Fursa soko la tangawizi, maelfu ya tani kusafirishwa nje ya nchi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Fursa mpya ya Soko la Tangawizi imeanzishwa Mkoani Arusha kutokana na uwepo Kituo cha ukusanyaji wa Zao hilo kutoka maeneo mbalimbali hapa Nchini.
    Upatikanaji wa Soko hilo la uhakika la zao la Tangawizi unatokana na jitihada za taasisi kilele ya TAHA inayojihusiasha na Kilimo cha Maua,Mbogamboga,Mtunda na Viungo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

КОМЕНТАРІ • 13

  • @KhalidKhan-ud9cz
    @KhalidKhan-ud9cz 5 місяців тому

    Mzuri Sana kweli 💖

  • @loycemalima7490
    @loycemalima7490 4 дні тому

  • @elimuelias409
    @elimuelias409 2 роки тому +3

    TUNASHUKURU KWA FURSA HII....... JE BEI YA KUEXPORT KWA KILO IPOJE KWENYE MASOKO HAYO YA NJE

  • @adonismuganyizi226
    @adonismuganyizi226 2 роки тому

    Asante kwa taarifa hii mimi nipo inje ya Tanzania ila ni mzaliwa wa tanzania,
    nimekuwa nukifatilia kilimo cha tangawizi kwamdamrefu nikiwa ninahamu ya kuludi nyumbani nakuwekeza kwenye zao la tangawizi,
    nilijalibu kuchunguza niwapi nitapata mbegu na elimu ya kulima zao hili sikuwa ninapata zaidi ya Uganda,
    nawaombeni mnisaidie jinsi ya kupata mbegu na elimu ya kulimia tangawizi,
    aridhi ninayo yakutosha mkoani Kagera asanteni

  • @anwaromar9380
    @anwaromar9380 2 роки тому +1

    Namba za mawasiliona plz

  • @kassimhatibu8659
    @kassimhatibu8659 2 роки тому +1

    Mimi nipo tanga mueza nataka kulima niwauzie nafanyaje

  • @onesmoalphonce3676
    @onesmoalphonce3676 Рік тому

    Tunaweza kuwapatejee

  • @zamukahemele1505
    @zamukahemele1505 2 роки тому +1

    Taha tunawapataje?

    • @edofoodproducts
      @edofoodproducts Рік тому

      Wazidi kutusogeza karbu na wajasiriamali wadogo

  • @josephatmanouver7167
    @josephatmanouver7167 2 роки тому +1

    Hamjapata mawasiliano bado