Maswali -Aic Nyankumbu choir (New official video2023)
Вставка
- Опубліковано 11 гру 2024
- 05trending #cvc #essence #neema #bongo #dar #upendo tv# clouds media# wasafi tv# Azamtv# gospel media #google#instagram#facebook#Neema gospel #joyous celebration #trending #malope #Benjamini dube#channel ten# miliardayo #kimaro#Hananja#hot news
Kazi nzuri Sana...majibu ya yote anayo Mungu baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli kabsa mtumishi wa Mungu tuendelee kuomba Mungu atusaidie kuieneza kweli yake kwa wote pia saidia kushare na wengine zaidi
Mungu anaiona huduma yenu🎉
Amina tuzidi kuombeana tu
Mungu awe nanyi kila hatua
Amina mtumishi nawewe ubarikiwe mno na tusaidizane kusambaza na wengine wabarikiwe na kumjua Mungu wa kweli
Yesu atukuzwe
Bwana atukuzwe
Mungu awabariki kazi nonoooo ewaaaaa
Ubarikiwe.sana
Nawe ubarikiwe pia na sambaza kwa woteeeeeeeeeeeee ili yesu atukuzwe
Mbarikiwe sana
Amina sana ccter ulionekana vizuri sana hongera camera ilikuona
Ameen
Amen! kuna maswali ni Mungu tu ana majibu yao
amina sana kanda ya ziwa mpo vizur