mwaya broo unachotoa ni huduma ya bwana kati ya watenda maovu .big up sana ,sema tu watu hawachukuliagi manaani ujumbe uliopelekwa bali wanajali starehe .tenda wema kisha nenda zako wala shukurani na pongez usizitazame .edo boy hapo na kama umenipata tupia yako coment ,,,,,,,,,,,,,,,
Kumbuka shetani ndiye alikuwa na kipawa chote cha uimbaji and He had all instruments in him na kazi yake ilikua kumwimbia mungu all styles zilitoka kwa mungu lazima tusirudishe kwa mungu.Good luck keep the fire burning and May God give you more energy
Ipo kazi kubwa sana ya kumwelewa Mungu japo tunajitahidi kujitoa kwenye mateka ya shetani lakini ukweli ni kwamba shetani ametutega mitego mingi sana ya kutukwamisha kumwelewa Mungu halisi aliyeziumba mbingu na nchi
Inahitaji neema ya Mungu sana kututoa kwenye mitego ya shetani. Dada yetu Rose naye alianza hivi hivi.. Mungu atusaidie tuu maana shetani anaitwa mkuu wa Ulimwengu huu Ila Yesu ni mkuu kuliko shetani anaweza kumaliza hiyo ubaya.. Siko na ubaya!!
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
Heri kuwa vuguvugu kuliko kuwa vuguvugu na kuwa baridi......chagua hatua moja ya kufanya kazi na sio kumfananisha Mungu na mambo ya dunia 2018 ulikuwa 100% 2019 umekuwa 23% Hiyo rate sanaaaaaaaaaaaaa Mungu tusaidie
Naitwa Nabii Mary Good luck big up songa mbele nakuombea kiuno ni cha Mungu nyimbo zote ni za Mungu Bongo fleava ni ya Mungu. Atarudisha shetani tu vipaji vyote hana chochote nakuombea
Niseme tu kuimba ninjia tu yakufikisha ujumbe wa maneno ya mungu kwa watu lakini siyo kwamba wewe muimbaji ndiyo uko sahihi kwahiyo bora ufanye unachoona kinalipa kidunia, kwasababu unaweza usifanye na mbinguni ukapasikia tyu,soo muacheni apige helaaaa
Uko juuu baba poga kazi wanaokujadili siku za mwisho wataulizwa mbona injili ilihubiriwa kila mahali Goodluck aliimba kote mkasema kachanganikiwa Hamkumsikia Imeisha hiyo baba piga kaziiii
Wanadamu kuna kitu tunatakiwa tukielewe kufikisha ujumbe wa Mungu kuna njia nyingi sana lengo ni kumfanya yule hadhira apate ujumbe haijarishi unacheza vipi,,, Wala kuimba umesimama kama askar yupo kwenye pared hy haimaniishi ndo ujumbe wako utapokelewa Sana,,,, congratulations kwako gudluck kwa namna unavyoufikisha ujumbe wa Mungu wanakosema na waseme tu
Kazi kweli kweli...... Majukwaa nayo yanatofautiana. Liko Jukwaa la Injli, Siasa, Mziki na Midahalo ya Kijamii (NGO), n.k. Kiuhalisia ni vigumu kuchanganya hayo Majukwaa. Maana kila jukwaa lina aina ya wafuasi wake.
Nakukubari sana endelea kutangaza enjiri nakumchezea Mungu mtumikie ubado kijana wanaosema umefuata pesa endelea kuwaombea Mungu awatolee mdudu alie waingia maana kunawengine hata mlango wakanisa hawaujui ila kupitia ww huko Mwanza wameza kuskia Nyimbo za kumsifu Mungu
Goodluck kama unataka kuwa moto na uwe moto na kama unataka kuwa baridi na uwe baridi lakini usiwe vuguvugu kwa kuwa utatapikwa. Amua moja kaka Yesu wetu hatangazwi kwa style hiyo bhana mbona mwanzo ulikuwa vizuri ati nani aliyekuloga wewe naumia kwasababu nakupenda kaka kwa sehemu kubwa umenibariki sana lakini unakoelekea siyo kabisa yaani unapotea kaka duuuh!
Mimi nimtumkshi wa Mungu mwimbaji .....inaniuma sanaaaa hats sjui nnnseme..........ila kwa hiz comments....ameelewa kuwa Mungu hachezew wapo wasiomjua Mungu had na wao wanasema kakosea ...................sijui 2......da!! bora ungeimba umesimama ndo ingejulkana unaMtangaza Yesu kwel......lakn....kumbuka nuru na Giza havikai pamoja......ipo SKU utalipa ....kama hayo unayo fanya si mapenz ya Mungu ....Mungu hachezewi hivi ila anatuacha..............tubadirike nawengine tusweke ushabiki2 ....nihayo2
Robert Jacobo me naomba unitajie kosa lake halafu jibu maswali yangu 1.ni nani ambaye anahitajika kupata burudani au neno? 2.unaamini kwamba alipotoka hapo wengine ndio wameanza na kufuatilia huo mziki? 3.yeye anatumia gharama kutengeneza nyimbo itarudi vipi hiyo gharama? 4.we unasema amekosea wewe umejiombea msamaha kwa makosa yako? 5.kumbe dini ina matabaka walevi hawaruhusiwa kuipata? 6.manabii walikuja kwa ajili ya waliopotea au waliosalama?
MUNGU ndie ajuae tena MUNGU anaangalia moyo wa mtu sio matendo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,acheni maneno yenu,,,,,,,,,,,,,,,go on GOZBERT and be blessed
Toka mwanzo sijawai kuskia chochote katika nyimbo zako wakati utafika na kuamua niwapi umesimama kama upo hapo kwa utukufu wa Yesu kristo Mungu aliye hai jina Lake litukuzwe ila kama upo Hapo kwa masrai yako jina LA Yesu kristo likufedheheshe
Hongera SANA GOODLUCKY Mungu akupiganie sana, tambua Wewe unaimbia wenye dhambi waokoke na sio waliokoka wanaoenda mbinguni tayar, mi nakuelewa sana mzee
Wooote mnao comment negative kuhusu huyu mtumishi wa Mungu kupitia uimbaji mnakosea sana kuna vitu nadhani mmesahau au ndo kujihesabia haki kuna wasumbua!,ina maana Yesu alipo ingia katika nyumba ya zakayo mfupialikosea sana si eti eeeh wacha Mungu?,kwa taarifa yenu Gospel inatakiwa iwafate watu mkisubiri watu ndo waifate mtakua mnazidi kukosea!.Mungu akubariki Goodluck endelea kupeleka injiri mbele!
Hapo ni eneo sahihi kulitangaza neno la mungu kwa maana neno la mungu linahitaj wasio mjua Mungu na wala sio watakatifu,,Mungu alikuja kuwakomboa wenye dhambi na wala sio watakatifu,Yani wanaosema G kapotea Wao ndy wamepotea kwa maana mnadhani mungu anaangalia eneo la kazi! Neno la Mungu linatangazwa popote pale,, na kucheza kukata mauno sio shida,, wakati kwenye bibilia kuna watu walicheza mpaka nguo zikavulika,,Mungu anaangalia moyo wako
Hapo ana hubiri ama anaburudisha? Unaweza kuweka ushuhuda ni watu wangapi waliokoka kwenye tamasha hilo la wazinzi na walevi? Acheni kumweka Mwenyezi Mungu kwenye mambo ya kishetani.
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
Wengine tunaomba Mungu kila tupewe vpaj vya kumtukuza Mungu ktk roho na kwel halafu wezetu wengi wemebahatka kukitana na NEEMA ya Mungu lakn unakuja unafanya vitu tofaut kabisa,kumbuka kuna watu nyuma yako wanataka hiyo NEEMA ulio pewa ww ila ww naona umejisahau kukaa ktk zam yako uliopangiwa na Mungu
Hakika kazi yako ni njema njema injili tumeisikiaa barikiwa sana ila usisikilize watakatifu wanaokukosoa kwamba uko fiesta na umekata miuno mfalme daudi alicheza mpaka nguo zikadondoka sembuse wewe kukata miuno mchezee mungu Kwa viwango vya juu barikiwaaaaa
Safi sana kaka peleka injili usije daiwa ukisikiliza wanadamu utakwama sana.mara oo amepotea mwezeni anapeleka injili nyie mnabaki na maneno kama Mungu amekupa nafasi kaka fanya kwa kusudi la Mungu Mungu akuinue zaidi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.wewe ni mjumbe wa Kristo nimependa hyo sms sent.
Sas sehemu kama hizo huezi kumtuma ambwene mwasongwe,au bahati bukuku lakin alietumwa hapo nahisi anaendana na hadhira na ndo maana amesikilizwa,huezi kutuma mtu timamu kwenye kundi la wendawazimu lazima umte wanaeweza kumuelewa kidogo so nahisi inaweza ikawa sahihi Gozbert kua hapo!!!!!
Mwanadamu akitaka kubadili MBWA hatakiwi kabisa aanze kuziiga tabia au kufanya matendo ya MBWA!!!!!!! Mana kwa kufanya hivyo yule MBWA hataona tofauti ya U-MBWA wake na Ubinadamu wetu!!!!! Mwenye ufahamu na afahamu!!!!!
Yaani kwa kweli shetani hatuwezi kumshinda bila msaada wa Mungu, nilivyokuwa nabarikiwa na nyimbo zako na uimbaji wako mpaka sasa nikikuona hapo yaani umewavunja sana moyo mashabiki wako na kuendelea kukuamini kama kweli ni mtumishi wa Mungu
Ni kweli kabisa Gospel ni habari njema kwa wote ,sishangai kwa nini kaenda kuimba hapo, kinachosahangaza na kuhuzunisha ni namna alivyofanya kufikisha ujumbe kama kweli yupo kumwakilisha Mungu angekuwa katika madili ya ki kristo kuanzia kuvaa,dancing styles, na uimbaji wake apo tungelewa kuwa kaenda kuhubiri, kwa namna alivyofanya apana huko ni kufuatisha namna ya Dunia hii!!
Unajua nini Yesu alikuja duniani kuwaokoa waliopotea..kwenda kuimba pale nisawa na nifursa yakuwafikishia ujumbe wengi..tatizo ni pale kuna walioitwa na Mungy na waliojiita ...Hapo tumuachie Mungu tu sasa
Samahani sana, kwa hiyo we we unajitambua ?? Mbona unatazama kibanzi kilichoko ndani ya jicho la nduguyo na wakati kwako kuna boriti? To a boriti kwenye jicho lako then uangalie hicho kibanzi.
Daaaah bwana yesu atuhurumie..... Wakristu wenzangu msisite kusema...huruma.... Nimejikuta natililisha machozi yenyekilio kikubwa kumuona mtumishi nae akiyavunja yakwake ndani yajukwaaaa..... Namuombea xana goodluck mungu asimpe chochote kibaya Bali ampatie hekima kama aliyopewa suleimani.... Kweli nimeamini ule msemo Hata mbuyu ulianza kama mchicha... Wakwisto tusisite kumuombea goodluck
Wewe umejiombea maana dhambi haiko moja mwancheni mwenzenu ajipigie helaaa
Mbona no kawaida tu jaman, rose mhando na ile nyimbo yake shikilia uliona Yale mauno??
putteny deee gold Daah kweli maombi maana sio kwauimbaji huo jamani
Mbona hujaongelea ushauri aliowapa was kutengeneza na MUNGU? #chuki2
Daaah yan ukiristo watu ndo wamekua wakiifanyia dhambi mungu waadhibu hawa
Mungu akubariki G wapo watakaofikir vibaya ila hapo umehubiri na sio kutafuta pesa ubarikiwe sana Mungu akubariki sana sanaaaa
mwaya broo unachotoa ni huduma ya bwana kati ya watenda maovu .big up sana ,sema tu watu hawachukuliagi manaani ujumbe uliopelekwa bali wanajali starehe .tenda wema kisha nenda zako wala shukurani na pongez usizitazame .edo boy hapo na kama umenipata tupia yako coment ,,,,,,,,,,,,,,,
Kumbuka shetani ndiye alikuwa na kipawa chote cha uimbaji and He had all instruments in him na kazi yake ilikua kumwimbia mungu all styles zilitoka kwa mungu lazima tusirudishe kwa mungu.Good luck keep the fire burning and May God give you more energy
Nmebarkiwa sana, nwachache sna wanaoweza kumtangaza kristo kwa kias hcho, Mungu akupe kibali zaidi, maadamu tu unajua nn unamaanisha
Mmh
Joyce Edward nn
@@rommierenardy8121 hamna kitu naguna tu huo uchezaji
Ipo kazi kubwa sana ya kumwelewa Mungu japo tunajitahidi kujitoa kwenye mateka ya shetani lakini ukweli ni kwamba shetani ametutega mitego mingi sana ya kutukwamisha kumwelewa Mungu halisi aliyeziumba mbingu na nchi
Haikua Kazi ya Mungu hiyo ila ilikuwa kazi ya mburudishaji kupitia nyimbo za Mungu japo kufanya vibaya
Kbsa
Kaka sjamuelewa huyu jamaa kiufp nko njia panda
Yes
Inahitaji neema ya Mungu sana kututoa kwenye mitego ya shetani. Dada yetu Rose naye alianza hivi hivi.. Mungu atusaidie tuu maana shetani anaitwa mkuu wa Ulimwengu huu Ila Yesu ni mkuu kuliko shetani anaweza kumaliza hiyo ubaya.. Siko na ubaya!!
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
Heri kuwa vuguvugu kuliko kuwa vuguvugu na kuwa baridi......chagua hatua moja ya kufanya kazi na sio kumfananisha Mungu na mambo ya dunia
2018 ulikuwa 100%
2019 umekuwa 23%
Hiyo rate sanaaaaaaaaaaaaa
Mungu tusaidie
Safi sana Gosberth.... Injili imefika pia.... tutaelewana tu. Mungu akubariki sana.
Naitwa Nabii Mary Good luck big up songa mbele nakuombea kiuno ni cha Mungu nyimbo zote ni za Mungu Bongo fleava ni ya Mungu. Atarudisha shetani tu vipaji vyote hana chochote nakuombea
True
Aliyeona jamaa kajiita mjumbe wa kristo wakati anazingua like yako hapa twende sawa
Mjumbe wa shetan huyu
ipo njia ionekanayo machon pa mtu kuwa nisawa kumbe no njia ya upotevu kama umeona godlack anapotea like yako n mhimu
Keneth Japhet willy Paul wa. Kenya alianza hivihivi mwisho akarudi dunian mazima
Kapotelea wapi
Umechukua hatua ya kumuombea kwa mfano
Lazack Brown tigo fiesta
Niseme tu kuimba ninjia tu yakufikisha ujumbe wa maneno ya mungu kwa watu lakini siyo kwamba wewe muimbaji ndiyo uko sahihi kwahiyo bora ufanye unachoona kinalipa kidunia, kwasababu unaweza usifanye na mbinguni ukapasikia tyu,soo muacheni apige helaaaa
Uko juuu baba poga kazi wanaokujadili siku za mwisho wataulizwa mbona injili ilihubiriwa kila mahali Goodluck aliimba kote mkasema kachanganikiwa
Hamkumsikia
Imeisha hiyo baba piga kaziiii
Pole kijana umepotea kwakweli...Tafakari kwa kina..
Nikiwa kama mkristu kutoka moyoni sijaipenda hii na Mungu akusamehe bure Gdluck
Kweli uko na ubaya bwana akubadirishe
Wanadamu kuna kitu tunatakiwa tukielewe kufikisha ujumbe wa Mungu kuna njia nyingi sana lengo ni kumfanya yule hadhira apate ujumbe haijarishi unacheza vipi,,, Wala kuimba umesimama kama askar yupo kwenye pared hy haimaniishi ndo ujumbe wako utapokelewa Sana,,,, congratulations kwako gudluck kwa namna unavyoufikisha ujumbe wa Mungu wanakosema na waseme tu
Unajua uongeacho au unasema tu?
@@yustinaminde1427
Huyu jamaa nahisi hajui anachokionge, Mungu amsamehe tu.
@@ibnahmad607 umeonaee
nmekuelewa broo
blessup
Kazi kweli kweli...... Majukwaa nayo yanatofautiana. Liko Jukwaa la Injli, Siasa, Mziki na Midahalo ya Kijamii (NGO), n.k. Kiuhalisia ni vigumu kuchanganya hayo Majukwaa. Maana kila jukwaa lina aina ya wafuasi wake.
Kazi nzuri pandeni milimani na mabondeni mkawavute watu,hata mfalme daudi alicheza mpaka nguo zikamvuka
Mungu akusamehe kwa ulichonifanya hapo mwanza. Umeonesha kilichoko ndani yako. Giza na Nuru haviwezi kukaa pamoja
Yesu alikuja kuokoa waliopotea , kazi nzuri
Mungu umeshamuacha hapo huna mungu, kaimbe tu bongo freva
MUNGU atusamehe sana. Kwa hivi sijui jmn!!
Nzuriii sana brother
Kapotea Sana godluck hana uwepo tena
Hamuimbii Mungu hyo anatafuta tinge unaonyeshaje nguo ya ndan na ww unajiita mtumishi wa mungu
Nakukubari sana endelea kutangaza enjiri nakumchezea Mungu mtumikie ubado kijana wanaosema umefuata pesa endelea kuwaombea Mungu awatolee mdudu alie waingia maana kunawengine hata mlango wakanisa hawaujui ila kupitia ww huko Mwanza wameza kuskia Nyimbo za kumsifu Mungu
Goodluck kama unataka kuwa moto na uwe moto na kama unataka kuwa baridi na uwe baridi lakini usiwe vuguvugu kwa kuwa utatapikwa. Amua moja kaka Yesu wetu hatangazwi kwa style hiyo bhana mbona mwanzo ulikuwa vizuri ati nani aliyekuloga wewe naumia kwasababu nakupenda kaka kwa sehemu kubwa umenibariki sana lakini unakoelekea siyo kabisa yaani unapotea kaka duuuh!
Ni nzur ila so njema kwa a man praising God anakata kiuno daaah
Mimi nimtumkshi wa Mungu mwimbaji .....inaniuma sanaaaa hats sjui nnnseme..........ila kwa hiz comments....ameelewa kuwa Mungu hachezew wapo wasiomjua Mungu had na wao wanasema kakosea ...................sijui 2......da!! bora ungeimba umesimama ndo ingejulkana unaMtangaza Yesu kwel......lakn....kumbuka nuru na Giza havikai pamoja......ipo SKU utalipa ....kama hayo unayo fanya si mapenz ya Mungu ....Mungu hachezewi hivi ila anatuacha..............tubadirike nawengine tusweke ushabiki2 ....nihayo2
Robert Jacobo me naomba unitajie kosa lake halafu jibu maswali yangu
1.ni nani ambaye anahitajika kupata burudani au neno?
2.unaamini kwamba alipotoka hapo wengine ndio wameanza na kufuatilia huo mziki?
3.yeye anatumia gharama kutengeneza nyimbo itarudi vipi hiyo gharama?
4.we unasema amekosea wewe umejiombea msamaha kwa makosa yako?
5.kumbe dini ina matabaka walevi hawaruhusiwa kuipata?
6.manabii walikuja kwa ajili ya waliopotea au waliosalama?
MUNGU ndie ajuae tena MUNGU anaangalia moyo wa mtu sio matendo,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,acheni maneno yenu,,,,,,,,,,,,,,,go on GOZBERT and be blessed
Mungu anaangaliamatendo pamojanaloo achakujidanganya na gospel za shatani
Toka mwanzo sijawai kuskia chochote katika nyimbo zako wakati utafika na kuamua niwapi umesimama kama upo hapo kwa utukufu wa Yesu kristo Mungu aliye hai jina Lake litukuzwe ila kama upo Hapo kwa masrai yako jina LA Yesu kristo likufedheheshe
Ooooooooh my God anapoteaa uliyemtuma kabadili njiaaaa
daaah hizi ndizo nyakati za mwisho ulipo simama cz waimbaji Mungu awasaidie sana Mungu wetu niwatalatibu
Mungu atusamehe goodluck na embasha wanatuzalilisha wakristo
Mungu amsamehe halijui alitendalo
Kazi nzuri kijana
Hongera SANA GOODLUCKY Mungu akupiganie sana, tambua Wewe unaimbia wenye dhambi waokoke na sio waliokoka wanaoenda mbinguni tayar, mi nakuelewa sana mzee
Hiyo kwenda mbinguni kwa kukata mauno huko no kumsingizia MUNGU na kuopaka dhambi mafuta aimbe tu nyimbo za kidunia
Mungu wetu ni wa utaratibu.. Inategemeana na injil inahubiriwa na watu wapo na hali gan si kihivo Mungu atuhurumie
Bro umetisha sana lakini nikikuona mbinguni walahiiiiii na andamana!!!!!!!
Wooote mnao comment negative kuhusu huyu mtumishi wa Mungu kupitia uimbaji mnakosea sana kuna vitu nadhani mmesahau au ndo kujihesabia haki kuna wasumbua!,ina maana Yesu alipo ingia katika nyumba ya zakayo mfupialikosea sana si eti eeeh wacha Mungu?,kwa taarifa yenu Gospel inatakiwa iwafate watu mkisubiri watu ndo waifate mtakua mnazidi kukosea!.Mungu akubariki Goodluck endelea kupeleka injiri mbele!
Nimebarikiwa sana,ni Jambo ambalo haliku tarajiwa,Kama kungekueepo na nymb Kam hyo na kuwakumbusha wat watengeneze
Kwa jina la yesu kristo ushindwe godlook una pepo kaka uponywe
Mungu akurudishe kwenye maadiri yake wanaoungana na mm kumuombea abadike twende sawa
Mbona amekatika sana jaman.. kama mziki wa kidunia mh
upo sahihi kaka injili had kwenye kumbi za starehe lazm waokoke watu hapo
Dunia kungia Kanisani uwezi kuwa na Roho Wa Mungu ukaitwa fiesta ukaenda nisawa na Yuda aliye msaliti Yesu kwa pesa
Walioko fiesta ni viumbe wa Mungu, na kuingia fiesta ni Jambo jema kabisa kwani ukiwa mkristo huwezi hudhulia msiba wa kiislamu
Mungu atusaidie dunia imeisha injili imeingiliwa
Wadogo zako hukuweza kuwasahau hongera sana kakaangu
Tishaa sanaa brother
Ubarikiwe sana bro
Good luck uko sawa
God bless u
Hapo ni eneo sahihi kulitangaza neno la mungu kwa maana neno la mungu linahitaj wasio mjua Mungu na wala sio watakatifu,,Mungu alikuja kuwakomboa wenye dhambi na wala sio watakatifu,Yani wanaosema G kapotea Wao ndy wamepotea kwa maana mnadhani mungu anaangalia eneo la kazi! Neno la Mungu linatangazwa popote pale,, na kucheza kukata mauno sio shida,, wakati kwenye bibilia kuna watu walicheza mpaka nguo zikavulika,,Mungu anaangalia moyo wako
upo sahihi alex, daud alicheza had nguo zikamvulia sasa nyie mnaoanglia mengne nakusema anakosea poleniiiiii mwenzenu anapona hapo
MUNGU Ni wa ustaalabu
ALEX SEBASTIAN kumbe we uko mbali kwenye mamb ya kiroho mch wako anatakiwa afundshe kabisa
Hapo ana hubiri ama anaburudisha? Unaweza kuweka ushuhuda ni watu wangapi waliokoka kwenye tamasha hilo la wazinzi na walevi? Acheni kumweka Mwenyezi Mungu kwenye mambo ya kishetani.
@@justinebanigwa umenenaaaa
Iko njia ionekanayo ni sawa machoni pa mtu, lakini mwisho wake ni njia za mauti. Mithali 16:25.
Mh mwana wajoka
Lazima zipingwe nyimbo za kidunia zinazomtukuza mwanadamu zikijifanya kuwa ni za Mungu. Hizi ni bongo fleva wala si gospels. Inasikitisha sana Shetani ameuteka ukristo. Wasabato pekee ndo wamebaki na nyimbo za kumtukuza Mungu mtakatifu. Hatutaki dance wala singeli tunataka injili yenye ujumbe wa wetu kutubu dhambi.
Mungu amsaidie arudi kwenye mstari Mungu ni wa huruma hata ss tu a makosa yetu ,Ila adui ana mitego wamemtangazia dau kubwa akaingia kichwa kichwa
Happiness Misanga kijana atafute ela kwanza
Brother unajua sanaa
Wengine tunaomba Mungu kila tupewe vpaj vya kumtukuza Mungu ktk roho na kwel halafu wezetu wengi wemebahatka kukitana na NEEMA ya Mungu lakn unakuja unafanya vitu tofaut kabisa,kumbuka kuna watu nyuma yako wanataka hiyo NEEMA ulio pewa ww ila ww naona umejisahau kukaa ktk zam yako uliopangiwa na Mungu
Preach the gospal Goodluck wataelewa tu...keep up the spirit
Kwakweli hapa goodluck umemkosea mungu na Wa kristor wote kwa ujumla KATUBU
Hakika kazi yako ni njema njema injili tumeisikiaa barikiwa sana ila usisikilize watakatifu wanaokukosoa kwamba uko fiesta na umekata miuno mfalme daudi alicheza mpaka nguo zikadondoka sembuse wewe kukata miuno mchezee mungu Kwa viwango vya juu barikiwaaaaa
Yaaan watu wanapenda judge jaman utadhani wao ndio malaika
Safi sana kaka peleka injili usije daiwa ukisikiliza wanadamu utakwama sana.mara oo amepotea mwezeni anapeleka injili nyie mnabaki na maneno kama Mungu amekupa nafasi kaka fanya kwa kusudi la Mungu Mungu akuinue zaidi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥.wewe ni mjumbe wa Kristo nimependa hyo sms sent.
barikiwa sana tunamtukuza mungu mahari popotee
" Kama vp ianzishwe fiesta za waimbaji wa Gospel, but c mchanganyo, uo wa madhabau mbili tofauti...
Sas sehemu kama hizo huezi kumtuma ambwene mwasongwe,au bahati bukuku lakin alietumwa hapo nahisi anaendana na hadhira na ndo maana amesikilizwa,huezi kutuma mtu timamu kwenye kundi la wendawazimu lazima umte wanaeweza kumuelewa kidogo so nahisi inaweza ikawa sahihi Gozbert kua hapo!!!!!
Nassor Njelikus haahahahaha
Mungu atusamehe sana mana atujui wapi tunakosea na wap tunapatia
Ni Bora kuchagua moja kuwa mlokole au mdunia kuliko kuchanganya yote mawili ni hasara kubwa.Dunia waipenda na Mungu wampenda
Duu kweli Bwana akubadilishe na aina ya uchezaji
Jaman mbingu ya kukata mauno mh labda .
Good
yesu mwenyewe alikuja kwajili ya sisituliopotea,, piga kazi broo Mungu yupamoja nawe
lkn tusihukumu tumwachie Mungu tu
Nakupendaga sana mungu akubark
goodluck acha upumbavu wa kusema u mjumbe wa Yesu ilhali unamtukanisha. kutaja tu neno la Mungu hqta shetani anaweza. TUBU!!!
Hata yesu alikaa na walevi,tatizo mapokeo yetu sisi,ngonga like twende sawa kama umenisoma
Kabisa hauezi kushindana na mwenye kinywa amen
Kweliii nakwambia
Kazi nzur sana wanaosema anakosea siyo sawa Yuki sahihi kbs hawa watu ambao wako fiesta ndo wanaokuwaga maknsn na miaikitin.
Hatariii kaka
Honger as8limia zote
Kama kawaida ako bro ur always amazing
Duuuh kaziii kwakweeeellll
Mwanadamu akitaka kubadili MBWA hatakiwi kabisa aanze kuziiga tabia au kufanya matendo ya MBWA!!!!!!! Mana kwa kufanya hivyo yule MBWA hataona tofauti ya U-MBWA wake na Ubinadamu wetu!!!!! Mwenye ufahamu na afahamu!!!!!
Mungu ajuaye ndani yetu atahukumu,
Kwakwel mungu ni kiumbe cha ajabu sana ila. Atusamehe sana ,,, kwa hali hii jehanam is waiting for us,, no way out: ";';"
Zekaria 1:3
Haise kweli nishida akuna tofauti na wadunia
🤛🤛🤛🤛🤛Asante kwa kuifanya siku yng ianze poa
Wewe nawe utubu uwezi kuwa na siku nzuri kwa njia ya uovu ole wako wewe.....
Yaani kwa kweli shetani hatuwezi kumshinda bila msaada wa Mungu, nilivyokuwa nabarikiwa na nyimbo zako na uimbaji wako mpaka sasa nikikuona hapo yaani umewavunja sana moyo mashabiki wako na kuendelea kukuamini kama kweli ni mtumishi wa Mungu
Ni kweli kabisa Gospel ni habari njema kwa wote ,sishangai kwa nini kaenda kuimba hapo, kinachosahangaza na kuhuzunisha ni namna alivyofanya kufikisha ujumbe kama kweli yupo kumwakilisha Mungu angekuwa katika madili ya ki kristo kuanzia kuvaa,dancing styles, na uimbaji wake apo tungelewa kuwa kaenda kuhubiri, kwa namna alivyofanya apana huko ni kufuatisha namna ya Dunia hii!!
Umetisha mwanangu wa faida
Unajua nini Yesu alikuja duniani kuwaokoa waliopotea..kwenda kuimba pale nisawa na nifursa yakuwafikishia ujumbe wengi..tatizo ni pale kuna walioitwa na Mungy na waliojiita ...Hapo tumuachie Mungu tu sasa
Kudadadekii mijituuu haitaki kupokea miujizaa ya munguu imekodooa mimachooo tyu
Inapendeza saana
Alieona kuanzia sekunde ya 58 mauno agonge like hapa Kwanza, 😀😀😀
Nimeona hayo mauno
Mh jaman
@@zachariajackson4415 vip kwani unaguna
😂😂😂 twende sawa
@@catherinemussa2098 duu
Ata yesu alikaa meza moja na mafarisayo ndo njia ya kufikisha neno
Kashapotea tiyariiiii hamna kitu mhuni2 anazalilisha waimbaji wa nyimbo za injiri
Hakuwahi kuwa moto
Ohhh hiyoo saiz yako kweli @@gudluckgozbert fiesta baba kasema😅😅👍
injiri itahubiliwa kila mahari paka dunia waseme Yesu bwana
Hiyo nayo injil?
,mekazana miuno miuno hivi hamuoni gospor za ulaya wanavyocheza mbele za mungu du waafrica bana
watenda dhambi wanavunga kumchukia ujumbe umefika popote kambi goodluck god bless you
True
Kuazia asahivi nimeshafuta nyimbo zako zote mshenzi kama wewe uliyeshindwa kujitambua katika kazi zako
Samahani sana, kwa hiyo we we unajitambua ?? Mbona unatazama kibanzi kilichoko ndani ya jicho la nduguyo na wakati kwako kuna boriti? To a boriti kwenye jicho lako then uangalie hicho kibanzi.
😁😁 wew bro ni wamoto sana
Mungu atusaidie tumtambue vizuri maana bdo tunapapasa
hapa Mdogo wangu memkosea sana yesu wew ninuru
Your the best singer
Piga kaz goodluck asielewa basi tena hatuna jinsi ya kuwaaminisha
Jamaa yuko vizuri +dancers wameuwa