KUMTEGEMEA MWOKOZI | NYIMBO ZA KRISTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Mpendwa barikiwa na wimbo huu
    Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa;
    Kukubali neno lake, nina raha moyoni.
    CHORUS
    Yesu, Yesu namwamini, nimemwona thabiti;
    Yesu, Yesu yu thamani, ahadi zake kweli.
    Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa;
    Kuamini damu yake nimeoshwa kamili.
    Kumtegemea Mwokozi, kwangu tamu kabisa;
    Kwake daima napata, uzima na amani.
    Nafurahi kwa sababu nimekutegemea;
    Yesu, M-pendwa, Rafiki, uwe nami dawamu.

КОМЕНТАРІ •