Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MWASITI EPISODE 01:STARING MKOJANI/TIN WHITE & NAGWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 сер 2024
  • #mwasiti#comedy#muvie
    ~-~~-~~~-~~-~
    Please watch: "(3) 5 MARKETING HACKS THAT INCREASE YOUR SALES and MAKE YOU MORE MONEY "
    • 5 MARKETING HACKS THAT...
    ~-~~-~~~-~~-~

КОМЕНТАРІ • 220

  • @lelojohn8988
    @lelojohn8988 4 роки тому +7

    Jamn m nauliza swali Ringo mbn haonekani jamn Kama kuna mtu ananiunga mkono gonga like hapa

  • @shadrachrukundo3932
    @shadrachrukundo3932 4 роки тому +20

    Mkojani nakufuatilia sana kila movie unayopost utanikuta......so big up....we ni fire

  • @omariamiri5556
    @omariamiri5556 4 роки тому +13

    Kwasasa tiny mkojan na ngoma nagwa mnafunika mpo vzr

  • @faziraamissechafim5247
    @faziraamissechafim5247 4 роки тому +1

    Awa jamaa nawakubali sana hadi naisi Niko Tanzania ingawa sijawai kufika

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 4 роки тому +7

    yaan nimefurahi sana mm ni shabik wenu namba moja tungeomba mtumalizie zote tufurah . wale wa WI.FI za bure tujuane . nawakubali sana washiriki wote

  • @kareemdelwary2139
    @kareemdelwary2139 4 роки тому +3

    tunabandika na kubandua hatukwami nakubali sana mkojan tin white

  • @bizimanasaid7678
    @bizimanasaid7678 4 роки тому +10

    Hawa jma wanajua kiukweli hawachekeshi kma kuchekesha Bali wanalenga kufundisha ndani ya komedi sio kma zamn watu walijua kujua kuchekesha n kuvaa nguo chafu kma vicha kumbe hawajui kinacho chekesha n muonekano n maneno n sio mavazi
    Big up saana bro zangu tunawafata saaana

  • @user-mm5tf7yn6p
    @user-mm5tf7yn6p 4 роки тому +5

    Nawapendaga saaaaaana❤❤❤🇧🇮

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 роки тому

    Akiwepo mkojani,ngoma nagwa,nayule anae kaa namuasiti,simjui jina keke,basi ujue ni bonge lamoves

  • @ipconfigjosephduciel9346
    @ipconfigjosephduciel9346 4 роки тому +2

    Big up vraiment les gars, surtout mkojani ta façon là de parler, par exemple: apaaaaaana, full Respect

  • @teddymtei6452
    @teddymtei6452 Рік тому +1

    metisha sana 👍

  • @abdulkarimkisukari6120
    @abdulkarimkisukari6120 4 роки тому +8

    Umefaulu Kwahy ndo umeanza kulipwa mshahara😅

  • @user-oo5br6zu2k
    @user-oo5br6zu2k 11 місяців тому

    Napenda picha zako mkojani😮😮😮

  • @mwaitajuma3842
    @mwaitajuma3842 4 роки тому +1

    😂😂😂😂 unapiga mtoto kumbe mitihaniyako

  • @angelnoble5063
    @angelnoble5063 4 роки тому +3

    Kaibia mpaka nukta😂😂😂

  • @MaryMary-df7eb
    @MaryMary-df7eb 4 роки тому +44

    Wa kwanza kuangalia na kucomenty🌹🌹❣

  • @salimalqartubi3038
    @salimalqartubi3038 4 роки тому +2

    Kitu hicho kimekuja asanteni sana kwa kazi nzuri nawapenda sana Mungu awape maisha malefu

  • @TNBOYSDANCER
    @TNBOYSDANCER 4 роки тому +12

    I love this movie ❤️💙❤️💙❤️❤️

  • @bwankakaseif5500
    @bwankakaseif5500 4 роки тому +6

    namba1

  • @humphreynduye6239
    @humphreynduye6239 4 роки тому +5

    Nisee,,,,,moviee

  • @arjunpanditi2793
    @arjunpanditi2793 3 роки тому +1

    🔥 🔥 🔥 mkojani uko vizuri broo

  • @khalidhamadi9917
    @khalidhamadi9917 4 роки тому +1

    Tin mimi nimeipenda hiyo kofia yako

  • @enockjama7801
    @enockjama7801 4 роки тому +6

    Mwendelezooooo🙏🙏

  • @chuxdanieldnl9076
    @chuxdanieldnl9076 4 роки тому

    Ulaula msamba mbelenya miaka mingi atujafilimba ulembe kama ushawai kuongea kitaa kwako toa like

  • @mkufunzimbaraka5525
    @mkufunzimbaraka5525 4 роки тому +1

    Mnao wafa tiliaga waha jamaa gonga like ambao mnaangalia ma moja moja gonga likely

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +3

    Nagwa leo umeanza kistaarabu sio mbabe kwa mkojani

  • @shommyflavour3012
    @shommyflavour3012 4 роки тому

    sijapenda kufoka foka

  • @godfreyatingi6393
    @godfreyatingi6393 4 роки тому +4

    Mkojani, Tiny, Nagwa kiboko yao....

  • @dullatope465
    @dullatope465 4 роки тому +2

    Wazee mnawapiga watoto halaf nyinyi hamjasoma

  • @azaart5177
    @azaart5177 3 роки тому

    Mko vizr sana wote

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 4 роки тому

    Nawapenda sana jamani mnatufurahisha sana sie tulokua mbali

  • @mugishalahay6050
    @mugishalahay6050 4 роки тому +1

    Mko vizuri sana

  • @countrywizzkid6129
    @countrywizzkid6129 4 роки тому +2

    Jaman tin anataka kuja na jina mpya mjiandeye kumpokeya 🤣🤣🤣 mwande boy 🤣🤣🤣

  • @iankulecho7120
    @iankulecho7120 4 роки тому +5

    Oyaa wanangu sisi 2nawakubali kinoma ebu 2pe kwa wingi

  • @amirykhan8587
    @amirykhan8587 4 роки тому +2

    Na kweli mkeo kanyata

  • @mbromeo7489
    @mbromeo7489 4 роки тому +3

    Nawakubali kinoma nagwa & mkojana

  • @shabiluwakishuatz2504
    @shabiluwakishuatz2504 4 роки тому +8

    Weeeeeeeeh nimooooooooooh

  • @sadikijuma421
    @sadikijuma421 4 роки тому +1

    Daaa Leo kaka ngoma nagwa kapoa awaonei #MNAWEZA

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 роки тому +5

    Kipupwe ww ni 😂😂😂😂

  • @white_beast1kennel_tz573
    @white_beast1kennel_tz573 4 роки тому +4

    Haahaaaa husdaaaa

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 4 роки тому +3

    Huyu mkojani huyu me ananikosha sana

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +4

    Nilikuwa nawasubir kwa hamu. Wote wakali

  • @petrolsiwelwa8444
    @petrolsiwelwa8444 4 роки тому +1

    Kazi nzuri, mkovizuri Sana

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 4 роки тому

    😂😂😂hayo mashati yenu mkojani na white sijui huwaga mnayaweka mpaka yanajikunjakunja hivyo nagwa nae huwaga hakubali kubishiwa 😂😂😂nyie watu nawakubali Sana mnanipa raha aise!

  • @nonenone4954
    @nonenone4954 4 роки тому +1

    Nakubali uwezo wenu

  • @makamefadhili4872
    @makamefadhili4872 3 роки тому

    Wapo vizur kwl

  • @ladyashy7454
    @ladyashy7454 4 роки тому +6

    Nilikuwa naisubr kwa hamu sanaaa

    • @mohdhussein9749
      @mohdhussein9749 4 роки тому +1

      Wanachekesha sanaaa 🤣🤣🤣🤣

    • @ladyashy7454
      @ladyashy7454 4 роки тому

      @@mohdhussein9749 yaan najikutaga nacheka hata km Nina mawazo at least napunguza kwa mda NAWAPENDA Sana kwa kweli

  • @anglekiface8954
    @anglekiface8954 4 роки тому

    Mbu hawez kuingia gorofaniiii #amin kwamba

  • @yusram5145
    @yusram5145 4 роки тому +6

    Woyiii tumalizie leo leo plz nakuomba 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @OSOONLINETV
      @OSOONLINETV  4 роки тому +3

      Kaa mkao wa kula leo leo tunaziweka zote

    • @ally1702
      @ally1702 4 роки тому

      @@OSOONLINETV dah yaani utaua Mzee Baba from 974 achia mizigo iyo tujifariji angalau na korona

    • @OSOONLINETV
      @OSOONLINETV  4 роки тому +2

      Leo leo tunaziweka zote part 1 to 3

    • @ramadhanahmed1141
      @ramadhanahmed1141 4 роки тому

      Tegemea views tu kakaa

  • @ggfvgg1207
    @ggfvgg1207 Рік тому

    Hahaha nihatali mm acheka

  • @sarhasarhasalum4263
    @sarhasarhasalum4263 4 роки тому +1

    Yani mkojan na tin daaa😆😆😆sijuw akilizenu zikoje sarut kwako nagwa

  • @abuubaya1535
    @abuubaya1535 4 роки тому +6

    Mwendelezo Mchizi nagwa

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 роки тому +3

    Eti mbwa wewe shemeji yako uyo😂😂😂😂😂

  • @shukurumsebaloli
    @shukurumsebaloli 4 роки тому

    Kwaii burn boy simkali kama navomjuwa

  • @ramadhanikondo6114
    @ramadhanikondo6114 4 роки тому

    Nagwa leo umebadilika sana yan Safi sana

  • @jamespetro9954
    @jamespetro9954 4 роки тому +1

    Khahahahaha hawa jamaa sijuw wamezaliwa wapi

  • @amohmudy1521
    @amohmudy1521 4 роки тому +2

    Hahahahah hawa jamaa wanajua😂😂😂

  • @wardaibrahim6478
    @wardaibrahim6478 4 роки тому +1

    Mko vizuri sana ✌✌✌

  • @wistoncharles209
    @wistoncharles209 4 роки тому +4

    Iko bomba

    • @wistoncharles209
      @wistoncharles209 4 роки тому +1

      Ula ula msamba mbelenye miaka mingi hatujafilimba ulembe!!! Haipingwi babu

  • @ramadhanimambya6569
    @ramadhanimambya6569 4 роки тому +14

    Kumbe Nagwa anachekaga😂😂😂

  • @kingtv5600
    @kingtv5600 4 роки тому +1

    Aibu mamae nimecheka atar

  • @imamrema1880
    @imamrema1880 4 роки тому +3

    Awa jamaa siwachoki kuwafatilia wananifusha aty 💨💨💨

  • @angelnoble5063
    @angelnoble5063 4 роки тому +3

    Hakuna maswali yakumchunguza mbwa wewe🤣🤣🤣

  • @ally1702
    @ally1702 4 роки тому +1

    Tunasubiri na msitu kongwe

  • @tinaalex7617
    @tinaalex7617 4 роки тому +2

    Et usitoe siriii🤣🤣

  • @didierkiss2866
    @didierkiss2866 4 роки тому

    Tunawafatilia zaidi 🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 роки тому

    Bwan mkojan bwanaa uwag wanipungaaa kwely

  • @jumahatibu3703
    @jumahatibu3703 4 роки тому +1

    Nagwa Leo mpole

  • @saidihamzaramadhan5577
    @saidihamzaramadhan5577 4 роки тому

    Kkkkkkkkkk Eeeeeh jamaaani munaniua kweli

  • @johclassic_tz7375
    @johclassic_tz7375 4 роки тому +1

    Kazi nzuri

  • @schoolboy1614
    @schoolboy1614 4 роки тому

    😂😂😂😂 tin bana na mkojan safi sana

  • @enockjama7801
    @enockjama7801 4 роки тому +5

    Me nawakubal xanah jaman. ..

  • @ramadhanimambya6569
    @ramadhanimambya6569 4 роки тому +6

    Nagwaaàaaaa

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 4 роки тому +1

    mkojani bhn 😀😀😀

  • @fabianpius1962
    @fabianpius1962 4 роки тому

    Tini wew eti mitihani Kumbe yangu

  • @mayungamabura346
    @mayungamabura346 4 роки тому +1

    Oso online keep up nakukubali

  • @januajeyjanuajey592
    @januajeyjanuajey592 4 роки тому +2

    Nyumba inakua ya WASOMI

  • @shukurumusitafa4867
    @shukurumusitafa4867 4 роки тому

    awa jamaaaa kwasas ni shida, kweny soko la comedy awajamaa km WCB kwny muzki

  • @michaellitanda3343
    @michaellitanda3343 4 роки тому

    Pamoja sanaa

  • @isacknoah5633
    @isacknoah5633 4 роки тому

    Nawapa big up

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 4 роки тому +1

    Hahahahahaha movies nzuli San jamani

  • @zetzthb5540
    @zetzthb5540 4 роки тому +7

    😄😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂 tin & mkojan like zenu hiz like zenu wana nimkabidh

  • @mohdhussein9749
    @mohdhussein9749 4 роки тому +4

    Dah 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 4 роки тому

    Nawakubali sana hawa jamaa

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому +2

    Mkojani ngoma ngum 😂😂😂😂😂😂

  • @januajeyjanuajey592
    @januajeyjanuajey592 4 роки тому +6

    Tupo kwa ONLINE

  • @somoemagandi8492
    @somoemagandi8492 3 роки тому +1

    Husda husda Hoshi mkojani 😁

  • @skipperkassim44
    @skipperkassim44 4 роки тому +4

    😁😁😁😁😁😁😁mkojani

  • @julietraymond4874
    @julietraymond4874 4 роки тому

    Wapi #ringoman kosh we #tin

  • @abuubaya1535
    @abuubaya1535 4 роки тому +3

    Mkojani kiboko

  • @nasiraly4888
    @nasiraly4888 4 роки тому +21

    Kw mar y nne (4) nakua wa kwanz kwenye #views nawapend sana (zawadi yang lini ntaipata!?) 🤣🤣🤣♥️🌹🌹

  • @faziraamissechafim5247
    @faziraamissechafim5247 4 роки тому +1

    Jamani oso tv nime subscribe chanel yenu ili niwe wa kwanza nami kupata........mue hivyo basi (muito obrigado pela diversão que nos dão. From Mozambique)

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 роки тому +3

    Nawapongeza ila mnazingua maana hamuweki talahe tutajuaje sasa kama 2020

    • @OSOONLINETV
      @OSOONLINETV  4 роки тому +1

      Subscribe alafu bonyeza alama ya kengele ..tukiweka tu movie unaiona

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 4 роки тому

    😂😂😂 nasubir umeme mkojani

  • @rahmambwana1204
    @rahmambwana1204 2 роки тому

    Pambe tu nawaelewa mno haipiti sku kama sjawaona

  • @azizingotwike4760
    @azizingotwike4760 4 роки тому

    Mnatixha

  • @allyssaidy2847
    @allyssaidy2847 4 роки тому +3

    Jamn ivi ringo wap???

  • @jey_t
    @jey_t 4 роки тому +6

    Great bros ,,keep up

  • @alawibaswala2127
    @alawibaswala2127 4 роки тому +2

    🔥🔥🔥

  • @ibrahimabdallah7954
    @ibrahimabdallah7954 4 роки тому +2

    Et unalipwa mshahara Sasa🤣🤣🤣🤣

    • @fatmamasoud572
      @fatmamasoud572 3 роки тому

      Hatari huyu baba alijua serikali inamchukua🤣🤣🤣