Alhamdulillah nashukuru kupata na fasi hii allah awape mema ila fidunia wal akhera asante sana kwa mawaidha ya kutu elimisha kuhusu wachawi na masheitwani na watu wa baya
MASHAALLAH SHUKRANI SHEIKHE SALUM KWA DUA ALLAH AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA NJEMA UZIDI KUTUOMBEA DUA NAKUTUELIMISHA HONGERA PIA WATAMAMAN PAMOJA NA KOO MZIMA YA ZINJIBAR TV
As salaam alaykum , sheikh huyo mulizaji amekusudia kuliza sunna za kabliya baada ya sala ya dhuhri unatakiwa usali rakaa nne kabla ya salah ambazo hizo sunna ziko 12 ambazo ukizisali Allah anakujengea nyumba. Shukran sana Allah awalipe kheri tunawapenda kwa ajili ya Allah
Haswaaa shekhe ni kweli kabsa hasad na vijicho dunia ya leo ndio ya mejaa hayo mungu atuepushie namtihan hio shukran sana mungu akuweke akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk kaz zako
Asante Sana Sheikh Salum na Sheikh Swaleh Albawari Kwa mafunzo haya. Mungu awahifadhi na awafuike na Damu yake Issa Bin Mariam yaani Yesu Kristo na awafuike na utukufu wake na Rehema zake na Malaika wake wa Vita. Tusomee cha Mimi na Mume Wangu Mazin Mohamed 🙌🙌😭😭🙏😇😇🔥🔥🔥
Asalam alaikum warakhmatullah wabarakat sheikh,kipindi nikisikiza Quran nikiwa nimekaa Kwa utulivu hujikuta nikichezacheza kupeleka mbele n nyuma na kipindi nasikiza hizi Dua unazozitoa pindi unapotaja Jini subian mwili wangu hunisisimka hii inaashiria Nini sheikh
Ndugu yangu mardhiya kuna dua naomba nili wahi ku soma hio duwa ila sim ika haribika sija ipata tena hio dua nikuhusu kuwa na usafi kuanzia roho na usafi wanyumba na pia nguo dua hio niku anzia Surat fathiha ina fatahna na lwau anzalna hadha mpaka na dua nyingi sasa naomba uni elekeze hio dua akhsante mimi na ishi rwanda Kigali
Sheikh salim M/mungu akuzaidishie kipaji chako inshaalah na akuondoshee huda za majini na masheitani na wanga na wachawi
Alhamdulillah nashukuru kupata na fasi hii allah awape mema ila fidunia wal akhera asante sana kwa mawaidha ya kutu elimisha kuhusu wachawi na masheitwani na watu wa baya
maashaallah Tabaraka Rahman
MASHAALLAH SHUKRANI SHEIKHE SALUM KWA DUA ALLAH AKUZIDISHIE UMRI NA AFYA NJEMA UZIDI KUTUOMBEA DUA NAKUTUELIMISHA HONGERA PIA WATAMAMAN PAMOJA NA KOO MZIMA YA ZINJIBAR TV
Amina shekhe tunafatiliya duwa ya siku arobainniy
Masha Allah Shk Mardhiya, unasema ukweli bila shaka Allah azikubali Dua zetu dhidi ya wachawi na maadui wetu wote, Al hamdulillah
Mashaallah wahadhir wetu Allah akujaalieni kheri
Zenjibar tv hakika hii ni fahari ya zanzibar
Mungu awahifadhimashekhe wetu
@@rahmaamor4892 Amin
Tabarak Allah sheikh, Allah akupe umri mrefu yarrab atuelimishe mingi zaidi Inshaallah
insha Allah
Jamani na mm kenya ni mengi hata sisemi
As salaam alaykum , sheikh huyo mulizaji amekusudia kuliza sunna za kabliya baada ya sala ya dhuhri unatakiwa usali rakaa nne kabla ya salah ambazo hizo sunna ziko 12 ambazo ukizisali Allah anakujengea nyumba. Shukran sana Allah awalipe kheri tunawapenda kwa ajili ya Allah
Asalaam aleikum warahmatullah wabarakatu, sheikh, mashallah mashallah mashallah, mwenyeezimungu akuweke wewe nafamiliya yako kwenye pepo ya jannatul firdaus (Amin yarabb Amin)usichoke sheikh kutumikia dini yako ya kiislam, mashallah
Haswaaa shekhe ni kweli kabsa hasad na vijicho dunia ya leo ndio ya mejaa hayo mungu atuepushie namtihan hio shukran sana mungu akuweke akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk kaz zako
Mashallah mwenyezi mungu atunusuru na mahasidi shukran sheikh maridhiya mungu akuzidishie sana
Shukran kwa Dua Allah awalipe inshaallah
Shukran sn ubarikiwe inshallah shekh mm nikua sipati usingizi lkn ss kwa dua kusikiliza nalala vizuri nashukru kwa dua hii mashallah
Mashaaallah,,, subhannallah laiilahailala alahu akbar shukuran sana shekhe allah akulipe kila la kheri
Shukran shehe Allha akulinde
Asante Sana Sheikh Salum na Sheikh Swaleh Albawari Kwa mafunzo haya. Mungu awahifadhi na awafuike na Damu yake Issa Bin Mariam yaani Yesu Kristo na awafuike na utukufu wake na Rehema zake na Malaika wake wa Vita. Tusomee cha Mimi na Mume Wangu Mazin Mohamed 🙌🙌😭😭🙏😇😇🔥🔥🔥
Mungu akuzidishie shekhe wetu nitakutafuta
MashaAllah Allah bareek
Subhan Allah atunusuru ya Rabby
Masha Allah shukran,Allah awajazi kheri in sha Allah
Allah Awalinde na maadui na akupe maisha marefu
Asalam aleikum asanteni sana na mtoto anatafuna me o kila usiku
Salallahu Alaihi Wasalamu
As Salam aleykum waramatullah wabarak Amiin
Ameota saa mbili asubuhi!
Amina
Mashallah...mashallah
Maanshallah ❤❤
Allahumma Ameen
Allah atatuondoshea matatizo yote insha allah🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Masha hll shehke
Asalam aleykum shekh alla akuzidishie iman
Masha hll mashaahlla
Ma Sha Allah
Jazzakka Allahu khyern 🤲
Asalaam aleykum shekh allah akulipe kila la kheil
Allah awalipe gheri inshaallah
Allahuma Ameen.
Maashallah
Sheikh ninahitaji hico kitabu ca dua
Mashallah Barak llahu fikhum
Mashallah.mungu.akuweke
Ma sha Allah Shukuran nas Duaa
SUBUHANA Allah
❤❤❤❤❤❤❤
Asalam alaykum zinjibar tv hivii hizii ratibaa zipojee Mana napitwaa sana hem tupeni timetable ya vipindi vyenuu .
jumapili na jumatatu ndo siku zake.saa tatu ucku
Asalam alaikum mimi pia nime pata hiyo mitihani mpaka sasa maisha yangu notabu tupu
Jazaka Allah khaira
Watamama hii yakin naomba iwe madaaa mahsusi na piaa tauhid iwe madaaa maalum tunaombaa
Asalam alykum nawapata watamaman
asalam ghalaykum shekhe naitwa swaum mm na mume wng hatuelewani nahisi nina jini mahaba
Asalam alaikum warakhmatullah wabarakat sheikh,kipindi nikisikiza Quran nikiwa nimekaa Kwa utulivu hujikuta nikichezacheza kupeleka mbele n nyuma na kipindi nasikiza hizi Dua unazozitoa pindi unapotaja Jini subian mwili wangu hunisisimka hii inaashiria Nini sheikh
AsAlamu.allaikumu.na.mwanangu.ana.mwaka.sabA.hajuwi.kuongeya.ñaombaduwa.naitwA.hamisi.ussi.kutoka.nungwi
Salamaleykm warahmatullh sheikh naomba kujua sura gn tumsomee mtoto akiwa kapwe hasad ya kusahau na fahamu yake
Amin yarab laalamin 🤲🤲🤲🤲😭
1:09:07 1:10:43
Amiin yarabbi
Masha Allah bless 🤲💯
MashaAllah
Aaalllah huma amin
Subhanalllah
Assalaamu aleykum warahmatullahi wabarakatu, kunawengine tuko nnje. Tunaomba muweke namba zenu, inshaa الله tukirudi tuwatafute.
Mungu atakulipa
InshaAllah
Ndugu yangu mardhiya kuna dua naomba nili wahi ku soma hio duwa ila sim ika haribika sija ipata tena hio dua nikuhusu kuwa na usafi kuanzia roho na usafi wanyumba na pia nguo dua hio niku anzia Surat fathiha ina fatahna na lwau anzalna hadha mpaka na dua nyingi sasa naomba uni elekeze hio dua akhsante mimi na ishi rwanda Kigali
Allahum Amin jazakallah kheri nyiwo mnatuombeeni dua
Niandikie hiyo dua ya asubuhi sheikh
SHUKURAN kwa Dua'a
Yani tunafaidi tu hapa hatutoki wakavu bandika bandua
Sheikh mimi huota niko na mtu njiani twaenda mahala mara ghafla tukapoteana simuoni njia alopitia nikabaki kuzunguka sijui pakwenda
Nipesiri nifanyeje
Shehke mardhia mm sifanikiwi kazinafanya
Miaka sasa
Bob
Mashaallah ustadh Allah skylines kheri wa baada lkheyr janatunnaim
Hayo yote ninayo
Jambaz asietumia silah