Pole sana super star wa musical wa kizazi kipya.sasa tumia nafasi ya kupata uchawi wa kizungu ili kujilinda zaidi na njia zote ambazo zitasaidia kuyalinda maisha yako.
Pole kaka waliiba mali wakakuachia uhai ,akili ,mikono,miguu,na yote mungu aliyokubariki nayo ndo utazinunua zaidi na zaidi.nakuombea baraka tele maadui wakonde.God bless u.
Ongera sana mtu wanguvu #Millard Mana kuna bahazi yawatu wametoa habari mtandaoni czakwali Nko pamoja nawe popote kwahabar za kweli na uhakika. .....ahsante kwakutufungulia dunia
Pole sn kk Ally kiba sema alhamdulilahi mungu amekunusuru na hao watu wa shari na pia wamekudhurumuu Wamechukua mari zako ipo siku watavilipa vyote walivyokchukua na atakumbuka kuwa dhuruma si njema dhurma inaangamiza unapata na mwisho mbaya
Pole sana Ali kiba shukuru mungu walikuwacha kama uko hai vyote walivyoiba utapata nyingi zaidi na kila jambo linalo yendeka maishani mwetu ina maana so amin mungu na atakujalia na kukulinda
Pole sana Ali Kiba, superstars really need the best security , serekali lazima walishilikie ili jambo especially of this case where it is the third time happening, InshaAllah Kheir, Ameen
Alhamdullillah uko mzima,na pole sana Alikiba kwa yote yalokukumba najua ni miongoni mwa mitihani muhimu ushukuru mungu na Inshaa Allah mungu atakulinda zaidi.
kwakweli mungu amuhache wake, usiwe naofu mungu atakushindia tu. Pole sana tena sana, alikini ingekuwa muzuri atoke kwaza tanzania ahenda sehemu nyingine. shetani atashidwa tu kwa jina la yesu. kwakweli shetani ahana ahibu.
jamani uvivu na wivu acheni, na maisha ni kutafuta siyo kutafutana.Pole sana ALIKIBA ni bora wachukuwe vitu vyote wakuache ukiwa mzima tu na pia shukuru Mungu kwa kila jambo kila jaribu aikosi mlango wakutokea.
Mimi nisha vamiwa na waizi wa3 wakiwa na bunduki ukunda na nyumba niya get mbili alarm. Askari mbwa so tusidanga nyane ukiwa na hivyo huezi vamiwa mimi najua hivyo vyote mungu ndie hulinda kila. Binadam pole sana Ali kiba mungu ana kupenda sana na hayo nimapito na yata shindwa.
Du pole mwenyezi atakupa wepesi na amekunusuru kwa hilo muombe sana atakuepusha na mengine ,chululia swali sana na amini,japo wamekurudisha nyuma ila uwezi jua, insha'Allah
Pole sana alikiba, wale wanao kufuatilia na wajui ya kua pia allah anawafutilia pia ,heri binadamu akufutilie kuliko bingwa wa mabingwa ,but ucweke ulizi zaidi ya mola wako ,insha allah
pole sana kk ww sema alihamdulilahi tu muwachie mungu kani wao wamekuhifanzia na wawo winzi wakumbuke alowapa uwenzo ni mungu kwamanahiyo ipo siku yao moja tu in sha allah zamwinzi niarubaiini...
Mwenyezi mungu amekunusuru katika swala hilo, mungu atukuzwe sana, yeye huwalinda waadilifu wake popote pale walipo na huwatoa taabuni, mpe shukrani zake maana yeye ndo asitahiliye kuinuliwa, na vilivyochukuliwa vyote naimani kwamba utapata vingine zaid ya vile ulivyokua navyo, cha msingi wew endelea kusimama katika imani yako wala usihofu sana kwani commander wa majeshi yu imara
Mwenyez mungu awe nanyi pamoja na familia. What happens here will sure come to light and know the niggah behind all ya attack. Take heart pesa na mali ni vya kutaftwa.... pole sanaaaa
pole akhi mlinzi wako ni ALLAH wame iba sio wawache waibe ila iko siku watalipa in sha allah na ww allah atakuzidishia zaidi ya hapo bi idhini allah karim, wala usiogope kiumbe muogope aliekupa nafsi tu ambae nimuweza aliekulinda mpaka wakashindwa kuku dhuru . may allah guide u akhii at ally kiba
weka ulinzi mkali bhana ww ushajua kuna watu wanakuwinda tena mara ya 3 kwann unaishi bila ulinz wa maana sasa umbwa ana ulinz gan ww ni mtu mkubwa bhana na kumbuka kipaji chako kinawaumiza vichwa watu wengi....fanya kuzingatia hilo we love u kiba hatupend kuona upotea kizembe
Wewe unaye sema alarm Utabe bana na alarm ama mbwa mahali unapo end kuvamiwa na waizi nipopote wakipanga silazima ndani ya nyumba mungu ndiye kila kitu
dah!!! Kweli ktk hii dunia hatupendani....pôle sana kk yangu ally kiba...madhal umzima inshallah allah atakupa mara mbili zaid ya ulivyoibiwa...utavikuta vyote kwake manan..laaana tullah woté waliokufanyia wizi huo....
Hakika allah Yu pamoja nawe maan hii ni mara ya tatu kama kuua wangekua wamesha kuua lakina Kwa rehema za allah bado unaishi na utaendelea kuishi hakika allah bado Yuko pamoja nawe
pole ally maskin hao watakuwa wanakujua tuu yaan daah kweli bora wali tembele kuliko walimwengu wasomee albadili mara ya 3 bado unawanyamazia tuu wakomeshe tuuh
Pole sana Ali Kiba... Nguvu ya Mwenyezi Mungu ipo juu yako. Lots of love from Kenya. I really appreciate your good work
Pole sana super star wa musical wa kizazi kipya.sasa tumia nafasi ya kupata uchawi wa kizungu ili kujilinda zaidi na njia zote ambazo zitasaidia kuyalinda maisha yako.
Pole kaka waliiba mali wakakuachia uhai ,akili ,mikono,miguu,na yote mungu aliyokubariki nayo ndo utazinunua zaidi na zaidi.nakuombea baraka tele maadui wakonde.God bless u.
Pole sana mwenyezi Mungu atakurudishia ulivyoibiwa. Asante Millard ayo kutupatia habari Za uhakika , Mungu akubariki
Cecy MamaTanzania .
Allah mwema ilikuwa lini hiyo?
Ongera sana mtu wanguvu #Millard
Mana kuna bahazi yawatu wametoa habari mtandaoni czakwali
Nko pamoja nawe popote kwahabar za kweli na uhakika. .....ahsante kwakutufungulia dunia
Pole sn kk Ally kiba sema alhamdulilahi mungu amekunusuru na hao watu wa shari na pia wamekudhurumuu
Wamechukua mari zako ipo siku watavilipa vyote walivyokchukua na atakumbuka kuwa dhuruma si njema dhurma inaangamiza unapata na mwisho mbaya
Pole sana Ali kiba shukuru mungu walikuwacha kama uko hai vyote walivyoiba utapata nyingi zaidi na kila jambo linalo yendeka maishani mwetu ina maana so amin mungu na atakujalia na kukulinda
pole sn
pole sana, pendelea kusema hasbiya Allah minal wakil
Pole sana Ali Kiba, superstars really need the best security , serekali lazima walishilikie ili jambo especially of this case where it is the third time happening, InshaAllah Kheir, Ameen
pole sana brother kiba msisahau pia wakat wa kulala kuna duaa za kumuonba ALLAH atuepushe na vi2 mbali mbali
pole sana kwahilo...may God protect you from every corner coz ur a nice person Ali.
Alhamdullillah uko mzima,na pole sana Alikiba kwa yote yalokukumba najua ni miongoni mwa mitihani muhimu ushukuru mungu na Inshaa Allah mungu atakulinda zaidi.
Pole xana ndg yangu hayo ni mapito
XXX ya wanya
kwakweli mungu amuhache wake, usiwe naofu mungu atakushindia tu. Pole sana tena sana, alikini ingekuwa muzuri atoke kwaza tanzania ahenda sehemu nyingine. shetani atashidwa tu kwa jina la yesu. kwakweli shetani ahana ahibu.
Kiswahili tatizo?
Pole kiba Mungu akulinde msanii wangu wa nguvu💪
jamani uvivu na wivu acheni, na maisha ni kutafuta siyo kutafutana.Pole sana ALIKIBA ni bora wachukuwe vitu vyote wakuache ukiwa mzima tu na pia shukuru Mungu kwa kila jambo kila jaribu aikosi mlango wakutokea.
pole kakagu kwa yalio kupata yote mpe mungu ndiye mweza ya vyote Joyce kutoka kenya sifa kwako king kiba
Mimi nisha vamiwa na waizi wa3 wakiwa na bunduki ukunda na nyumba niya get mbili alarm. Askari mbwa so tusidanga nyane ukiwa na hivyo huezi vamiwa mimi najua hivyo vyote mungu ndie hulinda kila. Binadam pole sana Ali kiba mungu ana kupenda sana na hayo nimapito na yata shindwa.
Pole sana Ally kiba Allah atakunsuru inshallah,wamechukuwa haraka wamekuachia baraka palepale
Du pole mwenyezi atakupa wepesi na amekunusuru kwa hilo muombe sana atakuepusha na mengine ,chululia swali sana na amini,japo wamekurudisha nyuma ila uwezi jua, insha'Allah
Dah pole sana bro kiba mitihani tu ya dunia inshllh mungu atkulipia kaka.
Mda wako sasa kuomba chamoto serikalini.
Ule uchawi wa mzungu.
Pole sana Mungu akulinde milele nahao wabaya wanaokuwinda kiba
Pole sana alikiba, wale wanao kufuatilia na wajui ya kua pia allah anawafutilia pia ,heri binadamu akufutilie kuliko bingwa wa mabingwa ,but ucweke ulizi zaidi ya mola wako ,insha allah
pole sana kiba wetu mwenyez mungu akunusuru na waaibike na huko walipo wote wevunjike miguu
#pole San kak kiba Hila ushauli wangu Mimi jitaidi kuweka ulinzi wakutosha ata kama kipenzi chawatu maan Dunia sio mbaya walimwengu ndo wabaya
Pole sana.alikiba munguatakulinda unajuaukona maadui wen gi wanakufatilia lakinimuombe Mungu usiacha kuswali munguatakufungulia.barakazako
pole sana kk ww sema alihamdulilahi tu muwachie mungu kani wao wamekuhifanzia na wawo winzi wakumbuke alowapa uwenzo ni mungu kwamanahiyo ipo siku yao moja tu in sha allah zamwinzi niarubaiini...
pole Ali Allah akutangulie na familia yako Inshaallah.
Pole sana Kiba, Mungu ni Mwema atakulipia
Mwenyezi mungu amekunusuru katika swala hilo, mungu atukuzwe sana, yeye huwalinda waadilifu wake popote pale walipo na huwatoa taabuni, mpe shukrani zake maana yeye ndo asitahiliye kuinuliwa, na vilivyochukuliwa vyote naimani kwamba utapata vingine zaid ya vile ulivyokua navyo, cha msingi wew endelea kusimama katika imani yako wala usihofu sana kwani commander wa majeshi yu imara
Pole sana Ali kiba. . Mwenyezi Mungu can see all and He shall repay back for u..!
pole sana king kiba Hakika Mungu ni mwema atakusimamia ck zote
pole sana ndugu .....Neva loose ope no matter what UA enemies try 2 do they won't prosper
Pole saana Ali Kiba... Mungu yupo bado atakuzidishia mapato yako...
Inauma sana bro! Pole kwa yaliokufika.
Pole sanaa kiba Allah atakunusuru n kila shari in shaa Allah....hhhm
Pole sana ally bt mungu yupo pamoja na wewe hawaja kukata mikono kakaangu, kikubwa ni uhai wako pole kwa wadogo zako pia
Mwenyez mungu awe nanyi pamoja na familia. What happens here will sure come to light and know the niggah behind all ya attack. Take heart pesa na mali ni vya kutaftwa.... pole sanaaaa
Ali don't worry Allah with u
pole akhi mlinzi wako ni ALLAH wame iba sio wawache waibe ila iko siku watalipa in sha allah na ww allah atakuzidishia zaidi ya hapo bi idhini allah karim, wala usiogope kiumbe muogope aliekupa nafsi tu ambae nimuweza aliekulinda mpaka wakashindwa kuku dhuru . may allah guide u akhii at ally kiba
Pole San kaka yng kuwanasubir mungu atakulipa ulivyoibiwa insha'Allah 🙏
Pole xna kaka mungu azidi kukulinda inshaallah
Dont worry each one of them will pay the day of judgement just thank Allah you are still alife......wish you the best brother
Pole alkiba for real all the best ktka safar yko ya music men
pôle sana wata shindwa wew awata kuweza my king
Pole sana mungu yupo pamoja nawewe
Dont worry God is wth yu Alikiba awatakuweza
dah pole sana kama mungu akulinde na kila kitu nshaallah
2018:2019 twende sawa
Pole Ally Muombe sana Mungu akulinde.
Pole broo shukuran mungu upo salama
pole sana brother mungu atakupigania
Pole xana brooo!inackitixha ila mtegemee Mungu atakulinda na wabaya wte
Pole kakangu aky Allah akulinde
pole xana kaka alikiba mungu atakuzidixhia uckate tamaa kwa hayo yanayokukuta
Pole kakaangu mungu atakusaidia
daah pole sana kaka pia nashkuru kusikia mko poa mungu awalinde
pole my bro in Shaa Allah Allah wll. protect u
Pole sana my Dear brother, japo cku imepita
Pole kwa changamoto, yote Ni bifu ya maisha tu
weka ulinzi mkali bhana ww ushajua kuna watu wanakuwinda tena mara ya 3 kwann unaishi bila ulinz wa maana sasa umbwa ana ulinz gan ww ni mtu mkubwa bhana na kumbuka kipaji chako kinawaumiza vichwa watu wengi....fanya kuzingatia hilo we love u kiba hatupend kuona upotea kizembe
Pole sana #AliKiba....may God give you back what they stole and may He protect you too
Pole king kiba
duuu pole sana mungu akunusuru sheria ichukue mkondo wake
Pole Sana Alikiba Mungu atakuzidishia
Pole ana kaka mung atakuona dah pole
Pole sana kiba jmn muombe mungu atakusaidia na kukulinda
Wewe unaye sema alarm Utabe bana na alarm ama mbwa mahali unapo end kuvamiwa na waizi nipopote wakipanga silazima ndani ya nyumba mungu ndiye kila kitu
Pole bro mola akuzidishie
Pole broo
Pole sana hao watu wanakufa tulia Mungu hawalaani
Duh..pole alikiba shukuru tu baba, big up bro Millard
pole, Sana, helmikonga
Pole sana Ali kiba mungu yupo hai Amin hivyo lakini weka ulinzi wa Hali ya juu.
Alikiba. Pole.
Pole sana alikiba mungu yuko nawewe
dah!!! Kweli ktk hii dunia hatupendani....pôle sana kk yangu ally kiba...madhal umzima inshallah allah atakupa mara mbili zaid ya ulivyoibiwa...utavikuta vyote kwake manan..laaana tullah woté waliokufanyia wizi huo....
Maadui Ni wengi jamani muombe mungu Hawa walio iba siku vitawatokea puan malipo hapa hapa dunian
pole BLOO wangu ally kiba daahh inauma sana yani
Uwiii munguaangu weeeehi poren sana🙈
Pole sana alkiba may God bless u
Mhhh aisee pole sana
POLE SANA .ALI KIBA MUNGU ATAZIDI KUKULINDA .PIA ATAWAONGEZEA MAHALI NYINGINE WW NA JAMII YAKO
Vp
pole sn mungu akuride hadi mwisho
Poleee xna Kaka anguu mungu amekunuxuru na kifo
pole sana ali kiba mungu yupo atakutetea ktk hilo
lineth sume
NIKIANGALIA HII VIDEO NA NIKIMUANGALIA ALIKIBA SAA HIZI ALISOGEA KIMAISHA IS A BLESSINGS.
Hakika allah Yu pamoja nawe maan hii ni mara ya tatu kama kuua wangekua wamesha kuua lakina Kwa rehema za allah bado unaishi na utaendelea kuishi hakika allah bado Yuko pamoja nawe
pole sana ndugu yetu kipenzi chetu kwa yaliokukuta
Pole sana bro
mahasidi hao.kiba mungu yupo na ww na ayakukinga cku zote.muombe sana Ali kiba
Duh. Pole sana jomani 😢😢😢
oooh pole Sana Ali Kiba mungu aedelee kukuficha hawatakupata milele
Nampenda ju anaishi kihalali
pole sana lakini weka cc tv kako
King hiyo nyumba ni ndogo kwako
pole ally maskin hao watakuwa wanakujua tuu yaan daah kweli bora wali tembele kuliko walimwengu wasomee albadili mara ya 3 bado unawanyamazia tuu wakomeshe tuuh
Washindwe waja wa laaana pole xana kakaang Mungu azidi kklinda inshaa allah
pole Sana kiba
Pole sana King
Mungu mwema unapumua...pole sana
mungu akusaidie kakaangu ni majaribu yanapita
That's really sad....Pole sana Ali Kiba.
Pole sana kaka kiba.
hii ni Mara tatu,hatujui mara ya nne itakuwaje jamani,pole Ali,wewe ni muislamu,weka Allah mbele na dua kwa wingi,HAO NO MAHASIDI WAKO
Pole sana binadamu wabaya
Mmmmh hyo nyumba ustaa wote huo wanamtaka Mkeo achen kujitangaza Mitandaon ovyo kuwa majumban kwenu mnaishije, Fundisho
Pole sanaa mbora uko muzima
Mmmh Mungu mkubwaa pole sana alikiba umaarufu tabu na dunia ngumu