ANKO KINATE -MKOJANI/NAGWA/TIN WHITE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 234

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 4 роки тому +14

    👏😁😁😁imekubalika zaidi iyo part ya kukosana na bro kisa mkojani.. mama amesema unilee kama yai..😁🇰🇪🇰🇪 Kenya represented

  • @catherinenevas3545
    @catherinenevas3545 4 роки тому +17

    Hahaaa tutamaliza hela kwa vocha duh mungu tunusuru mana haifai kuacha kuangalia

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 4 роки тому +15

    😂😂😂mkojani we mshari Sana natamani nagwa siku moja akupige hadi uombe poo Una mdomo Sana zaidi ya yote nyiwe watu mnanifurahishaga sana

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +4

    Chumvi nyng towa MZIGO huo 😂
    Towa mzigo wa mkojani 🤣

  • @mwanatumumwamtsumi7974
    @mwanatumumwamtsumi7974 3 роки тому +2

    Mzigo urudi kwa mwenyewe😁😁😁😁

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому +4

    I love team nzima mungu azidi kuwabariki kwa kwel mnaga kaz mbovu

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому +2

    Napenda kuwaona chumvi nyengi nahuyo garasa wakiwa walevi

  • @mariamubakari599
    @mariamubakari599 4 роки тому +2

    Nimecheka mkojani nikijua mdudu amekuingia kooni kumbe unatafuta neno la kiarabu hahahaha mbavu zangu

  • @hamisiibrahim487
    @hamisiibrahim487 4 роки тому +5

    Oya kazi zenu nzuri sana lkn lingo wapi nyie jamaaaa mnazingua

  • @shafysaleh4271
    @shafysaleh4271 4 роки тому +15

    Nagwa chuma nakubal san broh unajua🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shafysaleh4271
    @shafysaleh4271 4 роки тому +8

    Nyie jamaa mnaweza san kazi nzuri🙏🙏🙏🙏

  • @cavanmwidunda9224
    @cavanmwidunda9224 4 роки тому +2

    Nawakubali vijana kazi kazi

  • @sulleysabri9126
    @sulleysabri9126 4 роки тому +9

    ila mda mwingine mkojani ni mshari sana..halafu anakicheko Cha kiunafki kama cha fisi😂😂😂😂😂😂wanajua hadi wanaboa,.big up kwenu

  • @kerryotieno8986
    @kerryotieno8986 4 роки тому +4

    Na mateso haya naenda kusema makaburini kwa mam😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu

  • @awdhatanwar1816
    @awdhatanwar1816 4 роки тому +3

    😄😄😄 mkojani utaniuaaaaaaaaa hhhhh kicheko hicho so cha Nchi hii ebwanae ebwanaee kumbe nyie wote Ndug hhhhhh

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 4 роки тому +23

    Duh leo balaaa Nagwa kawa mshikaji wake mkojani

  • @agnessestoni5631
    @agnessestoni5631 4 роки тому +22

    Nimeliona Buti la Jeje😂😂😂😂Nagwaaa Boy!!!

  • @wj1421
    @wj1421 4 роки тому +2

    Matatizo haya naenda kulia makaburin kwa mama khahahaa daah 100%

  • @hujjatulasrsocietyoftanzan8420
    @hujjatulasrsocietyoftanzan8420 4 роки тому +3

    Duu,, hatari 🔥🔥 "Mimi umekuja kwenda nyumani" kiarabu cha wap hiki

  • @rashidally3814
    @rashidally3814 4 роки тому +2

    Hapanaaa kumb ng'ombe hunijuiiiiiiii eeeeeee

  • @shareefkamtande4692
    @shareefkamtande4692 4 роки тому +11

    Aisee huyu mkojani ni noma🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @dianajavan609
    @dianajavan609 3 роки тому +1

    😂😂😂daaah mko vizur wabongo wetu👏👏👏👏👏

  • @emmymajula879
    @emmymajula879 4 роки тому +1

    Najua mmeungana matuc kunitukana mkojani baba lao 😂 yani weh mtu uwishi miaka mingi

  • @aishasalum2963
    @aishasalum2963 4 роки тому +7

    Mm sinanga mbavu tu kwamkwajani 😆😆😆😆

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 3 роки тому

    😀😀chumvinyingi ww toatu mzigo wamkojani😀😀😀patamu hpooo nataka namimi nijuwe uwomzigo

  • @nahdamohammed6201
    @nahdamohammed6201 4 роки тому +8

    Yaan huyu mkojan atanifanya nionekane chizi kwa kucheka peke yng . Hahahaha ila wakikutana nagwa na mkojan mambo yananoga sasa

  • @sofiajanuary3840
    @sofiajanuary3840 4 роки тому +2

    Yarab hivi vitu viishe kiamani, Yarabb hahahahahhaha

  • @sofiajanuary3840
    @sofiajanuary3840 4 роки тому +2

    Hahhahahahahha Kiarabu sasa

  • @yusuphanyitike2946
    @yusuphanyitike2946 4 роки тому +8

    Nawakubal sanaaaa awa jamaa sema ringo jmn angekuepo

  • @alirahma8967
    @alirahma8967 4 роки тому +3

    Mkojani mkojani,unamchokaza ngoma nagwa,naleo hataki ukimvi🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤣🤣🤣🤣

  • @mussaselemani80
    @mussaselemani80 4 роки тому +1

    Eti ana ugonjwa wa kufakatuka hahahaaaa

  • @abdallajkhalfan1202
    @abdallajkhalfan1202 4 роки тому +4

    Mkojani apewe mzigo wake🤣🤣

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 роки тому +10

    Neno la kiarabu kipupwe ww ni nyoko kweli 😂😂😂😂😂😂

  • @alinotilucamoris6189
    @alinotilucamoris6189 4 роки тому +9

    Mzigo gani tena jamani😂😂😂

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 4 роки тому +5

    Kuna kaka hapa mbakaji binti huyo aki sauti kaa Rayvanny hadi macho,napenda Movie zenu from 🇰🇪🔥 ❤️

  • @zahramuya9277
    @zahramuya9277 4 роки тому +8

    Nagwa nakupenda bureee umekuwa mpole jmn

  • @jamalajamala282
    @jamalajamala282 4 роки тому +1

    Sema nangwa Una mapingo ya kipekee nguo Zak 😂😂😂

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 роки тому +9

    😂😂😂😂 Haya maajabu sana aisee eti *NANGWA* na *MKOJANI* wanapatana duh

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 4 роки тому +7

    Ukitakaaaa kunileteaaa vilughaaa ataa mie nnavilughaaaa vyang arabic

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 роки тому +3

    😂😂😂😂hiko kiarab nime sukuti😄😄

  • @chefmiccazeboy9421
    @chefmiccazeboy9421 4 роки тому +1

    Ebwanaa eheee lingo mankitoshiii yupo wapii

  • @MaryMary-df7eb
    @MaryMary-df7eb 4 роки тому +7

    Mkojani jamani namtafuta nimpe soda yake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @lubungaetienealmasi1059
      @lubungaetienealmasi1059 4 роки тому +1

      Dah! Kama dhali....🍻

    • @MaryMary-df7eb
      @MaryMary-df7eb 4 роки тому +1

      @@lubungaetienealmasi1059 😂😂

    • @lubungaetienealmasi1059
      @lubungaetienealmasi1059 4 роки тому +1

      Africano Queen unacheka si umenikimbilia uku, Nipo Montréal kwa sasa nataka kuhamia Toronto

    • @MaryMary-df7eb
      @MaryMary-df7eb 4 роки тому +1

      @@lubungaetienealmasi1059 😂😂😂naona unatafuta nyuki😂😂endelea kutafuta nyuklia za ugiriki tu😂utaripuka😂

  • @jumamkongowe8870
    @jumamkongowe8870 4 роки тому +6

    Nasoma comment kwanza hukunaiangalia kamanawe unafanya kama like tujuane ila muvie kali

  • @nurathseif3751
    @nurathseif3751 4 роки тому +7

    🤣🤣inapingwa💞🔥🔥👌👌

  • @ally1702
    @ally1702 4 роки тому +6

    Dah nahisi Kama naanza kumsahau Ringo sikuzowea kumuona tin bila Ringo mwanzo nilikuwa napata shida ila nimeanza kuzowea hongereni Sana kipindi ichi cha kukaa ndani mnatufanya tusahau nje kidogo

  • @edsonmganyiz9520
    @edsonmganyiz9520 3 роки тому +2

    Anamletea umende😁😁😁

  • @franklinemakokha7341
    @franklinemakokha7341 4 роки тому +3

    Kocheko cha mkojani chanimaliza,shikilia apo brodha

  • @ramadhanissa5054
    @ramadhanissa5054 4 роки тому +1

    Dah! Mmetish wakaliii👊👊

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 роки тому

    ula ula msamba mbelenje long time hatujafilimba ulembe

  • @beatkalizabongonahippoprnb5362
    @beatkalizabongonahippoprnb5362 4 роки тому +1

    nainjoy sana yani

  • @allymba1205
    @allymba1205 4 роки тому +5

    Hapo sasaaa 👍👍👍

  • @Enemyofallah-y4u
    @Enemyofallah-y4u 4 роки тому +4

    Hula hula brother 😂😂🙆🏼‍♂️

  • @bwankakaseif5500
    @bwankakaseif5500 4 роки тому +4

    hawa jamaa kwa sasa wachiwe2 comedy htr

  • @mgirickitinda9963
    @mgirickitinda9963 4 роки тому +3

    😂😂😂😂mamaee wallah dah

  • @nassorosuleiman6254
    @nassorosuleiman6254 4 роки тому +4

    Nakubali sana ngoma nagwa

  • @nasiraly4888
    @nasiraly4888 4 роки тому +5

    Sante mkojani na team nzima

  • @goodluckymvungi1186
    @goodluckymvungi1186 3 роки тому

    Dah mwanaamekomesha balaa

  • @shimirimanadeborahabdalajo6877
    @shimirimanadeborahabdalajo6877 2 роки тому

    Ivi ninani amesikia cheko ya mkojani🤣🤣🤣

  • @jayabdallah9921
    @jayabdallah9921 4 роки тому +4

    Khitlafiana mkojani🤣🤣😂😂😂

  • @estarwille1138
    @estarwille1138 3 роки тому +1

    mi nikajua kapaliwa kumbe neno la kiarabu

  • @salamaally2582
    @salamaally2582 4 роки тому +2

    Ngomaa nagwaa ngomaa ngumuuuu

  • @Jonijoo__the_don
    @Jonijoo__the_don 4 роки тому +15

    Hicho kicheko Gonga like

  • @geoffreyluhwago1120
    @geoffreyluhwago1120 4 роки тому +2

    ,siangalii najua mmefanya kweli nakukubal San tin mm kapuma kutoka ilula kwa Las ched

  • @beatkalizabongonahippoprnb5362
    @beatkalizabongonahippoprnb5362 4 роки тому

    mkojani tisha sana ebwanaee ebwanaee stak bhn stk bhn

  • @gilbartyeremia2893
    @gilbartyeremia2893 4 роки тому +4

    Mpeni mzigooo mkojani🤣

  • @jamilaabdul9556
    @jamilaabdul9556 4 роки тому +3

    Siwaping mpo vyema sana

  • @francissisha9592
    @francissisha9592 4 роки тому +1

    Mkojani unazinguwa nagwa anakupigaga lakini hukomi

  • @samwelbajuta3422
    @samwelbajuta3422 4 роки тому +3

    Dah mkojani n kiboko asee

  • @seifmohamed7940
    @seifmohamed7940 4 роки тому +7

    Km umesikia kiarabu Cha mkojani gonga like

  • @mwinyimtengwa5515
    @mwinyimtengwa5515 4 роки тому +5

    Mkojani anataka mzigoo

  • @Shayy97
    @Shayy97 4 роки тому +3

    Logo imekaa vizuri

  • @mudimbason6656
    @mudimbason6656 4 роки тому +6

    ULA ULA msamba mbelenye miaka ming atujafilimba ulembe

    • @hasnahasna6009
      @hasnahasna6009 4 роки тому

      Kwan maana ake nn jmn iyo

    • @benjaminyohana4532
      @benjaminyohana4532 3 роки тому

      @@hasnahasna6009 maana akee mda mwingi tunapambana au kutafuta lakin bado hatujafanikiwa

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 4 роки тому +5

    nagwaa boy 😂😂😂you guys killed it🔥🔥🔥🔥🔥

    • @loningoalaisi7630
      @loningoalaisi7630 4 роки тому +1

      Sema you killed it guys kingereza gan icho ulichoandika😂

  • @henrypaul6335
    @henrypaul6335 4 роки тому +5

    ,,,mkojani na hilo shati

  • @idrissaomba8803
    @idrissaomba8803 3 роки тому

    wakafilimbana, hahahhhhh

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 роки тому +6

    Kipupwe ww ni 🔥🔥🔥🔥

  • @allydaruweshi5983
    @allydaruweshi5983 4 роки тому +2

    Hhhhhhh dah nishid walah haw jamaa

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 Рік тому

    ula ula msa mba mbelenya miaka mingi hatuja filimba ulembe

  • @jumannesaidi2917
    @jumannesaidi2917 4 роки тому +2

    Mkojani chizinyieee 😁😁😁😁😁😁

  • @alexhokororo6851
    @alexhokororo6851 4 роки тому +3

    Hapanaaaaa mkojani

  • @davismdula1517
    @davismdula1517 4 роки тому +3

    Nagwa bendera chuma mlingoti chuma

  • @abdallajkhalfan1202
    @abdallajkhalfan1202 4 роки тому +5

    "sitaki kukhtilafiana nae".

  • @amirijani677
    @amirijani677 3 роки тому

    Toa mzigo wawtu wew

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +3

    Nagwa umekuwa mpole Sana.

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 4 роки тому +3

    Uselaaaa nyaaaaa

  • @salimalqartubi3038
    @salimalqartubi3038 4 роки тому +5

    Hahahahaha mkojaniiiiiiiii

  • @iddihamza5333
    @iddihamza5333 4 роки тому +1

    Wapi nagwa mkojani babalao

  • @shabanimakata6519
    @shabanimakata6519 4 роки тому

    Noumer sana buti la jeje

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 роки тому +1

    Anataka mzigo Dah

  • @ongbackkidinindi8246
    @ongbackkidinindi8246 4 роки тому +3

    Hahah nagwa manen yke bhn

  • @husendaud8987
    @husendaud8987 4 роки тому +1

    safi sana wazee

  • @popomnyama8013
    @popomnyama8013 4 роки тому +2

    Ringo wapi

  • @tozyog3235
    @tozyog3235 4 роки тому +4

    Nagwa Mbona kafanana Na sholo mwamba

  • @gustavompemba1781
    @gustavompemba1781 4 роки тому +3

    Mkojani anataka mzigo

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 4 роки тому +3

    Mzigo uwo vp

  • @bwankakaseif5500
    @bwankakaseif5500 4 роки тому +6

    kuna kipande mnatembea kama mazombi pale nowma

  • @nonenone4954
    @nonenone4954 4 роки тому +4

    Mkojani ni shida

  • @ommy21media91
    @ommy21media91 3 роки тому

    Mzigo gan anatak mkojani?

  • @shimirimanadeborahabdalajo6877
    @shimirimanadeborahabdalajo6877 2 роки тому

    Jamani bwana Ringo yuko wapi?

  • @ramadhanimtikila4986
    @ramadhanimtikila4986 4 роки тому +5

    Hahaha aipingwiii nagwa