Mama Chimmy uko na bahati kuishi ushago, I can pay anything to live in such environment. Niko California na huku mahali kwingi ni tao na makelele mingi. Huko ata hewa inakaa safi sana. Enjoy your stay
Mama Jimmy umejaribu unga ya ugali brand ya Indian head iko sawa kuliko pan. Pan iko pre cooked, pia mimi nilianza nayo hapa america sai natumia leesburg utaipata hapo lexington kama sio mbali na wewe lakini indian head iko walmart utapata ya white na ya yellow na pia iko sawa kama ile ya kenya wanaita ugali afya. Ukita kenyan sausage ziko online aes foods wako na kila kitu ya kenya ma spices poa poa mahindi ngumu ya githeri na watakutumia na coolbox hadi kwa mlango. Jaribu
am really impressed with how they are communicating in swahili, it's amazing and the fact that they have embraced it fully as part of their communication language between them and mama jimmy am fascinated , it's my hope one day i will get to visit states and get to see how it is
Mama jimmy ni pee mmojaa eeeeeeh ❤❤❤❤ eeeh wee mimi aki nataka mojaaa🎉🎉🎉🎉 tafadhali aki niwaremboooo.....eeeeh aki kujeni kenya tafadhaliii nawaombaa tu
I loved this vlog. Mama Jimmy, if you want githeri, si I think unaweza pika tu? Ama Hata ugali unawez tafuta unga upike na ka sukuma au spinach ujikumbbushe Kenya. Sukuma na Spinach na tu mbogas hata vitunguu, unda ka shamba kako kadogo upande.
Nawapenda sana,,, WANAWAKE katika asili yao mungu alivyo waumba,❤,,sasa nashindwa kwani hao wanavaaga uchi wanakosa nguo ama ni nini???!,,,,mwapendeza sana
Wenye tunafatilia hii family 🥰 kulko maisha yetu gonga like ❤🎉 lovely family blessed family 🥰 best UA-camr❤
Uwueeeh 😄 🤣 😂
😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂🤣🤣🤣
Tuko nabidii kufuatilia sana 😂😂
Mama Jimmy your in-laws are very humble and full of simplicity.
No show off, no make ups, no fake nails, no blabla, they just stay how God created them . Kudos.👍
Amazing in-laws. Most genuine people in the universe as i know it
Mama jimmy you blend with the family so well …May the Lord keep blessing you in all ways
Just finished watching Baba Jimmy's supper video...Now am here😊😊😂😂 these two channels are always my must watch...😊
😂😂
@@renniengatia8441ata mimi
Same😂😂😂
Same here😂😂❤
Same here. THEIR VIDEOS ARE SO ADDICTING
Mama Chimmy uko na bahati kuishi ushago, I can pay anything to live in such environment. Niko California na huku mahali kwingi ni tao na makelele mingi.
Huko ata hewa inakaa safi sana.
Enjoy your stay
Mama Jimmy you are blessed, your in-laws are wonderful.
Mama Jimmy nakupenda vile uko simple... New UA-camrs let's gather here
Nimekupitia mummy
UMEKOSEA NI SIMBOO.... NOT SIMPLE ...
@@BRAINWORKSFILM 😂😂😂
Have come to love this humble family....its the best thing watching
Very humble and simple human beings. God bless you guys
Mama Jimmy Honesty is out of this world.
I love this girls. They are simple
They speak very good swah, mama Jimmy, be speaking the US English to surprise us too
Country life is rhe best, slow and peaceful
Yeah, until rednecks watoklezee..anyway God forbid. This is how it's meant to be
Wow 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉maombi Dio kila kitu Dio maana ulipata mtu mzuri🎉🎉🎉❤❤❤❤❤much love
Lovely family ,may the Lord keep you ,greetings to Baba Jimmy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mama Jimmy you are blessed and loved 😍
Warembooooo eeeeeh mamajim kujana hao warembo wapate na bwana hukuu eeeeeh ❤❤❤
You have beautiful sisters. They are humble n calm. They are a vibe to walk with
Mama Jimmy umejaribu unga ya ugali brand ya Indian head iko sawa kuliko pan. Pan iko pre cooked, pia mimi nilianza nayo hapa america sai natumia leesburg utaipata hapo lexington kama sio mbali na wewe lakini indian head iko walmart utapata ya white na ya yellow na pia iko sawa kama ile ya kenya wanaita ugali afya. Ukita kenyan sausage ziko online aes foods wako na kila kitu ya kenya ma spices poa poa mahindi ngumu ya githeri na watakutumia na coolbox hadi kwa mlango. Jaribu
I like Indian Head white corn.
Hata Brand ya Goya wanayo Unga mtamu. Waitwa Masarepa Precooked white corn meal.
Wow......ur amazing I like Baba Jimmy's sister.Also how they speak English 😂
Mashallah ,Kiswahili lugha tamu..twawapenda sana karibu tena Kenya
Kiswahili kitukuze🎉🎉❤❤+44
I'm really enjoying the conversation with your sister's, keep pressing on mama Jimmy
Content mzuri sana, do alot of content with them, Mungu awabariki
If I was to move to America I'd want to live in the countryside. Ushagoz ni vibes ❤
am really impressed with how they are communicating in swahili, it's amazing and the fact that they have embraced it fully as part of their communication language between them and mama jimmy am fascinated , it's my hope one day i will get to visit states and get to see how it is
🥰🥰🥰
Unasema khaweather ni khasuri, siyo, I like that, hebu mama Jimmy fundisha baba Jimmy na hao inlaws kiluhya kidogo tusikie
😂😂😂😂
Haiya this girls are talking fluent Swahili too.
They were staying in Kenya Western Bungoma county
Mama Jimmy prefer to speak swahili, but she's knows how to speak fluency English too
Amerika ni mzuri. Hadi ushago wanaweka lami. Hawapendi vumbi. I wish Africa tungekuwa hivyo
😂😂😂 mawifi zako wako fun, kwamba ulikua unakosa maneno..umebarikiwa na familia iko na upendo.
Mama jimmy Keep it up wengine in two weeks wangeanza ku fake accent,just be yourself ❤❤
Mama Jimmy. Naangalia nikiwa mombasa. I love your inlows. Please let them visit me at mombasa Kenya
Ni raha sanaa mama Jimmy kuwa na marifoon wanaokupenda na mnaelewana. Hiyo ndoyi raha ya kuwa na Mungu. Mungu awabariki sanaa.
Mama jimmy ni pee mmojaa eeeeeeh ❤❤❤❤ eeeh wee mimi aki nataka mojaaa🎉🎉🎉🎉 tafadhali aki niwaremboooo.....eeeeh aki kujeni kenya tafadhaliii nawaombaa tu
I loved this vlog. Mama Jimmy, if you want githeri, si I think unaweza pika tu? Ama
Hata ugali unawez tafuta unga upike na ka sukuma au spinach ujikumbbushe Kenya. Sukuma na Spinach na tu mbogas hata vitunguu, unda ka shamba kako kadogo upande.
🎉🎉 awww sweet vlog ❤❤ keep going mama jimmy 🎉🎉
The blend is superb
Channel ya hii familia inanimalizia WiFi 😂😂love these people ❤❤ Blessings
I love this family so much ❤
Mama Jimmy you makes us proud do you cook for them mulenda. ?
The inlaws lived in Kenya for a very long time wanajua hizo mboga zote. Hausikii wanakoroga kiswahili ya kibukusu
Wifi zako ni wazuri sana , mungu awabariki nyote😊
😂😂😂ngumu na maharagweee yawa
Chai ya maziwa na mluhya nikama mguu na mwenzake😊😂
Beautiful video with your in-laws
Wonderful loving inlaws
Nawapenda sana,,, WANAWAKE katika asili yao mungu alivyo waumba,❤,,sasa nashindwa kwani hao wanavaaga uchi wanakosa nguo ama ni nini???!,,,,mwapendeza sana
Hawa walilelewa kikristo.hawawaezi tembea uchi
Wow !!! I just love ❤❤❤ is family
mimi napenda kuona dynamic ya mama jimmy na in laws wake 😍
That's nice wanajua kangumu na mapera.
Maze na accent ya kiluyha pwahahahahaha
I have enjoyed watching you guys, very pretty ladies. Alafu venye mlikuwa mnaset appointment na deer🤣🤣🤣that killed me😂😂😂. So its Friday at 2:30 pm🤣🤣🤣🤣
Mama Jimmy amefurahia
Tell them wacome visit Texas nitawapikia samosa, wasichana warembo
Hawaombwi ivo😂😂❤
@@Miss_PK254😂😂😂
Your in laws are so cute!
Wow this is wonderful
Wow cute inlaws today with mam jimmy❤...na walijua aje swahili😊
Walikua wanaishi Kenya Bungoma county
Wow nice family,fanya video mob na your husband's family
This is a good family. Simple life.
Adorable.🎉
kaa ngumu haihitaji yeast.
Huyu hapendi gideri🤣🤣🤣gideri was chilling
Team mama jimmy mnipitieko please kindly ❤❤
I love their dimples ❤
What a blessed family
Ni Kumbikumbi si Kumbekumbe😅. Love you all❤
Wow aki wifi zako ni wacute sana nimewapenda tu bure .wako na roho safi sana mungu awabariki sana .❤❤❤❤❤
Mama jimmy si uniconnect na Rebecca naona pia neza mpeleka kisii 😂😂
Wee mkisii utaenda menesota
😂😂😂😂mama Jimmy akho kha box nikhadogo khanaweza kimbizako sungura kweli??
Mama Jimmy umesema shida mbaaaa😂😂,lakini nawapenda sana.
Rebecca kumbe anajua iyo combo...ngumu na maharagwe
They are so cute ❤❤
This are wealthy white people. Mama Jimmy you have favor of God blessings 🙌🏿 🙏🏾 ❤️
Mama Jimmy, jambo, bibi, mama ya baba Jimmy nikijana kabisa na murembo!
Hawa ni waluhya ama wazungu?😂😂
ati tukule kangumuu na maraakwee😂😂😂😂
😂
Mama jimmy umekua utuber mzuri keep it up.
Ati hiyo ta😂😂😂
This place is beautiful
Mama jimmy me nataka namba ya Hannah nirushe maindi😂😂😂😂
Wow full of vibes❤
Aha hawedha nihasuri😂😂😂
Naona nikikuwà shemeji wa Baba Jimmy sasa
In Kenya, it's Pine tree too..
Panas tree sijawahi skia Kenya, ama niko nchi gani 😂😂
Mama Jimmy ni poa tuwajue kwa majina.....""sio huyu""
Hongera mama Jimmy 🎉
Warembo mko na kiswahili sanifu. Fundisheni mama Jimmy.
you guys are all adorable ❤
Mama Jimmy siunipatie msichana msungu nioe
Nipe huyo shemeji yako Rebecca, anaongea vizuri
Kumbi kumbi, reminds me of the rainy seasons
Come to Wisconsin usikie baridi yenyewe mama Jimmy.
Wah hata wazungu wanajua sisters in-law kwa kiswahili ni Wifi/mawifi🎉🎉
Unamiss kangumu😂😂😂😂
Mimi napenda gideri😂😂🎉🎉🎉 nice content. Like if its dope.
Mapera😂😂😂😂😂Aki wanaongea pia kiswahili
mashemeji wa mama Jimmy wee ni wa swahili 😂😂😂
Umesema anafanya shule na Jimmy 😂kufanya ndio kusoma ama😂😂😂❤
Nipitieni please 🥺🙏 tugrow pamoja nitawapitia pia
We love you guys from UK London❤❤
Kangumu na beans😅😅