MC PILIPILI AFUNGUKA KIFO CHA MAMA YAKE 'ALIPANDA PIKIPIKI AKIWA NA MA MDOGO/NIMEPOTEZA MTU MUHIMU'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 328

  • @NyatseLogistics
    @NyatseLogistics 3 роки тому +1

    Jamani poleni sana. Hii ni wakati mgumu sana, ila katika yote tunamshukuru Mungu.
    Yaani, Mc Pilipili, umenikumbusha mbali, nimewahi kukubwa na tukio kama hilo kufiwa wakati tuko kwenye tukio la furaha, kulilia chooni, na kurudi kuwapa moyo wengine ili mambo yasiharibike zaidi. Duh, it was so painful.
    Zaidi, Mc umetupa funzo moja muhimu kuwa "TUJITAHIDI KUWATENDEA MEMA NA KUWAFURAHISHA WAPENDWA WETU SASA KABLA WAKATI WA KUFANYA HIVYO HAUJAPITA"
    Mungu ailaze roho ya marehemu Mama yetu mpendwa Mama Mc Pili². AMEN!

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 3 роки тому +2

    Duh kwakweli mwanaume ni mwanaume tu pole sana kaka angu, mungu akipanga lake hayupo wa kupangua mlipenda mama ila mungu amempenda zaidi, mungu zipumzishe roho za wapendwa wetu mahali pema peponi Amen

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +3

    Kiukwel pole san mc pili pili but umetufunza sana wanaumme 👊thanks brother 💪💪

  • @annajames4096
    @annajames4096 3 роки тому +1

    Pole sana Mc..Mungu baba wa mbinguni awalaze mahala pema peponi. Amina!!

  • @evancechangae
    @evancechangae 3 роки тому +8

    😥😥😥😥😥😥 Umejikaza kiume sana. Pole sana kwa Msiba ndugu. Inaumiza kweli.

  • @justinbulenga6698
    @justinbulenga6698 3 роки тому +7

    Poleni sana Mola awajalie nguvu na utulivu katika kipindi hiki kigumu

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 роки тому +4

    Polen sana wafiwa! Pole sana Mr Pilipili. Mungu Awafanyie wepesi katika hili.Amiin!

  • @gabrielmurro7134
    @gabrielmurro7134 3 роки тому +7

    Mungu wetu NI mwema 🙏 tunaiman atawapumzisha mahala pema pepon Amen 🙏

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 роки тому +2

    Pole sana Kaka Tomy ambaye Hilo tukio limetokea mikoni mwako jipe moyo Mungu akupe wepesiii uweze kupokea Msiba huo wa Mama

  • @jessiemrope1482
    @jessiemrope1482 3 роки тому +1

    Kitu chema ni "amefariki nadhiri yake ikiwa imetimia", ameiona ndoa ya kijana wake kama alivyoomba. Sidhani kama ameenda na kinyongo, R.I.P mama. Somo kuu "MANENO YANA NGUVU" au "MANENO YANAUMBA", ndio maana tunaambiwa usimnenee vibaya (hasa) mtoto wako au usiweke nadhiri kwa Mungu bila kuitimiza.

  • @magejuliani5293
    @magejuliani5293 3 роки тому +2

    Poleni sana! Mungu awalaze hao wa mama mahali pema!

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 3 роки тому +6

    Poleni sana kwa familia nzima Mungu wa mbinguni akawe faraja yenu.

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 роки тому +5

    😭😭😭😭ni huzuni kwakweli. Mungu awarehemu👏

  • @remigiusrespicius1856
    @remigiusrespicius1856 3 роки тому +14

    Pole sana Mc Pilipili kwa kupotewa na mama mzazi..
    R. I. P

  • @elinahjoseph3085
    @elinahjoseph3085 3 роки тому +14

    Aki nimeumia Sana mungu ampumzishe mama yetu kipenz mama ni mama wa wote pole sana mc pilipili pengo kubwa Sana jmn dah

    • @doramsuya5294
      @doramsuya5294 3 роки тому

      Pole sana jamani mungu akupe uvumilivu du

  • @mauwashadrack820
    @mauwashadrack820 3 роки тому +2

    Poleni sana kwa family nzima Mungu wa akawe faraja kwenu 🙏

  • @aminamollel5725
    @aminamollel5725 3 роки тому +1

    Kuacha Mungu. Mama ni mtu muhimu sana. Pole sana Mc Pilipili

  • @upendoshirima5130
    @upendoshirima5130 3 роки тому +6

    Polen sana familia ya mc pilipili bwana Yesu awatie nguvu

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 3 роки тому +2

    Watu wanatakiwa kujua kila mtu ana grieve tofauti. Pole sana . Mungu ndiye mfariji wenu mkuu

  • @pillyomar9912
    @pillyomar9912 3 роки тому

    Polee saana mbele yake nyuma yaake kwaupendo alouonyesha duniani yawe malipo huko aendako Ameeen

  • @davidcurtis8556
    @davidcurtis8556 3 роки тому +5

    Dah! Aisee pole sana bro, kiatu ulichovaa kikubwa mno, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Wapumzike kwa amani.

  • @shukranjulius5910
    @shukranjulius5910 3 роки тому

    Aisee pole sana Nduguyangu Mungu akuzidishie uvumikivu

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu akutie nguvu wakati huu mgumu wewe na familia yako yote😢😢😢😢. Mwanga wa milele uwangazie Ee Bwana wapumzike Kwa Amani 🙏🏼

  • @dayanamajora3327
    @dayanamajora3327 3 роки тому +3

    Daah nashindwa la kusema, ila kubwa Kushukuru MUNGU maana haya ni mapenzi yake..pole sn Mc.pilipili RIP Mom yetu

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 3 роки тому

      Kwekweli pole Sana ,nashindwa hata kusema Ila mungu akupe nguvu ,na Sisi tuko njiani

  • @sasinematinda9273
    @sasinematinda9273 3 роки тому +1

    Pole sana kaka Mungu Akujalieni Faraja na uvumilivu kwa kipindi hiki kigumu kwenu

  • @puttenyanthony9284
    @puttenyanthony9284 3 роки тому +4

    Daaah iki kifo kimeniuma mno nakimenigusa sana😭😭pole pacha wangu mc pilipili

  • @peregrinusluwanda6077
    @peregrinusluwanda6077 3 роки тому +1

    Inasikitisha,pole Sana Mc Pilipili mwenyezi Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu.

  • @raffeiystar2870
    @raffeiystar2870 3 роки тому

    Poleni sana , ila mungu ansema , kamwe usije kusema kwamba hili jambo nitalifanya kesho, ila utanguoize na neno inshallah, akipenda mwenyezi mungu, na pia haifai kulipania jambo, mfano usije ukasema yaan kwa njaa hii niliyonayo basi nikifika nyumban tu lazima nimalize ule ugali kilo 3 yaan lazima nimalize, haifai kupania jambo, maana unaweza umwa tumbo na huo ugali usiule kabisa wakala wenzio, kila kitu tutangulize neno akipenda mwenyez mungu, Asante

  • @zawadimalawoni7462
    @zawadimalawoni7462 3 роки тому

    So sad. Pole sana kwa msiba Mungu akutie nguvu

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 роки тому +3

    Innalilai wainnajariuni nijia yetu sote poleni family Allah awatie nguvu amiin

  • @alakomba6830
    @alakomba6830 3 роки тому +1

    Pole Sana Emmanuel

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 3 роки тому +3

    Inalilah wainalilah rajiun mungu awaeke mahali pema peponi

  • @aishachamumi516
    @aishachamumi516 3 роки тому +2

    Innalillah wainnaylahirajihuun,,pole sn kaka umepata wakati mgumu sn....

  • @maryannemwangi168
    @maryannemwangi168 3 роки тому

    Pole Sana Mungu awarehemu Sana mumepoteza mtumuhimu Sana maisha Kutoka Kenya Mungu awafariji

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 роки тому +1

    Yani dah...! 🤦‍♂️ This is more than pain,brah. Polen sana,brother! Too sad and painful for sure. Take heart,bro! Take heart.🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @marrypatrick3276
    @marrypatrick3276 3 роки тому +5

    Pole sana mc pilipili jamani mungu awatie nguvu

  • @cathelinemaurid898
    @cathelinemaurid898 3 роки тому

    Pole sana mtumishi

  • @sniper93999
    @sniper93999 3 роки тому +1

    Rest in peace kiukwel wazaz wangu bado wapo hai, ila nikiona watu wanaumia hivi najiulizaa masual mengi sana 😭😭 but yote ni mipango ya mungu, na ambao wazaz wetu wapo hai hakika tuwatumie kwa kher kwani ni pepo yetu ya dunia na ambao wazaz wao wametangulia wazidi kuwaombea wazaz wao

  • @lailmeeea4908
    @lailmeeea4908 3 роки тому

    Pole sana Mwenyezi Mungu akupe nguvu ktk kipindi ichi kigumu

  • @mwamvuaelias850
    @mwamvuaelias850 3 роки тому

    Polee Sana the best Mc we taifa mume wa mena

  • @sarahrajabu9812
    @sarahrajabu9812 3 роки тому +2

    Innaillah wainnailayh rajiun Poleni sana familia mwenyezi mungu awape moyo wa subra

  • @gabrielwilliam2340
    @gabrielwilliam2340 3 роки тому +5

    Pole sana mc Pilipili na familia kwa ujumla R.I.P mama yetu

  • @meedaafarai9677
    @meedaafarai9677 3 роки тому +5

    Innalillah wainailayh rajiun. Poleni wafiwa.

  • @mariamlimo2463
    @mariamlimo2463 3 роки тому +3

    Poleni sanaaa....

  • @chantalnizigama5012
    @chantalnizigama5012 3 роки тому +4

    😪😭😭😭Poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu. Mmepoteza wa mama wawili. 🙏😭😭

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +6

    Innah Lillahy Wa Innah Illayhi Rajioun, Poleni Sana Ndugu,jamaa. Kazi Ya Mungu Haina Makosa.

  • @janethkiswaga4204
    @janethkiswaga4204 3 роки тому +11

    Duuuh. ! Nilifiwa na mama ninajuwa maumivu mnayopitia poleni sana

  • @ahmedshahar728
    @ahmedshahar728 3 роки тому +7

    Sisi ni wa MwenyeziMungu na kwake Tutarejea. Poleni sana

  • @mc_mrope
    @mc_mrope 3 роки тому

    Pole sana my brother mwenyezi MUNGU akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @lizyjacob9633
    @lizyjacob9633 3 роки тому +3

    Pole sanaaa

  • @seifzongo320
    @seifzongo320 3 роки тому +2

    Pole sana

  • @happyrichards319
    @happyrichards319 3 роки тому +9

    Yani hata hyo interview umejikaza kiume...Pole kaka ,pole sana

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 роки тому

    Pole sna jamn familia kwa misiba mikubwa , mungu awape nguvu na subra.japo inaniuma sna kweli huyu mama ndoo bas tena mchanga unatumaliza mweee, 😭😭😭😭😭😭😭 polen sna .

  • @salomechris8752
    @salomechris8752 3 роки тому

    Pole sana mc pilipil pamoja na familia yako, wapumzike mahar pema na mwanga wa milele uwaangazie.

  • @mandejemazengo3321
    @mandejemazengo3321 3 роки тому +4

    Pole kaka Mungu awape uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu

  • @rubenisaitoti3612
    @rubenisaitoti3612 3 роки тому

    Pole sana Kaka mc pilipi mungu akutieguvu

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 3 роки тому +2

    Daaaah inasikitisha Sana aseee.... 😢😢😢
    Wapumzike kwa Amani Hawa wamama... 🙏🙏🙏

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 роки тому +1

    Pole sana mc pilipili kwa kumpoteza mama yako mpendwa Mungu wa mbinguni awe tulizo la huzuni yako na pia aendelee kuwatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 3 роки тому +3

    Polen sana ndg zangu mungu awatie nguvu kwa pito hili ngumu inauma sana 😭😭😭🙏🙏🙏

  • @godfreypeter8383
    @godfreypeter8383 3 роки тому +17

    😭😭poleeee Sana broo kiatu chako n kikubwa mno

    • @engmagubo145
      @engmagubo145 3 роки тому

      polee xan bro angu mung ampumzishe mama yet

    • @engmagubo145
      @engmagubo145 3 роки тому

      😭😭😭😭😭 RIP

  • @mickeyraymond8007
    @mickeyraymond8007 3 роки тому +4

    Mungu mwenyew awafariji..

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 3 роки тому +4

    M.A.P mama Mc pilipili..!! Mungu akupe nguvu through this, hard situation....!!!!!!!

    • @esterrobert4803
      @esterrobert4803 3 роки тому

      Pole mc pilipili kazi ya mungu haina makosa

  • @mmbagaatujia7556
    @mmbagaatujia7556 3 роки тому

    Daah pole sana Mc Pilipili Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mama yako mpendwa

  • @nyamisangonuhu7996
    @nyamisangonuhu7996 3 роки тому +2

    Sema nimepoteza watu muhimu Mc coz hata mama mdogo ni mtu wa muhimu.Pole sana kwa kupoteza wazazi (mama 2).

  • @kaiyulakagaruki1310
    @kaiyulakagaruki1310 3 роки тому

    Poleni sana . Ni ngumu lakini Mungu akawe faraja ya pekee kwenu

  • @happynessmolla1781
    @happynessmolla1781 3 роки тому +4

    Unapitia sana maumivu jamani pole sana Mc pilipili.😭😭😭

  • @marryg4235
    @marryg4235 3 роки тому +1

    Pole Sana.

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Poleni sn Jamani, kila mtu ana safari yake ya kupita.

  • @elizabethhonere2931
    @elizabethhonere2931 3 роки тому

    Daah pole Sana aisee. Mungu alikupa nguvu ya ajabu kuendelea kukamilisha shughuli ya ndugu zangu

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 роки тому

    Poleni saana mungu aku penisula subira kwa wakati mgumu kama huu

  • @tukiokikoti6737
    @tukiokikoti6737 3 роки тому

    Duh inauma sanaa jamani. Pole Sana ndugu jamaa na marafiki. Pole Sana MC Pilipili.

  • @ivankomba3795
    @ivankomba3795 3 роки тому +2

    Pole sana Broo

  • @raykas9976
    @raykas9976 3 роки тому +2

    Poleni sana. Mungu awape Moyo wa uvumilivu.

  • @hanialsalti671
    @hanialsalti671 3 роки тому +3

    Kwake tumetokea na kwake tutalejea mwenyez mungu ampe kauli thabiti amiin.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 3 роки тому

    Dah pole sana ,mungu alipangalo akuna anayejuwa

  • @Kokafamil
    @Kokafamil 3 роки тому +2

    Very good day and sad day at the same time 😔 Anniversary yao itakua ni kilio every year this life eeee only god knows RIP mama

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 3 роки тому

    poleni Mungu awatie nguvu

  • @annaa.kijanjali7968
    @annaa.kijanjali7968 3 роки тому +5

    Tuombee sana familia zetu shetani hapendi Upendo.

  • @marylaizer5346
    @marylaizer5346 3 роки тому

    Pole sana kaka mungu akupe nguvu

  • @salehrashid6003
    @salehrashid6003 3 роки тому +1

    Pole sana mkuu kupoza kiungo muhim ktk maisha

  • @jeremiajohaziel4927
    @jeremiajohaziel4927 3 роки тому

    Inauma sana, pole sana Mc Pilipili

  • @jessicajamesjames5565
    @jessicajamesjames5565 3 роки тому

    Pole Sana Mc pilipili,

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 роки тому +1

    EE jamani poleni sana

  • @veronicadaudi5974
    @veronicadaudi5974 3 роки тому +1

    Pole sana😥 wew ni jasiri

  • @juliethhouseofdesigns147
    @juliethhouseofdesigns147 3 роки тому +2

    Duh poleni sana, jamani mhh, Mungu awe faraja kwenu

  • @christinafrancis2934
    @christinafrancis2934 3 роки тому

    Pole sana kaka Mungu awafariji sana.

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭 sina la kusema zaidi ya kusema poleni sana kwa kumpoteza pacha wenu mama yenu kipenzi chenu tulimpenda sana ila mungu kampenda zaidi tumuombee apumzike kwa amani

  • @rosaliamasungwa6173
    @rosaliamasungwa6173 3 роки тому

    😭😭😭😭😭😭pole kakangu mungu pekee atakufariji kakangu 🙏

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 3 роки тому

    Poleni sana wafiwa wote MUNGU azilaze roho za marehemu mahala pema peponi amina 🙏 pole sana MC pilipili

  • @vuminyamsaki4990
    @vuminyamsaki4990 3 роки тому

    Pole kaka mungu akupe moyo wa uvumilivu katikat kipind hich kigum

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 3 роки тому +9

    Mwanaume ni mwanaume tu daah umejikaza sana broo

  • @rukiabari9431
    @rukiabari9431 3 роки тому

    Poleni sana

  • @annamashiri3921
    @annamashiri3921 3 роки тому +1

    daa pole sana.

  • @mwanaidsalehe1109
    @mwanaidsalehe1109 3 роки тому

    Pole sana Mungu akutie nguvu.

  • @moreenkasekwa9737
    @moreenkasekwa9737 3 роки тому

    Pole sana kaka choz limenitoka

  • @agnesoqwaa9848
    @agnesoqwaa9848 3 роки тому +1

    Jaman pole sna mc pilipili na familia yote kweli inauma sana RIP mama zetu😭😭😭😭

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 роки тому +1

    Pole mc pilpil.mungu akupe subra na nguvu.lkn vip mliendelee na shughul jaman.ikiwa mama mahtuti. Ningeacha umc nkakimbia hospital.

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 3 роки тому +1

    Watu wanajaribiwa aise!! So far Pilipili ni kamanda.

  • @onesmochimeledya6744
    @onesmochimeledya6744 3 роки тому

    Pole sana broo Mungu awapiganie

  • @edithkiokomumbua4589
    @edithkiokomumbua4589 3 роки тому +1

    Pole sanaa kaka