Du! Mwijaku yaani unataka kumuua mwenzako hivihivi. Kipanya nimekua namsikia ameijenga Brand yake kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa. Leo unamtumbukiza katika tope zito ambalo litamgharimu miaka mingi. Inaumiza sana tusiharibiane maisha ni magumu jamani.

Akome 😊
PELEKA MAHAKAMANI ILI LIWE FUNDISHO KWA WAROPOKAJI KAMA MWIJAKU, DOTTO MAGARI NA KWA MBALI BABA LEVO.