Big up Riyama & Shigera kwa kuonesha mcmamo wenu kiac gan mnapendana mmtufunza mambo mingi kuhs maambukiz ya viruc vya ukimwi .asanten sana bt more big up 4 u dada Riyama mtt wa kikwajun Znz nakukubali myn kila sehem unazopewa kuigiza unauvaa uhalisia halic ..
Move ni nzuri sana hongera Riyama Ally, kwani move hiyo imetuelimisha hasa wale wanaopenda kuvaliana vitu kama hellen, vipini vya pua unajua hata MACHANUO SIO VIZURI KUSHEA kiukweli huyu dada Riyama huwa ananivutia sana katika uigizaji wake,kila sehemu anayopewa kucheza huwa anafit,HONGERA SANA nakutakia kazi njema
Ahsante sana kwa film. Film za kuburudisha nzuri lakini pia film za kufanya binadam afirikiye ni muhimu sana tena ili kusaidiya watu wapate ilmu hususwan kwa vijana. Hi story imefanywa kwa umakin. Ahsante sana.
waaau very interesting and educative movie,have learnt alot about HIV,and also that God remember those who are well mannered,and trusts him,asanteni nyote
Lol kitu penzi likisha noga hata aongee nani huwezi kuskiza,,,na kalamu ya mola inapo andika wakufuta huwezi kumuona hongera sana kwa filamu yenu nzuri yenye mafundisho maalumu japo,, yataka moyo sana kuoa mwanamke au mwanamume aliyeathirika.
kwakipindi iki mwanaume akupende akati.unaumwa.itakuwa kazi watu wengi ujua kupata h.l.v.nikama..umepakwa mavi.mengi.ila.kumbe ni.swala.LA.kawaida sana.maisha.yamebadilika.ukimwi.umekuwa.nje.nje
Kuathirika kwa virus I vya ukimwi haimaanishi ndio mwisho wa maisha.ilhali yafaa kuwachukulia wale walioathirika kisawa na hata kuwapa ukubalio wa mapenzi katika jamii.ila; kujikinga tukariri.""
Ryama big up mchambo huna leo nakupenda bure
Ur super woman Ree am from Kenya I love ur movies so much,,na wapenda kulia sometimes u make me cry when u cry love u Dada ur creative
Ongera sana Dada Riyama move yko imenigusa sana Sana Tena Sana zaidi ya sana
Anyone watching this in 2017 like.
Riyama katulia hapa. Hana michambo zake za kila kuchao.
Big up Riyama & Shigera kwa kuonesha mcmamo wenu kiac gan mnapendana mmtufunza mambo mingi kuhs maambukiz ya viruc vya ukimwi .asanten sana bt more big up 4 u dada Riyama mtt wa kikwajun Znz nakukubali myn kila sehem unazopewa kuigiza unauvaa uhalisia halic ..
Mashallah movie nzuri sana,tena yenye mafundisho
zulfa from Kenya
hongera kaka na dada Riyama kwa utulivu wenu kuliendeleza penzi lenu
filamu nzuri sanaaaaaa mashallah
nampenda sana sis Riyama Ally Allah akuzidishie kwa kipaji ulichonacho na akufungulie milango ya kheri.
Amiiiin
Hongera sana Riyama nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwako kwamba kua na virusi sio lazima kushiriki ngono.shukrani sana.
Riyama nimekukubali mama kaz zir ila ukiwa mpole unapenda kweli mcharuko duu ndio usiseme kaz zur jmn love you
Move ni nzuri sana hongera Riyama Ally, kwani move hiyo imetuelimisha hasa wale wanaopenda kuvaliana vitu kama hellen, vipini vya pua unajua hata MACHANUO SIO VIZURI KUSHEA kiukweli huyu dada Riyama huwa ananivutia sana katika uigizaji wake,kila sehemu anayopewa kucheza huwa anafit,HONGERA SANA nakutakia kazi njema
Nakupenda bure
lovely movie and always time spend learning never lost
Ahsante sana kwa film. Film za kuburudisha nzuri lakini pia film za kufanya binadam afirikiye ni muhimu sana tena ili kusaidiya watu wapate ilmu hususwan kwa vijana. Hi story imefanywa kwa umakin. Ahsante sana.
Hongera sana kwa msimamo wa shigela na riyama,na wapenda bureee
Shigera n auntie Riyama thumb up mmetishaaaa
congrats Riyama I just love this movie.....I love watching ur movies
tungo za akili hongera sana dadaa
waaau very interesting and educative movie,have learnt alot about HIV,and also that God remember those who are well mannered,and trusts him,asanteni nyote
woow mashaallah filamu zuri sana riyama big up dadangu
lovely movie japo inahuzunisha BT inamafunzo kibao
Good job for riyama
MashaAllah nzur mpaka bas❤❤❤
Nime jifuza megi san juu ya hii move
Lol kitu penzi likisha noga hata aongee nani huwezi kuskiza,,,na kalamu ya mola inapo andika wakufuta huwezi kumuona hongera sana kwa filamu yenu nzuri yenye mafundisho maalumu japo,, yataka moyo sana kuoa mwanamke au mwanamume aliyeathirika.
Nice movie hongera daa riyama
hongera riyama shigela umetisha mzee mapenzi ya kweli
Shkuran sana dada Riyama kwa movie yako nzuri nimejifunza kiyu kutoka kwako
Shukulani dada liana kwa movie nzuri by Martha napatikana ngara
Kama umeona buno la Riyama twende sawa hapa kumbe madera yana stiri mzigo wa riyama
Movie imetulia vzr daa ree nakupenda
kwakipindi iki mwanaume akupende akati.unaumwa.itakuwa kazi watu wengi ujua kupata h.l.v.nikama..umepakwa mavi.mengi.ila.kumbe ni.swala.LA.kawaida sana.maisha.yamebadilika.ukimwi.umekuwa.nje.nje
kwakizazi iki riyama.umefundish.sijaona.kijana kama uyo.kinzanzi.kijacho
I like this movies
lovely movie sis Riyama
good work
Nice xanaaaa
Flamu yenu nzuri inafundisha mapenzi mubashara
zaid y maumiv jmn aaai dada riama
Jamani ni.. nzuri..kwakweli..inafuza
Very nice riyama.
ongela dada Riyama.movie nzima sana
Dah inatia huruma
Congrats nice movie
Hongera sana da riyama kazi safi kweli.
Dada wajua kuingiza kweli I love u Ree and you are so beautiful
Shigera ni mwanaume watofauti sana
Asante kwa kutuelimisha
congrats Riyama and Shigera......
Kuathirika kwa virus I vya ukimwi haimaanishi ndio mwisho wa maisha.ilhali yafaa kuwachukulia wale walioathirika kisawa na hata kuwapa ukubalio wa mapenzi katika jamii.ila; kujikinga tukariri.""
Nimeipend san....na nakupenda dad ree
hongereni riyama na shigera nzuri sana
Bravo ,dada riyama ali..
Riyama napenda movie zako
Am more educated about hiv nice movie
nzuri sana
nzr sana. hongereni
Nimeipenda imenigusa sana
Dada riama WW ni mtu ambae tunategemea sans katika jamii endelea na history yako nzjri.
Nimeinjoi jamani hadi raha
very nice
well done siz Riyama
Hakuna p3
penda sana dada Riyama
The End!
Mmmmmh!!!riyama bhn we ulikuwa ni wakukanyaga tuu
Movie nzuri sana hinamafunzo
Nzuri sana
hongera
aaaiiii sio poaa
shigera hongera kwa moyo wako.
Nzuri jaman
wauuh nyce movie
Nzr kweli inafundisha
Inama funzo mazuri
Sijawai ona kijana kama ww ongera sana ayo ndo mapenz ya kweli
movie nzuri dada riyana
iko sawa movies
Mom nmelove bureeee
Nishida kwelikweli riyama umtamu
wawili wakipendana adui hana nafasi.....
nmekupata sana dada rihama kwa message yako nzuri sanaaaaaa
Movie nzuri.
Ila, after 3 months the same hair style?
Riyana anaweza but yule meneja wa hotel alikua anaharibu baadhi ya scene.
Riyama nipe namba ya huyo mariyam jaman kifuwa hicho 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 😋 +968
kazi nzuri
Congratulation
Movie iko pw
inahuzunisha xana na watu wachache xana wenye moyo kama huo
asante sana da ree
Nime cheka ushauri kivipi
love u riyama mwaaaaaa
inafundisha vitu muhim sana
Movie hii ni zaidi ya funzo
☆
part 3tafadhali
hii muvi imetuli xana
naipenda inanif unza
q
Ignorance has no defense really.
meshack mwakemwa
Nzuli Kweli
mama mateso
mafuzo mazuri