MWANASHERIA WA MAGOMA: YANGA WAMELETA UJANJA UJANJA HUJUMA ZA WAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 115

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv Місяць тому +10

    Ushamuibia mwenzio😢😢

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 29 днів тому +1

    Tunajua mnatumika mnalipwa ili muiagushe yanga achen ujinga

  • @UpendoUpendomgani
    @UpendoUpendomgani Місяць тому +10

    Hapo hukuna mwanasheria.

    • @charlzrabson576
      @charlzrabson576 Місяць тому

      Hahahaha hakuna kabisa yeye kaendesha kesi bila kiwashirikisha wahusika yeye ana lalamika hajahusishwa

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk Місяць тому +3

    Uko goood na tuko pamoja tumesoma sheria tunajua kinachiendelea ikibidi tutaungana

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 Місяць тому

      Kusoma sheria Wamesoma wengi tu,, lkn jiulize kwa nini kuna lawyer Ambao wanagombaniwa wakati wengine hata wateja wa kesi ngumu awapati? Na wote wamesomea sheria? Kupanga hoja na kuitafsiri sheria ndio ugumu ulipo.""" Huyo yy anataka pesa tu magoma ashinde au asishinde ili mradi yy analipwa ndio anachotaka

  • @mohamedomari6129
    @mohamedomari6129 Місяць тому +5

    Hakuna wakili hapa

  • @natamihambo8077
    @natamihambo8077 Місяць тому +5

    Hamkushirikishwa kama mlivyofanya nyie😂(kidding 😅)

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому +1

      Kweli hata akina Magoma waliendesha kesi gizani Leo imewageukia kwenye mwanga

  • @edwardjikono
    @edwardjikono Місяць тому +2

    😂😂😂 Jaco, ulinomagoma gashinaga. Sawa bhabha pambanagi,

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 Місяць тому +1

    Wewe jamaaa unamdanganya magoma umalize hela Zake na kibanda auze alale gerezani😅😅😅

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 Місяць тому +1

    😂😂😂 yy anataka mshiko tu

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Місяць тому +10

    Wewe endelea kuwaingiza chaka kwa sababu kuna mtonyo! Huko juu unawapeleka, unawaongezea mzigo ambao tayari ni mlima Kilimanjaro!!

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому +1

      Haaa haaaa asee kweli siyo kilimanjarotu changanya Mt Meru na nyanda za juu kusini

    • @JosephatMassae
      @JosephatMassae Місяць тому +1

      Magoma anao watu wa kulipa hiyo gharama bila shda na kesi inaendelea😀😁😂

  • @GiftyzabronMsambi
    @GiftyzabronMsambi Місяць тому +1

    Acha kumdidimiza magoma ana familia inamtegemea😂😂😂😂😊

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 27 днів тому

    Hapo gsm kahonga pesa ili kesi ifutwe huo ndio ukweri vinginevyo mnapoteza muda

  • @oswiitvonline6514
    @oswiitvonline6514 Місяць тому +1

    Wakili kitunguu, acha kujidharilisha bro😅😅

  • @rigobertkalikawe1619
    @rigobertkalikawe1619 Місяць тому +2

    Wapige hela ...we teteatea tu usijekuonekana hukuwasaidia...lakini ukweli unaujua ulivyo ...

  • @joshuamwambene2874
    @joshuamwambene2874 29 днів тому

    NAOMBA huyu mwanasheria atupatie vyeti vyake maana naye ana hittlaffu kama Magoma

  • @johannesishengoma1232
    @johannesishengoma1232 Місяць тому +2

    Hiyo haikuwa kesi ya kusikilizwa kwa pande zote, yalikuwa ni mapitio ya hukumu iliyokwishatolewa. So wamegundua maamuzi yao hayakuwa sahihi. Kateni rufaa ya kesi husika siyo ya nyongeza ya muda.

  • @augustinemainde
    @augustinemainde Місяць тому

    Alipe tu 70 milion

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 29 днів тому

    Kweli hueleweki

  • @saidykumbilo
    @saidykumbilo Місяць тому +5

    Huyu wakili nae kilaza ila anachokitaka atakipata tu muda si mrefu

    • @velxempire8995
      @velxempire8995 Місяць тому

      uelewa mdog kuhusu uwakili
      wakili nimtu anaesmama badala ya muhusik kumuwamilisha

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 Місяць тому

      Litamkuta jambo 😂aache ushubwada atushindwi na jambo letu

    • @sebastiankatalle2732
      @sebastiankatalle2732 Місяць тому

      Tumia akili ww sasa wakili atafanyaje wakati yeye anapewa hela kusimamia kesi

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf Місяць тому +2

    acha mizengwe bro

  • @Bongoupdates1
    @Bongoupdates1 Місяць тому +1

    Huyu yupo kuwaongezea wenzake million 70 nyingine za kuendesha kesi nyingine jumla 140 million halafu analala mbele

  • @SantinaChale
    @SantinaChale Місяць тому

    Wenawe mwanasheria wa mchongo.msaidie huyo mzee wako kulipa hizo pesa .acheni ubabaifu.

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 23 дні тому

    hao wazee ni njaaaa imewazidi, wao wasubirie kwenda kwa baba...

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Місяць тому

    Huyu ni wakili msomi

  • @KapondaZenaida
    @KapondaZenaida Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @andrewbumbugu
    @andrewbumbugu Місяць тому

    😂unapga hela tuuu

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Місяць тому

    Yanga mtakuja kujuta kama hamtki kumwelewa magoma, heris pamoja nakufanya vizuri anawapiga

    • @drjbmsige4098
      @drjbmsige4098 Місяць тому +1

      Mbona mo na Dada zake wamegawana simba kama vipande vya kanga na bado nyie hamjuti

  • @agustinoshechambo8122
    @agustinoshechambo8122 Місяць тому

    Magoma ana haki.

  • @solomonsigalah3277
    @solomonsigalah3277 Місяць тому

    Kazi ya tumbaku

  • @mbwanaoch9886
    @mbwanaoch9886 Місяць тому

    Hamna wakili haoa

  • @hamisikapute598
    @hamisikapute598 Місяць тому

    Hamna Wakili hapa

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 Місяць тому +5

    Kurujuani imemrudia mwenyewe kenge magoma

  • @salumjuma6338
    @salumjuma6338 Місяць тому

    Upo vizuri mwanasheria safi sana.

  • @amosingailo-xb6lf
    @amosingailo-xb6lf Місяць тому

    Wasipofungua😂😂😂😂 itakuwaje

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 Місяць тому

    Yanga ni taasisi kubwa wakili msomi utadunda yatakwisha

  • @user-zv3rm3st3b
    @user-zv3rm3st3b Місяць тому

    Ww kama mwanashelia wa mteja wako magoma, ulilichukulieje hili swale la magoma kuishitaki yanga? Na kwann aliishitaki yanga yaani wananchi?

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki Місяць тому

    Ukiona wakili ana mteja kama magoma shtuka shtuka

  • @user-uv7fe9tj5k
    @user-uv7fe9tj5k Місяць тому +1

    Jamani ajira hamna mtaani, huyu mwanasheria anazidi kupiga pesa tu 😄😄😂🤸🏼‍♀️

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 Місяць тому +1

    Magoma peleka kesi fifa

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому

      Subutu kwani Magoma ni mwanachama wa FIFA

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA Місяць тому

    Hauna akili na huyo dada yako magoma

  • @michaelmwikalo971
    @michaelmwikalo971 29 днів тому

    Comment nyingi ni za mashabiki oya oya.. kiukweli huyu Dogo yuko vizuri kisheria na kama hii kesi itaenda kwa haki %100 Magoma anashinda hii kesi iko wazi kabisa na hamtoamini nyie oya oya labda itumike njia haramu..

  • @DicksonWilliam-t1x
    @DicksonWilliam-t1x Місяць тому

    Fala huyu

  • @deoselcom9701
    @deoselcom9701 Місяць тому +1

    Wakili ukovizur sana🙌🔥🔥📌🔥🔥

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Місяць тому

    Utajua mwenyewe we unataka kuizuia mvua ungewashauri vzr kaka hao wazee usije ukasababisha wauze nyumba zao

  • @user-tb7qw5oh1h
    @user-tb7qw5oh1h Місяць тому

    Mwanasheria wa mchongo huyo,tuone vyeti vyake!!

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 Місяць тому

    Watoto wa magoma huyu ndiye labda amesababish kuuzwa nyumba yenu alimshauri baba magoma vibaya

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 Місяць тому

    Kuna rushwa apo ishaingia

  • @SadamGulamu
    @SadamGulamu Місяць тому

    Unazuiaje kuhusu kuongezewa mda nawakata cha kwanin mwanzo kesi mliendesha upande wenu

  • @user-tb7qw5oh1h
    @user-tb7qw5oh1h Місяць тому

    Lengo lenu ni kuiyumbisha timu yetu,mmefeli wapumbavu nyie!!

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 Місяць тому

    Nyie si mlifanya uhuni mkafungua kesi kisha mkafoji sahihi za watu,sasa na nyie mmepigwa na kitu kizito...nenda kafungue kesi kwa makolo wenzako.

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 Місяць тому

    nlijua tu hawatoboi sababu usimba na uyanga umetawala sana

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y Місяць тому

    Wakamue pesa hadi wafilisike kabisa

  • @bennieathuman9917
    @bennieathuman9917 Місяць тому

    Mpigaji huyu

  • @user-hy4zb3eg1z
    @user-hy4zb3eg1z Місяць тому +1

    Mlitaka mtuvuruge kweny mechi ya jana....maviii nyie

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 Місяць тому

      Hizo ndo za simba... kama enzi ya kesi na fey toto..kila yanga wakiwa na mechi muhimu..anaibuka fey kusikojulikana.. kolo wamefika mwisho kuhujumu yanga

  • @YusuphMdaki
    @YusuphMdaki Місяць тому

    Huyu mwanasheria wa mchongo

  • @user-pp7ug2bc1y
    @user-pp7ug2bc1y Місяць тому

    Mmepigwa uwanjani goli la tobo, mmepigwa mahakamani na sheria, mmepigwa mtaani. Hamuogopi?

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 Місяць тому

    Mbona wadhamini wa bodi ya yanga hawakuwepo na nyinyi mkapewa hukumu na mkaifurahia?

  • @kassimkifile1123
    @kassimkifile1123 Місяць тому

    Kama wewe mwanasheria wakt mnaendesha kesi ya msingi wakati huo viongoz wa yanga waliitwa mahakamani?? Au mlifanya ujanja , kugushi pmj na uvunjifu wa sheria . Kama mwanasheria ulitakiwa uwaongoze wateja wako juu ya sheria.

  • @josephatilunde9329
    @josephatilunde9329 Місяць тому +2

    Wakili mwanasimba huyu😂

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 Місяць тому

      Kabisa Tena kadi yake ya Simba ni namba 2345

  • @RashidNkwazi
    @RashidNkwazi Місяць тому

    yan anavo kaza mishipa tafikiri timu ya baba yake atafute kazo

  • @seifpandu
    @seifpandu Місяць тому

    Mwanasheria anawaponza wenziwe kuongezewa muda sio kesi ya msingi ilikuwa ni kuwapa yanga muda wa kujibu hoja kwa vile wao hawakupata muda wa kusikiliza hivo wao wameomba muda juu ya maamuzi ya mahakama sio Magoma hivyo magoma ameshasikilizwa mahakama imeikubalia yanga kutoa maelezo ss ukisema umepigwa huo ni uwakili usomi bali ni wizi

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 Місяць тому

    Hiyo hela ya Magoma itakutokea puani wewe Wakili

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z Місяць тому

    ivi nyi mnaweza kucheza na ghalib nyie,,,hela zenyewe mnachanga changa ndo mumpe wakili😊;;;

    • @saidsoudamiri4054
      @saidsoudamiri4054 Місяць тому

      unajua hao jamaa nyuma yao kuna mtu ana pesa kuliko ghalib

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Місяць тому

    Unawadanganya watazidi kuingia gharama kubwa

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому +1

      Ye si ndo kazi yake unadhani atakula wapi we muache magoma aendelee kujichanganya kma hajauza vibanda vyake

  • @mbinonyoso7501
    @mbinonyoso7501 Місяць тому

    Munyonge hana haki pereka Tas tuwone kama utafika wewe kenge kubwa

  • @clauscharles9374
    @clauscharles9374 Місяць тому

    Sasa nyie wasiwas wenu nini Kama mna haki mnachoogopa nini kwenye kuongeza muda

  • @AjiaMohamed-rt5pb
    @AjiaMohamed-rt5pb Місяць тому +1

    Ww mwanasheria choko magoma anaweza kuwa na yanga pia una akili mwanasheria njaa

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 Місяць тому

    Tuangalie umri wa wakili anataka kutengeneza status!!?

  • @samweljames8060
    @samweljames8060 Місяць тому

    Pumbavu sana" sijakutukana baali nineno ambalo lipo kwenye bible

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg Місяць тому +1

    Huyo ni kolo

  • @vedastuschuwa8401
    @vedastuschuwa8401 Місяць тому

    Huyu wakili anawapiga hela kina mangoma,,
    Ana lalamika kupewa taarifa wawo kipindi wanaendesha kesi yao wakashinda with walipeleka wap ,yanga alishutikia hukumu ilitoka,,,huyu wakil awasaadii bali anawatia moyo ila keshi hii awachomoki na hata yakungushi itawaangukia watapotea

  • @GodfreyNgoti
    @GodfreyNgoti Місяць тому +1

    Anatakaa ku trend tu

  • @user-zj3ne7oy8h
    @user-zj3ne7oy8h Місяць тому

    wewe wakili acha kujidhalilisha na kazi yako, mzee kaingia pabaya huyo, wewe kama msomi achana na huyo, njaa zilikuwa zinawasumbua. nyie mliwaita watu wa upande wa pili kusikiliza, nyie mlisikiliza kesi wenyewe, mlisema mmeshinda. sasa wewe endelea kumponza mwenzio, wamefoji sahihi za watu wewe mponze tu huyo mwenzako ataenda jela kifungo cha maisha.

  • @JoelMidyele-eo3ps
    @JoelMidyele-eo3ps Місяць тому +1

    Washenzi tu Hawa inawauma yanga ni kubwa

  • @rigobertkalikawe1619
    @rigobertkalikawe1619 Місяць тому

    Hawa jamaa wanapoteza muda tu... Sijuhi hakuna kazi za kufanya

  • @yonazimpombe1160
    @yonazimpombe1160 Місяць тому +1

    WEWE SIMBA UBAYA UBWELA NDIO UMEBWELA NA KIPIGO................. CHA I BILA

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks Місяць тому

    Wewe wakili njaa unawapotosha hao wazee wewe tunajua ni Simba na unatumika kwa masilahi ya Simba huwezi kutoboa zaidizaidi wasaidie kuwalipia faini wateja wako sasa

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 Місяць тому

    MAGOMA WAO SI JEURI WANARINGIA PESA WEE PELEKA KESI FIFA MBWAI NI MBWAI

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 Місяць тому

    Jamaa kwa nn usiendelee na kazi/shughuli zako? Ushauri wa bure

  • @user-xh4jt7nt7z
    @user-xh4jt7nt7z Місяць тому

    Wewe mpumbavu iyo sio kazi angaliaga kesi za kusimamia mbwa wewe

  • @salumomar-ph8ht
    @salumomar-ph8ht Місяць тому

    Ww mwanashea njaa tu ww unakula ela za wajinga sasa uawatia hasara wenzio

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 Місяць тому

    Wakili anaweka Sawa kibarua chake ili aendelee kula pesa za wajinga

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np Місяць тому

    Hamna mtu hapo

  • @MotibaMashana-hv3tf
    @MotibaMashana-hv3tf Місяць тому

    pambana na simba yako mashenene

  • @MohamedKibure
    @MohamedKibure Місяць тому

    Akuna shida ata ivyo watafungwa wao sio wewe

  • @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts
    @NdayishimiyeEvelyne-ws6ts Місяць тому

    Awa wanatumwa na simba ili waivuruge yanga ila wawe makini yanga ni tasisi kubwa hamutaweza

  • @SultanSuleiman-qf7cx
    @SultanSuleiman-qf7cx Місяць тому

    Wadange hao wajinga wezko

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 Місяць тому

    Magoma anaibiwa na yanga inamdai milioni 100 na Polisi wanachunguza Sign za kughushi yaani huyu mzee Atafilisiwa na Jela ataenda

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Місяць тому

    Hii kesi wanayanga mtulie msikilize haki za watu huyu wakili yupo vizuri .acheni ushabiki zingatieni Sheria za nchi

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому +1

      Endeleeni kumpoteza tu mzee wa watu

    • @babadoreen6887
      @babadoreen6887 Місяць тому

      Kwako ndio yupo vixur hajui bado sana au huoni anakosea anawaza gharama tu

  • @MakoyeSimon
    @MakoyeSimon Місяць тому

    Usituvuluge kenge wewe

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Місяць тому

    umewainggiza chaka wewe

  • @abdallahsaidi932
    @abdallahsaidi932 Місяць тому

    Kashakula mchono

  • @AmbakisyeMbwaga
    @AmbakisyeMbwaga Місяць тому

    Wewe mwanasheria ziro bona ww ulisimamia mashauri bila wenyewe yanga hawakuwepo

    • @hamisluwole9539
      @hamisluwole9539 Місяць тому

      Sijui amesomea sheria chuo gani bwege kuliko

  • @AmbakisyeMbwaga
    @AmbakisyeMbwaga Місяць тому

    Ww umetumwa na mo mshamba ww mwanasheria

  • @vincentakulumuka4961
    @vincentakulumuka4961 Місяць тому

    Mpigaji huyu