Hilo ni kanisa lako babu yangu nikupendae sana lakini kikubwa wakamwone Mungu baada ya hapo kwani siku ya mwisho tutatoa hesabu. Hakuna mtu anamilki watu wote ni mali ya Bwana Yesu
Wachungaji maaskofu Mimi sijui chochote naomba niwaulize mnataka watu waende mbinguni ama mnataka muishi maisha mazuri naona upendo mnatangaza umeisha sasa hv hatujui mpagani nani mlokole nan mchungaji nan Yani sijui tufanyeje tu jamani
Kanisa Katoliki la mitume, lipo zaidi ya miaka 2000 halina migogoro ya kuwatenganisha na kuwavurumisha watu, kuliko kulumbana mitandaoni wanakuaga uondoke!
Bwana Yesu Atukuzwe, Mtumishi Mungu Akubariki na Kristo Yesu Aibariki EAGT na pia nafsi ambazo zipo EAGT daima
Kama hamjatofautiana imani ni masuala ya uongozi mmoja si ajishushe tu so vyema kugawa kondoo wa Mungu jinsi muonavo nyie
Mungu atuaaidie sana,Mzee wangu Mwaisabila,Askofu Mwakipesile amekukosea Nini?Tumuombe Mungu tumalize vizuri safari ya wokovu na utumishi
Hilo ni kanisa lako babu yangu nikupendae sana lakini kikubwa wakamwone Mungu baada ya hapo kwani siku ya mwisho tutatoa hesabu. Hakuna mtu anamilki watu wote ni mali ya Bwana Yesu
Wachungaji maaskofu Mimi sijui chochote naomba niwaulize mnataka watu waende mbinguni ama mnataka muishi maisha mazuri naona upendo mnatangaza umeisha sasa hv hatujui mpagani nani mlokole nan mchungaji nan Yani sijui tufanyeje tu jamani
Mzee Umezeeka Waachie vijana waendeleee ,Uwe mshauri tu
Unaweza ukawa askofu mkuu na Bado ukaacha migogoro baada ya kitambo tu
Kanisa Katoliki la mitume, lipo zaidi ya miaka 2000 halina migogoro ya kuwatenganisha na kuwavurumisha watu, kuliko kulumbana mitandaoni wanakuaga uondoke!
Makanisa ya watu hayo.
Liko wapi Lile laYesu???!.
Nikiwaambia watu mimi niko katika KANISA LA KRISTO wananiuliza kwani hayo mengine ni ya nani? Nafikiri tumepata majibu kwa kiasi.
Haleluya,hivi hili kanisa nila mtu!
.lakini baba katiba ya zehebu letu siumewai kuisoma
Shetani yuko Makanisani anapepeta
Njia ya mbinguni kweli ni nyembamba