Tunaomba ututembelee Dar es salam pastor,,,,,,,,Mungu akupe kibaliiii jamaniiiiiiii nisikose siku hiyo kabisa niwe mbele mbele nikuone kwa macho 🙏💝❤️💖💞
Asante Mungu kwa kunipatia hii Neema na kibali cha kulisikia Neno lako kupitia mtumishi wako huyu,,,,Napokea Miguu ya kujisimamia,,,Miguu ya speed,,,miguu ya mamlaka,,,miguu salama Tangu sasa na siku zote AMIN amin amin ,,,,🙏🙏🙏💝❤️💖💝❤️💖💞💪,,,naomba namba ya kutoa sadaka yangu niambatanishe na dua yangu kwa Bwana
Amen and amen, let's praise the lord everyone, hallelujah hallelujah hallelujah, very powerful teaching in spiritual life pastor be blessed in Jesus mighty name 🙏🙏🙏
Amina mtumishi tuko pamoja na MUNGU akubariki Kwa somo la tarehe 2/07/2023 kuhusu mikono miguu na kichwa naona umenigusa Mimi na mume wangu pamoja watoto wangu
Nazidi kuelewa kwamba,pamoja na mombi kuosha miguu sio ufremason ni maarifa tu,ya kiimani Asante sana pastor,siku nikija mwanza lazima Nije kuabudu hapo una madini Sana.
Mungu akubariki mchungaji george...natamani sana nikuone kwa uso,upo kenya pande gani?ama tanzanian ❤🎉🎉🎉🎉umenifunza mengi sana,naninaona mabadiliko kwa maisha yangu😊God bless you ❤
AMEN&AMEN MPAKWA MAFUTA,MWALIMU ,WA WAALIMU,NIMEKUWA NIKIJIFUNZA ,MAMBO MENGI KUPITIA ,MAFUNDISHO YAKO" GOD HAS BEEN CORRECT ME,GUIDED ME ,KEEPS ME HUMBLE ,,PROTECTED ME ,GROLY TO GOD
Mtumishi wa Mungu nimekuwa nikikufuatilia nikiwa Saudi Arabia na ningetamani nijiunganishe na hii madhabahu kwa matoleo sijui nitatumia njia gani na mm ni mkenya tafadhali naomba unielezee na Mungu wa rehema atubariki Amen
Mubarikiwe sana kwa mahubiri ya kunifunguwa nimefungwa myaka mingi katika mikono ya ibilisi leo niko huru nimepokrya migu yenye mamulaka , yenye speed , asantr sana Baba Mchungaji ❤❤❤
🤗AMEN&AMEN PAPA PASTEUR MUKABWA "NIMEPOKEA ,"GOOD WISHES " KILA KANISA NILIPOKANYAGA NILIACHA ALAMA YA UTUMISHI "NA KUKUMBUKUMBU "MIGUU YENYE UWEZO ISIYOHITAJI WATU 4 AU 10 ,;PSA 112:6-7)ECCLE 7:1)
Amina POSTOR unanipa maarifa ya kiroho ,kila nikifungua u tube napata kitu kipya kinachonipa majibu yanayo nikabili sababu za tatizo na namana ya kukabiliana nazo kiroho, ASante MUNGU azidi kukupa maarifa ya kupambana na Ibilis.
Tunaomba ututembelee Dar es salam pastor,,,,,,,,Mungu akupe kibaliiii jamaniiiiiiii nisikose siku hiyo kabisa niwe mbele mbele nikuone kwa macho 🙏💝❤️💖💞
Natamani kufika Mwanza kwa ajili yako Pastor Mungu aendelee kukutunza Mtumishi wa Mungu
Asante Mungu kwa kunipatia hii Neema na kibali cha kulisikia Neno lako kupitia mtumishi wako huyu,,,,Napokea Miguu ya kujisimamia,,,Miguu ya speed,,,miguu ya mamlaka,,,miguu salama Tangu sasa na siku zote AMIN amin amin ,,,,🙏🙏🙏💝❤️💖💝❤️💖💞💪,,,naomba namba ya kutoa sadaka yangu niambatanishe na dua yangu kwa Bwana
Nimejifunza kitu kikubwa kuhusu aina 6za miguu barikiwa pasta
Tunashukuru Mungu kwa neno Pastor George Mukabwa
Amen and amen, let's praise the lord everyone, hallelujah hallelujah hallelujah, very powerful teaching in spiritual life pastor be blessed in Jesus mighty name 🙏🙏🙏
Ameeeeeeeeeen
Pastor mungu akubariki nko Kenya nakufata kwa mafundisho
Amina mtumishi tuko pamoja na MUNGU akubariki Kwa somo la tarehe 2/07/2023 kuhusu mikono miguu na kichwa naona umenigusa Mimi na mume wangu pamoja watoto wangu
Asante sana baba yetu mimi nimcongo mani nakushukuru sana
Haleluya haleluya sifakwake Yesu kunijulisha siriyamafanyi kio kupitia mguu uzidishiwe upako mhungaji
Halleluyah napikea miguu ya kujisimamia n quick speed of favour in JESUS name 🙏
Amen pst for the wonderful healing word of God reflecting me God bless you to bless other s
Bwana Yesu Asifiwe sana.Mungu aendelee kukwinuwa sana kiroho na kimwili.nimejifunza hivi karibuni siku tatu lakini nimetambua mengi sana
Amen.
QW
Barikiwa sana pastor nasikiliza hubiri lako Yani miguuu inafunguka sana inauma sana
😊mtumishi ubarikiwe sana niombee mungu nami aniondole minguu ya uterezi
MUNGU Mkubwa asante MUNGU kwa kunikutanisha na somo hili limenifundisha sana pastor may God bless you forever Amen
Kwa kweli mahubiri yamenisaidia sana. Naomba mawasiliano yenu tafadhali
Watu wa hili kanisa mna neema sana..tumieni hii neema vizuri maana kuna watu huku tunatamani sana ila bado haijawezekana bado..
Pasta UBARIKIWE,,Kwa kweli
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kweli nimekombolewa
Amen pastor umenifundisha nimeelewa sana,,yote umefundisha nayaonanga ikinitendekea sana
Baba uko vizuri sana akika mungu akubariki ninajifunza mengi mno na ufahamu wangu unazidi kufunguliwa kupitia mahubili haya🙏🙏🙏
Mimi ni murundi ,nashukuru kwa mahubili,naomba Mungu akupanulie mipaka mtumishi wa Mungu.Kingine ,naomba niunganishwe katika maombi
Pst ubarikiwe sn MUNGU azidi kupanda mipaka yako ya Imani shalom.
Nazidi kuelewa kwamba,pamoja na mombi kuosha miguu sio ufremason ni maarifa tu,ya kiimani Asante sana pastor,siku nikija mwanza lazima Nije kuabudu hapo una madini Sana.
Hata Mimi nitajitahidi
Amen 🙌🙌🙌 glory to God form Saudi Arabia
Mungu akubariki mchungaji george...natamani sana nikuone kwa uso,upo kenya pande gani?ama tanzanian ❤🎉🎉🎉🎉umenifunza mengi sana,naninaona mabadiliko kwa maisha yangu😊God bless you ❤
AMEN&AMEN MPAKWA MAFUTA,MWALIMU ,WA WAALIMU,NIMEKUWA NIKIJIFUNZA ,MAMBO MENGI KUPITIA ,MAFUNDISHO YAKO" GOD HAS BEEN CORRECT ME,GUIDED ME ,KEEPS ME HUMBLE ,,PROTECTED ME ,GROLY TO GOD
Amina napokea miguu ya kusubutu kufanya vitu vingi kwenye maisha yangu.
Mtumishi wa Mungu nimekuwa nikikufuatilia nikiwa Saudi Arabia na ningetamani nijiunganishe na hii madhabahu kwa matoleo sijui nitatumia njia gani na mm ni mkenya tafadhali naomba unielezee na Mungu wa rehema atubariki Amen
Nimehelewa Sana mpaka nimefulai Asante🙏🙏🙏💃💃
Mubarikiwe sana kwa mahubiri ya kunifunguwa nimefungwa myaka mingi katika mikono ya ibilisi leo niko huru nimepokrya migu yenye mamulaka , yenye speed , asantr sana Baba Mchungaji ❤❤❤
Asante sana kwa kutufunguwa akili. Barikiwa sana tokea Marekani.
Amen, Mungu akubariki sana,Nabarikiwa kutoka Kenya (kakamega)
Sifa kwa Mungu, past Muhindo drc/lubumbashi
Pastor today nimekufahamu umefanyika baraka kwangu
Ameeen.Ubarikiwe sana
Tunaomba no za simu Mtumish
Mtumishi nakuelewa sana. Mungu akuzidishie maarifa ili uendelee kufungua watu wa Mungu. AMEN.
Amen from saudi Arabia
Pastor naomba unisaidie me nimeota kwamba Dunia imefika mwisho watu wote wanakatwakatwa ,. Sijajua inamaaanisha nn
Asante mungu akubariki sana kwa mahubiri 7:37
Mungu ni mwema kila wakati
Naomba kufika hapa sijui namna yakufika
Kirumba, Mwanza karibu na police station
Napokea niguu ya kutawala Kwa jina la Yesu
Barikiwa. Mchungaji nimekuelewa Sana,kweli tynamuhitaji Mungu sana
Naomba naminiunganishwe kwenye group la maombi,naitaji kusimama na maombi
Pastor nakubali mafundisho yako mungu akubariki sana baba
Haleluy a haleluya
Napokea miguu ya kujisimamia miguu ya speed miguu ya kujisimamia miguu ya mamlaka miguu ya usalama ktk Jina la Yesu Kristo nimepokea
Hallelujah powerful message MUNGU akubariki
Kupitia madhabahu hii tunauona ukuu wa Mungu
Ameni nimetakasika miguu yangu kwa Jina la Yesu
Amen 🙏🙏🙏 niombee ni kama unanijua napitia hayo unayoihubiri
Nimebarikiwa Sana na Somo hili naomba na mm mniunganishe ktk maombi hayo ya mfungo siku Saba Niko Dar
🤗AMEN&AMEN PAPA PASTEUR MUKABWA "NIMEPOKEA ,"GOOD WISHES " KILA KANISA NILIPOKANYAGA NILIACHA ALAMA YA UTUMISHI "NA KUKUMBUKUMBU "MIGUU YENYE UWEZO ISIYOHITAJI WATU 4 AU 10 ,;PSA 112:6-7)ECCLE 7:1)
Ooh yes yes yes wonderful message
Hallelujah 🙏 Asante
Amen. From Kenya.
Napokea niguu ya kujisimamia Kwa jina la YESU
Kutokana na somo hili naomba unisaidie maombi maana naona kama unanifahamu
Amen mtumishi
Ameen Mungu akubariki sana
Hallelujah
Ameniiii somo limefundisha sana
Atukuzwe Yesu
Mmmm narudisha haya mafundisho mara Tatu tatu
Amina
Tunaomba kuunganishwa kwenye grp la maombi mfungo.
Amen 🙏🙏
Mimi naota sana,naibiwa viatu,nikivua sehemu,wakati nikit oka nakuta viatu hamna!, Nisaidie mtumishi,na mikono niliota imekatwakatwa hata siwezi kushika kitu, nisaidie mtumishi
Ombea Sana hilo eneo kwa dam ya Yesu hapo Kuna vifungo vikubwa
Omba sana ndugu kwa damu yesu. Huwezi kumiliki au kutawala....
Najiunganisha na madhabahu me na family yangu katika jina la yesu
Nimeelewa somo
Nimebarikiwa sana na n neno la leo
Aminaaaa🙌🙌🙏🙏
umekuwa mwalimu wangu kwa kipindi kirefu kupitia Roho mtakatifu nimekua mwanafunzi mzuri wa JRC niko tegeta DSM
amina
Aminaaaa Mtumish wa Mungu
God bless you . because God has connected me to hear this word
AMEN AND AMEN
Napenda mafundisho
Ameeeeeeeen 🙏
Amen 🙏
From kenyas
God bless you pastor
🇰🇪 amen
Ameni
Amen thank you Jesus
Amina sana mtumishi
Ameen
Paster naomba kuunganishwa kwenye group la maombi please.
MUNGU wa mbinguni azidi kukutumia ninajifunza mengi
Namba mluotoa siwapati mpesa
Najiunganisha na huo mfungo naomba kuungwa kwenye group mimi niko Dar es Salaam
Naomba nami niungwe kwenye grp nipo Dar na Mungu awabariki sana.
Amina POSTOR unanipa maarifa ya kiroho ,kila nikifungua u tube napata kitu kipya kinachonipa majibu yanayo nikabili sababu za tatizo na namana ya kukabiliana nazo kiroho, ASante MUNGU azidi kukupa maarifa ya kupambana na Ibilis.
najiungamanisha na madhabahu ili Bwana kuanzia leo anipe miguu ya kurungu nipe miguu mizuri miguu ya mamlaka
Bwana asifiwe Pasta, mie niko Geita naomba uniombee ni mahitaji ambayo ndan ya miaka mitatu sijapata majibu.
Baba naomba unisaidie namba Yako
Amen
Najiunganisha na madhabahu hii niunge kwa group napenda mafundisho yako mtumishi .Mungu akubariki
Najiunganisha na mfungo naomba mniunganishe
Mungu akubaliki mtumishi wa
Mbana sasa miguu yangu imefunguliwa
Asante Mchungaji naomba muunge kwy group lenu la kanisa
Amerni
Nitafanya aje nitoke Kwa vifungo inayotokana na miguu
Lesson
Tangu nianze kufatilia mafundisho,nimeanza kuimarika,naitaji nisimame ,namungu,unayoyaubiri yote yananihusu,kamavile mchungai ananijua