MAPADRE WA SHIRIKA LA JESUIT FATHER /SHIRIKA LA YESU. WAELEZEA JINSI YA KUJIUNGA NA SHIRIKA LAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 жов 2024
  • Fr. Jerome manyahi Mkurugenzi wa shirika la Jesuit Father / Shirika la Yesu na muhadhiri wa chuo kikuu cha kikatoliki cha mwenge jimbo katoliki la moshi aelezea jinsi ya kujiunga na shirika la JESUIT FATHER / HIRIKA LA YESU

КОМЕНТАРІ • 2

  • @Peterelius1
    @Peterelius1 6 місяців тому +1

    🙏🤝🙏 Asante sana baba

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 6 місяців тому +1

    Je,ni Utafiti wa namna gani ambao Shirika la Yesu mnajihusisha navyo?
    Mt.Inyasi wa Loyola amenifundisha mengi kuhusu Machapisho yake kama the SPIRITUAL EXERCICES hasa kipengele cha EXAMINATION OF CONSCIOUS...n.k.
    Nimeuliza ili kupata kufahamu zaidi!