EXCLUSIVE ! MUONEKANO MPYA WA NABII TITO- SIPAKI TENA LIPSTIKI !! ASANTE GWAJIMA KWA KUNIFUFUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 514

  • @rahelgika3870
    @rahelgika3870 5 років тому +54

    Nasasa hivi ukiulizwa maswala ya ushoga, waambie yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, Amen.

  • @twitangetrading8719
    @twitangetrading8719 4 місяці тому +4

    Ameni, Sema mimi ni tito mtumishi wa Mungu kaa chini ujifunze Sasa neno kwa usahihi.Ukisema unajuwa huta juwa ,ukisema sijuwi Yesu atakufundisha Sasa

  • @rosemarysuwi9293
    @rosemarysuwi9293 Рік тому +4

    Furaha mwenye dhambi mmoja akitubu yesu akija tutakuja kwenda nae mbinguni..usihukumu usije ukahukumiwa mungu anawajua waliyo wake.hata iwaje watarudi2 ubarikiwe mtumishi gwajima umetumika vyema🙏

  • @vascostanleymbisse4477
    @vascostanleymbisse4477 5 років тому +53

    Mungu Hapendi hata mmoja apotee Bali waifikilie Toba ya Kweli....
    Jitahidi kushuka ili Mungu akuinue..
    Yesu Hashindwi kubadilisha Maisha yako..

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 5 років тому

      Nimelia saana

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 5 років тому +3

      Namshukuru Mwenyeezimungu Baba kwa kumponya huyu kiumbe wake na aibu ya Dunia Mwenyeezimungu Baba na atawale maisha yake mpaka siku ya mwisho wake

    • @dittozmusic9582
      @dittozmusic9582 5 років тому +1

      We jamaa mbona kama nakufahamu bwana vasco

    • @vascostanleymbisse4477
      @vascostanleymbisse4477 5 років тому

      @@dittozmusic9582 inawezekana tumeonana sehemu..

    • @dittozmusic9582
      @dittozmusic9582 5 років тому

      Uko wapi mtunishi

  • @sadickwalker2795
    @sadickwalker2795 5 років тому +21

    Jina la Bwana libarikiwe God bless you man of God.

  • @japhethmbusya4181
    @japhethmbusya4181 5 років тому +32

    Kaa karibu na mchu gwajima ,nyenyekea akukuze.he is a true servant of God.

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177 5 років тому

      Amen kabisa ,

    • @silviak3013
      @silviak3013 5 років тому

      Kweli kabisaaa

    • @msafiriaugustino2957
      @msafiriaugustino2957 5 років тому +1

      true servant anapimwa kwa maandiko be carefully

    • @loanyunitarakwa6432
      @loanyunitarakwa6432 5 років тому

      @@msafiriaugustino2957 🤣🤣🤣

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 4 місяці тому

      Huwa anaongea ukweli sometimes lakini sijawahi kuamini kama ni true servant of God, kuna wakati huwa namwona mzee wa fursa

  • @asherinashoni4526
    @asherinashoni4526 5 років тому +17

    Mngu akusaidie uishi kweli ya mungu, maana ujapotubu hata uwe na dhambi nyekundu mungu atakusafisha uwe safi kama dheruji

  • @eliawonimariki2489
    @eliawonimariki2489 5 років тому +3

    Mungu atukuzwe juu yako, nina imani ni wakati wako wa kuyafanya yale Mungu amekuitia, maisha yako ni ushuhuda tosha hata ukiongea kila mmoja atakuelewa, wewe utavua wengi katika jina la Yesu..
    Bwana akushike mkono mtumishi

  • @tausimhando6866
    @tausimhando6866 5 років тому +11

    Mungu ni wa wote wenye mwili,ukulie wokovu achana na mambo ya wanadamu,Gwajima askofu ubarikiwe sana

  • @dannysuley8337
    @dannysuley8337 5 років тому +9

    Safi kabisa jina LA Bwana libarikiwe!!!!

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 5 років тому +6

    Amina!
    Bw ni mweza .....
    Haikuwa kazi ya kawaida!

  • @jamilsalanga4193
    @jamilsalanga4193 5 років тому +37

    Ila jamaaa mungu ana kusud lake kukutumia, ipo siku mungu atakuinua sana.

  • @lordhavemercy8070
    @lordhavemercy8070 5 років тому +2

    Mungu akusaidia Tito, Nimejisikia vibaya kusema japo kuwa unamuaibisha shetani lakini bado ushoga umekusumbua! Mungu tutie Nguvu.

  • @addymoses4857
    @addymoses4857 5 років тому +9

    Najua mlkua mshaandaa hii project toka ktambo na gwajima ili mtengeneze biashara yenu ya kukusanya sadaka kwa wingi hata kwe2 south 2libe ivyo ktambo.. Ko tafuta funny nyngne sasa sawa we're after u broh we miss anoder funny..
    Tenk u and just continue 2 promote ur paster. Kama na ww umegundua na umeona hii ni biashara gonga like yako hapa.. Kwa uchungu

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 5 років тому +3

      You must have been their project manager who wrote the project proposal!

    • @helenjonsob5718
      @helenjonsob5718 5 років тому +2

      Addy Moses acha ushamba ! MUNGU anajitukuza alafu unaleta maneno maneno ushindweeeeee kwa jina la MUNGU aliekuumba

    • @chaudelechauchaudeee3347
      @chaudelechauchaudeee3347 5 років тому +2

      Co biashara mkaka...ucseme ucyoyajua

    • @nipher_21st
      @nipher_21st 3 місяці тому

      ​@@brigithadidas5128exactly he is talking something's that he isn't exactly sure

    • @MtambalaTv
      @MtambalaTv 2 місяці тому

      Huwenda Ni kweli unachosema ivi mtu anchukulie kawaida tu kusemwa vile live aaaaah sujajua Ila Nina mashaka

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 років тому +6

    Usirudi tena nyuma Kwa jina LA Yesu Amen

  • @nebatmwangomba8427
    @nebatmwangomba8427 5 років тому +5

    Amina Nabii Tito na Nabii Gwajima YESU awabariki sana Tito unaongea ukweli mtupu anayekupinga itakuwa karogwa tu

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 5 років тому +3

    mwewnyezi mungu akujalieee maisha marefuuu ili vizazi navizazi waoneee ushuuda wako I think umebadilika kweli titosambaza injili mtumishi wa bwana

  • @mstafagehonde5158
    @mstafagehonde5158 5 років тому +4

    Maneno yako Mungu akusimamie maana ulivyo unaonekana unania ya kuacha ila shetani huwa amuachii mtu kirahisi Mungu akusimamie sana nakuhurumia sana

  • @ramadhanimwanyumba2955
    @ramadhanimwanyumba2955 5 років тому +7

    Hongera sana nabii tito, ni maamuzi mazuri sana

  • @frankmalimba5539
    @frankmalimba5539 5 років тому +5

    Mungu akuongoze katika njia ya kweli

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 5 років тому +1

    Mungu akusaidie Tito...Songa mbele kwasaada wa Bwana Yesu

  • @chaudelechauchaudeee3347
    @chaudelechauchaudeee3347 5 років тому +2

    Tho uzd kubadilika Tito...may God be with you usirudi ulipotoka

  • @anithagilibert6808
    @anithagilibert6808 5 років тому +36

    aliye ona kitambi cha nabii Tito alipo simama like tujuane tuko wangapi tulio ona kitambi haahaah

    • @josephdaudi635
      @josephdaudi635 5 років тому

      Kitambii kimepinda et hahaha

    • @suzanpatrick2289
      @suzanpatrick2289 5 років тому

      kama sufuria la kulikua ugali wa wanafunzi shulee huhuhu kitambi mviringoo

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 років тому +13

    Kweli umajirekebisha maana ht uson umefifia hupaki mkorogo ss bac nyusi zikiiota uczichinge Tena mungu yu nawe

  • @thobiasmosha60
    @thobiasmosha60 5 років тому +5

    Yesu anaweza Mungu akujalie

  • @omaar5693
    @omaar5693 5 років тому +45

    Ebu hubiri tu sasa wakikuhoji kuhusu ushoga waambie no comment walete maswala ya kiroho tu sasa.

  • @hora8707
    @hora8707 5 років тому +25

    Nafurahi kukuona umebadilika Tito,Allah akulinde!

    • @maxwellking9399
      @maxwellking9399 5 років тому

      Hi Arafa, I hope you are doing fine...please lets keep in touchvia my email: mwegazi@yahoo.com

    • @smartvisualproductio
      @smartvisualproductio  5 років тому

      Amen amen asante

    • @hidayakambangwa3365
      @hidayakambangwa3365 5 років тому

      Arafa hora Abdulrazak aamin🙏🙏dad mung amnusur

    • @hora8707
      @hora8707 5 років тому

      Maxwell King will do that InshaAllah

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 5 років тому

      dada yangu Hora Assalaam alaikum...

  • @matunzozero9095
    @matunzozero9095 5 років тому +4

    Mungu akuongoze

  • @SnhZjhz
    @SnhZjhz 3 місяці тому +1

    Mm nimecheka sana halafu nimefurahi jamani Yesu anaweza hakuja lisilowezekana kwa Mungu

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 5 років тому

    Amen. Mungu akutie nguvu.. Uanze safari mpya.. Maana hata Yesu mwenyewe alisema tazama mtu akiwa ndani ya Yesu ..ya kale yamepita na tazama yamekuwa mapya.. Hata enzi za Yesu alikutana na hayo mambo... Tunaokolewa kwa neema tu ..hii dunia ni ngumu sana.. Wala usimnyoshee mtu kidole

  • @hajimnzava3423
    @hajimnzava3423 5 років тому +2

    Hongera Tito mungu akusaidie

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 3 місяці тому

    Aksante Mungu kumbadilisha mtoto wake Tito❤❤

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 5 років тому +3

    Utukufu kwa Mungu endelea kunyenyekea Mungu atakungua kabsa

  • @JayDeJevern
    @JayDeJevern 2 місяці тому

    Amina sana Mungu na akulinde na roho za visasi

  • @RatifaGrayson
    @RatifaGrayson 3 місяці тому

    Amen Mungu azidi kukutetea najua Mungu anajambo nawe ubarikiwe Sana

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 5 років тому +1

    Mungu akubariki mno ..Mungu akusaidie uvuke salama

  • @evajohn7001
    @evajohn7001 5 років тому +3

    usibadi muonekano wa nje tu hata muonekano wa ndani pia mungu akusaidie.

  • @yusufukazamba2391
    @yusufukazamba2391 5 років тому +26

    Ukiona MTU ana vita ya kiroho km Tito ujue kwamba ana kitu ndani yake

  • @magibomwita8134
    @magibomwita8134 5 років тому +3

    Umependeza sana

  • @alexmpanda2987
    @alexmpanda2987 5 років тому +3

    Mungu atusaidie sana.

  • @williamfavour2982
    @williamfavour2982 5 років тому +2

    Amina kubwa sana

  • @isackbaton3686
    @isackbaton3686 5 років тому +33

    Kwa watu wa rohoni nadhani tumemuelewa vizuri sana huyu jamaa

    • @shijabuluba9473
      @shijabuluba9473 5 років тому

      Isack Baton ajabadilika bado......mbona hizo NYU's bado zko HVO......nabii wauongo

    • @issabinmaryam7450
      @issabinmaryam7450 5 років тому

      Wengn watu wa mwilini ????

  • @twilumbakabelege3426
    @twilumbakabelege3426 5 років тому +3

    nimefurahi sana, na hongera

  • @magrethjohn8576
    @magrethjohn8576 5 років тому +5

    Mungu wa Mbinguni aendelee kukuongoza!

  • @sanuraissa2376
    @sanuraissa2376 5 років тому +6

    Gwajima gwajima mungu akuongezee nguvu ya uponyaji kwa wengine

    • @enzimpya4395
      @enzimpya4395 5 років тому

      Nyie wajinga sana gwajimaa!!!!mnampa utukufu gwajima badala ya MUNGUBABA ambaye amefuta ushoga

    • @msafiriaugustino2957
      @msafiriaugustino2957 5 років тому

      who is Gwajima by the way ana kitu gani cha ziada zaidi ambacho kinafanya mwanadamu apewe utukufu usio wake. hapa kuna namna sio bure kwenye ukristo huu wa maigizo

    • @sanuraissa2376
      @sanuraissa2376 5 років тому

      Tatizo la watu wenye stress nikupenda kukurupuka kwani mmesoma au mmesomewa na mtu?! Maana amnasehemu aliyosifiwa kuambiwa ananguvu zaajabu bali inasomeka mungu amuongezee nguvu yakusaidia wengine sababu mbaka Tito kavua ilekanzu kanyoa nywele na anaongea maneno ambayo kidogo ayana vurugu nikwamba gwajima alitumiwa aifanye iyo kazi tunaomba iweyamuda mrefu sasa someni vizuri ndio mjibu

    • @enzimpya4395
      @enzimpya4395 5 років тому

      Wewe hatuna stress dada wewe tuna ufahamu tofauti na unavyodhani kwa nn ameshindwa kusema namshukuru MUNGUBABA kwa yote yaliyotokea badala sijui GWAJIMA kitu gani gwajima........sisi tunamjua MUNGUBABA kila jambo yeye ndo wa kusifiwa.......

    • @enzimpya4395
      @enzimpya4395 5 років тому

      Eti gwajima ana nguvu za ajabu😠😠😠!!!ujinga mtupu

  • @eliascharles6414
    @eliascharles6414 3 місяці тому

    Amen 🙏 MUMGU akulinde

  • @titosebastiane8857
    @titosebastiane8857 5 років тому +2

    Wajina hongera

  • @thobiasmosha60
    @thobiasmosha60 5 років тому +2

    Mushukuru mungu sana. kwenye hilo

  • @williamkivulenge3081
    @williamkivulenge3081 5 років тому +2

    Mungu mwenye nguvu, anakubadilisha atakavyo.

  • @faridashaban8853
    @faridashaban8853 4 роки тому +1

    Amina mungu akubariki

  • @israelpetersiame3333
    @israelpetersiame3333 5 років тому +8

    ubarikiwe tito kwa mwonekano mpya

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 5 років тому +8

    Endelea kuomba sana mtumishi mungu yupo pamoja nawe

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 років тому +22

    Ili jina la nabii tito nalo liache.......JIITE WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU TITO

  • @maryemanuel5263
    @maryemanuel5263 5 років тому

    Kiukweli Tito wewe unasema ulikuwa Na mapepo Ila umeokoka kiukweli nakubaliana Na wewe sikupingi ila kwa upande wangu bado naona uko Na shida kiroho Na kiakili bado unahitaji msaada Wa kulelewa kiroho Na kisaikolojia hauko sawa acha kujiita nabii

  • @furahamwatwinza9560
    @furahamwatwinza9560 5 років тому +4

    Mungu wetu anampenda kila mtu!

  • @nancymwangi4886
    @nancymwangi4886 5 років тому +5

    For I know the plans I have for you says the Lord

  • @godfreylyimo4177
    @godfreylyimo4177 5 років тому +18

    Unatoa ushuhuda mara ya pili sasa. Mtu wa Mungu mtafute Mungu sasa na usilitukane jina la Kristo

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 років тому +6

    Mungu ni mwema na anawajua walio wake

  • @imaniamani7671
    @imaniamani7671 5 років тому +1

    Hongera sana

  • @Monika-n5j
    @Monika-n5j 2 місяці тому

    Mungu akutiye nguvu songa mbele

  • @lissamagige1135
    @lissamagige1135 3 роки тому +1

    Amen Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu

  • @Catemworia
    @Catemworia 3 місяці тому

    Glory be to God kama huyu ni Tito 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @angelonesfory8378
    @angelonesfory8378 3 роки тому +1

    Nakutukuza Mungu unaefanya yakushangaza

  • @zahratinsaleh1004
    @zahratinsaleh1004 3 роки тому

    Kwa ss waisilamu utasema mashallah Mungu akuvuwe na majanga akusamehe makosa yote

  • @gloriamichael3698
    @gloriamichael3698 5 років тому +3

    Shangilia Yesu aliye hai amen

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 3 місяці тому

    ❤kwa Muñgu hakuna kitu kinashindikana

  • @chengobabahk3901
    @chengobabahk3901 Рік тому

    The guy is real! Confession is not something easy,stop judging guys and give glory to God, amen 🙏🙏🙏

  • @lamecklameck8921
    @lamecklameck8921 5 років тому +3

    mungu akusaidie tu mana inaonyesha kuna tatzo kdogo ktk akil yako

  • @elizabethmamboleo3190
    @elizabethmamboleo3190 5 років тому +2

    Mbwana asifiwe Tito usirudi nyuma ulikotoka ww endelea mbele kwa msaada wa Mungu Amina

  • @mynameisindicated
    @mynameisindicated 5 років тому +6

    We bado sana. Endelea kusali sana.

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 5 років тому +1

    Hongera

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 5 років тому +1

    Mwenyezi Mungu akuongoze 🙏🙏

  • @glorykweka1631
    @glorykweka1631 5 років тому +12

    Nyoa nyusi zote we Tito ziote upya maana huo muonekano bado hauridhishi

    • @shijabuluba9473
      @shijabuluba9473 5 років тому

      Glory Kweka ajaokoka bado.....hzo nyuc ametengeza mwenyew bado ajabadlika ....tuwe makin

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 років тому

    Mungu ni mwema, Bwana ni mwema ni ngome siku ya taabu, naye huwajua hao wamkimbiliao. Sasa ww Tito hakikisha unamfuata Yesu kwelikweli, mkamate kwa akili zako zote..naye atakuwa pamoja na ww kwasababu yeye ni mwema. Amen. Mungu awe pamoja na ww.

  • @calvinyeliasi7658
    @calvinyeliasi7658 5 років тому

    Hakika mungu yupo kazin ashukuliwe

  • @majaliwamsigwa3974
    @majaliwamsigwa3974 5 років тому

    Mungu akusaidie kwani kama umebadilika jiweke wakfu kwa Mungu,chukua hatua zaidi ya kujazwa Roho mtakatifu,atakuongoza ktk kutenda mema

  • @JenniferDenis-q9z
    @JenniferDenis-q9z 17 днів тому

    Mmmmh mwenzenu uyu baba naona kama afsa usalama ivi Mungu tusaidie

  • @fatuma5208
    @fatuma5208 Рік тому

    Mungu.akusimamie.zaid 😭😭😭

  • @mamertarweyemamu3438
    @mamertarweyemamu3438 2 місяці тому

    Amina.

  • @madamrittar8943
    @madamrittar8943 5 років тому +1

    Amen athante mungu

  • @nessa4899
    @nessa4899 5 років тому

    Songa mbele Mungu akusaidie zaidi

  • @lazackbrown1645
    @lazackbrown1645 5 років тому +2

    Naona kuna watu wanaleta udini hapa ..Ndugu zangu udini unatusaidia nini? Watu inatakiwa tuwe na hofu ya Mungu wetu na sio kuzungumzia udini udini wetu haifai kabisa...cha msingi tumuombee Tito awe mtu mwema tusimnyooshea vidole tu Mungu hapendi...anataka kila mtu aifikirie toba kila mtu ana dhambi zake

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 5 місяців тому

    Mungu azidi kukusaidia na akutie nguvu

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 5 років тому +6

    Mshukuru mkono wa baunsa... ule si mchezo

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 3 роки тому +1

    God is great

  • @angeljovanholyjovan7086
    @angeljovanholyjovan7086 5 років тому

    Kanisa rohoni ni lile lilojengwa kwenywe msingii wa yesu kistro ambyo ni toba ya kwelii kma umetubu kweli na kwakumanisha munguu atakusamhee

  • @paulwilbertp2095
    @paulwilbertp2095 3 роки тому +1

    God iz great all time

  • @lewinakilana7375
    @lewinakilana7375 3 роки тому +1

    Ameen

  • @sadickrajabu1191
    @sadickrajabu1191 5 років тому +2

    Mungu yupo kabisa kamsaidia ndugu yetu

  • @deusdedithsalvatory465
    @deusdedithsalvatory465 5 років тому

    Mungu akusaidie hakika umebadilika imani IPO katika matendo ongeza spidi kumtafuta Mungu naye atakuongoza katika mema.

  • @KP-kn2no
    @KP-kn2no 5 років тому +6

    Katika mambo umefanya hili la maana sana

  • @mwiguluelias3018
    @mwiguluelias3018 5 років тому +3

    Mungu haziakiwi we Jamaa unayejiita nabii Tito ,,,,,,,,,,unafanya kiki na maigizo Kwa neno na Kazi ya bwana ,,,,,angalia sana,,,,mungu hachewi bora kama utaka kujulikana uwe mwingizaji na Si kujifanyiza Kwa mambo ya God

  • @shedrackmgude5972
    @shedrackmgude5972 5 років тому

    Amina MUNGU ni mwema

  • @zaitunali2208
    @zaitunali2208 3 роки тому +1

    Maashaallah 🤝

  • @henrymlandali9187
    @henrymlandali9187 5 років тому +1

    Mungu mwema akusaidie uukulie wokovu wa kweli

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala 5 місяців тому

    Amen sana

  • @meryraphael5298
    @meryraphael5298 5 років тому

    Mmmmmhhh,Mungu naakuone kweli maaanaa mhhh

  • @asnalially6799
    @asnalially6799 5 років тому +1

    Hapo sasa kawa smart

  • @yshamwilima3301
    @yshamwilima3301 5 років тому

    Umebadilika hadi sura,allah akuongoze

  • @gospokwetutz834
    @gospokwetutz834 5 років тому

    Mungu akutie nguvu