That guy shouldn't look for that woman,hata mama mkwe amesema hatabui huyo kijana,arafu ako na tamaa ya pesa mjingaaa, May God give that man a wife he deserves him
The mum is bitter about her own things, she just said that she had never seen the dude n now she wants to see him bringing back the daughter, and want to sue him n want cash? Materialistic PASTOR lol😂
Huyo mama ni mkorofi, sasa ndg Gidi Kwa nini usimtetee?? Hata kama ni mzazi wakikosea nao inabidi tuwaseme pia. Halafu eti ni mchungaji. Sasa kama hawajafunga Ndoa anamdai vipi Kwa huyo kijana??
Nataka kupatanishwa na mama mkwe anaweza kuwa na Miaka 21 kupazia Ako nakazi Tena Ako tayali kuunga familia Sina uwezo wakuwapigia simu lakini anaweza kuandika nambari zake Kwa comment yangu tutazungumza Mimi natoka Rwanda
The lady is stupid, katoka KwaZulu Evans kashaenda kwa mwengine pia huko hajachumbiwa ywapigwa atazalia Kenya nzima. Arudi kwa mamake mzazi angojee achukuliwe kihalali
Wewe mama ni mjinga.pepo wewe.msichanako atakuwa single milele na milele.atakuzalia wajukuu kwa hiyo boma yako mpaka utajuta.kijana wachana na hao watu.mtoto atakuwa mkubwa atakuja
A very wise woman
Huyu mama is so hard on the guy,the lady is over 18,huyu jamaa is so humble
😂😂😂😂😂😂 nmekwama kapo kwa elf moja 😂😂
The first one to comment. Please give me some likes
Naomba kupatanishwa na Mkewangu tulieachana miaka mbili SASA.
Gidi hapendi mchezo kwa wale waume hawajalipa mahari😂😂😂
😮 the guy is humble and asked humbly. Mbona uyu mama hakuweza kumpa chance juu wako na mtoto wake? Mama mbaya!
Huyo mama anajua kwenye msichana yuko
Ati na ni mchungani mwitu😅 lol
A guy who can not even go to your home and pay brideprice is humble 😂😂😂😂wake-up
Kumbe mchungaji ana njaa 😀😀 dah!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gidi nd fupisha stori ni rafiki 😂😂😂😂😂
Mama mkwe ni more 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
That guy shouldn't look for that woman,hata mama mkwe amesema hatabui huyo kijana,arafu ako na tamaa ya pesa mjingaaa, May God give that man a wife he deserves him
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ak ghost wew siku moja utafanya nicheke kwa matanga
Mmm hiyo family iko na maneno huyo kijana ajipange tu
Ghost unaeza cheka mtu afaint 😂😂😂😂😂😂 mama anaongea vibaya kama mwenye hana mtoto kijana 😢
😅😅😅😅
Mama mbona sasa unataka 1000 ya mwendawazimu
Wajaluo tafadhali, Patanisho ni ya Mashemeji, tokeni hapa prisssss, ukwodo wii jii, jowa! Pthooh
Huyu kijana n mpole sana
Alafu huyu mama anataka kumumisuse
Eti vile unajua watu wanasikika kwa radio pia wewe unataka kusikika😅😅😅😅huyu mama ni wire 😅😅😅😅
Huyo kijana ameasha moto😅😅😅😅😅😅😅😅
Ety mchungaji😂😂Wacha nikae kwa nyumba
Umweke ndani kwani wewe ni police😂😂😂
Huyu mama ni pst? Surely hii dunia hata forgiveness ni pesa?!!! 😮😮😮😮
Huyo mchungaji ndie kichaa
Halafu Gidi anapenda kugeuzia majamaa kesi sana, anaonea wanaume hadi anaharibu kila kitu. Whiiippss for Gidi 😅
Huyu mama waaahh😂😂😂😂
Mama ako right
@@emilysawayi5787 anaita kijana mwendazimu na msichana yake ako na mtoi wake alafu anataka pesa ya mwendazimu aaaaaiiiihhh yawa.
The mum is bitter about her own things, she just said that she had never seen the dude n now she wants to see him bringing back the daughter, and want to sue him n want cash? Materialistic PASTOR lol😂
Huyo mama naye is a no go zone eti elfu Moja ya nini sasa
Tuma eflu moja kijana lasivyo utawekwa dani,mama anapenda pesa
Tuned in 😂😂😂
Gidi eti huumm 🤣🤣🤣kijana utachukuliwa atuwa
Huyu mama ni mchungaji wa kanisa gani hiii? Very embarrassing!
Mchungaji anatusi Mtu hivyo? It’s wrong!
ndo mana bibilia iliwaita mbwa wachungaji
Mchungaji matako sana
Sasa anaenda kurudisha msichana aje na mama mwenyewe anasema hamtumbui,hawajaooana.Huyo mama ni bure kabisa anataka tu pesa.
Fanya ndoa.leta kitunyumbani ndio useme unataka mtoto.hakuna mtoto wa free
Vile mimi ni mama huyu mama ameona hyo boy hana pesa ndio maana amejibu hivo olikhumbayo uko kwa mchezo lakini angekua na doo ungekubali, Nkt
Kijana atafute mke, huyo mwingine hata angemuua na suju.
Huyo mama ni mkorofi, sasa ndg Gidi Kwa nini usimtetee?? Hata kama ni mzazi wakikosea nao inabidi tuwaseme pia. Halafu eti ni mchungaji. Sasa kama hawajafunga
Ndoa anamdai vipi Kwa huyo kijana??
Nawewe unaweza aje tusi mtu vile amekonda kweda nauko
😂😂😂😂😂
Ati pastor 🙄 huyo mama ni mkora tu kama huyo mschana wake 😏😏
mama mkwe amekua commercialized.
First should worry about the relationship and meeting the parents. Respect first, mahari later. Mahari doesn't sustain marriage.
Wacha kijidanganya,it does,hawa watu wote wamekosana uki notice hawajatoa mahari.ndio wanaambiwa hawarambuliki.
@@RrrrRrrrwrw-wn3jj I never said that one shouldn't do it but, that's not the first thing that makes marriage last.
Nataka kupatanishwa na mama mkwe anaweza kuwa na Miaka 21 kupazia Ako nakazi Tena Ako tayali kuunga familia Sina uwezo wakuwapigia simu lakini anaweza kuandika nambari zake Kwa comment yangu tutazungumza Mimi natoka Rwanda
The lady is stupid, katoka KwaZulu Evans kashaenda kwa mwengine pia huko hajachumbiwa ywapigwa atazalia Kenya nzima. Arudi kwa mamake mzazi angojee achukuliwe kihalali
Mchungaji mwitu.
When posting the videos would you mind edditing out ghost's laughs??
I really hate the laughter
Huyu ni mchungaji?
Mchungaji wa wapi huyu omg...fake pastors ..this not way you talk
sasa huu ni uchungaji gani? matusi tupu, son inlaw unamtusi na wewe ni mluhya?
Mchungaji arrogant,mama watch your speech
Wewe mama ni mjinga.pepo wewe.msichanako atakuwa single milele na milele.atakuzalia wajukuu kwa hiyo boma yako mpaka utajuta.kijana wachana na hao watu.mtoto atakuwa mkubwa atakuja
Very true mama shetani sana hawa ndio wale wamama wanakulia Watoto kwa wanaume
Hawa wanawake ni makende sana wako na maringo sana wakwende uko
😂😂😂uko na makasiriko
@@qharolefrancie587 amewashwa heee😂😂😂😂😂
Acha kuichukulia too personal stress itakumaliza😂😂🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂