora ungeacha2 ndonn unaongea uku unaangaria chini make ncheke😄😄😄😄
Cheupe poda kupodoka
Podo podooo
Mashaallah