Anayeshiba haoni mwenye njaa, Mungu akubariki MBUNGE Essanta bulaya, mtetezi wa haki. Tena umesema mtumishi wa serikali, kamshahara hakatoshi kujenga akiwa kazini labda awe mwizi wapi wapi, na muda huenda fasta na huku ana majukumu ya kuzaa na kulea kusomesha wazazi nao wake na ndugus wengine jamiini. Mtumishi ni mchovu sana. Anachechemea akianza safari ya maishanyake upyaaaa.
Mungu akubariki sana Bulaya wewe tu ndo unaona huruma kwa watanzania waliotumikia taifa hili. Tunaomba sheria hii ibadirike waliokwisha kupunjwa walipwe hela yao
Ninakuombea kwa Mungu Bulaya msema Ukweli,Utakipwa na Allah,kikokotoo ni JANGA kwa wastaafu,SS tukiotoka na kikokotoo tupewe Pesa yetu kama wake wa awali,uonevu huu si mzuri,Tumefanya kazi jaw usminifu na ktkt mazingira magum sn,Tupewe pesa zetu
vizuri na serikali ianzishe soba house ili baadhi ya vijana waweze kusaidiwa kutibiwa.Lakini pia wastaafu wote wawekewe kiwango kizuri za fedha ili waweze kumudu kuendesha maisha yao ya baaadae ya uzeeni.Lakini pia kwa kila mstaafu anaemaliza muda wake asaidiwe nyumba ya kuishi ili apunguziwe harama za kutafuta pa kukaa.Kazi iendelee.
Sanaaaa na sisi wajane tunapata tabu sanaaaa kulipwa pesa tabu unakwensa Hazina kila siku mpaka tunaishiwa nauli jamani tuoneeni huruma tumeuguza waume karibuni miaka 15 unakuwa huna kitu kabiaa
Yaan hii nchi Nyonyaji na kandamizi sana. Baba yangu katumikia Upolisi miaka 32 ya utumishi mwaka jana kastaafu kaambulia Milion 12😢😢😢😢. For the first time naona Baba yangu analia ni ile siku. Na hapo ndo alikuwa kapambana anakinyumba chake. Karudi kwenye shida na dhiki za kutupa. Hii nchi ipo siku tu patakuja kuchimbika hapa nawaambieni
@@denisrukangula2227 ogopa sana kumuona Baba analia kwa uchungu imagine yamemzidi mangapi moyoni mwake? Ndo maana wanaume tunakufa mapema sana. Hii nchi inasera nyonyaji na kandamizi sana ktk mfumo wake wa utawala. Yaan nnamaumivu sana ndugu ila fresh tu Ipo siku yan naamini kipo kizazi kitakuja hakitakubaliana na huu upuuzi na watapindua shilingi na watawala hawataamini
*Esther Bulaya* kama anasema anatutetea sisi raia wa kawaida ambao pensheni zetu tunazichangia ili tuweze ku-Qualify malipo ya uzeeni, ajitokeze kutetea watu wote tuwe na mfumo mmoja wa Hifadhi ya Jamii *(Universal Social Security Scheme)* Yaani ama wote ( including wanasiasa na majeshi yote) tuwe tunachangia Pension zetu za uzeeni tuingizwe kwenye *Contributory Pension scheme* au Wote tuingizwe kwenye mfumo wa kutochangia pensheni *Non Contributory Pension Scheme* ili mfanyakazi, mkulima, mfanyabiashara, n.k akitimiza miaka 60 tu anaenda ofisi za HAZINA kulipwa Mafao ya uzeeni.
Ndio Maana Nilikataa Kuajiriwa Ndani Ya Nchi Yangu Ni Bora Nikawe Mtumwa ULAYA na AMERICA nikirud Nyumban Niweze Kufanya Cha Maana Na Sio Kutegemea Mshahara Na Pension Ya Serikal
Serikali tuoneeni huruma hizo hela za wastaafi jinsi wanavyolalamika, jinsi wanavyoumia hata zikitumika Kwa ajili ya maendeleo hiyo miradi haitakuwa na baraka wazee ni tunu ya Taifa wazee ndiyo WA kuliombea Taifa hili wazee Siyo WA kunyanyasa tunaiomba serikali ituonee huruma kwani tumeikosea nini serikali yetu jamani tunaumia kweli, tunateseka ,tunachanganikiwa kabisa milango yetu yote ya baada ya kustaafu imezimika utaanzia wapi tena maisha jamani serikali tuoneeni huruma mwanangu Ester Bulaya endless kutetea na Mungu WA mbinguni akubariki
Yaani police nao eti wakistaafu wanawatafuta wapinzani ili wawasaidie? Interesting, so wakiwa nje ya ajira ndio wanajua ccm hawana msaada kwao? Strange
Aisee inasikitisha sana umeongei vitu vya msingi sn ila nauliza swali kwanii wapate hasara mfano km wamewek eza pesa kuzalizha sukari na sukari ni bidhaa adimu inakuwaje wapate hasara? Au upigaji mwing
Ningependekeza kama hichi kikokotoo kimeleta shida kwa wastaafu basi wafanyakazi wapewe option mfanyakaz akubali au akatae kwa hiari yake kukatwa fedha zake wakat akiwa kazini.
Bado tena wanatangaza kutukopesha hela hizohizo wapate riba jamani serikali irudi mfumo wa 50% pia wastaafu miaka 12.5 ya kuishi kisaikolojia hawako vizuri walitangazia dunia
Utawala wa kikwete ndio ulikuwa unakopa sana kwenye mifuko wakajenga sana wakishirikiana na Ramadhani Dau matokeo yake mifuko ikafilisika ikabaki hoi walimaliza pesa ya wastaafu wamekaa kimya magufuli na samia ndio wanapata taabu halafu kuna mtu anajisifia
Napendekeza mafao ya wabunge na mawaziri na viongozi wote waliochaguliwa Kwa Kura za wananchi na wateule wote, nao waingizwe ktk mifuko ya hifadhi za watumishi. Nao pia walipwe mafao Yao Kwa kutumia kanuni hyohyo ya kikokotoo. Maana haingii akilini, kanuni zinatungwa na wabunge na mawaziri afu wao kanuni hizo haziwahusu.
Ndio tatizo la bunge hili mtu akiongea point mara taarifa mara kengele ya pili mda wako umeisha ivi ninyi munaoongozwa na wabunge wa haina hii wanakuja majimboni kwenu alafu munawafulaia tu
bulaya akili nyingi sana haiwezekani pesa yake halafu apangiwe matumizi serikali itaendeleza umasikini kwa wasitaafu mwisho wa siku wafe halafu usumbufu uanze Kwa familia mwisho wa siku kudhurumiana
Kuna haja ya wabunge kuwa hata na Shahada moja tu. Huyu Bulaya anaongea pumba haijawahi kutokea. Hata namba anazotaja ni uongo mtupu na zina mapungufu. Elimu Elimu Elimu 😢
Kwa hyo kikokotoaa inamanufaa kwa wafanyakaz?? Hivi wew umeajiriwa au ndo wazee wa ten percent hujui shida wala magonjwa uku kiunua mgong shida mara bima ya afya majang afu bumunda wew unaona ester hana hoja
Anayeshiba haoni mwenye njaa, Mungu akubariki MBUNGE Essanta bulaya, mtetezi wa haki. Tena umesema mtumishi wa serikali, kamshahara hakatoshi kujenga akiwa kazini labda awe mwizi wapi wapi, na muda huenda fasta na huku ana majukumu ya kuzaa na kulea kusomesha wazazi nao wake na ndugus wengine jamiini. Mtumishi ni mchovu sana. Anachechemea akianza safari ya maishanyake upyaaaa.
Asante dada tunaumia na muda unapita bila mafanikio.
Nakukubali Sana msubhati MUNGU akulinde dada yangu ni kweli hakuna mtumishi anafurahia kikokotoo
Wewe dada mungu akuweke
Mungu akubariki sana Bulaya wewe tu ndo unaona huruma kwa watanzania waliotumikia taifa hili.
Tunaomba sheria hii ibadirike waliokwisha kupunjwa walipwe hela yao
Dada mungu akulinde mana wengi hawakupend kwa kutetea kikotoo
Hongera Sana mbunge uko vizuri kikokotoo kinaumiza.
Hongera sana dada tunaomba tutetee watumishi kuhusu kko2too
Watu wankufa jamani kuweni na huruma.Watu wankufa kwa Nini mnafanya hivyo.Ahsante Esther Bulaya Mungu akubariki.
Uko sahihi sana mbunge watumishi wanaumiaaaaa serkali nani kawafumba macho...toeni hela yoteeee
Mungu akubsriki sanaa Esta kwa kutetea kuhusu kikokotoo hakika ni uonezi wa hali ya juu
Ubarikiwe Bulaya ndiyo mungu amekuumba
Esta anatetelea sana wafanyakazi sema hana support
Wel done sister bulaya
Uko vzr Ester unatimiza wajibu wako kama mbuge MungMungu akubarik❤❤❤❤
Nakukubali sana tupo tunateseka
Ninakuombea kwa Mungu Bulaya msema Ukweli,Utakipwa na Allah,kikokotoo ni JANGA kwa wastaafu,SS tukiotoka na kikokotoo tupewe Pesa yetu kama wake wa awali,uonevu huu si mzuri,Tumefanya kazi jaw usminifu na ktkt mazingira magum sn,Tupewe pesa zetu
Mbunge wangu
Namna ya upigaji
Ur amazing my sister❤❤Pokea maua yako mamiii
Defense minister ahana points yoyote yeye ni mtikisa kichwa kwa comments za wenzie tu bungeni....
Aksante Sana mh.Bulaya, Kikokotoo ni janga,tumechanganyikiwa, wastaafu wanapata fedha kidogo saaana.Tutetee
Esta,mungu akusimamie umetupigania.
Mungu akulinde uendelee kututetea
Ubarikiwe mheshimiwa Ester
Sema kuhusu kikokotoo, yaan jenister Mungu anakuona na mwenzako Meco.
JenistaMungu Baba Anakuona vizuri.
We dada Mungu akuweke mweeee Ester Bulaya daaa
Bulaya ubarikiwe sana, kwa kweli hali ni tete
Hakika wapewe mafao Yao yote
Asante bulaya
Safi sana mbunge, Mh mhagama yupo hapo? Umeyasikia?
Hongera kikokotoo ni shida sana
vizuri na serikali ianzishe soba house ili baadhi ya vijana waweze kusaidiwa kutibiwa.Lakini pia wastaafu wote wawekewe kiwango kizuri za fedha ili waweze kumudu kuendesha maisha yao ya baaadae ya uzeeni.Lakini pia kwa kila mstaafu anaemaliza muda wake asaidiwe nyumba ya kuishi ili apunguziwe harama za kutafuta pa kukaa.Kazi iendelee.
Wanastaafu kila baada ya miaka mitano, mamilioni yao yooote wanachukua .😢pesa zetu😭😭
Sanaaaa na sisi wajane tunapata tabu sanaaaa kulipwa pesa tabu unakwensa Hazina kila siku mpaka tunaishiwa nauli jamani tuoneeni huruma tumeuguza waume karibuni miaka 15 unakuwa huna kitu kabiaa
Yaan hii nchi Nyonyaji na kandamizi sana. Baba yangu katumikia Upolisi miaka 32 ya utumishi mwaka jana kastaafu kaambulia Milion 12😢😢😢😢. For the first time naona Baba yangu analia ni ile siku. Na hapo ndo alikuwa kapambana anakinyumba chake. Karudi kwenye shida na dhiki za kutupa. Hii nchi ipo siku tu patakuja kuchimbika hapa nawaambieni
Pole sana sms Yako umeniumiza
@@denisrukangula2227 ogopa sana kumuona Baba analia kwa uchungu imagine yamemzidi mangapi moyoni mwake? Ndo maana wanaume tunakufa mapema sana. Hii nchi inasera nyonyaji na kandamizi sana ktk mfumo wake wa utawala. Yaan nnamaumivu sana ndugu ila fresh tu Ipo siku yan naamini kipo kizazi kitakuja hakitakubaliana na huu upuuzi na watapindua shilingi na watawala hawataamini
Zile za rushwa hajasevu hata kidogo 😢
@@denisrukangula2227mwenyewe imeniumiza sana basi tu 😢
Serikalini kuiba tu hamna jingine
*Esther Bulaya* kama anasema anatutetea sisi raia wa kawaida ambao pensheni zetu tunazichangia ili tuweze ku-Qualify malipo ya uzeeni, ajitokeze kutetea watu wote tuwe na mfumo mmoja wa Hifadhi ya Jamii *(Universal Social Security Scheme)*
Yaani ama wote ( including wanasiasa na majeshi yote) tuwe tunachangia Pension zetu za uzeeni tuingizwe kwenye *Contributory Pension scheme* au
Wote tuingizwe kwenye mfumo wa kutochangia pensheni *Non Contributory Pension Scheme* ili mfanyakazi, mkulima, mfanyabiashara, n.k akitimiza miaka 60 tu anaenda ofisi za HAZINA kulipwa Mafao ya uzeeni.
Ee Mungu watetee watumushi wa Uma hakika katika maskkini wa mwisho watumishi wa umma ni maskini kwelikweli
Kweli Mungu anawaona
Mawaziri wengi wa BBM ni mawaziri hewa na bubu, mmoja wao defense minister bubu mhudhuriaji tu kutizama
Yasiishie humu Bungeni tu.tumezoea kusikia bila vitendo
nimelia sana jinsi kikokotoo kinavyoua watu.
Ndio Maana Nilikataa Kuajiriwa Ndani Ya Nchi Yangu Ni Bora Nikawe Mtumwa ULAYA na AMERICA nikirud Nyumban Niweze Kufanya Cha Maana Na Sio Kutegemea Mshahara Na Pension Ya Serikal
Serikali tuoneeni huruma hizo hela za wastaafi jinsi wanavyolalamika, jinsi wanavyoumia hata zikitumika Kwa ajili ya maendeleo hiyo miradi haitakuwa na baraka wazee ni tunu ya Taifa wazee ndiyo WA kuliombea Taifa hili wazee Siyo WA kunyanyasa tunaiomba serikali ituonee huruma kwani tumeikosea nini serikali yetu jamani tunaumia kweli, tunateseka ,tunachanganikiwa kabisa milango yetu yote ya baada ya kustaafu imezimika utaanzia wapi tena maisha jamani serikali tuoneeni huruma mwanangu Ester Bulaya endless kutetea na Mungu WA mbinguni akubariki
Mama tukuombee sana watumishi urudi
We we ndio mbunge ,ila wengine wapowapo tu,serikali iondoe kikokotoo hicho maana naona wastaafu wanahangaika sana,wanashindwa kujenga nyumba nzr
TunUmia kiongozi wangu .
Nakukubali sana
Mimi sijajua lengo la serikali ni nini kuhusu.Je Ina lengo la kupunguza life expectation za wananchi.
Nakuombea kwa mungu,uendelee kuwa mbunge tena,uwasemee wanyonge
1:20
Turekita yakurima
Inakera sana watu wanaenjoy tuu,sie tunateseka tuuu....pesa nifanyie kazi mie halafu napangiwa matumizi.mshahara mdogo sana,kikotoo kidogo sana tena
Yaani police nao eti wakistaafu wanawatafuta wapinzani ili wawasaidie? Interesting, so wakiwa nje ya ajira ndio wanajua ccm hawana msaada kwao? Strange
wengi wao waliopo bungeni wanajali matumbo Yao na sio Hawa wapiga kula wao wasitaafu jamani wanamaisha mabaya mtaani😢😢
Aisee inasikitisha sana umeongei vitu vya msingi sn ila nauliza swali kwanii wapate hasara mfano km wamewek eza pesa kuzalizha sukari na sukari ni bidhaa adimu inakuwaje wapate hasara? Au upigaji mwing
Ningependekeza kama hichi kikokotoo kimeleta shida kwa wastaafu basi wafanyakazi wapewe option mfanyakaz akubali au akatae kwa hiari yake kukatwa fedha zake wakat akiwa kazini.
Bado tena wanatangaza kutukopesha hela hizohizo wapate riba jamani serikali irudi mfumo wa 50% pia wastaafu miaka 12.5 ya kuishi kisaikolojia hawako vizuri walitangazia dunia
Eee Mungu ni wewe peke Yako unayeweza kutuokoa kwenye hili.Not otherwise.
Kwa kweli kikokotoo kinaumiza sana. Watumishi wanakufa kwa stress.
Uyu anaejibu ndio zake sijawahi kuona anatetea Wananchi si tulazimishwe
Wana lengo la kuua wastaafu mapeeeema kwa stree,presha na sukari
Jenister hakuna baya unaliona serikalini kila kitu kwako ni Safi tu
Eti ! Huwa Yuko hivyooo
Hana Shida, yeye na familia yake wakovizuri
Utawala wa kikwete ndio ulikuwa unakopa sana kwenye mifuko wakajenga sana wakishirikiana na Ramadhani Dau matokeo yake mifuko ikafilisika ikabaki hoi walimaliza pesa ya wastaafu wamekaa kimya magufuli na samia ndio wanapata taabu halafu kuna mtu anajisifia
Serikali sina imani nayo kabisa huu ni wizi na MUNGU anawaona hii nchi ni shida
😢😢😢😢😢 inaumiza mnoooo yaani mweee
Kweli dada yangu kikokotoo kinatutesa
Yaani MUNGU AWAONYESHE ILIYO KWELI WATUMISHI TUNAKOSA AMANI JAMANI
We are crying we tanzanian
Mtu at least akistaafu Aishi miaka 20 Lakini Sasa hivi Hali ni mbaya.
Miladi acha tabia ya kukata maneno.ndio maana hatusascribe
Napendekeza mafao ya wabunge na mawaziri na viongozi wote waliochaguliwa Kwa Kura za wananchi na wateule wote, nao waingizwe ktk mifuko ya hifadhi za watumishi. Nao pia walipwe mafao Yao Kwa kutumia kanuni hyohyo ya kikokotoo.
Maana haingii akilini, kanuni zinatungwa na wabunge na mawaziri afu wao kanuni hizo haziwahusu.
Wew ni aina ya wabunge tunaowahitaji Tanzania. Kikotoo kinawaua wastaafu mapema. Kiangaliwe upya
Mbona mnakata sauti vipengele muhimu
Rip JPM, ngoja 2025
Nanyie wabunge pokeeni hizo asilimia 33 tuone kama siyo mabinfsi.
CCM achieni madaraka yaani amna lenu kwetu...
Ndio tatizo la bunge hili mtu akiongea point mara taarifa mara kengele ya pili mda wako umeisha ivi ninyi munaoongozwa na wabunge wa haina hii wanakuja majimboni kwenu alafu munawafulaia tu
Huo ni ukweli mubugewetu wa muchogo
CCM oyeeeee kidumu chama cha mapinduzi
BULAYA AKILI KUBWAAA
wakipewa zote watalewea acha wapewe bukubuku 😂😂😂
bulaya akili nyingi sana haiwezekani pesa yake halafu apangiwe matumizi serikali itaendeleza umasikini kwa wasitaafu mwisho wa siku wafe halafu usumbufu uanze Kwa familia mwisho wa siku kudhurumiana
Unatumika broo ndo nn sasa kukatisha sauti ya muheshimiwa
Sober house zipo za serikali. ? Na kama zipo zinahudumiwa? Serikali nzuri ni ile inayojali hata hata hao waghaibu sababu ni nyingi. ASANTE
Taarifa za nini unaharibu sana.....acha aongee bwana
Hivi hichi kikokotoo kwa watumishi wote au
Viongozi wetu hawapendagi kufikiria nje ya box. Wanapendaga ready made..Hatuna mtetexi sisi wafanyakazi.wenye visenti ndo tunaonewa, wanaolipwa mishahara ya mamilioni hawanyanyasiki
Jenister Hana lolote yupo yupo tu ,
Mbunge chawa kuliko wengine wote na amekuwa wa muda mrefu
Alaf hana hoja za msing yeye kaz kufagilia tu ata km mtu kaongea ukwel anapinga
Hawa 19 si walisimamishwa?kumbe wapo
Hii ni chama kufa CCM, serekali leo ina teua kesho ina pangua, chama iliojaa mawaziri Bubu ambao awaongeagi...
Mwlimu msutafu kazikw jna kisa kikokotoooo
Inaumiza sana. Wengi wameathirika na hili jambo. Tunaogopa kustaafu kisa KIKOKOTOO
Wabunge wa ccm sijui wamerogwa
😮
Kuna haja ya wabunge kuwa hata na Shahada moja tu. Huyu Bulaya anaongea pumba haijawahi kutokea. Hata namba anazotaja ni uongo mtupu na zina mapungufu. Elimu Elimu Elimu 😢
Kwa hyo kikokotoaa inamanufaa kwa wafanyakaz?? Hivi wew umeajiriwa au ndo wazee wa ten percent hujui shida wala magonjwa uku kiunua mgong shida mara bima ya afya majang afu bumunda wew unaona ester hana hoja
Kikokotoo toeni mani
Wabunge nao walipwe kwa mfumo wa kikototoo...ndipo watabaini machungu yake...kwa kweli kwa mfumo huu serikali imeonea wastaafu
KWANN MNATUPANGIA WAFANYAKAZI KWA HELA ZETU?HUU NI UPUUZI
Viongozi hawana habari na watanzania serikali isiyowajibika
BULAYA UNA KITI CHAKO MBINGUNI. TUKIJA TUTAKUONGEZEA SOFA.
7:04
Pawatura yakurimia