SIMULIZI FUPI YA LEO: VITA YA MAPENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 117

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 2 роки тому +25

    Nzuri sana pia nimejifunza ushirikina hauna nguvu mbele za mungu pia visasi si kitu kizuri tujifunze kusamehe naomba like zenu japo nimekuwa wa mwisho🤗🤗🤗

  • @EpimackChami-g2f
    @EpimackChami-g2f 7 місяців тому +8

    Kama unampenda anko jay gonga like

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 роки тому +6

    Simulizi nzuri lnafundisha uaminifu unapendaje watu wawili hongera lmanuel kwa subira maana sikwa subira hiyo asante Anko J kwa simulinzi nzuri

  • @lilianeerica3318
    @lilianeerica3318 2 роки тому +8

    Nice story😘😘😘 mala nyingi ujana unatudanganya unadufanya tuahidi bitu bila kujuwa kwamba anaepanga ni Mungu

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому +12

    Thanks anko jay much love nikiwa🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦
    From🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josphinesagina6909
    @josphinesagina6909 2 роки тому +7

    Barikiweni na mungu tusiache kumutumikia mungu joni kwake na mutakombolewa❤❤❤❤

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 роки тому +3

    Mungu nimwema Jamani, nimejifunza Sana kwenye simulizi hii Asante Sana Anko Jay... Twendele kumwamini Mungu katika Maisha yetu yote Jamani, Mungu yupo Daima

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 2 роки тому +2

    Shukrani anko j Kwa kutupa burudani hii nzuri na pia auther MUNGU awatende mema kwani sio tuu burudani tunapata Ila mafunzo mengi tuu

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 роки тому +3

    Asante sana Kwa simulizi nzuri na yenye mafuzo

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому +3

    Naamini kwa mungu hamna lisilowezekana

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 2 роки тому +5

    Anko jay mwenyewe asante kwa simulizi mpya leo ipo poa asante anko jay tunainjoi na voice 🥰🥰🥰

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 2 роки тому +6

    Asante Anko Jay kweli Allah n mkubwa

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 2 роки тому +5

    Ama kweli ni vema kumkabithi mungu maisha yetu ila ktk kila jambo tunapaswa kuwa waangalifu ktk maneno siku zote yanayo tokana na ndimi zetu kwani ulimi ni kiungo kidogo lkn kinauwezo wa kulaani ama kubariki haswa kwa upande wa kiapo na cha zaidi ya damu

  • @MwibuShaibu
    @MwibuShaibu 9 місяців тому +2

    kaka nakubali sana naitwa mwibu kakaeunajua sana kusimulia

  • @carolinekasha9396
    @carolinekasha9396 2 роки тому +3

    Asante kwa simuliz ilio jaa mafundisho

  • @conslataadhiambo774
    @conslataadhiambo774 2 роки тому +3

    Asante Anko jay kwa simulizii mix umuzuri ya mafufunzo naisikiliza nikiwa
    Kenya 🇰🇪🇰🇪 huyo mwanaume alionyesha uwaminifu wake kwa mupenzi wake

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 2 роки тому +2

    Asante kwa simulizi nzuri Anko J,from UK 🇬🇧

  • @YasintaHongela-j4s
    @YasintaHongela-j4s 10 місяців тому +2

    Hakika nguvu ya shetani inaukomo lakiniMUNGU wetu Hana ukomo na kiingilio ni Imani pekee.

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 2 роки тому +2

    Hongera na asante kwa simulizi nzuri anko j nimejifunza mambo mengi kupitia simulizi hii

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +5

    Mungu akipanga hakuna wa kupangua mwengine aliowa mcchana amepooza

  • @Adonai810
    @Adonai810 2 роки тому +9

    LOVE IS VERY WICKED MOST OF THE TIME... AMAZING ANKO JAY YOUR VERY VERY TALENTED 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 2 роки тому +16

    Nasikiliza simulizi nzuri na tamu kutoka Qatar , , Thanks Anko jay may Allah reward you for make us happy always

  • @bashirimaketa3559
    @bashirimaketa3559 2 роки тому +5

    🔥🔥🔥🔥 SmixApp inaendelea kufanya vzr

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 роки тому +6

    Iyo ya kutumiana barua kwa njia ya Basi daaah hata Mimi niliitumia xana enzi izo nikisoma secondary!nikisoma upareni mpenzi akisoma Old Moshi!acheni tu jamn maisha haya!

  • @TarantaKikoti
    @TarantaKikoti 6 місяців тому

    May the LORD be with you anko jay good work

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +2

    Msaliti ni msaliti mja ni mwenye kauli ya kweli na anae timiza ahadi mbali na ushirikina tuweke Kado

  • @OmanOman-ep7bw
    @OmanOman-ep7bw Рік тому +3

    Napenda sauti yako anko jay

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 роки тому +3

    Asante anko j kwa simulizi tam

  • @asias8724
    @asias8724 2 роки тому +3

    Simulizi nzuri sana

  • @bukuruasina427
    @bukuruasina427 2 роки тому +1

    Aaaaah ank j mbn m nakupend kama Emmanuel 😘😘fanya kama kwel unipend bas🤣🤣THC u so much ank j na mtunz😘😘💯

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 10 місяців тому

    Nimefika kumbee sijachelewa kusikia sauti ya anko jay simulizi❤❤❤❤🎉🎉

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +4

    Moyo wa kisasi ni moyo wa mapepo Allah atunusuru

  • @pilikhamis2924
    @pilikhamis2924 2 роки тому +5

    Mmmmmmm uuuiiii jamani kitu kumoyo hasa

    • @janetgaaj2705
      @janetgaaj2705 2 роки тому +2

      Ankojay l lovely from🇧🇮🇨🇨

  • @aminajumaamina2720
    @aminajumaamina2720 2 роки тому +4

    Shukuran sana simulizi 🙏🙏

  • @bisunirashidi2685
    @bisunirashidi2685 2 роки тому +3

    Kweli mungu anabadilisha mtu

  • @HuaweiY-wx7we
    @HuaweiY-wx7we 2 роки тому +11

    ANKO JAY NITAKUCOMENT VIZUR NIKIMALIZA KISIKILIZA ILA TU NAJUWA WW HUNA MBAYA ✌️✌️❤️

  • @sharifamohamedsaid515
    @sharifamohamedsaid515 2 роки тому +6

    MSUKUMA KAWA WA KWANZA 🤔

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 роки тому +2

    Haya mambo yapo Jamani, Tena tunaishi nayo

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 2 роки тому +1

    Asate sana simlizi fupi by ako j hakika subila jambo LA heli

  • @mishymorgani5828
    @mishymorgani5828 2 роки тому +3

    Mapenzi nikitu chaajabu Sana jaman is a Tena Sana... Katika hili swala LA mapenzi Hapa Mungu alijua kutukomesha yani hata uwe baunsa kiasi gani, lazima ulie😂😂😂...... Shikamoo!! Mapenzi

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 9 місяців тому +1

    Anko j na kingereza mna ugomvi mkali sana😂😂😂😂😂😂 anyway nakupend naomba tu hadija asione hii

  • @ataamansi8941
    @ataamansi8941 Рік тому +1

    Hapo ndipo mnaponichosha, uwongo waziwazi, hivi kweli kuna no za kuzimu, kwanza maana ya kuzimu waijua, jaribu kupitia simulizi yako mtunzi kabla kuileta humu rekebisha mambo ambayo hayana uhalisia, jifunze kwa Lisaa Mwalla simulizi zake hakurupuki ni mambo halisi yanayokabili binadamu

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 місяців тому +1

    Daaaah,Patric kisasi sio kizuri ,mapenzi hayalazimishwi,lucia aliamua kuvunja agano mliloagana kwa kuchanjiana damu ungeachana nae tu

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 місяців тому

    Luciana hakumfanyia Patric sawa,ni msaliti

  • @raulentboma9537
    @raulentboma9537 2 роки тому +2

    Nakubali

  • @semenimohamed8156
    @semenimohamed8156 2 роки тому +4

    Wanaume kama emanuel hakuna kabisa dunia ya sasa

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +2

    Kwa fufahamu wangu nilivyo elewa patrik alitimiza ahadi yake alikuwa na penzi la kweli

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 2 роки тому +1

    Wew anko j ungeweza kuoa kichaa kama emmanuel?😀😀😀😀😀

  • @REY_KATUNI1
    @REY_KATUNI1 2 роки тому +4

    Jamani Patric wewe 🙄🙄🙄

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m Рік тому

    Nimejifunza iziahad za kisengesenge staki mie namuahid mungu pekee ndio sitomuacha baas

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +3

    Walifanya makosa kuchanganya damu hicho ni kiapo cha damu hata wacngejikata ahadi hiyo ni mby hata kama mwapendana vp binaadamu hugeuka wakati wowote

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +2

    Nilivyo fahamu mapenzi ayakuwanza kwa ushirikina na walikuwa na walikuwa wakikutana kwenye mbuyo na wakawekeana ahadi hapo

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 10 місяців тому

    🤔🤔weeeee makubwa❤❤❤

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +1

    Thanks anko J

  • @ElizaSada
    @ElizaSada 4 місяці тому

    Amen ❤❤❤❤

  • @euniceumazi5143
    @euniceumazi5143 2 роки тому +2

    Asante

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 2 роки тому +1

    Hahaha unachekesha anko J kumoa kichaa

  • @aseaaaa5812
    @aseaaaa5812 2 роки тому +1

    shukrani sana

  • @nyangasa-f8p
    @nyangasa-f8p 10 місяців тому +1

    anko jay wwnoma

  • @QwQw-m1v
    @QwQw-m1v Рік тому

    Anko j we muongo..twajuwa we anko mapesa😅😅😅

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Hiyo ahadi ilifanya mpk shangazi akaishi na mtoto wa mpenzi wake alochanjiana damu

  • @peninauae2309
    @peninauae2309 2 роки тому +1

    Sumulizi poa mimi nimechoka kuwa single

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +1

    Na waliwekeana alama akuweko mtu yoyote isipo kuwa wao wawili na mbuyu na awakujuwa ubaya wa mbuyu

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Hata cc Kenya Tulikuwa tukipigiwa na ndugu kutoka Tanzania Kenya hatushiki mpk mtu atume msg ndio utajua ni ndugu

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +1

    Asnte mtunzi na mtanga zaji Anko kwa cmulizi tamu ya kuccmua na yenye mafunzo kisasi ckizuri na uclipize uby kwa uby

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 2 роки тому +1

    Kwakweli mm ank jy mm siwenzi kupingana na mwanamke mwenzangu kisaa mwanaume ambae ataa kwetu hawamjui namwachaa 2 maana kama ananipendaa asingefanyaa hivy namuacha 2 hamna ataa haja ya kupingana Kwakweli

  • @njirecheyo5114
    @njirecheyo5114 2 роки тому +1

    Brooo unatisha

  • @rasterimani9055
    @rasterimani9055 2 роки тому +2

    Reo nimekua wa 24

  • @nahanakadiri3969
    @nahanakadiri3969 2 роки тому +2

    Jamani Pastor akupata ata nguvu ya Roho Mtakatifu akaanza kumuombea uyo Lucy?au ndo hakuwa na karama na maono hayo?angeomba labda nguvu za MUNGU zingemuokoa Lucy na nguvu izo za Giza!macho ya rohoni Apo yangetawala angepona Lucy!

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 6 місяців тому

    Anko Jay wew hayo maelezo ya doctor unayatamkaje jaman?

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому +2

    Siwezi pigana namwanamke mwenzangu kisa mwanaume

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Mm kwanza cwezi kupigania pnz nipigane kisa mume kwani wamekusha

  • @mezeaali4559
    @mezeaali4559 2 роки тому +1

    ama kweli ahadi Ni deni

  • @carolinemwakagali3909
    @carolinemwakagali3909 2 роки тому +1

    Luciana ni miongoni mwa watu wanaotakiwa kulaumiwa

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Anko j ss watudanganya huwezi owa kichaa awezae ni Emmanuel tu

  • @AliBadi-p4i
    @AliBadi-p4i 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +2

    Ss kwani huyo padri hawezi kufanya maombi wakaondoa nguvu za giza

    • @RehemaMuss
      @RehemaMuss 11 місяців тому

      Labda hand ujiunge na uwata wamama waombi lakin Kaz ngumu 4:40

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +1

    Kuna umuhimu kusigiza kwa makini na akili ili upate yakini

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +1

    Hiyo ahadi na Ile damu Yao ndio utakao wauwa cdhani kama watapona huko hocpital hiyo ndio ahadi walioyoiweka atakae msaliti wenziwe aishi kwa mateso na kufa ss Ile cm ni chanzo tu lkn kubwa ni ahadi yao

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +1

    Tu tumieni na cc hiyo namba jmn tucje tukapigiwa bila kujua tukashika

  • @elizabethmburu2210
    @elizabethmburu2210 2 роки тому +2

    Kweli viapo vingine sio vizuri Ila MUNGU ni mwingi wahuruma maana yeye hutusamehe makosa yetu yote nakutupa Amani na kutujalia maisha mapya .Ila pia kulipa kisasi sio vyema heri kusamehe na kusahau makosa tulio kosewa na wenzutu.jamani huyu mapenzi mapenzi ni shida tu Ila zaidi pia nimatamu Kwa wakatiwingine

  • @faisalyunus4283
    @faisalyunus4283 2 роки тому +1

    Na waka ufanya mbuyu kuwa dio shahidi yao

  • @monajafar4473
    @monajafar4473 2 роки тому +1

    Hii nayo mbn yatisha jmn mbuyu waaina gani

  • @piligastoni5105
    @piligastoni5105 2 роки тому +1

    Kama mume wangu sawa ilasio kwakupigana bwana

  • @mwajumasaidi131
    @mwajumasaidi131 2 роки тому +1

    Anko j wanatusingizia tu alafu wanatuchokoza asa tufanyeje tunawanyoosha tu Ila tusipo chokozwa aku

  • @linetnyairabu9493
    @linetnyairabu9493 2 роки тому +1

    hapana apo utaachwa tu

  • @khadija.kkhadija.k7885
    @khadija.kkhadija.k7885 2 роки тому +2

    Weachatu anko j

  • @malkiawasauti1217
    @malkiawasauti1217 2 роки тому +1

    Mchungaji anko j duh 🙄🙄

  • @JudyErick-e5l
    @JudyErick-e5l 6 місяців тому

    Niutoto tu ata me nilishawahi kugombaniwa na wasichana tukiwa darasa la 6 maisha aya so ni utoto

  • @fatumamatano8216
    @fatumamatano8216 2 роки тому +2

    Bampa tu bampa adi tamati