EX-WIFE CAR IS ON SALE… ANGIE WILL BUY HERSELF A BETTER CAR THAN THIS ONE💔🙏

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 467

  • @Angieandbrighton
    @Angieandbrighton  9 місяців тому +8

    Subscribe❤ ua-cam.com/video/1g68uamQ1qY/v-deo.htmlsi=jC2hI3Mrw0XKhpka

    • @kadzosaid9376
      @kadzosaid9376 9 місяців тому +4

      Siku hiyo kiburi itakuisha ndipo utajuwa maana ya bibi yako sahii endeleeni t naupuuzi zenyu siulimtumia ukapata pesa sahii unamuona siwamaana

    • @christinekelly8756
      @christinekelly8756 9 місяців тому +3

      Ur very heartless 😢

    • @Emnaibei-bp6fk
      @Emnaibei-bp6fk 9 місяців тому

      Wewe ni mwanaume kumbavu sana you don't deserve to be a kenyan.

    • @HappyAstroStation-zg5rc
      @HappyAstroStation-zg5rc 9 місяців тому +1

      Date kisii at your own risk 😢

    • @QueenCheru
      @QueenCheru 9 місяців тому +1

      Nimekuchukia ya kutosha mwaume mjinga 😢😢😢

  • @josphineorawo4851
    @josphineorawo4851 9 місяців тому +76

    I come to realize that ur not man enough kumbe aggy B alivumia tu ndiyo maana mschana ya wenyewe amekonda ivo.

    • @cherotichsheila2080
      @cherotichsheila2080 9 місяців тому +3

      I hope he sees too,,he's not a gentleman

    • @monirangerera7155
      @monirangerera7155 9 місяців тому +2

      Ndiyo zamani alikuwa mnene ana afya nzuri kakonda kabaki mifupa

    • @fridahfridahsabasi6833
      @fridahfridahsabasi6833 9 місяців тому +1

      Nilikwambia huyu ni mwizi hamkusikia mlinitusi on Sasa

    • @lucywakio7572
      @lucywakio7572 9 місяців тому

      Agrown up anatesa aje mama y mtoto wake alfu ivo unavuta maneno kwani unajifunza kuongea amh

    • @emmaculatemutuku1823
      @emmaculatemutuku1823 9 місяців тому

      @@lucywakio7572mwanaume jina tu ,bureee umetumia msichana wa wenyewe akawa kama chupa sasa hivi kumtupa ,utajalia muache tu

  • @emilynyaberi5875
    @emilynyaberi5875 9 місяців тому +40

    Give the car to her if she decides to sell, she can do it for herself

    • @faithnyaga4665
      @faithnyaga4665 9 місяців тому +1

      but obviously the logbook doesn't read her name nizile tu za" I gift my wife with a.car"

    • @emilynyaberi5875
      @emilynyaberi5875 9 місяців тому

      @@faithnyaga4665 ooh now I get it, zile vipindi

    • @Ashinagaltoto7876
      @Ashinagaltoto7876 9 місяців тому

      ​@@faithnyaga4665.... True so even if she gets it... definitely she can't sold it.....😢😢😢

    • @cellinakangaijulius5015
      @cellinakangaijulius5015 9 місяців тому

      Pl ur vry useless seriously.lf you're really a gentleman give Ange b her car she's going to sell herself please.. don't 4get the lady ave arldy given u a vry btfull baby...

    • @faithkoome3806
      @faithkoome3806 9 місяців тому +2

      Huyu asituletee akwende uko hiyo sio heshima 😏😏

  • @drinnerfuraha1161
    @drinnerfuraha1161 9 місяців тому +36

    The pride of this man is on highest level

  • @WinnieWaweru-i7h
    @WinnieWaweru-i7h 9 місяців тому +32

    PL my ex-husband alikuwa kama ww maringo kama yako after a marriage of 9yrs alinifanyia vile umefanyia mke wako lakini mungu c mamako kilimramba vizuri sasa hivi ako n ukimwi pesa zikaisha so soon kitakuramba make my words 😢😢😢

    • @lenahkarambu2465
      @lenahkarambu2465 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Jjj-g4f
      @Jjj-g4f 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @saudatoto3010
      @saudatoto3010 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂

    • @saudatoto3010
      @saudatoto3010 9 місяців тому

      Acha nimu anblock ananikera

    • @damariswanjiru2103
      @damariswanjiru2103 9 місяців тому

      Walai hii mateso unapitishia Angie kitakuramba

  • @LinetKerubo-h1x
    @LinetKerubo-h1x 9 місяців тому +22

    What if tuamue kukuunfollow sisi zote,wacha kufanyia bibi yako hvo na machozi yake yatakuangusha mbala utashangaa mungu halali

    • @magdalene-f4j
      @magdalene-f4j 9 місяців тому +4

      Tumngoje atangaze ako single tu unsubscribe

    • @judithajiambo3199
      @judithajiambo3199 9 місяців тому +1

      Mimi nishachangamka huyu kijana kiburi ni mingi

    • @Jessicabrown187
      @Jessicabrown187 9 місяців тому

      Hio n utoto Mimi siez ingililia mambo ya ndoa ya watu cjui

    • @graciabush6612
      @graciabush6612 9 місяців тому

      ​@@Jessicabrown187utoto na sura mbaya😅😅😅

  • @esthernaisola-m
    @esthernaisola-m 9 місяців тому +30

    Pl si ata ukumbuke kauzuri kadogo ashai kufanyia.......enyewe mschana wa wenyewe anaumia musamehe tu

    • @catekikuva4767
      @catekikuva4767 9 місяців тому +1

      Sure

    • @fridahfridahsabasi6833
      @fridahfridahsabasi6833 9 місяців тому

      Mlimtetea ukiwambia ukweli ona sasa waja kiwarambe

    • @SaDss-m6t
      @SaDss-m6t 9 місяців тому

      Mens nowadays they don't care ata kama mlianza kudate mkiwa primo, Angie angekua na job hii kulia yote angukua analia ni juu anashindwa ataanzia wapi

  • @emilynjue6907
    @emilynjue6907 9 місяців тому +2

    Pl pride comes before a fall the tears of that girl will not just go like that.wait just a little while. Count your blessings young man on a maali umetoka tell God thankyou sio uweso wako.

  • @kindakaiser3193
    @kindakaiser3193 9 місяців тому +21

    Siuongee tu vizuri hiyo kiswahili yako ya upuzi imesinya

  • @ElsyMugambi
    @ElsyMugambi 9 місяців тому +3

    The pride to this guy,,i assure you Brighton this the starting of you're downfall mark this day well because you will regret brother,,if your not going to humble in this earth,,dunia itaku humbel😢😢

  • @tophistahkanini2444
    @tophistahkanini2444 9 місяців тому +11

    So unajivunia ukitendea mwenzako mambaya mungu wa angieb yupo

  • @joycenjoroge7384
    @joycenjoroge7384 9 місяців тому +27

    Clout chasing

  • @kyaloeric5482
    @kyaloeric5482 9 місяців тому +4

    Mkisiii akipata pesa kidogo

  • @IvyGesare
    @IvyGesare 9 місяців тому +22

    Hipo siku utamkumbuka and it will be too late

    • @mayahgomez
      @mayahgomez 9 місяців тому +1

      Huwa haikawii mungu huwachapa fimbo by then huyo angi b ndo hutafutwa

    • @mayahgomez
      @mayahgomez 9 місяців тому

      Ndo ujuwe wana ujinga

    • @mayahgomez
      @mayahgomez 9 місяців тому

      Mm sitawai tetea mwanamme

    • @DalvineNafula-cd8yb
      @DalvineNafula-cd8yb 9 місяців тому +1

      Wacha atangaze ujinga yke ipo siku

    • @mayahgomez
      @mayahgomez 9 місяців тому

      Dat wld shld not evn dare shed tears bcz of a man akae ngangari na cha kwanza aeke mbele ni mtoi wake hata kama atalala mwitu bt alale na mtoi wake

  • @RobbyMukonjero-rp5gt
    @RobbyMukonjero-rp5gt 9 місяців тому +2

    My son please dont do that,dont leave ur wife uko na mtoto please,munaeza ongea,mumetoka mbali na yeye pls.

  • @iddimohamed1975
    @iddimohamed1975 9 місяців тому +6

    Pple don't support this guy he's a example to the society, kiburi ya bure,kwenda kabisa uko na roho mbaya sana

  • @christinekelly8756
    @christinekelly8756 9 місяців тому +1

    Akii wewe Angie B deserves better honestly you don't deserve her at all😢i hate seeing this lady in pain i want her to be happy Team Angie where are you guys is this really good 😢💔

  • @gatheringstore7537
    @gatheringstore7537 9 місяців тому +3

    Ww broo jaribu kuheshimu mungu pesa ickutawale utajuta

    • @Moh-v6b
      @Moh-v6b 9 місяців тому

      Hajui Ivo uyo ni kitoto kikarefuka Tu....😏😏

  • @lenahkarambu2465
    @lenahkarambu2465 9 місяців тому +1

    Pl my brother come down dear tumeona wengi sana kitakuramba wooye, don't joke with first wife 😢😢😢

  • @CharityNaswa
    @CharityNaswa 9 місяців тому +5

    Brighton pl, mbona unafanyia Angie ivo,,,mungu akunekaniee😢,one day u will pay for her tears 😢

    • @fridahfridahsabasi6833
      @fridahfridahsabasi6833 9 місяців тому

      Vizuri Sana cos we told you huyu kijana ni wa kwetu ni mwizi nlinitusi kiwarambe 😂😂😂

  • @nanyamanganga3868
    @nanyamanganga3868 9 місяців тому +1

    Mbona usimpe gari jamani juu ulikuwa umemnunulia yy

  • @iddimohamed1975
    @iddimohamed1975 9 місяців тому +3

    Uko na roho chafu Sana God atakushusha how can U do that to that girl na mtoto wako?

  • @KelcyNjoroge
    @KelcyNjoroge 9 місяців тому

    I hope you know that pride comes after a fall. Kumbuka mungu havai short kama ww.

  • @fidyayu
    @fidyayu 9 місяців тому +10

    Unangangana na zawengine kwa layolty na kwako kunakushinda😅😅😅

    • @userkemmy
      @userkemmy 9 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂 wako content km Diana na Albert

    • @DalvineNafula-cd8yb
      @DalvineNafula-cd8yb 9 місяців тому +1

      Sasa anatangazia nani ako single 😂😂😂 mwanaume mjinga sana

    • @delishabeaut3366
      @delishabeaut3366 9 місяців тому

      True

  • @Ciku-y6l
    @Ciku-y6l 9 місяців тому +3

    Nyinyi hamjui chenye amepitia na uyu mwanamke before u judge Brighton think twice .. before mtu aamue kufanya jambo anakuanga amefika mwisho Soo guys wacha kumjudge anajua kwnn afanye Ivo go ahead my brother I know the pain ur going through 😢

    • @childofgoddorsila5338
      @childofgoddorsila5338 9 місяців тому

      Wewe ndoa ni kuvumiliana, do you stay with them ndio ujue? Please usione mwenzako akianguka umsupport. Anyway nowadays hakuna mwanaume ama mwanamke atalelea mtu mtoto for the shake of the baby let them look for the solution

    • @saudatoto3010
      @saudatoto3010 9 місяців тому +1

      Kwanza ww umeoa ama unachochea tu

    • @lindauma982
      @lindauma982 9 місяців тому +2

      Hyu nikama anataka brighton ndio maana ana mwambia ujinga nkt😢

    • @dorcusmutemi9902
      @dorcusmutemi9902 9 місяців тому +2

      Wewe unakaa unamtaka, enda umchukue wembe ni ule ule

    • @joywycliffe
      @joywycliffe 9 місяців тому

      Hkn mtu perfect pl usifanye mtoto wako aende kulelewa na mwanaume mwingne juu ya some mis understandings just relax both of you na muendelee na maisha plz kindly hasira n hasara,,, for the sake of ur daughter think twice pl

  • @CharityNaswa
    @CharityNaswa 9 місяців тому +3

    Si tu unsubscribe tu channel ya Brighton juu amenbooo,anakodeshaa msichana wa wenyewe

  • @aliciakamweru4991
    @aliciakamweru4991 9 місяців тому +1

    Maringo jamani itakuua 😂😂

  • @jimkelvinGitonga
    @jimkelvinGitonga 9 місяців тому

    cjui nkwabie nini mwanamke wwe

  • @flezzyroshan9380
    @flezzyroshan9380 9 місяців тому

    Its not good pl and u will come to regret after ,,, remember wishes comes after a fall and the tears of ANGIE B WILL NEVER ,GO LIKE THAT

  • @EdinahOrenge
    @EdinahOrenge 9 місяців тому +7

    Brighton haifanyi poa kama umeamua kutesa msichana wa wenyewe chako kiko motoni

    • @mamaboizpure842
      @mamaboizpure842 9 місяців тому +1

      Sas anamtesa aje please Kutana na watu ujue life yao ikoaje ndio useme mateso nobody knows chenye kinafanya inafikiapo

    • @mayahgomez
      @mayahgomez 9 місяців тому +1

      Huwa wanajisifu tu hivio Acha uende baada ya miezi chache tu mungu huwachapa kiboko na ww ulieondolea hapo kwa keja ww ndo utatafutwa,kuombwa msamaha

  • @SiphirahWaithira-e2f
    @SiphirahWaithira-e2f 9 місяців тому

    Hiyo uchungu aliskia akikuzalia utauzaa????? shameless man,i mavi uly.

  • @carolwaithaka2223
    @carolwaithaka2223 9 місяців тому +5

    PL wacha ujinga lazma kukosana kwa ndoa mlitoka bali sana gari pea bibi yako na ujue hakuna dem mzuri kuliko bibi yako

  • @jemi254tv7
    @jemi254tv7 9 місяців тому

    Respect a mother who gave you kids humble you’re you’re self before pple and God ofcourse you have come from far

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 9 місяців тому +6

    People are supposed to gather to unsubsidized to such channels that tha creates are misbehaving coz this is stupidity after making money na mtu umemupea stress adi ametoka jwako akiwa mifupa kila wakati fans wanamuuliza mbona ako mifupa kumbe u are the course 😢😢😢

    • @kadzosaid9376
      @kadzosaid9376 9 місяців тому

      😢alimtumia kupata pesa akakulwa mateke ange zamugongo sahii badala wakae kwa aman anajion amefika goja kimurambe atajitambua

  • @zinabmuss8157
    @zinabmuss8157 9 місяців тому +2

    Kivuli kimeigia awa macontent creator's unatumia mtoto wa.watu mnatafuta pesa pamoja then unamuambia atoke kwa nyumba machozi yake itakurudisha nyumba wait ad see

  • @ElizabethKaunda-b2d
    @ElizabethKaunda-b2d 9 місяців тому +1

    Continue entertaining us with your family issues but wakisii we are wise but I don't see that wisdom in you Brighton plz Angie anakupenda sana do her the last favour by forgiving her I will be happy nkiwaona pamoja

  • @damarismuloli267
    @damarismuloli267 9 місяців тому

    Drop your ego Mr. Right , respect your woman ,you will pay for what you're doing

  • @annnjenga44
    @annnjenga44 9 місяців тому

    Pride comes before a fall, man up

  • @laureenmuneemakau2917
    @laureenmuneemakau2917 9 місяців тому

    Pl pl pl see if you 😂😂😂😂,I will be back here after two years 😂😂😂,nione vile maisha yatakuwa kwako

  • @SAMSONOKWANY
    @SAMSONOKWANY 9 місяців тому

    When you were explaining how you met I don't know school life kumbe ilikuwa kipindi

  • @verolynenyamoita5363
    @verolynenyamoita5363 9 місяців тому +1

    Pl youre my brother aki,,,kumbuka kale kakitu kazuri amewahi kukufanyia,,,,amekuzalia the beautiful baby gal had ukajua you're fertile,,plz pl acha kumnyanganya kila kitu,mwaachie hiyo gari please,,mtu mkiachana hawakai maenemy plz,,walai huja fanya poa for really

  • @Lifewithrozzierozzette
    @Lifewithrozzierozzette 9 місяців тому

    Aki for real, i don't understand if it's just a content ama ni ukweli cos sielewi what is going on between you two jamani😥

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh 9 місяців тому +6

    Huyu na mtoto hakuna tofauti though nilikuwa naona kama ni jokes saii nimeanza kuona pl ameanza kusumbuliwa na mbolo😂😂😂😂.... Madame watakumaliza bunda ji market kabsaaa lakini IPO siku utakumbuka mama mtoi

  • @jennie-rm9ns
    @jennie-rm9ns 9 місяців тому +1

    Pl kumbuka mungu aliye juu mbinguni akulangi kitheli, machozi ya AgieB itakufuata maisha yako yote,kiburi yako siku Moja utajua mungu alali ,umeboel sana huyo mtoto wa wenyewe unatesa utajua ujui,ati uko single mwenye hana akili akufuate same on you 😮😮

  • @jacklinewabomba4119
    @jacklinewabomba4119 9 місяців тому +3

    Achia Angie b gari yake si yeye ndio ali act movie ya kidnapped ndio mkapata doo ya hizo magari, kwani unataka kumuacha bure bila anything stop all this rubbish and reconcile with your family ❤ what you are doing is wrong . solve mambo in a peaceful ways without posting media

  • @Hildahlimoo
    @Hildahlimoo 9 місяців тому +2

    Pesa wewe 😳 kumbuka uku kidnap bibi yako mkapata Doo wote give her something to start her life

  • @kenn1662
    @kenn1662 9 місяців тому

    Talikuja uchi tutaridi uchi mali ya Dunia yaweza kuzuia ufalme wa binguni have humanity she will remain your baby Mama

  • @Lovergal0423
    @Lovergal0423 9 місяців тому

    Pride comes before fall

  • @RahabNjeri-r8j
    @RahabNjeri-r8j 9 місяців тому

    Sometimes I think it's good to keep relationship private juu izi ni ufala

  • @AnnettewilliamsKenya
    @AnnettewilliamsKenya 9 місяців тому

    Kiburi itaisha tu unatumia msichana wetu then unamdump but nikawaida ya wakisii niko huko 20years but navumilia tu nilee watoto nyinyi sio watu ningekwambia kitu but acha nikimye

  • @mildredkeris21
    @mildredkeris21 9 місяців тому

    If this is clout chasing then i salute you guys, you can be good actors.

  • @nicksonkibet9007
    @nicksonkibet9007 9 місяців тому

    Usijipige kifua my friend,come down kijanaa....kiburi and bride will not take you anywhere

  • @eunicengonyo9843
    @eunicengonyo9843 9 місяців тому +2

    Nakumbuka ukiambia Mr ongiri kama aliamua kumpa eve gari asichukue ,mbona ww ulimpa bb yako gari na unachukua tena ,aky men do forget easily

    • @kadzosaid9376
      @kadzosaid9376 9 місяців тому

      Nikimtu bulanfakini hiki ki pl kime niboo sana😂nalakuw akishanda my beuriful wife kumbe alikuwa akijificha kuonesh gozi yake sahii kanajiona San nkt🥴

  • @judymungai1314
    @judymungai1314 9 місяців тому +1

    Achanenibna loyalty test kama hamjaweza kujenga kwenu

  • @agathanafula482
    @agathanafula482 9 місяців тому +1

    Brighton mbna unajifanya waunda owa watu na kwako inakushinda ,,,,,,think twice wewe mwanaume uko na ufala sana haufanyii Angie poa

  • @Naomiwangeshi9812
    @Naomiwangeshi9812 9 місяців тому

    Wewe ni mjinga sana. Huwa unajielewa ukiongea.. ... Hauna tofauti na mtoto kubaf ii

  • @rebeccawayua-zg8ud
    @rebeccawayua-zg8ud 9 місяців тому

    Pride cames before the fall 😅

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 9 місяців тому

    I will like to buy but this is not fare please give her the car alikuzalia fast born hasira niya nini

  • @ocunda7602
    @ocunda7602 9 місяців тому

    Aki hiki kimwanaume nakichukia na roho yangu yote,naskianga tu kukitapika nikikiona.usijigape na Mali ya Dunia,mungu wa Angie halali na mafanikio ya Angie kwa mungu ni dakika moja.toa ujinga hapo na vyenye unakuanga na sura mbaya hata sijui mke wako aliona nn kwako

  • @FfGg-bf6mf
    @FfGg-bf6mf 9 місяців тому

    Mr Brighton will you manage to pay her tears 😢😢😢😢

  • @sharonadeka01
    @sharonadeka01 9 місяців тому

    But you are always a wise man, what is this all you are doing,peana mnyama ya wenyewe yeye mwenyewe aamue kuuza kama anataka,wacha ujinga😢

  • @damariskemuntoorina6018
    @damariskemuntoorina6018 9 місяців тому

    Infact in my life i won't depend on a man.i learned reason i must work had nijitemee vitu kama chakula,kujilipia rent si rasima gari.coz akikupa kitu anakunyanganya kama mtoto.may God have mercy on men.ladies wake up fungua macho😮😮 oo ooh

  • @EstherMbithe-so3fv
    @EstherMbithe-so3fv 9 місяців тому

    Mungu aliye kukupandisha atakushusha tu kiburi na ulizalisha mtoto wa mtu

  • @norahmorebi4605
    @norahmorebi4605 9 місяців тому

    Brighton have a break aye tiga nkwane ekegusii tiga nkotebie Brighton utarudisa miaka nyuma come down wife akiwa juu please muingeleze Mungu ataingilia kwenu mrudi pamoja Brighton akuna mwanamke mmpoa koranche maisha ni kupambana Hadi mweisho usiajilie familia yako hivyo please na pia ujue hasira ni hasara😢😢😢😢

  • @RuthMacharia-p1o
    @RuthMacharia-p1o 9 місяців тому

    Brighton I hope you have read all of these comments kama wewe ni mtu wakuskia usikie coz whatever you are doing to your wife is absolutely wrong very much wrong unatesa mpaka mtoto Ata kisheria hio ni makosa thats child abuse unaezaje Katalia na mtoto bado ananyonya hio ni unyama am your great follower but your reaction imagine sinakera

  • @Pinkbeiby-35
    @Pinkbeiby-35 9 місяців тому +12

    😢 m nimekuchukia for real juu unafanya loyalty test na ya kwako inakushinda

    • @DalvineNafula-cd8yb
      @DalvineNafula-cd8yb 9 місяців тому

      It's true anaboo

    • @bakhoya
      @bakhoya 9 місяців тому +1

      Si aki watu wa unsubcribe

    • @josephinewambua862
      @josephinewambua862 9 місяців тому

      Acha ujingah bana kumbuka ulitoka mbali utapoteza zote acha nikwambie machozi y huyo mwanamke italipa ujingah tu

    • @GODFREYNyandika
      @GODFREYNyandika 9 місяців тому

      ​@@bakhoyaeeeh wasee wa unsubscribe huyo boy ako n ufala sana

  • @Janetjuma1999
    @Janetjuma1999 9 місяців тому

    Nyinyi bado n watoi hamjui kubebeana shida na kuvumiliana kuleni maisha kwanza na mkuje kwa ndoa sasa you are not mature enough watoto walizaa mtoto

  • @kigaaelsie3792
    @kigaaelsie3792 9 місяців тому

    Enyewe ladies let's get our own money...kutegemea mwanaume ni bure ,this is a clear indication...Naona Wanaume huko nje ata mkikosana anaachia mke kila kitu anaenda kuunda zingine but huyu😂😂😂 ...ebu nisiongee zaidi.....it tells a lot...🏃🏃

  • @sarasandy1240
    @sarasandy1240 9 місяців тому

    The utoto in this comedy guys I Kent torolet imagine Mungu sio Brighton one day you'll come to testify

  • @delishabeaut3366
    @delishabeaut3366 9 місяців тому

    Brighton please gift is gift ufai kuchukua gift give her back the car she is the mother of your child why are you being heartless 🤔🤔🤔

  • @MishiWawi
    @MishiWawi 9 місяців тому

    Hurumia mtoto wako ........acha kuwatesa banaa.....pride comes before a big fall

  • @lpettyboy
    @lpettyboy 9 місяців тому

    You said Angie is not wife material, to be a good wife you must have a good strong man. Your weak, childish, petty and unforgiving she will make a great wife for a real man and find her child a better daddy. "DUESUS".

  • @mokogoti-l1d
    @mokogoti-l1d 9 місяців тому

    Machozi😢😢 ya mwanamke sio baraka walai bro ufanyi poa ata kidogo ati on sale how soon kumbuka mungu alali

  • @abigaelmoraa9698
    @abigaelmoraa9698 9 місяців тому

    Aki nyinyi na hii story yenyu 😮😮😮 we are tired just sort ur issues.... Nipitienii please kaa umechokaa na hii mambo yote kaa mm....😢

  • @giovannajohn3813
    @giovannajohn3813 9 місяців тому

    MUNGU atakulaani wewe umesahau ulipotoa na Angel endelea utanikumbuka siku Moja,,

  • @FranciscaMusyoka
    @FranciscaMusyoka 9 місяців тому +1

    Watu wako na pesa huku nje na mwenye pesa hawana hiyo mdomo uko nayo, 😂😂😂hata huyu wyf yako alijaribu ,kuishi na mwanaume mwenye mdomo hivi ni neema tu😊

  • @VincentMutuma-qp7zg
    @VincentMutuma-qp7zg 9 місяців тому

    Omosacha omojinga sana...moto Tanya gokorera mkewe ivo soon you will be back trust me...

  • @MaryWaweru-w6o
    @MaryWaweru-w6o 9 місяців тому

    You are acting like a small un circumsized boy😢😢
    I just pitty you
    You are just young and confused
    😊Angie will still stand despite of everything😊
    Pesa si kila kitu
    Hio gari unaringia unawezakufia ndani usijione saana

  • @RachaelMusyoka-bk9ck
    @RachaelMusyoka-bk9ck 9 місяців тому

    Whatever you are doing to your wife will come back to you

  • @ManualsEster
    @ManualsEster 9 місяців тому

    I pray you don't get customers they don't sell gifts uko na Roho chafu Sana

  • @ccna-ciscocertifiednetwork5169
    @ccna-ciscocertifiednetwork5169 9 місяців тому

    Lakini punguza utoto kiaci and be mature ,the rest will follow, if you are a man enough, you will.get my meaning

  • @agnessmutindi4498
    @agnessmutindi4498 9 місяців тому

    Kiburi uko nayo kweli Angie B alivumilia mengi lkn jua kuna Mungu mbingu

  • @Maggy556
    @Maggy556 9 місяців тому +1

    Ringa kabisa dunia ni duara

  • @SemeLucy
    @SemeLucy 9 місяців тому

    Brighton unaambia wengine wasamehane kwa mambo makubwa, Tua kwako tudogo hauwezi samehea?

  • @SarahZawadi-k7m
    @SarahZawadi-k7m 9 місяців тому

    Utaji follow sisi site tuta unsubscribe tuta make sure angie hit 1 million subscribers before you utaka na ujeuri yako

  • @florencemkamburi2815
    @florencemkamburi2815 9 місяців тому

    Umeishiwa na maisha wewe kimwanaume even you are cheaper man

  • @judithmutua5231
    @judithmutua5231 9 місяців тому

    Wewe ni mjinga sana unaona kuna faida unapata kuliza msichana wa watu hadi anakupigia magoti kwenda huko

  • @LinetKerubo-h1x
    @LinetKerubo-h1x 9 місяців тому

    Yaani unyanganye bibi yako Gari utamlipa nn na amekuzalia hata km hamko in good terms ufai kumtreat hvo umeni hurt sana which means hukumpenda hata

  • @LeshiiJ-fs7cc
    @LeshiiJ-fs7cc 9 місяців тому

    Ooooh my God 😂😂 aky utalia siku moja,,,,, mali huisha bro hii maringo yako niya kiwango cha juu😂😂😂

  • @nancyanderson3599
    @nancyanderson3599 9 місяців тому

    Fear God na unaenda na gari you can cause accident na hiyo maringo yako ya ukubafu ngombe hii shetani

  • @millicentwanjohi6192
    @millicentwanjohi6192 9 місяців тому

    Yaani angie anasimb kwako akilia and you are here ukijigamba uko single😢I thought you are a man enough imagine you are acting childish.. Just don't ever regret with the decision you will make 😏

  • @Felister330
    @Felister330 9 місяців тому

    Brighton forgive you wife and God will open door ni jesus name

  • @EMILYPATISI
    @EMILYPATISI 9 місяців тому +2

    Brighton kuna siku utakuja kuona angie alikuwa wa mahana kwako

  • @janedredah8437
    @janedredah8437 9 місяців тому

    Punguza kiburi mwanaume nkt uta ona mungu ile kiboko amekuekea walaiiii utatafuta angie

  • @DamarisDamaris-si5sy
    @DamarisDamaris-si5sy 9 місяців тому

    Kiburi, marigo , unajikamba but one day you will regret yote umemufanyia very soon utalia, mtoto w wenye anashidia kulia sababu yko, after a kuzalie, ulitafuta Mali n yye but yote umechukua hta umeanza kuuunza

  • @Marynjeri-k4r
    @Marynjeri-k4r 9 місяців тому

    nilidhani wewe ni mwanaume kamili.... hakuna mutu hakoseangi mgekaa chini kama watu wazima muongee ...... usilinge juu ya pesa unaeza fanyakiwa na kitu ziishie apo kumbuka Kuna mungu mbiguni

  • @joanndunge531
    @joanndunge531 9 місяців тому

    Mi nikakosa mwanaume siwezi olewa na hii jinga

  • @beatriceaketch6164
    @beatriceaketch6164 9 місяців тому

    I don't see why I should support this man, let me unsubscribe asap

  • @Fatuma-p9y
    @Fatuma-p9y 9 місяців тому

    Mungu atakulahani wewe adikufa

  • @rehemamubano5745
    @rehemamubano5745 9 місяців тому +1

    Acheni kumupa shetani nafasi Mr Brighton and angel kwa ndoa. Please kaaeni kwa nyumba muzuluishe Aya maneno yenu tafazali na kuomba muelewane tuu. Hakuna ndoa haina chagamoto

    • @fridahfridahsabasi6833
      @fridahfridahsabasi6833 9 місяців тому

      Pesa zetu Zina endelea kufanya kaxi zuri, Who is God pl God will punish with your family atill you come clear watu hatulali Bila maombi