DR KUMBUKA MASHALOVE MKE WANGU NILIZAA NAYE WATOTO/NI MENEJA WA KONDEGANG/GIGY AMEZOEA MAHABA NGUMI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лип 2020
  • Mahojiano na Dr kumbuka ambayo amefunguka mengi sana katika maisha yake ikiwemo mahusiano na wasanii wenzake kujua haya na mengine mengi angalia full interview
    Kwa maoni au ushauri comment hapo chini bila kusahau ku like na kushare na ku subscribe kupata update mbali mbali
    Tu follow katika ukurasa wetu wa instagram Bongo trendy tv na ku like facebook page bongo trendy online
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 624

  • @sulezanzibar7505
    @sulezanzibar7505 4 роки тому +10

    Huyu Jamaa Noma Sana kwa kuongea from #Russia Moscow

  • @sophiaabdalla6599
    @sophiaabdalla6599 4 роки тому +10

    Love you kumbuka nakupendaje kwa maneno hawakuwezi mkubwa mtoto was majaliwa

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 4 роки тому +15

    Namuombea duwa mtoto wa masha na huyo kumbuka maaana mh mtihani sana mama kazi baba kazi

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 роки тому +12

    Kumbuka 😍😍 😍😍😍😍😍😍

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому +13

    😀😀😀my kipenzi kumbuka majaliwa, ww kiboko yawambea❤❤❤

  • @marymollel9319
    @marymollel9319 3 роки тому +1

    Asantee Raha rahaniii🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @bentaomalla7158
    @bentaomalla7158 3 роки тому +1

    I just love dr kumbuka attitude and response

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 4 роки тому +3

    Dr kumbuka napeda vile wee uogea tena unajua juju ur interview sana ❤️❤️

  • @hassanramadhani2450
    @hassanramadhani2450 4 роки тому +97

    Huyu mtangazaji aliwahi kuwa jambazi nn mbona ana makovu sana 😎

  • @josephkanyilizu5941
    @josephkanyilizu5941 4 роки тому +5

    Sana dr kumbuka wape maam umbeaa umezidi

  • @safiasuleiman3119
    @safiasuleiman3119 4 роки тому +4

    Unamherereza Kama amechukua hela ya mkopo wa zarura 😘😘😘

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 4 роки тому +7

    Jaman naskia mtu akoroma Kwan hapa ndio kwa kumbuka mkewe kalala?💃💃

  • @mariamabdallah5224
    @mariamabdallah5224 4 роки тому +39

    Mtangazaj sometime anachambwa😂lkn yumo tu , mtangazaj upo 🔥🔥🔥🔥kwa umbea

  • @dylangabliely3871
    @dylangabliely3871 4 роки тому +6

    Jaman kumbuka unaweza kujitetea ad rahaaa

  • @ailynewinniefloraine2758
    @ailynewinniefloraine2758 3 роки тому +3

    Oh my God this guy mad love for him

  • @daloverdalover2391
    @daloverdalover2391 4 роки тому +7

    😅🤣🤣😂🤣😅🤣ila kweli dr nakupenda hahahah eti kumbuka majaliwa mweeeh

  • @sabinaonline6575
    @sabinaonline6575 4 роки тому +3

    Woyooo msemaji wa konde Gang Safi sana

  • @safiasuleiman3119
    @safiasuleiman3119 4 роки тому +7

    Usimherereze Kama unamlipia ada . Dah ! Mimi namwita kumbuka og.

  • @rehemakawambwa9914
    @rehemakawambwa9914 4 роки тому +25

    Ahahahahaha kwer kumbuka umenifuraisha Sana mtoto wa kasimu majaliwa pambeeeeeee2 udg we2

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 роки тому

    Kumbe dr kumbuka wewe wa nyumbani bless your heart my brother

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 4 роки тому +5

    Masha love kumbe alizaa na kumbuka🤸🤸

    • @nasramohammed6716
      @nasramohammed6716 3 роки тому

      Chizi kazaa na chizi sijui mtoto atakuwaje mungu nisaidie,haha

  • @zahraothman8578
    @zahraothman8578 4 роки тому +6

    Jaman me nampenda kumbuka kwa michambo jaman

  • @yhasintakalenyula970
    @yhasintakalenyula970 4 роки тому +17

    Niache,nimeanza kuumwa jino ghafla.

  • @hadijamkilila2048
    @hadijamkilila2048 4 роки тому +27

    Mimi kwa kweli waniachaga hoi 😂😂 usinieleleze km umenilipia ada

  • @bettybetty3518
    @bettybetty3518 3 роки тому +9

    Mbea kakutana na mbea mwenzake duuhh! 🤓😂

  • @jaquelinevictorv9690
    @jaquelinevictorv9690 4 роки тому +65

    Kaka anachamba huyuu, anatuzidi mpaka sisi wadada

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 роки тому +1

    Hahahahahahaaaa umenifurahsha sana dkt kumbuka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣💪💪💪👍👍👍😘

  • @aminahamis9343
    @aminahamis9343 4 роки тому +8

    Mashangingi wa staafu eeeeeeuweeee komesha doctor kumbuka funika funua.

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 4 роки тому +21

    🤣🤣🤣🤣huyu mtangazaj nimempenda tu

  • @queensmapete2299
    @queensmapete2299 3 роки тому

    Kumbuka unajiamini Sana nakupenda kwa kuchamba kwako kumbe Kaka yangu mruguru mwenzangu nitakutafuta kwenye shuhuli yangu uje unichambie watu maana rafiki yangu kamleta mc mpame mwingine kamleta afizi halawii mmi ssa nakuleta wwe nataka kufunga mtaa maana sio kwa uchambaji huo unanifurahisha sana

  • @fatmayussuf4065
    @fatmayussuf4065 4 роки тому +4

    🤣 🤣 Kumbuka majaliwa big up broooooooo mtoto w kishua

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 4 роки тому +2

    Mbavuzangu mie😂😂😂kumbuka kani achahoyi😁😂🖤💞💚

  • @feymtenu5266
    @feymtenu5266 4 роки тому

    Doctor k love more😘🤩

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 4 роки тому +8

    😁😁😁 jamani huyu kumbuka jamani naishia kucheka tu

  • @josephkanyilizu5941
    @josephkanyilizu5941 4 роки тому +8

    Umenifurahishaaaa Daah!!

  • @naimaabdul142
    @naimaabdul142 3 роки тому

    Mtangaji kaenda shule au...hajui kaziiii

  • @rosestephano7657
    @rosestephano7657 2 роки тому

    Nakupenda bure mungu akuweke

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 4 роки тому +24

    Nampenda huyu kaka maneno yake 😂😂😂🇹🇿

  • @joymsupagladysijeya8384
    @joymsupagladysijeya8384 4 роки тому +5

    Masha love ni mke wangu 😍😍😍😍🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @monicaalute158
    @monicaalute158 4 роки тому +2

    Umh! Jasho la pera khaàaaa kumbuka nakugawa

  • @majumajulius3915
    @majumajulius3915 4 роки тому +1

    Team kumbuka mpoo maana nacheka mpaka machozi

  • @immeimme2364
    @immeimme2364 4 роки тому +2

    I love this man ❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @neymashmweleke9708
    @neymashmweleke9708 4 роки тому +4

    Uweeeeeeeeeeeh aduduuuuuuuu adadaaaaaaaaah khaaaaa😂

    • @vaalashaa2427
      @vaalashaa2427 4 роки тому

      Mungu nipe jicho la tatu niongeze ufahamu..😂😂😂

  • @salmasaid2401
    @salmasaid2401 3 роки тому

    Nakupenda kumbuka

  • @belitadaudi8150
    @belitadaudi8150 4 роки тому +3

    Huwa nacheka before ku watch 😂😂😂😂😂😂

  • @hildamkucha2593
    @hildamkucha2593 3 роки тому +1

    Kumbuka jamani kiboko ananivunja mbavu mimi khaaaa

  • @aishahassani3921
    @aishahassani3921 3 роки тому

    Me piya DK kumbuka nakupendaaa kz zako

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 роки тому

    Safi kabisa Kumbuka Majaliwa.

  • @georgejuma6782
    @georgejuma6782 4 роки тому

    Yoyooo yaaaaa

  • @gracynjeri2046
    @gracynjeri2046 4 роки тому +2

    Wueh..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbuka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣you’ve made my day 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽😎😂

  • @wemamgala2366
    @wemamgala2366 4 роки тому +1

    Oyooyo.apo saw

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 роки тому +6

    Nimeangalia hadi nimemaliza nacheka yu jmn...umenikoxha Shishi na Gigy money wanajielewa niwapambanaji

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 3 роки тому

    Unelipia Ada😂😂😂😂👍👍💓🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nurathseif3751
    @nurathseif3751 4 роки тому +8

    😅😅Usinieleleze km umenilipia ada

  • @mercysarange45
    @mercysarange45 4 роки тому +4

    Amekuta na vampire 🔥🔥🔥

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому

    Penda sana kumbuka❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂🤝

  • @happymsemwa9410
    @happymsemwa9410 4 роки тому

    Jamani kumbuka mmmh

  • @queensmapete2299
    @queensmapete2299 3 роки тому +2

    Gonga like Kama umeona baba levo chawa

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 4 роки тому +1

    Mashangingi mastaafu

  • @ElinaErasto17
    @ElinaErasto17 4 роки тому

    Seriously who don’t like this guy 😂🤣😂🤣🤣 the funniest niqqa 😂🥰♥️

  • @frankivan8736
    @frankivan8736 3 роки тому

    duuuh kumbuk good good

  • @lutifiaussi3728
    @lutifiaussi3728 4 роки тому

    Nakupenda kumbuka unajielewa

  • @AshuraSalum
    @AshuraSalum 3 роки тому

    Nakupenda bure kumbuka

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 3 роки тому +2

    Kumbuka juma lokole hataliii
    Wenye mjiii waooo

  • @starshinetz
    @starshinetz 4 роки тому +1

    Kumbuka is so funny

  • @oliverwema8646
    @oliverwema8646 4 роки тому +2

    We mutangazadji unagombanish muno hhhhhhhh unaongeya ongeaa (Irene voice)

  • @zainisharashid3270
    @zainisharashid3270 3 роки тому

    Hatareee

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 3 роки тому +2

    Awa ndio watu wa kuwahoji sasa sio interview imepoa kama maisha ya watanzania😊

  • @sakinahussein6656
    @sakinahussein6656 4 роки тому +2

    😀😀😀😀😀jmn kumbuka mbavu zangu

  • @justinamichael5934
    @justinamichael5934 3 роки тому

    Aki ya mungu nimecheka sana

  • @janembawala6009
    @janembawala6009 4 роки тому

    Dah

  • @stellamwakatulile3202
    @stellamwakatulile3202 3 роки тому

    Jino

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 роки тому

    Hatarii

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +6

    Huyu aki😂😂😂😂..mtangazaji Naye ana kiherehere hatulii🤣🤣🤣

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 4 роки тому

    Kumbuka ww yani acha tu wanifurahisha sana

  • @joharihamadi7681
    @joharihamadi7681 3 роки тому

    Sawa

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 4 роки тому +14

    Lol 😹😹mmejua kunifurahisha halooo 👌👌

  • @vivimndeme384
    @vivimndeme384 3 роки тому +3

    Mi nampenda sn ongea yake daaaa😂😂

  • @irenembilinyi4628
    @irenembilinyi4628 4 роки тому +1

    Niyeye kumbuka, nakupenda miaka 1000

  • @user-jz8sj5us1h
    @user-jz8sj5us1h 4 роки тому

    Kumbuka no 1 tz😀😀

  • @ayshaayshaabdulrahman6143
    @ayshaayshaabdulrahman6143 4 роки тому

    Uyu kaka uwa yuwanipunga Sana maneno yake

  • @radhiaoman2454
    @radhiaoman2454 4 роки тому +1

    Kuna maneno kumi wa mambo na vijambo na kuna kumbuka maneno mengi Tanzania moja

  • @estheronyoro1452
    @estheronyoro1452 3 роки тому

    Jmn uyu kaka nampenda bure kwakuchamba na kugoa pia

  • @aishaabubakari183
    @aishaabubakari183 4 роки тому +98

    😂😂😂😂😂timu kumbuka tupo 😂😂😂

  • @ballycox1852
    @ballycox1852 3 роки тому

    😀😀😀andudu andada😀😀kumbuka nakupenda bure

  • @belitadaudi8150
    @belitadaudi8150 4 роки тому +2

    Unafunga kilemba chako vizuri 😂😂😂😂😂

  • @deborahrichard5201
    @deborahrichard5201 3 роки тому

    😂😂😂😂nimecheka ila kumbuka much love

  • @aishajeffah7360
    @aishajeffah7360 4 роки тому +18

    Alafu mtangazaji wewe wastaili michambo ya kumbuka 😂😂😂yani mbea hatari hahaha pole yako

  • @zuwenaabdallah3026
    @zuwenaabdallah3026 4 роки тому +1

    😂😂😂huyu balaa Nimezipenda bulee

  • @husnakinderu7421
    @husnakinderu7421 3 роки тому

    Nakupenda bure unanipaga raha sana 😂😂😂😂 kumbuka

  • @honestvictory7596
    @honestvictory7596 4 роки тому +4

    mi naangalia tuh😂😂 sielew

  • @kautharsalat6449
    @kautharsalat6449 4 роки тому +2

    Dk kumbuka siku hizi sikusiki radio jaman nimemiss kipindi chako cha taraabu

  • @johnmwadime4590
    @johnmwadime4590 4 роки тому +2

    😀😀😀😀😀🙌

  • @pipijota1056
    @pipijota1056 4 роки тому +2

    Hahah mola nipe jicho LA tatu linijaze ufahamu daàh kumbukaaaaaa

  • @rizikiabdalla3308
    @rizikiabdalla3308 4 роки тому +2

    Yani nikiwa na stress huwa nazitafuta mahojiano ya huyu kaka 😆😆😆😆😆

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 роки тому +4

    Mashagingi mastaafu😂😂😂yani huyu kaka

  • @mwanaidjuma804
    @mwanaidjuma804 4 роки тому

    Nimecheka jaman

  • @abdulqareemabdallah2579
    @abdulqareemabdallah2579 2 роки тому

    Unajua nn kumbuka unavimikwara flan Yantu muoga hakuhojo penda sanaa wamichambo live

  • @zaitunihassani2456
    @zaitunihassani2456 3 роки тому

    kaka kumbuka acha kujichubua unajiharabu

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 роки тому

    Muandishi usiharibu hali ya hewa😂😂😂😂😂😂😂 punguza tuwi uzidishe mchele#Dr kumbuka oyeeee