Mwamini sio mtumishi, mtumishi alikua mussa na wengine woote ambao hawajaamini! Mwamini ni Mwana wa Mungu, mfalme, mwenye haki wa Mungu, Mungu kwangu ni Baba, yani ni zaidi ya Mungu!
Sala ya Baba yetu uliyembinguni haifai kwa mwana wa Mungu. Kwanza Mungu hakai mbinguni, bali anakaa ndani ya mwamini! Pili mwamini hahitaji kuuita/tafuta ufalme, Ufalme upo ndani yake! Jina lako litukuzwe❌ Jina la Mungu lilishatukuzwa wakati Yesu alipo fufuka! Maombi ya toto wachanga hayo!
Kipindi umenifundisha hii sala namna ya kuitumia sikubaki Tena kwenye group la waombaj wa muda mfupi, nakufurahia brother apostle GC Angle utunzwe na Mungu siku zote mtumishi 🙌🙌
Yatupasa kuomba kwa muda mrefu au kwa Imani ? kwani mwenye haki wa Mungu anaishi kwa Imani au Kwa maombi?.kwanini tusishindane basi kumsifu Mungu na kumwimbia kwa muda mrefu kama Paul na Silas kuliko kushindana kuomba kwa muda mrefu kwa kurudia rudia maneno ili tutimize muda mrefu kwakutumia mipango ya akili badala ya kuongozwa na Roho
Amen nimejifunza Mungu aendelee kukubariki
Amiina sana mtumishi tunabalikiwa kwa ujumbe mzuri nimeupata Yesu kristo wanazaleti Alie hai atukuzwe
Barikiwa sana so powerful
Nashukuru sana nimebarikiwa sana sana kwa mafundisho hayo Asante sana sana
Ameeeeeeni ubarikiwe sana mtumishi 🙏🤝🤝
Nakupenda sana broo wngu Mungu akuzidishe .... ❤
Nakusiliza vizuri mtumishi wa mungu
Asante sana apostle ubarikiwe sana
Mungu akubariki
Mwamini sio mtumishi, mtumishi alikua mussa na wengine woote ambao hawajaamini!
Mwamini ni Mwana wa Mungu, mfalme, mwenye haki wa Mungu, Mungu kwangu ni Baba, yani ni zaidi ya Mungu!
Be blessed servant of Living God
Mungu akuzidishie hekima
Neno ni jipya Kila wakat amen
Barikiwa sana lazima tujue jinsi ya kumuomba mungu wetu ili tuzawadishwe.Roho wa mungu akujaze.
Asante apostle nijua Kwa mimi nimvivu
You are a good teacher
Asante ..Mungu akubariki mtumishi wa mungu
thank u God bless u, umenilenga kabisa
Amina Sana
Asante mwalimu
Barikiwa mtumishi
ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwee
Aseeh this is amaizing be blessed mjoli ..,mm nlkua natumia dk kumi tu !! Hakika hii itanijenga
Kweli mchungaji unanibariki
Amen mtumishi
Amen
Amina Sana mtumishi balikiwa 🙏 kwaujumbe mzuli Sana
Thank you God, I am so blessed to hear this beautiful message 🙏
Wow Ameen
Mungu azid kkuinua ktk Yesu kristo maana umefanyika baraka kubwa kwng
Asante apostle umenisaidia siku ya leo
Amen Apostle naendelea kujifunza kuhusu maombi,na kuna Maswali nilikuwa najiuliza nimeelewa
Ameeen
Nakuombea neema ya Mungu izidi kukuhifadhi adui asiondoe kile Mungu ameweka ndani yako kwa kusudi lake.
Leo ni Mara ya kwanza kufatilia mafundisho yako nabarikiwa sana mtumishi
Amina mtumish
Ubarikiwe mtumishi
Amen Mtumishi barikiwa sana kwa neno 🙏
Amen amen
Saw
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu unanitia moyo sana sana.
Be blessed
tuned
Amen Amen apostle
Waongea nami apostle asante sana
Amen,Mungu kaniamsha for this.Glory to God
Ameeen
Apostle Amen 🙏🙏🙏 but Kuna mahali I don't get you will your will be done bless help me to understand the will of God
AMEN AMEN Apostle
Ameen ameen barikiwa Sana mtumishi
Asante san mtumish
Ubarikiwe sana apostle Mungu azidi kukuinua
Ameen
Ameen be blessed Apostle
Sir more grace
Sala ya Baba yetu uliyembinguni haifai kwa mwana wa Mungu.
Kwanza Mungu hakai mbinguni, bali anakaa ndani ya mwamini!
Pili mwamini hahitaji kuuita/tafuta ufalme, Ufalme upo ndani yake!
Jina lako litukuzwe❌
Jina la Mungu lilishatukuzwa wakati Yesu alipo fufuka!
Maombi ya toto wachanga hayo!
Amen,mchungaji,swali langu hilo unalijibu leo ambayo nimejiuliza mara mingi
Nimeelewa nimeacha kupayuka kwjina la YESU
Sijaona no ya Sadaka Mtumishi wa Mungu
SHALOM MUNGU AKUBARIKI 0755640454 GODLOVE
Oooh God i know your speaking with me.. thank you Jesus
Nifunze jinsi ya kuvunja madhabahu
Ameeen apostle nazidi kufunguka pakubwa kwa mafundisho yako ubarikiwe san
Ameeen Endelea kubarikiwa
Ameen Tunakusikia Apostle
Amen a blessed accountant
Amen Amen Apostle b blessed
Ameen Mungu ni mwema kutufundisha sisi njia za uflme wake
Amen Glory to God
Am blessed kindy upload more teaching
Zinakuja, kaa tayari tuu kuzipokea
Amen🙏
Ameen
amina
Unaongea nam
Ameen ameen🙏
Asante sana sana kwa neno hili zuri ni kweli tunalisoma neno lakin sometimes tunashindwa kulichanganua, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi
Amen amen apostle we lov you
Amen nimebarikiwa sana ma mafundisho yako
Najifunza hapa kuhusu mapenzi ya MUNGU
Good news brother
Ameen Sir
Je chumba Cha Siri ni kipi kipo physical au inazungumziwa kiroho?
God bless you Apostle
🤔🤔
I love you i'm blessed more
Ameen 🙏 blessed Man of God
Please Kaka nipe no yako
Kipindi umenifundisha hii sala namna ya kuitumia sikubaki Tena kwenye group la waombaj wa muda mfupi, nakufurahia brother apostle GC Angle utunzwe na Mungu siku zote mtumishi 🙌🙌
Ameen
AMEN,
You are speaking to me🙏
Samahani mtumish kwenye kukemea pia hatutakiwi kutoa saut kubwa
Mungu akubariki apostle coz umenifunza kitu leo
🙏🏽🙏🏽
POWER, IN JESUS NAME!
GLORY TO GLORY
AMEEEN MAN OF GOD
Sijapata hizo number za kutoa sadaka
Shalom Mtu Wa Mungu- Namba _ ya Sadaka Ni VODA +255755640454 jina GODLOVE CHARLES.. MUNGU AKUBARIKI SANA
Yatupasa kuomba kwa muda mrefu au kwa Imani ? kwani mwenye haki wa Mungu anaishi kwa Imani au Kwa maombi?.kwanini tusishindane basi kumsifu Mungu na kumwimbia kwa muda mrefu kama Paul na Silas kuliko kushindana kuomba kwa muda mrefu kwa kurudia rudia maneno ili tutimize muda mrefu kwakutumia mipango ya akili badala ya kuongozwa na Roho
Kumbe hii SALA NDIO HIII NI MAANA YAKE? 🙌🏼Aiseee najifunzaa
Ameen
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Umefanya vyema kufungua channel..
Umetupunguzia mzigo wa MB kule istagram
Amen
AMEN AMEN Apostle
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Number ya kutoa sadaka mbona haitokei
Sijaona no ya Sadaka Mtumishi