HAIDARI MCHANJO ATAMBA - "NAFANYA MAZOEZI na MKE WANGU, TONDO ni MTOTO MDOGO Sana, MECHI HAINISHTUI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • HAIDARI MCHANJO ATAMBA - "NAFANYA MAZOEZI na MKE WANGU, TONDO ni MTOTO MDOGO Sana, MECHI HAINISHTUI"
    BONDIA Haidary Mchanjo amempa onyo mpinzani wake Charles Tondo ambaye atazichapa nae kwenye pambabno kubwa la 'DAR BOXING DERBY' Juni 29, 2024.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @FrankYamaha-ks2cq
    @FrankYamaha-ks2cq 2 місяці тому

    Nakubali cn kapten

  • @allymwachipanga2486
    @allymwachipanga2486 2 місяці тому

    Kweli kayakanyaga nakuaminia sana

  • @yusuphmtuga4951
    @yusuphmtuga4951 2 місяці тому

    Uko fit sana najua huwez niangusha

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 2 місяці тому

    Kama mchanjo atacheza kama alivyocheza alivyocheza na yohana mchanja gemu itakuwa rahisi kwake
    Tondo atapoteza

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 2 місяці тому

      Unamjua Tondo vizuri mimi mtoto wa Manzese kabisa ila hii match ngumu sana kwa Mchanjo

  • @khamisomary7428
    @khamisomary7428 2 місяці тому

    Unazingua unaona raha kupigwa nje halafu unatamba kupiga ndani😮 wakat huko nje ndio ilikuwa watakiwa ufanye kweli utoboe.😮😮😮

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 2 місяці тому

      Wewe ndio umeshindwa kuelewa

    • @khamisomary7428
      @khamisomary7428 2 місяці тому

      @@Rolemodel_wa_taifa kwakuwa anaongea kichini au 🤣🤣🤣❓