Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Hivi ndivyo Aaliyah alivyoingia Wasafi TV 'Nilikuwa nimekata tamaa najiandaa kurudi nyumbani Arusha'
Вставка
- Опубліковано 11 кві 2021
- Mtangazaji wa Wasafi TV, Aaliyah Mohamed anaelezea safari yake hadi kujiunga na kituo hicho cha runinga
#ChillnaSky
kama unamkubali huyu dada gonga like tujuane
Aaliyah one of the best presenter in entertainment and this Interview is so amazing congratulations to you Sky Walker🤙
Uju dada anaweza namkubali mno from 🇲🇿
I truely this gal with her work in WCB,congrats Aaliyah,keep up an shout out to Sns i like an love this studio👏👏👏💪❤️🌞🙏🇰🇪.
Aliyah love mamy nakupend san na nakukubal kuliko❤❤❤❤from zanzibar
Nakupenda saana bure aliyaah
From kenya namkumbali sana huyu dada..
Mm namkubari sana Aliya
Yuko vizuri sana anajua kujieleza ..
Brilliant one ,the way ur talking itx like waaaoooo ❤
She good at entertaining 🔥🔥
Huyu Aaliyah namkubali sana soo professional
I like this interview and the gal is impressive
Nampenda yupko juu
Nice interview Aliya.
She's very smart ❤️❤️❤️😊
Mzuri jamani 🔥🔥🔥🔥
Asante sky ila tuandikie no1 na 2 mana inatuchanganya mtazamo tu
Kabisa
Unatumia vibaya neno "by the time", kuna wakati ni sahihi kusema "at that time" au " during that period". Otherwise utangazaji wako ni mzuri
Kingereza sio lugha yake ya kwanza kukosea kawaida tu, mbna wao wazungu wanaboronga kiswahili
@@atiqaly6567 👍🏿
@@atiqaly6567 sasa si ndio kamrekebish hat kama kingerez sio lugha yake? Au ulitaka aachwe tu achanganye grammar? Wabongo bwana
masala kulwa kamrekebisha wapi ? Hvo alivoandika ndo kamfundisha ktu gani? huyo alitaka tu kujionyeshha anajua kingereza sana, mbna wamarekani wenyewe kingereza chao broken huoni watu wanacomment kuwakosoa? Mayweather mwenyewe ukiskiza interview zake anakosea gramma kila sku mbn haendi kukosoa. Saingine mnakuwa mnajiabisha wenywe. Ndio maana wabongo hatuendelei, kujifundisha mambo ya watu yetu hatuyawez.
Huyu dada ni Hatari
Aliya nakupenda mnoo
I really appreciate
Ivi jamani uyu kaka si ndo Yule Alie kua mtangazaji wa RFA
Yeah Fredrick Bundala
huyu mdada ni mrembo jaman duh
Nampenda sana huyu dada
🔥🔥🔥🥰🥰🥰
Sky plz bring back round up 😭😭😭😭 nimemiss snaaaaa roundup 😭😭😭😭
Yes
Kweli tumeis kwel 😭😭😭😭
Kwa kweli . Me I miss them 😫😫😭😭
Same😖😖
@@elizabethsakina2306 true 👍
Kizungu kiiiiingiiiii.
It built saaana” ili build
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
nom n nusu
Kingeleza kingi me at xielew😂
😅😅😅😅😅😅
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
Ndoo maana diamond kachanganyikiwa kwako
Ongeeni kiswahili
By the time hhhhh