Sijafaham ujuzi gani ndio nini umekusudia, huwa nachemsha nusu tu visiive mpka mwisho inasaidia wakati wa kukaanga vinakua vinaiva mara moja bila kunyonya mafuta
Umenikumbusha sana dada Sekela wa Osterbay, Sinza na Kinondoni duh, nawapenda ila nlikuwa sijui siri ya kuwapika. Will do them this weeken! Thanks so much! They look yummy
Oven langu kwa moto wa juu yaani broil kama nilivyo onyesha hauna namba ni high au low tu yaani mklai au kiasi mie natumia mkali lakini kama utatumia oven la namba basi moto uwe kiasi 200C
Thank you for the wonderful comment, appreciate your support. I like to blanch my chips because it helps to fry for lesser time coz they are half cooked and prevent them from being soggy with a lot of oil.
Asalaam alykum,habbty Mimi nataka kufanya sekela Leo lakini natumia mkaa naomba tahadhari,na natumia kuku wa kienyeji,hatoniletea shida???na vipi ntamhifadhi asikauke sana
Aleikum Musalaam, haya mapishi ya kinyumbani yote ni ya mkaa mie natumia oven kwasababu sina mkaa huku nilipo, sijawahi kutumia kuku wa kienjeji lakini itakua vizuri uanze na moto mkali halafu punguza uchome kidogo kidogo ili asikauke au kuungua nje na ndani mbichi
IF YOU WOULD LIKE TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH PLEASE FOLLOW THIS LINK ua-cam.com/video/1ZMRIm9iKXc/v-deo.html
Aroma of Zanzibar i am enjoy dada yangu ...Greetings from Qatar
Justine Julius Thanks dear
Aroma of Zanzibar in english
Caroline Muthoka Am not sure O understand your comment but this link to the English version is right on top
Hi habibty nikuulize kwann mbatata za chipc umechemsha kidogo
mashaallah sinunui tena sekela namtengeneza mwenyewe shukran sana Aroma of Zanzibar
Jamani huyu dada kwa mapishi motoooo❤
Wooow masha allah napenda sana unvyopika dada😘😘😘😘
Mashallah nice food mungu akubarki ameen thuma ameen
Shukran brother
wow! nimejiramba kwa kuangalia tu... lazima nijaribu siku za hivi karibuni. Shukran sana kwa elimu nzuri ya mapishi ya nyumbani
Karibu sana dear
MashaAllah mapishi yako yote mazuri na una utaratibu tunaelewa nime jifunza vingi shukran sana Allah akubarki
Shukran , ahsante kwa support
+Aroma of Zanzibar Afuan habibty
Asante sana kwa kuku wa sekela nitapitia huko tz 😍😍😍
MashaaAllah mashaaAllah. Looks delicious
Asante Dada unatukosha kweli mungu atakulipa
Mapishi. Mazuri sana
Ahsante sana
Nimeangalia hiyo video mate yananidondoka. Thank you i can't wait to make mine
Pole dada, Inshallah utapata fursa ya kupika
Thanks ukhthy kwa mapishi mazuri Mola akubariki
safina ali Shukran Amin kwetu sote
Asante Sana Ku Sher Mimi piya nime toka dar es salam
Mate yanidondoka...mashaAllah so nice
MashaAllah hongera Dada kwa neema alokupa MUNGU, sikuizi najuwa kupika kwa ajili yako shukran
Alhamdulilah , shukran Amin kwetu sote. Hongera kwa jitihada yako pia
uko vizur sana, vinapendeza na kuvutia sanaa
Masha Allah. Umenifunza mengi dadangu
Uko vizuri sana mwaaaa nimejifunza mengi kupitia aroma of zanzibar ssnte sana
Nmependa ti sana recipe ya leo, barikiwa zaidi dadangu
Ma Sha Allah so beautiful 😍
Oh my God 😂😂😂😂 Shukran kwa mapishi mazuri Yammy.
Mashaallah sister you are the best always I like you are recipes.. Bless you
Thank you so much 😊
Makofi tano ya kilo kwako!!! Thank you!! This has gone into my must do list. Chakula kimependeza sana!
Jikonimagic Thanks dear, this is long over due, glad you like it x thanks dear
Yummy yummy sekela mate yamenitoka 😋😋😋
Anty Fathiya nimependa sekele maana kwa macho nzur mashaallah ulivyokata umenitamanisha
Ahsante itabidi uingie jikoni sasa
Mashalah alah akubarik
We love you much
Am profoundly speechless with this organic cooking.
Am profoundly humbled with your commitment. Thanks for watching
Masha'Allah unanitamanisha wallahi 😘
Mashallah Allah akubariq Dadaangu
Shukran, amin kwetu sote
Mashaallah Yummy In Shaa Allah nitsfika Tanzania nikalee Sekela
Itakua uko karibu sana
Jaman i just love this lady with her recipes ..
husna hamisi Thanks for the love x love you too
Yes me too, hlf chkl chake very test
Nice.umenichekesha sister @najuta kwanini nimefanya kidogo.yummy
Kweli voo maana tulikua hatujashiba hahah
Aroma of Zanzibar hahahah
Mashallah mate yananitoka kwa sekela inavovutia
Pole itabidi uingie jikoni
In sha Allah ntajaribu next week
If you know... You know. Duh dinner ya jana ilikuwa hiyo. Nzuri sana unajua saaaana.
Hongera 😍
Asante kwa ufundi wa jiko kipenzi, naomba kujua kwann chips umezichemsha kiasi
Chips nachemsha kukata mda wa kukaanga na pia zi sijae mafuta wakati wa kukaanga zinakuwa kavu crunchy
Wow mashaallah nakupenda bure bi aroma
Namimi pia
Toka nianze kuangalia mapishi kwako cjawahi kujuta .masha Allah
Isram Mfamau Alhamdulilah, shukran dear
Waooo i like it mamaa
MashaAllah dear, nimejifunza mengi kutoka kwako. Allah ibarik
Please take a moment everyone and Share this video with your loved ones let's get some more eyes on this channel
You are so kind , thank you !
Mashallah mnyam myammmmmmmmm shukran habibty 😙😙😙😙😙😙
Habibty naomba kujua io kuxichemsha chipsi hukukaanga moja kwa moja naomba kujua ujuxi gani
Au ivo viaz haviivi ndio umevishemsha mwanzo
Sijafaham ujuzi gani ndio nini umekusudia, huwa nachemsha nusu tu visiive mpka mwisho inasaidia wakati wa kukaanga vinakua vinaiva mara moja bila kunyonya mafuta
Nimechemsha kidogo tu sio kuivisha mpaka mwisho
Thank you sis,pakupata viungo sasa
Pole
Ma"Sha"ALLAH Aroma Napenda saana saana Recipes yako Yotee
Shukran
mashallah mungu akubarik
Nakubali Tamuuu
Mashallah kuku mtam saaana
Mashallah mate yanidondoka 😋
Yummy mashallah inshaallah I will do it nimpikie bwana😍
Mashallah mpaka natamani
Mashallah aunty... Thank you sana 😘
Asante sana ❤️
Shukran habity nimependa sana mapishi yako tena vipimo vyako okay yaani vinakua sawa.
Shukran dear, najitahidi nitakavyoweza alhamdulilah
Hii lazima nijaribu
Umenikumbusha sana dada Sekela wa Osterbay, Sinza na Kinondoni duh, nawapenda ila nlikuwa sijui siri ya kuwapika. Will do them this weeken! Thanks so much! They look yummy
Honestly am not sure siri ni nini lakini kwangu mimi huo ukwaju unaleta hizo flavors zote za sekela
Somo yangu it’s almost Ramadan Alhamdulillah. Can’t wait to see what you have for us in sha Allah ❤️
MMK.Mo Trying my best dear Allah Kareem
Ma Shaa Allah si kwa mate haya habibty shukran kwa recipe ya sekela yaani umenikumbusha dar haswaa
congratulation sister .so yummy masha Allah .Allah akubarik ♥
Shukran habibtiy
Mashaallah .Shukran
moto kiasi gani mamii
Oven langu kwa moto wa juu yaani broil kama nilivyo onyesha hauna namba ni high au low tu yaani mklai au kiasi mie natumia mkali lakini kama utatumia oven la namba basi moto uwe kiasi 200C
Loooh sio kwa kututoa mate huku 😋😋
heave david Pole sana 😋😋😋
For me natumia gas oven ukhty niwashe size gani?
Tumia 6-7
Aroma of Zanzibar shukran 💜
Mashaallaah shukran
Mashallah nice
Kwanini aunt chips umezichemsha kidog???
Chips na chemsha kidogo ili wakati ka kukaanga ziive haraka na zisiingie mafuta ndani
@@aromaofzanzibar Alaa shukran habibty
This lady does magic in the kitchen, barakaLLahu feeky..learning aloot.
Whats the essence of boiling the chips in salty water before frying?
Thank you for the wonderful comment, appreciate your support. I like to blanch my chips because it helps to fry for lesser time coz they are half cooked and prevent them from being soggy with a lot of oil.
Mmmmh nice wallah
Jazaaka Allahu khairan
Naweza kutumia nini badala ya yogurt?
Hakuna replacement ya yogurt, kama hutaki usitumie
Je waweza deep fry ??
Mimi sjawahi ku deep fry am sure unaweza kujaribu huo ni auamuzi wako
Asalaam aleikum dear. Oven ninatakiwa ku pre heat kwanza?
Kwa broil sio lazima ku pre heat kama utatumia oven kama kawaida basi lazima u preheat
Shukrani habibty
Na penda chakula yako saana
Asante sana mama
Is it natural unflavored yoghurt?
Sumaiya Abdi Yes dear
Aroma of Zanzibar Thank you AOZ. your channel is growing so much...been here since 2k.
Have a good day.
Thanks dear, am just seeing this comment. Thanks for your support dear much love
Aroma of Zanzibar youre most welcome Sis
Thank you so much my dear I really like your recipes very nice and pls may I know unga Giligilani in English ?
Samira Samira You are welcome dear, it's known as coriander powder
Ok thank u so much dear I really appreciate ur way how u show pls can u show us how to make mtatobosho nazi
Samira Samira I will try dear I got so many requests let's see how it goes
Thank u dear take ur time will wait n still following u always Allah keep u n help people thank u again
Asante kwa pishi zuri lakini pia naomba msaada namna ya kutengeneza foundant
Ahsnate, mimi situmii fondant kabisa dear
Mashaallah asante sana
MashaAllah yummy
Unga wa bizari nzima ni upi??
Bizari nzima ni bizari nyembamba ile ya pilau yaani cumin unasaga
Shukran sis
Mashaallah yummy
Asante dada
yummy😘
Asalaam alykum,habbty Mimi nataka kufanya sekela Leo lakini natumia mkaa naomba tahadhari,na natumia kuku wa kienyeji,hatoniletea shida???na vipi ntamhifadhi asikauke sana
Aleikum Musalaam, haya mapishi ya kinyumbani yote ni ya mkaa mie natumia oven kwasababu sina mkaa huku nilipo, sijawahi kutumia kuku wa kienjeji lakini itakua vizuri uanze na moto mkali halafu punguza uchome kidogo kidogo ili asikauke au kuungua nje na ndani mbichi
Shukran
MashAllah it looks so yumm😋
Moto kwenye oven unaeka kiasi gani?
Kwa oven langu moto wa juu hauna temperature maalum ni HI or LOW, mi nimetumia LOW
Aroma of Zanzibar ow! Oky ,, shukran💕
Mmmmh 😋😋😋
loho yanguu🤑🤑
sante sana
Now im hungry 😋
Ingia jikoni sister...haha
MashaAllah
Loved it
Shukran habibty
Kuku watamu tufahamishe na hio pilipili please
Mbona nimeonyesha jinsi ya kutengeneza hiyo pilipili hapo kwenye hiyo video
Thanks my dear
Thanks...
Love you😙😙😙😙😙
Please unawz kuniandikia chini hizo spices nijaribu hii jmn please dada,Shukran mno kwa recipe hii
Nimeandika zote hapo chini ya tarehe kwenye description box
Aroma of Zanzibar natumia simu ndomn sion
Wowe inavutia kweli basi upate na coke yako baridiiiiiiii yashuka😆
Hapo umesema dada
MashaaAllah
Aslm alkm shukran habibty nimepika Jana ni watamuuu,recipe nzuri na rahisi.thanks again
Shukran