Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Inshallah Mwenyezi Mungu atusaidie
Asante AHMED ALLY na sisi tunataka crown isikike
Allah jaalia kheri simba yetu,hakika wew ndiye mshindi wa kila jambo❤❤❤
Ahhmed 🎉🎉🎉🎉 .Naiombea Simba yangu ushindi mkubwa na pia afya njema awajalie wachezaji wote na msemaji wetu Ahhmed Aliii
Simba Nguvu Moja semaji wewe unastahili pongezi nyingi ktk timu yetu kwa hamasa keep it up
Mimi sina jipya wala wasiwasi na match ya tarehe 27 ushindi wa kutosha upo kwa wastani wa goli 4 zinatosha japo wapinzani watatoka tupu naona aibu kusema watoka zero
Sc ni timu nzuri sana pia tuta shinda goli 4
Tarehe 27 tuta shinda goli 4 bila shaka
Itakua saa ngap jamn
Saa 10- jioni@@bwagizoselemani8434
Uwakika 🫸🫷 bro Mungu itangulie simba yangu ishinde ❤❤❤❤❤
Ahmed Alli,don't be disappointed by Mtandao,we really appreciate about what you do for the brand of SIMBA sports club
Kweli,Wala usibabaike na changamoto unazokutana nazo Kwa viongozi aina ya try again,sisi ni wewe tu unatutosha sana
Unajua kuenda na nyakati, pia na kuwachukua mashabiki, hongera xemaji
Ahmed Ahmed wewe ni msemaji bora sana Africa hongera
Tunamuomba mungu awajalie uzima wachezaji wetu uzima wakutosha pamoja na viongozi wetu
Best wishes Mnyama❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu ibariki simba sport club
Ubayaaa ubwelaaa sema Ahmed we n mtuu nomaa sanaaaa big up brooo
Mungu mbariki Ahmed ally Mungu ibariki simba yangu ❤
Hii ndio timu pendwa zaidi duniani,simba nguvu moja
Uongo
Like nyingi kwa ceo mpya wasimba
Ni kaimu CEO. Inamaana ameshikiria nafasi kwa must. Bado hajateuliwa kuwa CEO
❤❤ naipenda simba Ubaya ubwelaaaa ushindi nimuhimu sana god bless our Team Simba nguvu Moja Tanga moja yahandeni
Always tanga people ni simba🎉
Ninamkubali sana Ahmed Ali ni mbunifu sana
Kila la khery mnyama Simba sports club siku ya tarehe 27 Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Kila la kher Simba yangu jaman naipenda Simba kama navompenda mama yangu
Naitakia kheri timu yangu na ishindi wa hali ya juu
SIMBA FANS ✊🏾
Yaani Ahmed aly uchoki kumsikiliza anaweza kuongea mpaka kesho
Yaan uko kama mm, nikiwa na stress natafuta clip zake stress kwishaaaa
Kila la kheri lunyasi ubaya ubwela tyu dadeki mwaka huu hatutaki masihara , Semaji la Caf 🎉🎉
Kongolee kubwa Sanaa kwa semajiii🎉
Ubayaaaa ubwelaaa ❤❤
Pamoj 🙏
Like zangu nyingi kwa VALENTINE NOUMA nilipenda saana namna alivyoshangilia assist yake dhidi ya kino boys
Sema jezi zile mpya nyekundu na blue kazingua sana hazina mvuto kusema ukweli.hatuna desiner mzuri
Wewe mchawi
Ww ushazoea kuvaa vibohora umekuja lini mjini
Ubaya Ubwela 💯🦁🔥🔥🔥🔥🔥
Hii Jezi aliovaa ahmedi alii ni bei Gani
Allah ajalie kila la kheri simba
Naitwa Elias yose Simba naitkia ushindi wa Gori 3 kesho zidi bravos
Mpenzu weeeeee
Simba nguvu moja❤
Mungu ijalie Simba ww nimuweza ya yote,
Nijamb njem kwa tasis mungu wet Allah akitow moj yey anakulip kw kum inshallah ushnd up mbel yet simb nguv moj ubay ubwel
❤❤❤❤
Mungu ibariki Simba...mungu ibariki Tanzania... Mungu ibariki Afrika soka❤😂🎉
Tim kubwa mech ya shirikisho kiingilio 5000 bei ya chin alafu champion sh 3000 alafu subria fungulia nyau
Simba nguvu moja
Mnyama anaungurumaaa
Niwa salmu kwajina Ashland uwakika Simba ushindi kwao but niulise Ellie mpanzu atacheza siku hiyo
Ubaya ubwela
Nguvu moya❤
Kila raheli mnyama
ubaya ubwela nguvu moja
ubaya ubwelaaa
Ivi mpanzu anaanza kucheza lin
ira kocha awe kikosi Cha kwanza
Mwamba maswa moja nafahamu kwao karbu na mlango wa kuingia......
UBAYA UBWELA😂😂😂😂
Kwani mechi ni yar ngapi? Kura ni yar 2511
Camera 📷
Simba nguvu moyaaaaq
mkuu wa mko wa mwanza juz tulikuwa tunamzumu tu et anakuchimba mikwara😂😂😂
Sawa samaji ia kafu
Ndio muhimu sadaka wmbieni hao wazidi kutoasadaka kunawatu kibao wanahitaji kusaidiw kama yatima,walemavu nk,
Ahmed Sisi tulio Comoros tunakuskia yaani hii Crown ni Ukaya Ubwela mtupu
atuna la kusubili tena kwasasa msemaji amesha sema atua ya kwaza kusimama ni nusu fainali
Vyumba ni vya moto , mnyama amerudi, ni mwendo wa ubaya ubwela, kuwatafuna.
Tuakikishe tunajaza uwacha Wana simba
Tuko pamoja semaji
Uko pia semaji LA CAF. Soon uta kuwa semaji LA FIFA. But be careful with the use of the word mashaka. Tumia neno shaka. All the best.
Yaani tuache kura eti tunaenda kuangalia mpira? KURA ni MALI yetu
Wewe una akili kweli hiyo kura unapiga hadi jioni
kila laher kwa mnyama yan ni ubay ubwela
Tujipange kisaikolojia
Sasa hapo mpanzu ataamzaje, senge kabisa nyie
Ubaya U DIDY 🏃😂
ewe utopolo nenda kalinde kula sisi tunapiga kula tunaenda uwanjani
Ninaimani natimu yetulazim tuwàtoboe
Piga kura yako mapema njoo ushangilie ushindi na Simba sports.
Ubaya Ubwela
Tuko nyuma yako semaji
Ubay ubwela(*^^*)
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤

Kwani mechi ni yar ngapi? Kura ni yar 25
11
Camera 📷
Simba nguvu moyaaaaq
mkuu wa mko wa mwanza juz tulikuwa tunamzumu tu et anakuchimba mikwara😂😂😂
Sawa samaji ia kafu
Ndio muhimu sadaka wmbieni hao wazidi kutoasadaka kunawatu kibao wanahitaji kusaidiw kama yatima,walemavu nk,
Ahmed Sisi tulio Comoros tunakuskia yaani hii Crown ni Ukaya Ubwela mtupu
atuna la kusubili tena kwasasa msemaji amesha sema atua ya kwaza kusimama ni nusu fainali
Vyumba ni vya moto , mnyama amerudi, ni mwendo wa ubaya ubwela, kuwatafuna.
Tuakikishe tunajaza uwacha Wana simba
Tuko pamoja semaji
Uko pia semaji LA CAF. Soon uta kuwa semaji LA FIFA.
But be careful with the use of the word mashaka. Tumia neno shaka. All the best.