Pastor.. tufanyeje juu ya mahitaji yetu ikiwa kuomba ni ubinafsi? Je ni nyakati zote hatutakiwi kumwambia Mungu haja zeetu?? 😔😔 Tufanyeje tunaposhindwa? 😢
Unapata shida dada yangu kwakua umetanguliza maarifa, akili yako kwenye mafanikio badala ya Mungu, kwahiyo Mungu anapokutikisa kidogo tu unahisi njia sahihi ni kumuambia Mungu akuondolee badala ya Kumuomba Mungu akupe ujasiri, Nguvu na uwepo wa kusimama imara katikati ya jaribu hilo ulionayo. Kasome waefeso 6:10 Paulo alipowataka watu waefeso wasimame imara siyo kwamba hatatakufa au kuugua, au biashara kuyumba NO ila hayo yote yatakapokuja mbele yao ombi lao itakua ni moja Mungu awape uwezo wa kusimama imara ili wasije wakaharibu uhusiano wao na Mungu sawa dada yangu?
@@ronaldhelmott8379 sisemi kwamba tukiwa wakristo tutaishi bila changamoto la. Lakini kuwa wakristo pia siamini Kama ni kuishi maisha ya taabu na adha always? Tabia ya Mungu ikoje?? Jaman
Mungu wetu ni mtakatifu ndo tabia yake, hivyo bac na sisi Daima anatutaka tuwe watakatifu hata katikati ya Dhoruba za Maisha za kila siku Dada yangu, that's neno linasema tuombe vitu ambavyo always vitatuweka karibu na Mungu nayo Kushinda majaribu yaliopo mbele yetu. Na ukitaka kuelewa vzr pia nenda ukasome Mathayo 6:24-34 utakua na Amani kabisa juu ya maisha yako. May God be with you.
Amen
Amina
Mzigo ndani yangu umeongezeka zaidi. Kama ni nyanya zimezidi kuoza😢
Ameen
Sidanganyiki.......
Watu hawaelewi semba anafundisha zaidi zaidi mambo ya kiroho...somo linaeleweka....mioyo yenu ndo migumu kuelewa
Pastor.. tufanyeje juu ya mahitaji yetu ikiwa kuomba ni ubinafsi? Je ni nyakati zote hatutakiwi kumwambia Mungu haja zeetu?? 😔😔
Tufanyeje tunaposhindwa? 😢