Ahhh majengo hutizamwa (MISINGI) foundation siyo rangi au muonekano mzuri. Majengo ya Stone Town Unguja huwezi kuyalinganisha na majengo ya Kariakoo . Majengo ya Kariakoo hayajafika hata miaka 100 ni bado mepya na yashaanza kuporomoka. Ya Unguja Stone Town kuna nyumba zishatimiya miaka mia na zaidi. Ni muhimu sana kufanyiwa matengenezo. Ni mji mzuri ❤
Wapemba hatuja choka na mwaka huu ni mguu supu na huyu ndiye mtu tuliyemtaka sasa wewe ni kibaraka tu wa ccm mwaka huu ni mguu supu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jiti ilooo

Mungu mueke osthumani wetu mlinde na mafisadi kama hawa wasoipenda zanziba yetu.
Mbona hakuna shida si kuraipigwe sikuoja aloshinda atangazwe ccm wanaogopa uchaguzi wa haki mana wanajua watu wamewachoka
Ww huna chama ccm njaa
Ww choyo kinakumbua kazi fitina tu. Usimee uwongo nyenga ww
Ww uchawa na njaa ndio inayokusumbua
Kwani hauwezi kuwashauri ccm waache kupiga kura siku mbili hata marekani hakuna Wacha huko hapotanganyika hawapigi kura siku mbili
Vp kucha pewa mtaji wa chuma chakavu. Naona unapayukwa tu
Wapemba hatuja choka na mwaka huu ni mguu supu na huyu ndiye mtu tuliyemtaka sasa wewe ni kibaraka tu wa ccm mwaka huu ni mguu supu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jiti ilooo
Njaa mbayaa!duuuu!Ali Makame huyu!
Sana😂😂
Kwani kule cuf vp lipumba alikufukunza naona ucharukia Adatadea
Achaa unafiki kwani na ww silikuwemo ndani hiyo jinokwa jino
Heebu tuondolee upuuzi wako katafute chuma chakavu huko huna lolote la maana porojo porojo
Hata hii tv nayo mabunju
Wewe ni kati ya wasaliti wa znz na watu kama nyinyi wanafiki, na njaa yenu na kuwa kibaraka hata huleweki hata unacho kiongea
Haya ndio majibwa yanayoidalalia zanzibar allah awaangamize masidi wakubwa lione vile
Nyinyi CCM tu
Akakojoe akalale huyu jamaa hatutaki utumbo ... na hii channel imeishiwa na kazi
Hizi channel km hizi tusisuscribe kabisa hazinamaana watumika tu machawa tu
Mungelianza na majumba ya michenzani maana maji machafu hayajulikani yanakwenda wapi?na bomba ya maji machafu yako wapi?
Huu ndio ujinga wetu zanzibar unaita wandishi wa habari unaongea utumbo na kupiga porojo tu
Sasa ww unachama chako au ni ccm maana unaonekana kama unapigia debe chama cha mapinduzi ww chizi kweli umeishiwa.
Mpuuzi tu wewe