BARABARA YA USAGARA - MWANZA MJINI KUJENGWA KWA NJIA NNE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 16

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 12 днів тому

    Hizo ni kodi zetu. Na hiyo ni kazi.yenu kwa vile mnakusanya pesa yetu

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 12 днів тому

    Waziri acha siasa mkanda Rasi nae anatafutwa ?

  • @denisbuchard6211
    @denisbuchard6211 15 днів тому +1

    Kiukweli Kabisa Mwanza serikali hamuitendei haki yaani barabara zote nI vichochoro na makorongo kibao kila siku vilaka juu ya vilaka wakati ndo jiji la pili kwa ukubwa.Ni aibu kubwa sana.

    • @AmosiTimoteo
      @AmosiTimoteo 13 днів тому

      Ajabu sana wakati Arusha ni jiji la tatu lakini lina barabara ya njia 4 km kama 40 hivi

    • @abdallahhussein1918
      @abdallahhussein1918 13 днів тому

      Vichochoro kabisa
      Ata anavyoongea sidhani😂

  • @AmosThomas-fq7fy
    @AmosThomas-fq7fy 15 днів тому

    Izi barabara za mwanza musoma mwanza shinyanga zinataka njia nne

  • @jworld1480
    @jworld1480 15 днів тому +1

    hii barabara imesemwa miaka 3 sasa imepita inatengenezwa mpaka leo jaman

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 14 днів тому +2

    Huwo ujengaji wa huyo barabara uwe wa mcholo sio wa kusimama barabarani wa kienyeji ubuniwe wewe ulega ni waziri wa Ujenzi

  • @raphaelrwakimwaga7995
    @raphaelrwakimwaga7995 15 днів тому +1

    Kwann uwa mnasubl kwenye uchanguz?

  • @nashonjoel20
    @nashonjoel20 15 днів тому +1

    Mwanza ni Jiji la pili kwa ukubwa,idadi ya watu ni Kubwa sana. tusaidie hizo Barabara za USAGARA-MJINI na KISESA-MJINI ziwe njia nne kusaidia wananchi kusafiri. Tano Tena kwa Dokta Samia

  • @Yonabangilidaniel
    @Yonabangilidaniel 14 днів тому

    washenzi ninyi mshaga tufanya vilaza wa Kudangadanganya tu ili mjipatie madalaka kupitia cc hatuwataki

  • @MACHAGGECHACHA
    @MACHAGGECHACHA 14 днів тому

    Kwa nini ijengwe sasa? Mlikuwa wapi tangu Magufuli kuuwawa? Acheni ujinga vali wadanganye vilaza. Mnajua mwaka huu uchaguzi hamshindi.!!!!!