Ndiri ndanyarirwo Saudi Arabia.Wakugeria, turuaga ya mwiri, ndanahura mundurume ageretie kunyita!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 446

  • @MethayaKagoni
    @MethayaKagoni  3 роки тому +20

    Thanks Pauline for being brave and sharing your story. To talk to Pauline, here is her number: +254 792 749 160

    • @susanakogi1961
      @susanakogi1961 3 роки тому +1

      The/same me kwaji ni kesho jusi amejaribu kunigonga huyu/madam na mm nikamrudisia ngumi nikatoka nikaenda polisi but sikufanikiwa nikarudi na life ikaendelea

    • @shikuhsymoh2859
      @shikuhsymoh2859 3 роки тому +2

      @@susanakogi1961 huku lazima uwe kichwa ngumu.then warabu hawana nguvu🥰🥰🥰

    • @shikuhsymoh2859
      @shikuhsymoh2859 3 роки тому

      Thanks madam kagoni, hizo story sina tupatia nguvu,za kukazana na mwarabu. ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
      Wincate mbugua ur strong mama💪💪💪💪

    • @ciirulastborn9655
      @ciirulastborn9655 3 роки тому

      Monica nikirudi nitakutafuta i have story to tell ona nii ndihakagwo macuru saudia 5yrs Iraq 21/2yrs qatar niko sasa nasijawai ona mambaya

    • @shikuhsymoh2859
      @shikuhsymoh2859 3 роки тому

      @@ciirulastborn9655 21yrs????

  • @cindylombard4176
    @cindylombard4176 3 роки тому +24

    I love this lady. A woman after my own heart. Her inner strength is just awesome. No one can take her for granted and put her down. Pongezi sana dada!

  • @waridim9249
    @waridim9249 3 роки тому +6

    When I grow up I want to be Pauline gîa Saudi. 🤣🤣💦 I admire your courage tough lady.
    Another good interview Monica.👏🏾

  • @ruthmaina3122
    @ruthmaina3122 3 роки тому +2

    Woooow😂,,,watching all the way from Lebanon 🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧🇱🇧

  • @katexgatoto449
    @katexgatoto449 3 роки тому +1

    Ur agency was very cooperative...na tena God grace cz de Saudi I hear hiyo stry ni rare

  • @janecyprian3235
    @janecyprian3235 2 роки тому +1

    My twin sister.. Saudi haitaki mtu muoga... Value yourself and mwarabu will value you.....l love the courage, confidence and strength... Mimi apana chezewa na mtu....

  • @rubychero2098
    @rubychero2098 3 роки тому +2

    I have subscribed here I wish I could here kikuyu. I love this chanel

  • @kamanjamwenjerwa7032
    @kamanjamwenjerwa7032 3 роки тому

    I love my sister tutiendagha wana ithue gikuyu NIE ndi uk na ndimonaghia maghegho. Good sister

  • @billjesh6141
    @billjesh6141 3 роки тому +3

    I like her attitude.good job pauline.

  • @danielkaruga7770
    @danielkaruga7770 3 роки тому +14

    My Cousins had been there, if you want better life there, go what took you there, forget freedom you enjoyed here in Kenya, do your job, come home safe,

  • @josephenembugua3144
    @josephenembugua3144 3 роки тому +1

    Waah thanks 👍 Pauline umeyapitia aky nikweli mwarabu usimuonyeshe uoga

  • @WamboMerci
    @WamboMerci 3 роки тому +6

    Kweli wachape kabisa and Stand up to them. Even in UK Wazungu will also will test you to measure how they can treat. Never show those People you are desperate 💯

  • @florahngina6435
    @florahngina6435 3 роки тому +1

    Thanks Pauline for your experience story in Saudi

  • @nimmo-millish1615
    @nimmo-millish1615 3 роки тому +1

    On the point👌 understand your contract 👈

  • @Sterling044
    @Sterling044 3 роки тому +19

    It’s good to believe in yourself,I love cleanliness and people thinks I am a neat freak 😊.
    I wish you the best my dear

  • @dorcasndegwa1146
    @dorcasndegwa1146 3 роки тому +2

    That's the spirit team strong gutiri gwitigira majedid fuateni contract ata mm siwezi pangwa na mwarabu

  • @victoriaroberson914
    @victoriaroberson914 3 роки тому +10

    Wakanyugi Snr! It's good to be bold and beautiful at the same time. Huyu ni mkali kabisa mpaka wakora wakwao wanamtabua. She fights back both verbally and physically for her rights. I guess she has big balls. I love her courage

  • @elizamwangi2957
    @elizamwangi2957 3 роки тому +2

    Thanks to have such a Great Brave Lady for standing firm iby her Faith in her inner heart with standing Strong in her Promises.May God continue to stand with her.

    • @jenifernjau1893
      @jenifernjau1893 3 роки тому

      Sorry I was there if u don't react to them there are very bad people u have to show them who it works a bout wearing u cant wear a black a banya inside the house it's only when going out me I have been there for four years and now am in UK so that's true story of Saudi Arabia

  • @janecyprian3235
    @janecyprian3235 2 роки тому +1

    Urume ukoragwo thiini wa thakame... Nii gutiri mundu nditigagira onau.... Mpaka kenya... That is me nii ndiri ndaikio kiara ritho ni mundu,l always say to hell or to heaven....

  • @maryannmwauravlogs9970
    @maryannmwauravlogs9970 3 роки тому +2

    Wasichana wenye wako Saudi listen but always make your own decision....remember we have different bosses you might listen to this Mama and do as what she did and finds yourself in a very big problem what I do advice our gal's since I've been here 8yrs...be you ,work smart,respect people but knows your right at the same time otherwise God protect you wherever you are😍😍👌

  • @wintonationblossom1606
    @wintonationblossom1606 2 роки тому

    I love this courage ..... Woooow

  • @jemimmah2935
    @jemimmah2935 3 роки тому

    Wooow amazing 😍❤️❤️ baulin mware wa bongua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nmekutambua mamma💪💪💪💪💪💪💪

  • @janewamaitha3513
    @janewamaitha3513 3 роки тому +3

    Love u Pauline I have been in Saudi Arabia seven years oyaaa

  • @winicatewainaina4456
    @winicatewainaina4456 3 роки тому

    Wow my namesake !! Very strong 💪💪🤗 lady 🙂☺️ I like your spirit.. BTW nikaa same stry because me tuko 9 and I'm the only Kenyan the rest Ethiopians !!🥺

  • @shirowkihara2654
    @shirowkihara2654 3 роки тому +5

    True, have been here more than 5 years, the worst thing you can do is to show these people kuwe wewe ni muoga
    Tena mwarabu hupenda mtu brave and who know their rights

  • @nadiasuzzy9410
    @nadiasuzzy9410 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣Huyu ni ule Wa msemo salimianga wakora Wa kwenu wanaeza kusindikiza usiku I love love love the energy of this lady ukweli mwarabu mtakaa na yeye vile utamwonyesha the first day umeingia kwake

  • @juliahndungu5322
    @juliahndungu5322 3 роки тому

    Wow my Friend and a strong one. Kudos

  • @carolinekamau7659
    @carolinekamau7659 3 роки тому +1

    Just loving this lady.. 👏👏tuko gulf pia power ni hiyohiyo tuu

  • @janemuigai6036
    @janemuigai6036 3 роки тому +7

    The only thing is to avoid these people and mind ur own business, fighting is not issue becoz this people have guns, please please,my fellow ladies don't try this,displine is also needed

  • @kiariekiuru3127
    @kiariekiuru3127 3 роки тому +16

    This is more than a comedy... 🔥🔥🔥

  • @shirksaggie6437
    @shirksaggie6437 2 роки тому +5

    I feel like she's telling my own story 😕 😪....I've worked in Saudi over 7 yrs now....I've never mistreated......and I second what paulina is says ...mwarabu ni vile uta mwonyesha vile mtakaa.....

  • @charitywanjohi884
    @charitywanjohi884 3 роки тому +1

    Some stories give us Hope. She is on her own line. The spirit is top

  • @ruthkibue3150
    @ruthkibue3150 2 роки тому

    Salam Alleikum hata mm niko saudi quite some years now bt sitasema anadanganya lkn hapo kuna kauwongo kengi..love from saudi❤️

  • @Karol_Lynne
    @Karol_Lynne 3 роки тому +1

    Aki nimecheka! she's hilarious 😂😂i also worked in saudi n jordan too n it's true mwarabu ukimuonyesha wee ni mpole, they'll show u dust Thou i never hit or fought with my employer physically,i was the no nonsense type n that's how i survived

  • @gattinaga5761
    @gattinaga5761 3 роки тому +1

    I love this lady compliment

  • @leahmwaura7529
    @leahmwaura7529 3 роки тому

    Ngoma îtûrîkaga nî gûthinjîrûo, bold and beautiful, well said, ladies,read your contract, that is the problems na wanna Kenya, not only in Saudi Arabia, even diaspora, achana na bwana wawenyewe, men all the same, same need, why get killed for adultery or lust remember your 10 commandments. Check the flag as Pauline said, ask questions, show them your stand as well, and all will work out, it's not easy once you leave your country, challenges are what keep you going.Gûtîrî kiega kûmaga hega, lazima ukate jasko, na mungu atabariki ngûvû yako, hongera Monica👏🏾👏🏾 ubarikiwe

  • @merryzvi
    @merryzvi 3 роки тому +6

    Hey l had stopped watching of late but l said let me just try today maybe l may find Metha with english sub titles but to my utter amazement there is non. Or is it me who doesnt have english translation or subtitles. Kindly consider putting subtitles because you are on an international platform and we wld like to follow your stories

  • @JUSTWANGUI
    @JUSTWANGUI 2 роки тому

    Waaah mm na survive bila vita aki anyway everyone and their own

  • @gladysndungu3447
    @gladysndungu3447 3 роки тому

    Wonderful guest

  • @sarahthuo
    @sarahthuo 3 роки тому +4

    I love her spirit

  • @mamakebranson7488
    @mamakebranson7488 2 роки тому

    Wow I love this woman wow

  • @memezzz21
    @memezzz21 3 роки тому +4

    Confidence gal although I would not advice someone to fight there ..u might get urself jailed...

  • @karennkirote7807
    @karennkirote7807 3 роки тому +1

    Connected from saudia Arabia Alhufuf

  • @naimkangi6027
    @naimkangi6027 3 роки тому +4

    Boekire ma 😒😒, shukuru ulipata wazuri am Saudi many years, I rem first contract,tulipigana na hao walikua na makosa bt kilichotuliza ni bunduki ilisetiwa nitakii amri , with few seconds police walikua wamejaa na waliside na wao , Saudi !!!!! OMG kwanza kutoa mtu damu Ngai!!! Wacha nitulie tu labda ni mm niliangukia mkono mbaya

  • @lusluslulu9497
    @lusluslulu9497 3 роки тому +1

    Wagongwe Monica uni invite nkirudi nipeane story yangu ya Lebanon,damakujire hamwe hamwe,baba mami na ciana igiri,kioro,maregete kudwara thifitari maa,,arafu magatwara kagui aaaah imatire matharau😂😂😂nimarumio na marumio kia uugi

  • @jeremypatch9683
    @jeremypatch9683 3 роки тому +7

    Huyu anatupanisha madame wenye wako gulf... Don't try this shit you might end up in a coffin... Some parts ana exergerrate

  • @sophiakimanichannel1903
    @sophiakimanichannel1903 3 роки тому +7

    we need strong ladies like this one

  • @mamatwins5379
    @mamatwins5379 3 роки тому

    Uyuu maari 🤣🤣🤣🤣 nii ruru ndiehota mayau.
    That courage is on another level yawaa.

  • @sarahnjeri9010
    @sarahnjeri9010 3 роки тому

    Waoh.....Grace n Favour....ya God....iko juu yako....

  • @bobbykibe8693
    @bobbykibe8693 3 роки тому +1

    Pauline umenifurahisha sana. Una sura na mwili wa kuvutia na hupendi ujinga.

  • @janetkamau3360
    @janetkamau3360 3 роки тому +1

    I love this lady. She is her own woman. Keep up Pauline.

  • @wairimuwagathara6891
    @wairimuwagathara6891 3 роки тому +2

    Mwari wa mbugua that's the spirt it was a lit nailed it
    Thenks 4 sending it kwa whatapp nakpenda buree
    Faulina kia 🇸🇦

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 3 роки тому +22

    Ladies take lessons this is the spirit !.

  • @ceciliamwangi568
    @ceciliamwangi568 3 роки тому

    Mmhh I can't believe you😁😁😁😁😁wanyama unawatolea kichwa ivo waah ata kama najikaza aii

  • @wanjikukiamukawa6314
    @wanjikukiamukawa6314 3 роки тому

    Nitwahania wuira 😂ingikora andu ega ngoragwo ndi muraika no ndakora andu akuhuthira uuru ndimonagia ndiri ngombo.....bt mimi huishi nao vile wako na wakiniweza hua nangojea mwezi uishe nikienda off sitarudi....and wale wote nimefanyia kazi hua wananitamani..wananiambiaga ata kaa wee ni Wazimu wewe ni mzuri na kazi yako ni safii ..bt siezi rudi maybe watarevenge....he mundu wanjirire urume ushio waku nduri handu ugagutwara bt trust me you urume ushio undeithitie hakwa na hene and I thank God He has been so faithful to me🙏

  • @hadassahgeneration752
    @hadassahgeneration752 3 роки тому +13

    She’s a strong lady who knows her worth and value. I’d not advocate for violence though . Assertiveness is the key, am in the US and goes by the sm spirit. Usiniletee eti black ama accent , utajua hujui😅

    • @janecyprian3235
      @janecyprian3235 2 роки тому

      Congratulations.. Together mimi sijawai kukaliwa na mtu

  • @Helen-yj1sn
    @Helen-yj1sn 3 роки тому +20

    I don't agree with her. Fighting and being rude is not good. The relationship between an employer and an employee should be full of respect. Kuheshimiana. She was lucky she was not killed. She was a bad employee.

    • @marynjoroge8725
      @marynjoroge8725 3 роки тому +3

      Am supporting you

    • @prisswangu4562
      @prisswangu4562 3 роки тому +3

      I don't understand how she thinks being rude and fighting with employer is decent.

    • @naimkangi6027
      @naimkangi6027 3 роки тому +3

      Huyu sijui asema saudia gani hiyo alikua apigana hyo , mwarabu ni mnyama ukimchezea kwanza kugonga mama watoto wakiwa !!!! Uuuuui , sijamwaminj , ameongezea sugar sana, even kenya try kupiga boss uone moto kifo karibu

    • @cnnje47
      @cnnje47 3 роки тому +2

      very bad employee... there is no way she won all those fight and was this rude to all her employees!

  • @karanjagladys7781
    @karanjagladys7781 3 роки тому +7

    Mkikuyu hapangangwi😂😂

  • @rosenjogu225
    @rosenjogu225 3 роки тому +1

    That’s the spirit 👊👌🤞🏻

  • @nwerueunice5826
    @nwerueunice5826 2 роки тому

    My friend Pauline

  • @bethkimani3596
    @bethkimani3596 2 роки тому

    this real defination of me😂😂😂😂mimi sinaga time ya kujoke na mwarabu😏😏😏

  • @serahndungu6042
    @serahndungu6042 2 роки тому +1

    Thanks for sharing your story but I would advise your any other time you runway you go to police station,ukiletewa food na mwarabu usikule juu anaeza ku poison juu wanakuanga na machungu sana ukikataa kuwafanyia kazi be careful waarabu hawafanani

  • @mremmm5902
    @mremmm5902 3 роки тому +19

    Oiyi Oiyi wacheni uongo...kama ulitoka huku Saudi salama na hiyo mdomo yako shukuru mwenyezi mungu...nko huku for almost 10yrs..na tulizoeana tunaitanaga bro and sis...huyu hajui anasema nn..amshukuru mungu kaa alikiwa akibehave hivo....mwarabu aweza kukuua juu ya kitu kidogo...haiya n wachache wale waweza kukuunga mkono...pia kuna wengine kuchauti kwa watoto wao n balaa...so mtu akiskiliza huyu utakuja kuulio huku saudia na ngai aikare ario ngai....mm naskia na ww ati ukapigana Saudi haki mungu anakupenda

    • @Nyamburamactavi-x9z
      @Nyamburamactavi-x9z 3 роки тому +2

      Ata nashangaa no warabu wagani Hao. Kama kushoutia mtu unaeza nyongwa what of kufight, kwanza wakianza kuchoka na mtu wataanza kukutreat vbya

    • @lucywangare7029
      @lucywangare7029 3 роки тому +1

      She's lucky hajapatana na warabu wakuuana ama kurushwa ngorofani. She should be thanking God instead.

    • @mremmm5902
      @mremmm5902 3 роки тому +1

      @@Nyamburamactavi-x9z huyu tafadhari wale wanakuja Saudi wakimskiliza wakuje huku na kufua hiyo yake watanyogwo mara hiyo hiyo...mm nlishidwo alikuwa akipigana wapi....kushout pekee n shinda kubwa kwako lakini hao watakutusi...huyu hajui anasema nn

    • @mremmm5902
      @mremmm5902 3 роки тому +1

      @@lucywangare7029 Nakwambia amshukuru mungu...mtu akiskiza huyu atapotea

    • @joycevaleriaofficial
      @joycevaleriaofficial 3 роки тому +2

      Hyu kuna mahali kwingi anadanganya,probation tym ata hakumalisha then masiku alifanyia damam alilipwa heeh salalaa..kupigana laa utakufia jera;then ati 12 shaghallah waaw;wacha kupotosha wageni..11 yrs down the line bt kunyenyekea,toa shingo uone kaburi..so danganya jinga sio wenyeji

  • @joycewambui2244
    @joycewambui2244 3 роки тому +12

    Sure i believe whats she is saying .... Am in saudi for 9 yrs one house n doing well.... But here we respect each other.

  • @susanmwangi9131
    @susanmwangi9131 3 роки тому +1

    Watching from Saudi Arabia

  • @queenpury6360
    @queenpury6360 3 роки тому +1

    Hehe ata siamini ...uchapie mwarabu kwake na akuachilie ivo

  • @consolatakoegler4103
    @consolatakoegler4103 3 роки тому +3

    she made my day!

  • @MamaMalaika
    @MamaMalaika 3 роки тому +4

    I hope y’all Saudies girls learnt something from Pauline (my namesake) gia Saudia 🤣. U r strong my girl

  • @karanjagladys7781
    @karanjagladys7781 3 роки тому +5

    Kusema ukweli Hao wamama hawazai shida tupu nilikua na morroco nikamtadika nanikapotea🏃‍♂️

  • @ruthnyakio2918
    @ruthnyakio2918 3 роки тому

    Hata kama cate ni shujaa,,,,Ni Mungu alimsaidia. Waarabu ni wauaji na hakuna mahali wanapelekwa. Ashukuru Mungu sana. Na Asiweke Nguvu zake na ujuaji wake. Pia wazasi wake wanaomba.

  • @annendungu6274
    @annendungu6274 3 роки тому +3

    Just one question; kwani how big are the houses in Saudia?(12 helps in 1 house)

    • @wanjikukiamukawa6314
      @wanjikukiamukawa6314 3 роки тому

      Kuna masonko hutaka kila mtu na mfanyi kazi wake especially Royal families

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 3 роки тому

      They are very big ....we are working 9 of us ... I'm the only Kenyan the rest are Ethiopians ...mm nadeal na waiguru na bdo Hawa Ethiopian todu máá 🤔🥺

  • @florencewanjiku973
    @florencewanjiku973 3 роки тому

    My boss slapped me na mm nikamrudishia....akaniwekea mkono so haikumfikia kwa uso. N God reminded me...I heard this, do not pay evil for evil but leave everything to God. So sikumchapa. Yy akazidi kunichapa I was just shouting Jesus, come to my rescue, I was rebuking him go to hell. Weaked man go to hell na job iliisha hvyo. I thank God He saved my life n am in kenya, nimebak last year August. Rem, God hed asked me to fast for 21 days, but I didn't know why until all that happened. Went through a lot but I didn't die

  • @denniszackmanvibes.4259
    @denniszackmanvibes.4259 3 роки тому

    Huyu ni more fire. Hakua anapagwa. Kudos mama

  • @warindihbaraka3002
    @warindihbaraka3002 2 роки тому

    👏 amazing

  • @karennganga3970
    @karennganga3970 3 роки тому +1

    Our Mighty Jesus is always on your side you are a very courageous

  • @jemimahgichuki6932
    @jemimahgichuki6932 2 роки тому

    This is the spirit

  • @perismaina5436
    @perismaina5436 3 роки тому

    Hahahaha..huyu anakaa mamangu, very bold

  • @princesamwelkinyua7992
    @princesamwelkinyua7992 3 роки тому +3

    Hapo Kwa vita sijamwamini,eti alichapa wasichana nne na mamayao.Kwani yeye ni Cynthia ruthrock.please tuwacheni kujichocha

  • @godfreymwaura5373
    @godfreymwaura5373 3 роки тому

    Mo your smart,I like the dress.

  • @catemaina5312
    @catemaina5312 3 роки тому

    Wooow I really like this lady for talking the truth about this our America walai

  • @maryannwanjiru402
    @maryannwanjiru402 3 роки тому

    Very true am in Qatar and so true..philipino and Indonesia love eating alot and they r not tidy people. Mwarabu btw inabidi ukue na roho ngumu na usimuonyeshe unamuogopa voz if you do they really harass people. Just do your work , and have boundaries and most importantly akikutukana pia wewe mtukane na kabila yako venye hataelewa that way u wont get stressed or pressure but if you keep on kushughulika na vitu wanakuambia utapata depression and pressure ata ulcers

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 3 роки тому +25

    Fighting is not the solution to solve your problem especially in Arab Countries🤦🏻‍♀️

    • @waridim9249
      @waridim9249 3 роки тому +3

      I agree, fighting could get her killed going by the stories I hear from other women. 😰

    • @sherahm.inspires9969
      @sherahm.inspires9969 3 роки тому

      She has said clearly don't copy her ways kila mtu ana personality yake. It worked for her. Other tactics may work for you .

    • @tabbydiallo2
      @tabbydiallo2 2 роки тому

      These Arabs,the way they are executing Jewish people here in Israel,..ogopa,the hatred in them is real😬😬

  • @nancydave8964
    @nancydave8964 2 роки тому

    🤣🤣🤣big up Pauline Saudi gutiedaga Wana

  • @natashablessings4354
    @natashablessings4354 3 роки тому +6

    Kupigana na waarabu ni kujichimbia kaburi, me huwapea macho tu, 2 years ni kidogo sana navumilia then niende home safe and sound

  • @margaretnjoki388
    @margaretnjoki388 3 роки тому +1

    Bauline you are a comedian

  • @aashirumargaretchege6527
    @aashirumargaretchege6527 3 роки тому +1

    Nimeishi na waarabu 8yrs now na sijawahi fight ama kubishana na yeyote hata watoto tulipeana heshima sana

  • @mburumbugua5799
    @mburumbugua5799 Рік тому

    This is primary school classmate Pauline wambui mbugua,thuita primary school

  • @janecyprian3235
    @janecyprian3235 2 роки тому

    Hata mimi mtu hatanigonga ni nyamase ama anitusi ninyamase... Hata kuokoka si ujinga for me 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marthandungu5135
    @marthandungu5135 3 роки тому +6

    Pauline jirani yangu home,Saudi umetuokolea sana no hatiri bata wa haro wewe fanya kazi ulipwe,

  • @joycewanjiru4160
    @joycewanjiru4160 3 роки тому

    Onanie nyonaga nginya ruciu ta Pauline 😂😂 team strong ndamuhoera mwonage nginya ruciu mutige gutumira andu a online mbesa 🙏🙏

  • @fayhkinyanjui9735
    @fayhkinyanjui9735 3 роки тому +1

    It's true ukionyesha mwarabu vile utakaa ndio mtaishi... Boss aliniambia niwe nabeba skater ya watoto iko karibu 20kgs kutoka 3rd floor, na akimaliza kucheza irudishwe... nkamwambia sijakuja gym 😂😂sikuizi babayao ndio anawabebea

  • @wehavebeen7450
    @wehavebeen7450 3 роки тому +8

    I am just going to go ahead and say it, this is Madea! Really she is.

  • @joycevaleriaofficial
    @joycevaleriaofficial 3 роки тому

    Hahaa ati unapigana kwa mwarabu na uede scotfree ata men..Ooh my,wapi uko huajiliwa more than 12 kadamas in one house if more mayb 3 then wapi uko ulilipwa doo na nasikia u were new in that house na ata probation period hujamaliza.

  • @wanjikumunene5878
    @wanjikumunene5878 3 роки тому +1

    Mkiuliwa mnaanza kusema sijui nn... Siku moja utaenda kufight na boss kisu ikiwa karibu.... Better walk away than fighting.. Acheni kuwa vichwa ngumu. Mlienda kufanya kazi acheni ujinga ingine.

  • @mariemichael2692
    @mariemichael2692 3 роки тому +2

    Kagoni it's true woka saudi mundu agiaga character development na no uria ungimonia ukiwaonyesha huwaogopi na unajua rights zako you are free to go...guku gutiendaga faint hearted😂😂...

  • @joywanjiru3409
    @joywanjiru3409 2 роки тому

    The strength of a woman is well demonstrated here...

  • @quartezkariuki7180
    @quartezkariuki7180 3 роки тому +1

    Yer nimekubali kabisa vile utaonyesha mwarabu ndio mtakaa nayeye niko na one month nilikataa kuvaa uniform plus kufunga mtandio nilikataa nafunga kitambaa kama kawaida

  • @johngitema9801
    @johngitema9801 3 роки тому +2

    Big big mafunzo sana sana 👏👏👏

  • @felistafrancis1162
    @felistafrancis1162 3 роки тому +2

    Eagerly awaiting for it Monica

  • @gracewangari8121
    @gracewangari8121 2 роки тому

    Wueeh c wote unaeza fight... mimi nilivamiwa na baba mwenye nyumba na driver na caretaker niambie umeamka mrn hajakula breakfast nguvu hauna...niambie 3 against one...God tu ndio utusaidia coz God tu ndio alinisaidia c nguvu zangu