Pinda awataka viongozi kuchunga maneno yao wanapozungumza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ametoa wito kwa viongozi kuchagua maneno ya kuzungumza wanapowasiliana na umma ili kuepuka kuwakwaza wanaowaongoza.
    Pinda ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari nyumbani kwake mjini Mpanda mkoani Katavi.
    #AzamTVUpdates
    Wahariri || Tuya Ibrahim, @moseskwindi

КОМЕНТАРІ •