Rabkesh ft Guru mc (popo official audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 вер 2024
  • no wimbo wa kucheza wenye vibe kama ilivyo jina la ep pia ni track no 1 kwenye ep
    its lyric
    verse 1(Rabkesh)
    bado nipo juuu,
    hata warushe mishale,
    mi napaa tuuu,
    embu shika guu,
    usiliache lilale,
    litaanguka puuuu,
    mmmmh mmmh wanagongana gongana,
    kiss tuuu wameshalewa banana,
    mmmmh embu simama inama,
    waonyeshe unavyopiga kinanda,
    tens zidisha madaha,
    wenye wivu waishie kushika tamaaa,
    ewe mdada unaenisikia,
    embu onyesha maringo yenye kuvutia,
    nawe mkaka usije zembea,
    ukakimbia ulingo bila kubambia,
    cheza kidanki danki,
    ukiweza wewe ruka mpaka uvunje kambi,
    (mmmh)
    wanaochagua rangi,
    kwetu singa kuna wanyaturu na warangii.
    bridge
    Leo tunafurahia,
    kama vipi ukitaka agiza bia,
    we utakacho chukua,
    mi mwalimu wa fedha nitalipia.
    chorus
    tunakesha popo popooox2
    (mpaka morning)
    (as izungushe she she she,
    chini iokote te te te te)x2
    verse 2(artist Guru mc)
    watoto wakali katiya,
    kila meza ya moto in bia,
    wakushona sizi Italia,
    na usiombe ukapendwa na manzi kimbia,
    hili pari la watasha tuuu,
    usije kujimix nivitasa juuu,
    (aaah)
    wacha tucheze na masister duu,
    in mwendo wa kukata na mikono juu,
    Dada kalewa anataka kubebelewa,
    na hivi kafika kakuta kashachelewa,
    pombe si chai na wote mnaelewa,
    ongeza mingi mezani zitalipiwa,
    kila kiuno nashika naacha,
    kwenye pari embu shika hii kacha,
    izi bebi umekuta utaacha,
    cha msingi we parii zingua utakacha.
    bridge (Rabkesh)
    shika mpaka chi chini,
    usiogope mpi pini,
    Leo siku ma kini,
    tunaamusha ma jini,
    Leo tunafurahia,
    kama vipi ukitaka agiza bia,
    we utakacho chukua,
    mi mwalimu wa fedha nitalipia.
    chorus
    tunakesha popo popo popooox4
    (mpaka morning)
    (asa izungushe she she,
    chini iokote te te)
    you can get me on
    Instagram:www.instagram/...
    Facebook:rabkeshtz
    twitter:rabkesh
    about
    artist:Rabkesh
    album: Good vibe
    sponsored by: teacher black (the owner of BSL school)

КОМЕНТАРІ • 16