WILLIAM AMURI YAKUTUMBA// AMEWASILI MJINI BARAKA MILIONI YA RAIA WAMEJITOKEZA MKUPOKEA KAMA MFALME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • #mbstv

КОМЕНТАРІ • 19

  • @SamWabyoko
    @SamWabyoko 2 місяці тому +1

    Tunawapenda sana wazalendo wetu Mungu awalinde

  • @user-hx9mj5et4z
    @user-hx9mj5et4z 2 місяці тому +1

    Mungu akulinde sana baba yetu pamoja na jeshi lako lote

  • @buregeyaahadi1401
    @buregeyaahadi1401 2 місяці тому +1

    Hongera

  • @amisalumona1060
    @amisalumona1060 2 місяці тому +2

    Ya kutumba Baba yetu Wawa Congomani woote Mungu azidi kukupa nguvu zaidi na zaidi, lakini isiwe wanafanya siasa ya kutaka kukuuwa hiyo.

  • @MlandaVenance
    @MlandaVenance 2 місяці тому +1

    Courage

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 місяці тому +1

    Mwenyezi Mungu akutunze daima na azidi kukulea na kukulinda

  • @jamesamuri8883
    @jamesamuri8883 2 місяці тому +1

    Tunampenda daima mzalendo waukweli tuna mpenda sana zaidi sana

  • @user-it5gj7ls8t
    @user-it5gj7ls8t 2 місяці тому +2

    Ukiona mtu anapendwa na watu wengi juwa kwamba mungu naye ame mkubali

  • @salumufabien1786
    @salumufabien1786 2 місяці тому +1

    Hongera sana ❤❤

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 місяці тому +2

    Mko huru leo eshimisheni wazalendo maana wao ndo kichwa cha ulinzi wa inchi na wanainchi kutokunyanyasika kikatili

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 місяці тому +2

    Wakongomani lindeni wakuu wenu watetezi wenu kama jinsi wao wanavyojutolea kuwatetelea inchi isinyanganywe na wanyarwanda ndipo mtabarikiwa zaidi msizarau watu wajitesao kwa ajili yenu msije mkazidi kupandikiza laana ya milele leo hii mnakuwa mnajivinjari kwakuwa kiongozi alioko madarakani ni mwana wa inchi ajuwaye uchungu wa inchi na wanainchi wake

  • @AsendeNyota
    @AsendeNyota 2 місяці тому +1

    Home is home ❤❤❤

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba 2 місяці тому +2

    Nauyo atapigwa m23. Juzaidi

  • @wassosamuel
    @wassosamuel 2 місяці тому +2

    Dawa ya wa nyarwanda kwake akuna mchozo

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 2 місяці тому +2

    Nimeipenda bure vile amani na itawale kwetu kongo mtu na kwao mkataa kwao mtumwa ugenini ndugu zanguni msikubali hata punje moja ya inchi kunyanganywa na wanyarwanda kwetu kweli huraha ilioje?

  • @AIMERANCEBITA
    @AIMERANCEBITA 2 місяці тому +1

    Mungu ninaye mwabundu ampe Maisha Marefu apa Duniani 🫶

  • @VandameAdriano
    @VandameAdriano Місяць тому +1

    NYINYI NIWAJIGA IVI BARAKA NI VILE KWALIPI WAJIGA KABISA

  • @user-it5gj7ls8t
    @user-it5gj7ls8t 2 місяці тому +1

    Tuna wafuatilia tukiwa USA simba wa congo

  • @Lucy-mk6th
    @Lucy-mk6th 2 місяці тому +1

    Poa