Maisha ya marekani ( niko live )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 137

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 місяців тому +1

    Dula huko unafanya kazi gani?inaonekana wewe ni mpambanaji Sana,

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 місяців тому +1

    Ila dula nimekupenda bure na inaonekana ni mtu wablack and wait,,na unaonekana unaroho nzur na nimkwer,,Sasa nitapambania nauli mpaka nije inshallah

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому +1

    Dura dura rural dura. Mimi Hera ninayo. Tuwasiriane. Hera ninayo. Tuwasiriane. Nije huko. Pesa tiyari nimesha kusanya za kukupa. Na nauri yangu. Naomba tuwasiriane nakuomba nakuomba. Nataka nije. Marekani. Tafadhari nakuomba.

  • @JonhAlexsangawe
    @JonhAlexsangawe 8 місяців тому +1

    NAPENDA HUDUMA YAKO JE OFOSI IPO WAPI DULA KWA HAPA BONGO

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  8 місяців тому

      Sinza kumekucha Pr complex floor ya kwanza office namba 33

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 місяців тому +1

    Ngoja nitafute iyo pesa nije huko kuja kupambana inshallah,,ngoja nitafute nauli,,ila inabidi nisafili na wewe na unipe muongozo hata nikifika huko

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 місяців тому +1

    Ila dula nimekupenda bure inaonekana nimpambanaji Sana Kila la heri ila namim nipo njian nakuja inshallah ngoja nitafute ela nakuja huko,,nawewe nataka ndo unifanyie mpango wote,,,ngoja nitafute nauli nakuja kaka kupambana

  • @mozesjoseph7630
    @mozesjoseph7630 Рік тому

    Usiwe unaacha kusoma komenti. Zangu. Nataka. Kuja huko. Tuwasiriane. Ndugu nauri ninayooo nimesha andaa. Tufanye mawasiriano dugu yangu. Nataka kuja huko nataka kuja

  • @oscarndenji
    @oscarndenji Рік тому +3

    Ukisoma coment zangu nitaje na jina langu nitajisikia vizuri sana kutajwa na mtu uko Marekani.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 8 місяців тому +1

    Kaka dula mashalah,,unaonekana ushajipata

  • @ibrahimgicheru-ee2in
    @ibrahimgicheru-ee2in 14 днів тому

    Nmetamani sana nikutane na wewe tufanye mambo,nifanyeje?

  • @saidemkupa4638
    @saidemkupa4638 Рік тому

    Ndio mr mimi shidazangu niku american kwani nguzu uwakika

  • @NcabukorokaMsafir
    @NcabukorokaMsafir Рік тому

    Oi d nyota kwa mfano nina visa yakuja marekan ila nikataka unipokee na unitafutie kazi utanitoza bei gan?

  • @KhadijaAbdiAli-ex2tr
    @KhadijaAbdiAli-ex2tr 5 місяців тому

    Hi bro namba yako tafadhali

  • @ibrahimgicheru-ee2in
    @ibrahimgicheru-ee2in 14 днів тому

    No ya watsapu nipe kaka

  • @chachamwema1025
    @chachamwema1025 Рік тому

    Saiv sangap huko

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 Рік тому

    Tunaomba namba yako bro

  • @JonhAlexsangawe
    @JonhAlexsangawe 8 місяців тому

    Love your service

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 7 місяців тому

    Safi sana, Dulla.

  • @SalimDau-vw2cb
    @SalimDau-vw2cb 8 місяців тому

    Mbona ujibu

  • @RamadhanChamota
    @RamadhanChamota Рік тому

    Hello

  • @AbdallaBakar-yk3cd
    @AbdallaBakar-yk3cd Рік тому

    Nahitaji whatsap namba yako au email tuongeee

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 10 місяців тому

    Pv kaka ❤

  • @ibrahimgicheru-ee2in
    @ibrahimgicheru-ee2in 23 дні тому

    Nipe no kaka

  • @SalimDau-vw2cb
    @SalimDau-vw2cb 8 місяців тому

    Je ukiwa mtu anaumwa sukari vp atamudu huko

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  8 місяців тому

      Kawaida tu, unaweza kumudu vizuri

  • @rashidialiuwali939
    @rashidialiuwali939 Рік тому +1

    Baharia mwenzengu wape ukweli fresh sana watanzania waoga Sana kusafili Kuna vitu vingi umeongea vinaendana mpaka uwe bahalia ndo utajua Huo ndo mfano wa ubahalia

  • @washuatv7099
    @washuatv7099 2 роки тому +5

    Kaka tunapoomba punguzo la hiko kiasi maana yake ni gharama kubwa sana kulingana na maisha ya bongo mtu kupata hiko kiasi ni changamoto ila kwa huko ni kidogo hatukatai ila jaribu kutusaidia kwa sababu unayajua maisha ya ulikotoka

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  2 роки тому +5

      Sawa ukiwa tayari nicheki WhatsApp

    • @erickmmanga1216
      @erickmmanga1216 Рік тому

      Kaka nataka kuja naomba unipe muongozo

    • @hellenashely2167
      @hellenashely2167 Рік тому

      ilikupasa umuombee kuli aliko kutajia me nmeona si busara kumwambia huku ila kwa uelew wngu mdogo

    • @shamimhayat7637
      @shamimhayat7637 Рік тому

      ​@@dnyotausa6154no ya what zap

    • @shamimhayat7637
      @shamimhayat7637 Рік тому

      No Yako ya whatzap please

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv Рік тому

    Oy dulla niaje Nipo site napambania pesa chap nikucheck arafu ukija tz.tuonane hata Kwa kulipa

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 Рік тому

    Wewe umesema unasaidia watu nakupigia umenijibu maneno makali vipi ndugu yangu maisha haya ni mapito tu miaka 60/65 ukiwa marekani kyela Sawa muhimu nikumuelekea MUNGU kikweli tu

  • @careenevance1535
    @careenevance1535 Рік тому +1

    Vp unaweza kutoka uku na mtaji wako ukaja uko kufanya biashala yako alafu ni majimbo gani uko usa maisha yako chini

  • @modriclamar5530
    @modriclamar5530 2 роки тому +2

    Br sasa kweny interview baada ya ndoa za mchongo c itakua shida

  • @shalikaim4156
    @shalikaim4156 Рік тому

    Kaka,,mchongo,,,?na vpi,,? Ukishashuka kw ndege,,nasikia waulizwa maswali,,,,ukifeli,,waregeshw kwni,,ni vpi,,?siitakuwa ni hasara,,,,,

  • @gervasJames-rl2ni
    @gervasJames-rl2ni Рік тому

    Mimi naitji iyo safari elanaweza kuipata changa moto yangu kingeleza sijui itakuaje kunanjiagani niweze kenda maojiano apo mile jibu

  • @kinemaster8608
    @kinemaster8608 Рік тому

    Kaka nina kipaji na ujuzi wa computing my education ni class seven na kiingereza naelewa vizuri 😂😂 nitapata kazi kweli?

  • @nahimanawanjani9865
    @nahimanawanjani9865 Рік тому

    Mm nilicheza green card.nilipita ya kwaza nikajaza Sylvie.yangu sasa nasuburi majibu mwezi wa 8 nilicheza mwaka jana ila garama zake ndo sijuwi kabisa unaweza nisaidiya kama uto jali kaka

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 Рік тому

    Video imejitosheleza sana.iko full package.
    Thanks bro
    Am on my way

  • @henry7674
    @henry7674 2 роки тому +1

    Bro mtu kama akishafika apo USA hawezi kutoka tena nje ya USA pasipo kuwa na makaratasi,labda unaweza kutoa ufafanuzi juu ya hayo makaratasi ni yap na mtu anaweza kuyapataje?

  • @ramaawazi-uy5rs
    @ramaawazi-uy5rs Рік тому

    Sasa ushafanya mpango umefika hapo Uwaja wa ndege alafu Lugha ujui itakuaje Sasa hapo ukiulizwa

  • @kinemaster8608
    @kinemaster8608 Рік тому

    Nina ujuzi flani Kazi za computer nitapat kweli?

  • @thedonheritier3584
    @thedonheritier3584 Рік тому

    Bro mimi Niko Congo DRC nilikua nahuliza kama hiyo milioni 9, itakua ngapi mu ma dollar nanikisha lipa ndalipia tena ticket ya ndege au garama yote ni huko kwako tu na ndafikiya kwako au kwanani najua mengine utakuja nifunza huko

  • @GodfreyMdemu-uw2lv
    @GodfreyMdemu-uw2lv Рік тому

    Dar noma sana unatisha dulla nipo site mapambania pesa chap nikucheck

  • @abdultimoc4625
    @abdultimoc4625 Рік тому +1

    Nakukubali sana broo

  • @hanifamshale3624
    @hanifamshale3624 Рік тому

    Mim Sina ndugu huko nikishinda green card nitafikia wapi kaka angu naomba mdada wako please 🙏

  • @rihilajuma6740
    @rihilajuma6740 Рік тому

    Sitatizo pesa tatizo kufililisika nakubakia na madeni

  • @ReganiIsrael
    @ReganiIsrael 9 місяців тому

    Mr D nyota nakukubali sana brother

  • @upendotarimo6242
    @upendotarimo6242 Рік тому

    Bro mm cjakuelewa vinzuri unazungumzia swala la visa na kazi Marekani??

  • @saidiomary9070
    @saidiomary9070 Рік тому

    Sasa mzee kuhusu lugha inabini nifanyaje

  • @NgelejaCharles-ng7bh
    @NgelejaCharles-ng7bh Рік тому

    Namba za walioko bongo tunapataje

  • @saidimega9615
    @saidimega9615 Рік тому

    Alafu visa naskia kipengele sana embassy vipi nikitoa pesa alafu nikakosa viza

  • @saidimega9615
    @saidimega9615 Рік тому

    Na inachukua muda gani mpaka kukamilika taratibu zote nikilipia saivi

  • @saadiaahmedmohamed9186
    @saadiaahmedmohamed9186 Рік тому

    Je uki over stay wakati unafatilia karatasi haina shida ?

  • @mohammedmakunja9652
    @mohammedmakunja9652 Рік тому

    Me babu apa kunondon salon niunganishie mipango uko

  • @ramadhaniahamadi6842
    @ramadhaniahamadi6842 Рік тому

    Hongera sana wewe endelea kupambana na kuwasaidia watanzania wenzako

  • @kelvinimasagasi7398
    @kelvinimasagasi7398 Рік тому

    SAWA KAKA TUNAKUKU BALI Habari ya kibongo JANYA NYANI WABOGO HAWATAKI KUKATA LESEN

    • @mozesjoseph7630
      @mozesjoseph7630 Рік тому

      Kaka nisaidie Mimi kira kitu huko nifanye nije huko. Maisha ya huku tunajituma rakini magumu. Nifanye mpango wa. Kira kitu. Nije huko

  • @kenoyugi4523
    @kenoyugi4523 Рік тому

    Hi mimi nauliza mbona mnapoenda nga'bo munashuka nyuele .bona musidumishi tamaduni zetu nzuri za kiafrica

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  Рік тому

      Ukidumisha wewe inatosha au unataka block?

  • @barikigomvu6200
    @barikigomvu6200 Рік тому

    Dullah mambo vipi? Kazi za saluni vipii?

  • @amisially6612
    @amisially6612 Рік тому

    vigezo vya hizo kazi ambazo unasema tutafanya no vp?

  • @neemamtengu2405
    @neemamtengu2405 Рік тому

    Kaka please natafuta kaz yoyote

  • @samweljoel6128
    @samweljoel6128 2 роки тому +1

    Poapoa pamoja saana

  • @hanifamshale3624
    @hanifamshale3624 Рік тому

    Kaka nikishinda green card nitafikia kwako na wtt wangu 🙏

  • @ramadhanipongela80
    @ramadhanipongela80 Рік тому

    Ukweli umenipa Moyo sana Maelezo yako Yanaeleweka

  • @rihilajuma6740
    @rihilajuma6740 Рік тому

    Jamani tunahamu yakwenda marekani tuweni mskini wengine tushapigwa kusimama tena hatuwezi

  • @godfreymduya6762
    @godfreymduya6762 Рік тому

    KAKA BIGUP SANA NIMEKUBALI ULICHOFANYA KAZI SAFI SANA

  • @dismas3510
    @dismas3510 2 роки тому +1

    Nahitaji kujua tunakupata je kwa ajili ya hiyo process tunatuma pesa au unakuja uku maan nishaangaika sana kuja huko?

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  2 роки тому +3

      +15167783253 WhatsApp

    • @amirimuhsin560
      @amirimuhsin560 2 роки тому +1

      @@dnyotausa6154 oya rasta vp huku bongo unakuja lini na unapikana wap bongo mzee

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  2 роки тому +1

      @@amirimuhsin560 nipo bongo

    • @amirimuhsin560
      @amirimuhsin560 2 роки тому +1

      Pande zp bongo mzee

  • @abdallahkatinde3380
    @abdallahkatinde3380 Рік тому

    Maswali ya interview embassy

  • @upendotarimo6242
    @upendotarimo6242 Рік тому

    Mm nataka visa nifanyie mpango

  • @dyakinyamadyaki8908
    @dyakinyamadyaki8908 2 роки тому

    Dah hyo tips kumbe nilazma kutoa , mtu bahiri huko atafungwa kwakutokutoa tips😀

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  2 роки тому +1

      Lazima ila kama ujalipa wanakuacha tu sema sio vizuri

  • @upendotarimo6242
    @upendotarimo6242 Рік тому

    Naweza kupata namba yako bro?

  • @abdultimoc4625
    @abdultimoc4625 Рік тому

    Broo appreciate san unanipa moyo wa kujituma san na mm nije uko ila broo one day yes tutafany jambo

  • @NtumbaLume-ch3lj
    @NtumbaLume-ch3lj Рік тому

    Pamoja kaka

  • @alikasim6388
    @alikasim6388 2 роки тому +1

    ukiwa na passport au

  • @hanifamshale3624
    @hanifamshale3624 Рік тому

    sawa kaka hongera sana tupe no zako

  • @raheemahamees6410
    @raheemahamees6410 Рік тому

    Towa namba kaka
    Tuje kufanya kz kaka

  • @oscarndenji
    @oscarndenji Рік тому +2

    Sasa dogo, huko hamuulizwiulizwi uraia wenu, mbona naona mko huru sana tofauti na tunavyodanganyana huku?

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  Рік тому

      Akuna mambo ya kuulizwa ulizwa uku, kila mtu yupo huru

  • @goeffryekada5704
    @goeffryekada5704 Рік тому

    broo please l need your help please money not problem problem is too come there please need your help broo

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  Рік тому

      Sawa karibu +15167783253 whatsapp

    • @FatumaKashindi-l3h
      @FatumaKashindi-l3h Місяць тому

      ​@@dnyotausa6154ni makaratasi gani ndo yanatakiwa mpaka upate viza kaka na mtu akiwa Tanzania bei nishigapi mpaka upate viza kaka

  • @raheemahamees6410
    @raheemahamees6410 Рік тому

    Towa namba kaka
    Mimi nataka zk zandani
    Ebu niyambiye inakuwaje

    • @mozesjoseph7630
      @mozesjoseph7630 Рік тому

      Sasa mtu akitaka kuku tumia. Hera umuandarie. Viza anafanyaje. Virevire. Unaweza. Kumujibia. Maswar. Ya magiresheni. Baadae ya kufika huko.

  • @raheemahamees6410
    @raheemahamees6410 Рік тому

    Mimi naposipoti

  • @onesmocharles8245
    @onesmocharles8245 Рік тому

    Cha kukushauri nunua camera

  • @alikasim6388
    @alikasim6388 2 роки тому

    hivi mtu akifika kupata laini za huko mtu anafanyeje

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  2 роки тому +1

      Unaenda dukani unanunua unalipia kila mwezi

  • @saidimega9615
    @saidimega9615 Рік тому

    Bro mambo vipi me nataka safali

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  Рік тому

      +15167783253 WhatsApp nicheki kama upo tayari kuanza process

  • @mariamathuman4237
    @mariamathuman4237 Рік тому

    Samahan Kaka yang je kwa kazi za kulea watoto au kazi za ndani zinapatikana

    • @dnyotausa6154
      @dnyotausa6154  Рік тому

      Zipo, kama pesa ya kulipa garama unayo nicheki

    • @mariamathuman4237
      @mariamathuman4237 Рік тому

      @@dnyotausa6154 umesema ni million tisa au laki tisa

  • @jacksonjohn779
    @jacksonjohn779 2 роки тому +1

    Big up bro u are the best youtuber

  • @omaryswaiba252
    @omaryswaiba252 2 роки тому +1

    Home boy nakufatiliasana mzee baba Sasa nataka nijue hiyo milioni Tisa viza tupu au pamoja natiketi Hilo tu mzee baba

  • @enemtatuka5863
    @enemtatuka5863 2 роки тому

    Nakupata san ndugu yngu

  • @stellacosmas6047
    @stellacosmas6047 2 роки тому

    Nakukubali sana kaka tunajipanga tuje

    • @frolalinus6502
      @frolalinus6502 Рік тому

      Hello me noel shikamoo baiskel zipo

    • @frolalinus6502
      @frolalinus6502 Рік тому

      Hello me noel ni mchezaji naomba uniunganishe academy football

  • @modriclamar5530
    @modriclamar5530 2 роки тому

    Kaka g.e.d miaka mingapi Adi kumaliza

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 2 роки тому

    Oya mzee je nikija stolwey ntapata kazi

  • @stephansimkoko1193
    @stephansimkoko1193 2 роки тому

    Sana bro pamoja!

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 Рік тому

    Number number yko,tuongee previt

  • @mohammedomary4571
    @mohammedomary4571 Рік тому

    Namba yako WhatsApp