Ukishindwa Kumsimamia Vizuri Mwanamke Atakusimamia Yeye - Dr Chris Mauki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @MariamObote
    @MariamObote Місяць тому +1

    Hakuna mwanamke mwenye dharau kwa mwanamme mwenye upendo, ukimpenda mke na kumjali lazima atakutii

    • @emmanuelmasanja7976
      @emmanuelmasanja7976 17 годин тому

      Yawezekana umetokea familia iliyosimama.
      Yapo manamake ya ajabu hujawahi kuona Dunia tangu uzaliwe

    • @MariamObote
      @MariamObote 15 годин тому

      @@emmanuelmasanja7976 🤔🤔🤔 muombee MUNGU amsaidie

  • @user-jm8tr2ex4m
    @user-jm8tr2ex4m 2 місяці тому +2

    Kweli doctor christ yani kuanzia sasa lazima operation chunguza mamkwe ifanyike 😅😅

  • @tsongokauta5911
    @tsongokauta5911 2 місяці тому +1

    Shukurani sana kwa somo

  • @Cyper255
    @Cyper255 2 місяці тому +1

    Kwel kabisa

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 2 місяці тому +1

    Wewe Chris,kama sio mm kumuongoza hata nyumba ya kulala tusingekuwa nayo !

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 місяці тому +1

      Huyo ndiye aliyeshindwa kukusimamia! Ndiyo maana akashindwa hata kuwa na nyumba mpaka wewe ukamsimamia ndiyo nyumba ikajengwa

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 2 місяці тому

    Ukweli semwe ❤❤❤

  • @victormkello9575
    @victormkello9575 2 місяці тому +2

    😅😅😅 duh. Kikaangoni it was necessary

  • @SelemaniSalimu-c1l
    @SelemaniSalimu-c1l 7 днів тому

    Hivi kila mwana ume yuko wakwangu hajali kabisa

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 2 місяці тому +1

    Wamaume nao wanachepuka sana jaman kuna mda hawajali wake zao hawana mda na wake zao matumizi shida heshima itatoka wapi? Umtii ktk manyanyaso hawajui nafasi zao ndo maana wanadharaulika.

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 місяці тому

      Wanawake nao hawaolewi wengi kwa sasa ßbabu ni wafisadi kwa wanaume,wajeuri.Hata wanawake wanadharauliwa ndiyo maana wengi SK Hz hawaolewi

  • @menzanealide5183
    @menzanealide5183 2 місяці тому

    Doctor mimi nimekosa mke kwenye u mkasa

  • @PendoPogwa
    @PendoPogwa 2 місяці тому +5

    Mwanamke anarudisha mara mbili ya unachompa.hakuna mwanamke mkorofi akionyeshwa thaman na upendo.mbona mnataka utii pasipo upendo??

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 2 місяці тому

      Wanawake hawaridhiki pesa mbele kuliko kingine,sasa upendo gani kwa anayejali pesa kwanza?

    • @Kenyan_Duke
      @Kenyan_Duke Місяць тому

      Sikubaliani kabisa😢,,Mwanamke hatari

    • @edwardntamaboko3414
      @edwardntamaboko3414 Місяць тому

      Kuna wanawake wahujumu tu hata kama ungempenda kama malaika ni kaksi tu mbona kwa sasa wanawake wengi ndivyo walivyo

    • @jessicamasepo8320
      @jessicamasepo8320 Місяць тому

      ❤❤❤

    • @joelmbughi428
      @joelmbughi428 Місяць тому

      Wewe ndoa yako ina tabu sana

  • @djramsoyusuph9661
    @djramsoyusuph9661 2 місяці тому

    Nataka semina yote napateje semina hii

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  2 місяці тому

      Tazama sehemu ya pili hapa
      Ishi na Wanawake kwa akili - Dr Chris Mauki
      ua-cam.com/video/8HtiiJXIPvI/v-deo.html

  • @Beth_shebaJoram
    @Beth_shebaJoram 2 місяці тому

    Habari doctor mimi ni mwanamke ziwa linaniwasha naomba nisaidie shida inaweza kuwa nini?

    • @samwelilazaro2835
      @samwelilazaro2835 Місяць тому

      Weweee, nenda kapime haraka iwezekanavyo usisubiri majibu humu, utajikuta umechelewa

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 2 місяці тому +2

    hii video nataman hubby aione ..hajiwezi kwa kila kitu..acha nimuongoze tu aise🚮

  • @African511
    @African511 2 місяці тому

    Hata maandiko yanasema ishini kwa akili na wanawake,wewe ishi kindezi unywe chai kwa mruzi.