Jini ni kiumbe wa kiroho kama alivyo malaika bali wameumbwa na maada tafauti. Malaika_Nuru. Jini-------Miale ya Moto. Na wote wamepewa AMRI. Lkn kimaumbile Malaika haasi/haendi kinyume na Maamrisho. Ama jini ni kama Mwanaadamu ana khiyari kuaasi au kutwii. Neno "SHETANI" ni lugha ya kiarabu na maana yake ni Muasi/mwenye kufanya uasi. Kwa maana hiyo Shetani anaweza kuwa mwanadamu anapo asi na pia anaweza kuwa jini anapo asi. ukiitaji zaidi nitafute.
Bwana Yesu asifiwe Mwana wa Mungu........! Jini ni Malaika walioasi pamoja na Lusifa. Malaika anahiari ya kuasi au kutii sheria ya Bwana Mungu, kwasababu Lusifa alikuwa ni Malaika pia. Shetani ni muasi wa sheria ya Bwana Mungu (Lusifa). Mashetani (Majini) ni Malaika walio asi pamoja na Lusifa. Jini au Shetani hana hiari ya kuasi au kuto kuasi... Alisha asi na hukumu ilisha Tolewa na Bwana Mungu (ni moto wa milele Jehanamu, hakuna mjadala). Huko kuzimu Shetani na Majini wameona wasiende peke yao...wawapotoshe na Wanadamu ili waende wote. Mission hiyo ya kumpotosha na Mwanadamu ilianzia Edeni.... Kwa kuwadanganya Hawa na Adamu
@@mlowegb4097huo ni upeo wako wa ufahamu hauongozwi na dalili yoyote ya kielimu zaidi ya hadithi za mitaani tu. Askofu wako amekiri kuwa ktk bibilia hakukutajwa khabari za majini, ndugu muandishi akatoa andiko, lilipoangaliwa kwa kiingereza likawa na maana ya shetani, akasema ni kutokana na alietafasiri alikuwa sheikh wa kiislaam. Mimi nikaandaka "hayo maneno mawili JINI na SHETANI yanaasili ya kiarabu JINI ni JINA la kiumbe aloumbwa kabla ya Mwaadamu. SHETANI ni sifa yaweza sifiwa yoyote mwenyekuasi awe jini, awe mwanadam. Sasa waleta hadithi za mitaani sizizo na dalili yoyote ya kimaandiko.
Kwa hiyo alikuwa mkewe au mchumba?
Na hilo la njiwa ndilo lililotajwa ndani ya Quran tukufu 5:110.
Tamuzi was born 25-12, the son of Nemrodi, god of pagan, why do we associate this with birth of Christ?
Jini ni kiumbe wa kiroho kama alivyo malaika bali wameumbwa na maada tafauti.
Malaika_Nuru.
Jini-------Miale ya Moto.
Na wote wamepewa AMRI.
Lkn kimaumbile Malaika haasi/haendi kinyume na Maamrisho.
Ama jini ni kama Mwanaadamu ana khiyari kuaasi au kutwii.
Neno "SHETANI" ni lugha ya kiarabu na maana yake ni Muasi/mwenye kufanya uasi.
Kwa maana hiyo Shetani anaweza kuwa mwanadamu anapo asi na pia anaweza kuwa jini anapo asi.
ukiitaji zaidi nitafute.
Bwana Yesu asifiwe Mwana wa Mungu........!
Jini ni Malaika walioasi pamoja na Lusifa. Malaika anahiari ya kuasi au kutii sheria ya Bwana Mungu, kwasababu Lusifa alikuwa ni Malaika pia.
Shetani ni muasi wa sheria ya Bwana Mungu (Lusifa).
Mashetani (Majini) ni Malaika walio asi pamoja na Lusifa.
Jini au Shetani hana hiari ya kuasi au kuto kuasi... Alisha asi na hukumu ilisha Tolewa na Bwana Mungu (ni moto wa milele Jehanamu, hakuna mjadala).
Huko kuzimu Shetani na Majini wameona wasiende peke yao...wawapotoshe na Wanadamu ili waende wote. Mission hiyo ya kumpotosha na Mwanadamu ilianzia Edeni.... Kwa kuwadanganya Hawa na Adamu
@@mlowegb4097huo ni upeo wako wa ufahamu hauongozwi na dalili yoyote ya kielimu zaidi ya hadithi za mitaani tu.
Askofu wako amekiri kuwa ktk bibilia hakukutajwa khabari za majini, ndugu muandishi akatoa andiko, lilipoangaliwa kwa kiingereza likawa na maana ya shetani, akasema ni kutokana na alietafasiri alikuwa sheikh wa kiislaam.
Mimi nikaandaka "hayo maneno mawili JINI na SHETANI yanaasili ya kiarabu
JINI ni JINA la kiumbe aloumbwa kabla ya Mwaadamu.
SHETANI ni sifa yaweza sifiwa yoyote mwenyekuasi awe jini, awe mwanadam.
Sasa waleta hadithi za mitaani sizizo na dalili yoyote ya kimaandiko.
Gari hizo ni nyingi...kumiloki na kutawala