Sakata la wanafunzi wa sheria kufeli Law School latua bungeni, sababu zaanikwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @ibrahmuhochi6788
    @ibrahmuhochi6788 7 місяців тому

    Huyu mbunge inafaa aendelee kufanya research zaidi. Yuko juujuu sana, haijui law school wala kinacho fanyika law school.

  • @ElizabethMlingi-zd7li
    @ElizabethMlingi-zd7li 7 місяців тому

    Mbunge makini sana huyu👍

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 7 місяців тому

    Kwani shule ya sheria si unajilipia? We umefanya utafiti ukajua chuo gani wanafunzi wake wanatoboa? Kuchuja watu ni kuwabagua, waache wakapambane. Shida ya Elimu inaanzia chini, Ndalichako alipokuwa anadhibiti vilaza kuingia masomo ya juu mkamuundia zengwee ili mfurahishe wapiga kura wenu, Pambaneni...

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 7 місяців тому

    Ongezeni entrance requirement za kutoka pale high school kupunguza vilaza ,haiwezekani mtoto ana div3 yuko anasoma sheria it's typical unjustice na there is no way anaweza akatoboa law school coz hiyo board iko serious.

    • @ibrahmuhochi6788
      @ibrahmuhochi6788 7 місяців тому

      Fatilia Kwa undani. Kuna mtu high school alipata div one, undergraduate degree ana upper class lakini law school anakamatwa. Epuka kutoa opinion kwenye kitu ambacho hauko detailed.

    • @drisakamwakitalima1937
      @drisakamwakitalima1937 7 місяців тому

      It's one of the reason brother !! take it from me ..

    • @kelvinbernard7120
      @kelvinbernard7120 7 місяців тому

      @@drisakamwakitalima1937 mm naikataa mana pale kuna watu wana division one zao na upper class ila wakifika law school wanafeli tena unaeza kuta mtu anasoma law school anajua sheria vizuri ila mitihani kafeli

    • @kelvinbernard7120
      @kelvinbernard7120 7 місяців тому

      ⁠@@drisakamwakitalima1937its like unasema wanao wafulu kama ni 20 kati ya 700 hao 20 ndo wanao jua sheria ko wengine 700 hawajui mmh system ya law school itakuwa na shida tu