NGOMA YAO PART 2 || MWALI WA KIZARAMO || WALI WANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 чер 2022
  • Msimamo wa Kalega juu ya kuwacheza Kulwa na Doto huku Shangazi akipambana kuzuia ndoa hiyo
  • Фільми й анімація

КОМЕНТАРІ • 55

  • @aliyakilasa67
    @aliyakilasa67 Рік тому +4

    Hizi movies nilikuwa nawashauri mziweke sinema zetu king'amuzi cha Azam ili jamii ipate kujifunza zaidi na tasnia ya filamu ipate kukuwa zaidi. hongereni kwa kazi nzuri

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому +1

      Asante sana, Tutalifanyia kazi

    • @tausihamisi193
      @tausihamisi193 Рік тому +1

      Hata mie nimejiunga na wewe waweke azam watu wajifunze mko vizru ndgu zangu

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Asante sana @Tausi tutalifanyia kazi

  • @mustaphakibwana1181
    @mustaphakibwana1181 2 роки тому +2

    Iko poa sana na ina mafundisho mazuri kwa jamii ila naomba muendelezo maan utam usiishe

  • @saifSaif-yj9uu
    @saifSaif-yj9uu Рік тому +1

    Mashallah mashallah wapendwa mashallah asanteni sana

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 Рік тому +1

    Hongereni Sana filamu nzuri ina mafunzo

  • @mwanamisirama1836
    @mwanamisirama1836 Рік тому

    Jaman nampenda ogena🥰🥰🥰 ad basi

  • @hlimaa5182
    @hlimaa5182 Рік тому +1

    Duh 🙄 mesozi kala kichapo mpaka basi 🙌♥️♥️♥️♥️ hongereni sana acha niendelee nione mwisho itakuaje?

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Asante sana endelea kuburudika

  • @zamdaomanizamdaomani3172
    @zamdaomanizamdaomani3172 Рік тому +1

    Ngosha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Рік тому

    KAZI NZULI SANA

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 2 роки тому +1

    Nimeipenda sana hi movie

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Рік тому +1

    😂😂😂😂 masozi hapa kapatikana kwel

  • @art139
    @art139 Рік тому +1

    Nimependa sana

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Asante Sanaa

    • @user-xv9me9lm6g
      @user-xv9me9lm6g 3 місяці тому

      ​@@busatitvkalega na jafar msupa napenda sana hii combined seriously wote 😂😂😂vichwa majii😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😢😢😢 i Wish jafar msupa mungemshirikisha walai

  • @rajeshrajesh-lp2oy
    @rajeshrajesh-lp2oy 2 роки тому +1

    Shukrani saner sehemu ya 3 👋👋

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Sehemu ya tatu kesho mapema sana

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 2 роки тому +1

    Big up good job 💪💪💪

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Рік тому

    JAMANI PILI MAMBOGA MBONA HATUMUONI

  • @nurujuma6175
    @nurujuma6175 2 роки тому +1

    Nimewapenda bule ao watoto

  • @djchgxfdudvg2860
    @djchgxfdudvg2860 2 роки тому +1

    Kazi nzur Sana muendelezo dj

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Muendelezo keshoo

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Asante Dj kwa sapot yako, usiache kutazama movie zetu nyingine

    • @djchgxfdudvg2860
      @djchgxfdudvg2860 2 роки тому +1

      @@busatitv Yani sijawahi kupitwa na movie zenu ni nzur sana na zinaelimisha

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      Asante sana

  • @kharidikibakulikibakuli9223
    @kharidikibakulikibakuli9223 2 роки тому +1

    Watoto wamesepa 🤣🤣

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

    Mdomo huo. Dadaaaa

  • @happydudahog2196
    @happydudahog2196 2 роки тому +1

    🤩🤩🤩🤩

    • @busatitv
      @busatitv  2 роки тому

      ❤️❤️❤️❤️

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 Рік тому +1

    jamani semeni uko wap Jmn

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Kafukuzwa na Baba yake

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому +1

    🤣🤣

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +1

    Kweli wakubwa wezake hakuwaona ataka vyenye supu vidogo tena mtu na mdogo wake

  • @scholasticalaurent1542
    @scholasticalaurent1542 Рік тому +1

    Jamani chuki hayupo kwenye ngoma yao????
    Nimemiss fujo zake wallah

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Chuki hayupo kwenye ngoma yao, utamuona kwenye Filam Mpya inaitwa Dubwi

    • @scholasticalaurent1542
      @scholasticalaurent1542 Рік тому +1

      Oohoo namsubiri kwa hamu inatoka lini hiyo mpya

    • @busatitv
      @busatitv  Рік тому

      Inatoka leo hii

  • @happydudahog2196
    @happydudahog2196 2 роки тому +1

    KALEGA NISHIDA

  • @salama1113
    @salama1113 Рік тому +1

    Hichi kijiji gani mbona kizuri nimekipenda?