Huyu mtangazaji anaijua sana kazi yake kwanza haulizi swali juu ya swali ana kuuliza Jibu ukimaliza lingine lina fuata na kwakuwa yupo BBC Swahili huwezi msikia akichanganya Lugha Hapa BBC Wana mtu sana hongera kwa kazi nzuri
Huyumtangazaji leo ndio mara yangu ya kwanza kumuona na nimetokea kumkubari ❤ Yupo vizuri sana ktk kitengo chake. BBC huwa inakusanya watangazaji wenye weledi wa kazi.
@@JonathanSimon-k5rkama uliweza kutawaliwa na magufuri ndo ushindwe kutawaliwa na lisu!! Matusi na mabango aliokuwa anatoa Mzee wa chato ata robo lisu hajafika 😢😢
The Level of Maturity in this Guy, his Articulation and the Ability to Hold on the Productive and Constructive Conversations and Dialogues is Beyond Measure,He is Very Smart! Let's Go TAL the Mass is with You! Remember the Voice of the People Is the Voice God! 💪
Sijawai kumukubali TUNDU LISU ila kwa siku za hivi kalibuni ameanza kunivutia kilichonivutia kwake ni kusema UKWELI Yuko CHADEMA lakini hata maovu ya CHADEMA anayasema bila kupepesa macho
Lissu ni mwamba kwelikweli Tanzania inapaswa kujivunia sio kumbeza kuna wasomi wangapi nchi hii wamefunga midomo hawatutetei wala kutusemea wananchi. Lissu ni sauti ya watu aishi maisha malefu.
Moja ya interview bora sana ambayo nimepata kuisikia. Unaweza kuona passion ya Lissu na dhamira yake njema kwa nchi na chama chake. Hakika uongozi mpya ndio suluhisho ili tuone na kupima kazi yake. Baada ya miaka 5 kama ameshindwa ataondolewa tu kwa kushindwa kazi!
Aisee nazidi kumuelewa Lisu sasa yaan kama viongozi wakiendelea kukunja pesa za hongo alafu wakija mbele etu kututangazia uovu wa maccm huku wanakula hongo tukija kugundua uongo wao tutakimbia Chadema
Huyu ndie mpinzani wa kweli wa raisi samia na serekali yake na sio mbowe . Mbowe ni rafiki wa raisi samia . Huyu ndie ana takiwa kua mwenyekiti wa chadema ili apambane kikamilifu na mwenyekiti wa CCM.
Interview kama hizi zingetafutiwa vipindi maalumu kwenye television, ili wananchi wasiokua na smartphone au social media hizi nao wapate Fulsa ya kupata MADINI ADIMU KAMA HAYA, ambayo ni Faida kubwa kwenye ufahau wao, ni Vitu adimu na kuvipata unaweza tumia gharama kubwa mnoooo...✊️✊️✊️
Asiemuelewa Lisu aisee sisemi kichwa maji wala kichwa ngumu wala hana elimu ila anapaswa kisema aachie kichwa chake aruhusu ubongo wake upate elimu ya Lisu ili atafakali kwa kina kabla hajabishana wala kupinga hoja za Lisu
Tunaomtaka Lissu like hii comment
Unamkataa wew na familia yako na aupati like ata moja
@@jamesmwanakombeamesema wanaomtaka sio wanaomkataa. Brother tafuta miwani 😅😅
❤❤
😂😂😂😂😂@@SafiaOmar
😂😂😂😂😂😂@@ga2revocatus91
@@gochamso chadema Lisu atawapoteza atakiua Chama
Tundu lissu unajuaa sana kuzungumzaaa ingekuwa kila m2 anapiga kula ningepiga hata Mara kumu.
Unapiga kula kwa sababu ya kuzungumza boya kwelu
Huyu mtangazaji anaijua sana kazi yake kwanza haulizi swali juu ya swali ana kuuliza Jibu ukimaliza lingine lina fuata na kwakuwa yupo BBC Swahili huwezi msikia akichanganya Lugha Hapa BBC Wana mtu sana hongera kwa kazi nzuri
Mwanahabari kama huyu huwezi kumuona kizinga online tv, hao wanapatikana kwenye vyombo vya habari vikubwa kama hivyo
Nataka g3
Hao ndio waandishi wa habari.....achana na wale watengeneza content za kufumaniana
Style Ile iliundwa na wazungu Ili ku discourage maelezo nyoofu maana mara nyingi watu hawapendwi kwakua hawakusikilizwa
Tunao mhitaji lisu kuwa mwenyekiti wetu like hapa
Sisi Wapenda Siasa Ngumu Tunasema Hv MBOWE MUST GO
Chadema bila mbowe must go out 😂
@@BonnyMwajombesi kweli ukisema hivi manake yeye Mungu asimchukue inamana siku akimchukua chama kimekufa
@@BonnyMwajombeHana haki ya kuishi milele chadema bila mungu must go badili kauli
Who is Mbowe nyie ndio wale mnaosema bila boss siwezi kuishi f@@BonnyMwajombe
Miaka yote 21 amekuwa mwenyekiti hajaleta mabadiliko yoyote na tunavyoelekea chama kitakufa kabcaaa@@BonnyMwajombe
Huyumtangazaji leo ndio mara yangu ya kwanza kumuona na nimetokea kumkubari ❤ Yupo vizuri sana ktk kitengo chake. BBC huwa inakusanya watangazaji wenye weledi wa kazi.
Mwamba huyo anaitwa Sami Awami yupo muda sana pale BBC
@@nasirmmaka7188 Dah! Mimi nilikuwa nawafahamu Salim Kikeke na Zuhura Yunus. Huyu mtaalamu nimeanza kumuona leo 🙌
Mbona wa SKU nying uyo wa BBC
@@kelvinmasungakilunguja7539 mimi nimeanza kunfahamu leo
@@DonMooFILMES_Express Yeye hauga hakai ofisini ni kutafuta matukio tuu na kuhoji watu
Asante sana BBC kwa mahojiano haya Mwenyezi Mungu awabariki sana
Apa mmetisha sana sound iko vizuri👍
Asante
Safi sana tundu lissu unatosha kuwa Rais wa Tz!
Unawazimu ww
Hatuwezi kutawaliwa nalisu Kama Ni waukoo akatale kwenu Hana heshima na viongozi wengine.
@@JonathanSimon-k5rkama uliweza kutawaliwa na magufuri ndo ushindwe kutawaliwa na lisu!! Matusi na mabango aliokuwa anatoa Mzee wa chato ata robo lisu hajafika 😢😢
Absolutely
Hafai, hajui ni lipi lakuongea wap, saa ngap na kwa sababu zipi. Ropo Ropo
BBC hii imekaa poa🎉
TUNDU LISSU wewe braza ni smart saana mpaka unajua Tena.Wewe ni nyota ya asubuhi TANZANIA
Wanamuita SIMBA
Asante sana Lissu..mimi ntakupigia kura. Mbowe pumzika
GOD BLESS CHADEMA
The Level of Maturity in this Guy, his Articulation and the Ability to Hold on the Productive and Constructive Conversations and Dialogues is Beyond Measure,He is Very Smart! Let's Go TAL the Mass is with You! Remember the Voice of the People Is the Voice God! 💪
True saidi Sir the guy is very very very smart
Mbowe tunakupenda sana sana lakini pumzika Kwa Sasa twende na lisu Kwa Sasa💪🤝👏
Mi nishamchukia
Bado mbichi sana , mpole sana busara nyingi na hekima hivyo aendelee ili watu wajifunze kwake.
Kura ndizo zitakazo amua....
TAL ni noma, kaweka sawa sana mambo
Lisu umeteka mitandao kwel lisu siasa unaweza
Hapo unenena mkuu
TZ,, should invest in lissu
Twendeni na Mr lisu
😂😂Lissu ni mwanasiasa wa mitandaoni, sio wa ballot box. Subirini uchaguzi wenu ufanyike muone wanaCHADEMA watakachomfanya Lissu. Hatoyaamini yake.
Sijawai kumukubali TUNDU LISU ila kwa siku za hivi kalibuni ameanza kunivutia kilichonivutia kwake ni kusema UKWELI Yuko CHADEMA lakini hata maovu ya CHADEMA anayasema bila kupepesa macho
Huyu ndio anastahili kuwa kiongozi wa kitaifa
Huyu jamaa ni mbinafsi. Anaweza kufanya chochote na kumkaanga yeyote kwaajili ya maslahi yake binafsi.
Lazma aseme mn anataka ulaji na hakuna namna
Hiki kitu huwezi ukakikuta sisiem ata kama mtu ameua wapo tayari kumtetea ili kulinda chama chao
Huyu jamaa ni tunu kwa hili taifa, ndo maana Mungu kamtunza.
Haki iko ndani yake na upendo wa kweli
Et eeee
Weeeeee😮
lissu anajieleza vizuri sana nimkubali..
Kuna point kubwa sana kasema, kuwa kugombea kwake ni kwa ajili oia ya kulinda LEGACY ya Mheshimiwa Mbowe
Hadi ccm wanafatilia huu mtanange, chadema imekua 👏
😂😂😂😂😂wenajikojolea Kwa Sasa 😂😂😂😂
Kabisa
THE TRUTH IS NOT A MATTER OF OPINION IS A FACT OF THE WORLD. VIVA LISSU💪💪
the pride of African Tundu Antipas lissu
Mbowe must go
Naiona dhamira halisi ya Lissu kwa sasa before hii interview nilikuwa sijamwelewa kabisa👏
Mwandishi makini sana,pokea 🎉🎉🎉🎉 kaka.
Lissu oye
BBC you guys you know what y'r doing👏🏻 congrant
CHADEMA NI YA UKWELI NA HAKI ✌️👏🏻👏🏻
Inahaki gani mbwe anakaa miaka 20 madarakani wakati huo yeye anakemea ccm kukaa madarakani mda mrefu Bure kabisa
Mbona Nyerere alikaa miaka 23+yakupigania uhuru@@EmmanuelMandela-f7k
Safi Sana Lissu
I love you ❤ tumaini la watanzania wapenda haki
Lissu ✌🏻✌🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Mwandishi wa habari hapa amejisahau kuwa anahoji badala yake anakula shule
Huyu jamaa anaakili sana asee
Big brain well said big up mtetezi wa wanting wa kweli
Kama Kuna mtu anahisi mwanaharakati ni mtu mbaya basi atakuwa zezeta.
Akili nyingi sana hapa. Tz wachache sana wanaoweza kujenga hoja kama hili lijamaa. Mtu asiye na busara na hekima hawezi kutoa majibu kama haya
Kifupi nilichoona kutoka kwa Lisu hataki hubili uovu wanaofanya maccm alafu chadema ufichwe hapana ufichuliwe ukemewe uishe
Tanzania hawahitaji watu waelewa kama hawa, ukiwa mtu wa haki ndani ya nchi hii utapitia magumu.
Number #1 on trending
Lisu mwenyekiti ajae umeeleweka sana
Huyu mtangazaji yuko vizuri sana
Naomba kujua jina lake
Nimempenda mwandishi huyu BBC.
karibu
@BBCNewsSwahili HAKIKA kimetoka chuma Kikeke kimeingia chuma kingine Bora zaidi. Hongera sana.
Sami awami alikuwepo muda mrefu sana, kikeke amemuacha hapo@@jamalmwenda3278
BBC mmetisha hapa. Big up
tu. nampenda sana
Mwamba nakukubali Mungu akutunze.
Tunakufa na Lissu wetu muraaaaa
Ni kweli muraaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
mr lisu ndio jemedari ❤
Tuna mtaka lissu
Mi naipenda CCM lakini natamani Lisu ashinde Uenyekiti Chadema kuanze kuchangamka😂😂
Mshika mbili moja humponyoka. Wewe ccm imekuponyoka, kwa nn unajificha wakati wewe ni CDM?
Kuwa muwazi bana unaogopa nini CDM iko poa
@@EmmanuelKiula Watu wanamaslahi yao binafsi ndio maana natamani Yule aliyenusurika kuuawa kwa sababu ya Uzarendo ashike Dora
@@emmanueljohn7 Ameni
Hii sasa ina sauti safi kabisa.
Mzee wa mtiti kinoma noma
Lissu ni mwamba kwelikweli Tanzania inapaswa kujivunia sio kumbeza kuna wasomi wangapi nchi hii wamefunga midomo hawatutetei wala kutusemea wananchi. Lissu ni sauti ya watu aishi maisha malefu.
Sahihi
Sahihi
AMEEENI.
Huyo ndo mwamba
@@IsayaJoseph-v3s AMEEENI.
Mbowe must go
Lissu wewe ni mwambakweli🎉
Hiki ni chuma lisu ni zaidi ya politician.
LEO LISSU AMEONGEA KAMA MWENYEKITI KABISA!!
Ameonyesha kuwa Anatosha
Tundu yuko sawa naye ndie atatenda sawa sawa kwa kadiri ya ccm inavyo stahili ijibiwe na itendewe.
Kila nikikusikiliza Wala sipati mashaka yoyote juu yako kabisa wewe ni MWAMBA
Moja ya interview bora sana ambayo nimepata kuisikia. Unaweza kuona passion ya Lissu na dhamira yake njema kwa nchi na chama chake. Hakika uongozi mpya ndio suluhisho ili tuone na kupima kazi yake. Baada ya miaka 5 kama ameshindwa ataondolewa tu kwa kushindwa kazi!
Daa! Anahojiwa na hapohapo anatoa na Elimu. Big brain.
Safi kabisa mungu akutie nguvu. Ndugu tundu lisu.
Sisi wakunja Ngumi tunaondoka na Mbangaizaji mwenzetu
Lissu ni kichwa hasa😂😂
Aisee nazidi kumuelewa Lisu sasa yaan kama viongozi wakiendelea kukunja pesa za hongo alafu wakija mbele etu kututangazia uovu wa maccm huku wanakula hongo tukija kugundua uongo wao tutakimbia Chadema
Ambae hajamuelewa lisu sijui atakua na kichwa gani
Kichwa maji machafu
Huyu ndie mpinzani wa kweli wa raisi samia na serekali yake na sio mbowe . Mbowe ni rafiki wa raisi samia . Huyu ndie ana takiwa kua mwenyekiti wa chadema ili apambane kikamilifu na mwenyekiti wa CCM.
AMEEENI. Na iwe hivyo kwa uwezo wa Mungu,AMEEENI.
samia hawezi kugombea urais watu wameingizwa chaka subiri ujionee
Lisu ni mwamba kweli kweli
Mh. Mini nakuona mbali Sana unakusudi la Mungu ndani yako unakipawa chakuongoza mh. Lisu🎉🎉🎉
kweli. lisu. nakupenda. sana
Lissu 🔥🔥🔥🔥🔥
Interview kama hizi zingetafutiwa vipindi maalumu kwenye television, ili wananchi wasiokua na smartphone au social media hizi nao wapate Fulsa ya kupata MADINI ADIMU KAMA HAYA, ambayo ni Faida kubwa kwenye ufahau wao, ni Vitu adimu na kuvipata unaweza tumia gharama kubwa mnoooo...✊️✊️✊️
Halafu wakishapata hayo madini, wanaongeza nini?! Aiiii
Wanaongeza kilichokufanya usikilize Kwa umakini mkubwa@@regnaemanuel5331
Lissu nlikupgia kura mwaka 2020 na sitaacha kukuunga mkono mpaka kiama
nampenda sana
Lisu hadi sasa ana 90%
Mbowe ana 6%
❤🎉🎉🎉🎉
LISU 💪💯👏
Lisu kichwa kubwa ❤❤😂🎉
Tundu Lissu yuko real sana huyu baba
Asiemuelewa Lisu aisee sisemi kichwa maji wala kichwa ngumu wala hana elimu ila anapaswa kisema aachie kichwa chake aruhusu ubongo wake upate elimu ya Lisu ili atafakali kwa kina kabla hajabishana wala kupinga hoja za Lisu
great interview.. mwandishi yupo makini sana.. great five kwa boss lissu ana hoja za msing sana✌️✌️
Well said Mr Lisu
uko sawa mwenyekit
Professional
Lisu tumbua majipu
Watu wajitahidi kufuafilia mahojiano haya
Nakubar san
Hawa ndo waandishi sasa BBC big up.🔥🔥
Jembe
Huyu ndio Sammy Awami safi sana mtangazaji ana maswali mazuri sana
Lisu🔥🔥🔥🔥
Mbowe must GO.
@bbcswahili mna watangazaji hodari wana subira hawaingilii mzungumzaji mtu anajieleza vizuri
Lissu for change
Asante sana lisuu
TUNU YA TAIFA LA TANZANIA.
Awami ni bonge la muandishi wa Habari! BBC hawaajiri vilaza kwakweli. Tundu Antipas Lissu nimekuelewa sana!
Wajumbe tuleteeni lissu
Tunamtaka dictator anayeishi ndani ya sheria,tunataka mropokaji na asiye na busara kwa watu wachafu ,tunamtaka wasiyempenda
Lisu hoyeeeeee
We lisu ni chaguo la mungu wakubali wakatae we mungu ana mpango na ww heche makamu🇹🇿✌️❤️❤️❤️🚣♂️🚣🚣🚣♂️🚣🚣♂️🚣♀️🚣♂️🚣🚣♂️🚣♀️🚣♂️🚣♀️🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Its true Tz needs new thinking, new leadership and new direction. PERIOD
Lissu yupo makini sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿