Kumbe umeona ivo alafu huyu dem Ni mjinga Sana unatoka Safari unaenda Kulala Kwa mwanaume Na uko Na mtoi Na mama Tena unatuma pesa Kwa mwanaume Mimi siwezi Amini wanaume
Uogo iyo Kuna hidden agenda ,Kuna mtoto hapo kwa iyo nyumbaa ata nmeona dawa za mtoto mahali term strong let's be careful iyo room inafunguliwa mbona 😢
Hiyo hao mbye kuna vitu zao uko huyu dem ni ngo,mbe tu ata akili ana ladies wacheni kutumia mtu dio akupende huu ufala watu utoa nguvu wp mm nijikute kueni makini sana siku hizi mnarogwa yani huyu km amepata vitu zk ajiondoe
Angie hapa kuna red flag..how comes abuy Bed ya Mtoto,pili Wats in the 2 bedroom...hapa ni Kwa wenyewe ..trust me you Angie... Hapo kuna mwenyewe wait and see.. hayaaaaiii
hii nyumba mybe ni ya yule mama hua anamkula akimpea 15k so Angie B hapa kuna kitu na kitajitokeza tu sio kitambo wacha doktari aingilie mmmh wacha ninyamaze
Ange b hio nyumba yenye hyo sasha alikua ana ishi so hpo mumendangwa aty ni yke so ambia dakitari a confirmed ndio hyo dem aingie kwanza swa msibebewe akili
Angie b please please uko na mtoto wewe ni mama vaa nguo ya heshima pole kama inatakukwasa but your body is for your husband to see
Maisha ni yake,na uwache kufuatilia maisha ya watu
@@CarenSandra wewe wachana na mimi c jakuongelesha full stop 🛑
@@CarenSandraNi kama wewe n lele 😅😅😅😅
@@jennifernyambeki2560 nishawai kukulamba guok
@@EmilyMuronji-os2dz hiyo stop ni yafaa usitopishe mdomo yako 😏😏😏
Red flag uyu jamaa alikua ameoa bona room moja haijafunguliwa alfu bona kuna kitanda ya mtoto🫡
Kumbe umeona ivo alafu huyu dem Ni mjinga Sana unatoka Safari unaenda Kulala Kwa mwanaume Na uko Na mtoi Na mama Tena unatuma pesa Kwa mwanaume Mimi siwezi Amini wanaume
Hii hou ni yawenyewe huyu kijana ni mkora
Hiii ni nyumba ya sasha pale alipokua amekwamana na mfalme bed ni hiii
Kitamramba sooon ju hii place ni pale sasha alipokua amekwamana na mfalme
Na hio mchele imepikwa saa ngapi
Angie B., nice content I loved it
Hii hao leta daktari,alafu nataka connection ya daktari sana kama itawezekana
Kila kitu kwa hiyo nyumba niya Ryn akuna kusema amekuonyesha nyumba everything inside that house is belong to that young girl
Eunice Jackson
Muko sure hawadanganyi
Sam sai mkundu iko wazi waaaah 😯😲😮😲😮
Hakuna receipt
Mm Nina doubt hii nyumba.want I think,Ni Kuna MTU maybe alimuomba akuje haonyeshane Na mwenye nyumba akaweka necessary stuffs Kwa room ime lockiwa.
Leta daktari plz angie b hangalie nyumba kwanza
Heri nyumba ya kujengwa shda kuliko rental
Jifuze kuvaa
😮😮😮😮😮😮uwongo mtupu
Mm naona hio nyumba n ya sz ya uyo jama
Uogo iyo Kuna hidden agenda ,Kuna mtoto hapo kwa iyo nyumbaa ata nmeona dawa za mtoto mahali term strong let's be careful iyo room inafunguliwa mbona 😢
Ni kweli Kuna mtoto
Wenye wanagalia wamefungwa na uchawi
VAngie b apo siyo penyewe
Anawadanganya
Apo anawaigiziya
Iyo binti asikayi apo
Asiji kuuwawa
Hiyo hao mbye kuna vitu zao uko huyu dem ni ngo,mbe tu ata akili ana ladies wacheni kutumia mtu dio akupende huu ufala watu utoa nguvu wp mm nijikute kueni makini sana siku hizi mnarogwa yani huyu km amepata vitu zk ajiondoe
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅waaah kuna mtu apo huyu dem ana akili
Mimi was kwanza Leo good work Leo na subscribe for every one let's go🎉🎉🎉🎉 Leo nifikako 200 hundred subscriber 🎉🎉🎉🎉 good work glf sip rahisi
Ryn ni confused element
Done, nipitie pia
Done nipitie pia
@user-iv3us4if5z done nipitie pia
Nipitie nipitie
Ryn uyo boy unafaa kumlipa pia ww
Hiyo ni uongo
Chunguzeni vizuri hiyo nyumba siyake 😂😂
Kabisa
Mko sure uku ni kwake
Wangapi tunaamini ryn atafukuzwa kwa hii nyumba,,hii nyumba ni ya wenyewe 😅.Ryn unaenda kulia tena
Ama afanyiwe kitu
@@jawyhi9090 yes ,mbona hiyo room ingine haikufunguliwa
Aggie b uko sure iyo nyumba sio ya wenyewe
But b4 anawe iyo room kila kitu lazma ikue under babie gal even that room
Nipitieni guys, nitawapitia.
Asikule hiyo chakula tena hame kwa hiyo nyumba
I doubt this house
uyu dem haame apo uyo boy n mjanja sana eti alibai bed y mtoi aje na akuna dalidali ya kuzaa guy wanazaa tena😅😅 nipitie n wapitie gus
Fungua room zote tuone na mybe hiyo nyumba zii ya uyo jamaa anadanganya hapo nanimenda😮😮
Aggie b chungeni sana huyo Samuel simuamini
Iko wapi documents yenye inaonyesha hiyo nyumba ni ya RYN?
Uyu ako na maneno,uko ni kwawenyewe
Chungeni
Hi Angle good job my siz B..B🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kuna red flag hapa plz leten doctor asemeukweli
Angie hapa kuna red flag..how comes abuy Bed ya Mtoto,pili Wats in the 2 bedroom...hapa ni Kwa wenyewe ..trust me you Angie... Hapo kuna mwenyewe wait and see.. hayaaaaiii
Sasa mm nilikua naona nplot yake kumbe n y kuret
Angie b mplzz muulize dactr kama hivyo anavypsema ni vyake hapo nikama kulikuwa na mwanamke
😅😅😅😅😅😅😅😅😅amevaa macho nne lkn akili ana hiyo ni mtu ati yk nani amepanga hao
Auze hiyo house akabay nyingine
Asiwapebe ufala alete rist
What if hii nyumba iko na deni hajilipa Imean
😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮ati nipe possward ya wifi😅😅😅😅😅mjiga dio atumieye utakuja kurapiwa ww
Red flags Angie umeongea na doctor aseme kama kuna siri fiche if ni ukweli huyu dem ahamishe kila kitu aende mbali
Atoke aende
I second you
Nacamera leo nn mbaya
Nimuongo pkpk si 140 alete rist tuone
Hakuna hapo nyumba ya 35k nyumba ni15k Ryne acha kubebwa ufala
Si 15 k ni 24 k nishawai kaa kwa hii estate
But madem huwa na akili kidogo sana ryn atarudiana na huyu mtu
Chungeni isiwe
Munaonyeshwa kwa wenyewe
I thought ni hao ya kubuy 😢hii usipohama utakujiwa😢,heri ungebuy mahali ujenge,35k every month 😢hamia kwingine
Ii nyumba sidhqni ni ya ryn,kuna mtu wamepiga deal n jaama fulani kitamlamba ryn
Angie ambia Ryn atoke hapo juu huyu sam atammaliza
Yeah Alf u see ameeka Ady CCTV..hapo ameoa na Ata wako na mtoto wait and 🙈
Ryne usikae hapo,pls hama utakuwa na huyo jamaa na majabazi.pls pls
Kweli
Angie b mamaa mbona unazidi ku loose nn mbya na ww mrembo wetu ona kwa shingo vile umekaa😊
Huyu boy amehaya hii nyumba😂😂😂😂
Ni ukweli hapa ni skyline najua vile hizi nyumba ukaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Red flags 😅😅😅😅
Hap kin mtu alafu iyo room Ina nnswal
Akulishe kwani ww kiwete
Ama huyo nyumba ni ule mama wake
Aty alikuwa amepanga watapata mtoi, kwany unabuy bed b4 ujue kama kama mimba imeingia
Na hasimamishi,,God have mercy sitaki kucheka
Hii nguo angle b unavaa s poa ,,ww n mke wa mtu van nguo ya wanawake please kma tunakukosea utusameehe
Mtazaa na usimamishi wala unakulwa nyuma....sasa dkt aweke wakikam kufanya vitu wanazirai apo kwa mlango
I doubt this house is not for him a big noooooo
Hicho chakula tyr kimewekwa dawa na hiyo room ambayo htaki kufungua kuna wauwaji hpo
Anji kula food in mekua kadogo
Hii nyumba ni 15 k anakumbemba ufala
Sasa Renta house ndio msichana unafurahia I was thinking ni Yako alikuwa amekujengea,,ukiendelea kukaa huko wew ni kifo unajitakia
Ata mim nashanga
@@MERCYmercy-rl3lu huyu dame Hana akili,,na Ako na mdomo sana
Kumbe ni rental 😅😅,, hyo red flag,, run mamaa,, hyo room hijafunguliwa Kuna vifaa vyaa uajii😢
@@Karenwema na at inalipwa 35k per month 🤣🤣
Imagine
Twaomba doctor aje hapo kwanza na atowe makaratasi plz hiyo kuna kitu hapo
Angie b ukouchi mamy jihifazi mtoto wakike ukouchi vibaya hivi nyie wakenya wakiume hamuna Wivu
Ryn jukuwa vitu za maana wajana na.boxer bana
Hii no ujinga mnapiga hapa Dame apige hesabu yote Jamaa ampee D'oh zake zote
ARROGANT🥰SAM SHOW, REMOVE ALL UR JUJU/PROPERTY & GO FOREVER,
HANDOEVER DOCUMENTS + TRANSFERS 💋
SASA HII NYUMBA NIYA RYN YAKUJENGA NA PESA YAKE AMA YAKUKODI
Mbona nashuku tu eti hii nyumba s ya Ryn?n kama hii hao n ya mtu.
Unanua aje bed ya mtoi aje na hauna????
Eeeh hapo kuna red flags walai adi bed ya mtoto eeh
Ubaya tu Sam ni wachawi otherwise wangeendelea na maisha
𝐦𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐧 𝐮𝐜𝐡𝐰𝐚𝐢 𝐜 𝐚𝐧𝐚 𝐆𝐘
Hii nyumba ni yake kweli not really
Huyu kijana apana
Uku sio.kwa huyu jamaaa
hii nyumba mybe ni ya yule mama hua anamkula akimpea 15k so Angie B hapa kuna kitu na kitajitokeza tu sio kitambo wacha doktari aingilie mmmh wacha ninyamaze
Heee ilikua 15 hundred bana🤣🤣🤣🤣
Mbna room haijafunguliwa hata asilale hapo
Huyo jamaa nimkor sana hyo nyumba apana nashuku sana
Pia mimi nashuku labda nikwa wenyewe
Hapa kuna mtu kitawaramba soon
Chukua vitu zote ukauze usikubali kukaa hapo
Na ni kama mume onyeshwa Kwa wenyewe
Kuna mwanamke kwa hiyo nyumba
Uongo mtupu
musichana umendangawa chunga sana hio nyumba hikona mwenyewe utakucha fukuswa namwenye nyumba 😂😂
35k
Ryn chukua vitu uende usiishi hapo
True
Haki Angie 🤣🤣🤣si hii ni estate unakaa Skyline 🤣🤣🤣
Ryn don't dare eat that food please why he cooked for you?
Yaani ukiwa gulf bado uedelee kulipa rent,kubafu zangu😏si hiyo pesa unasave,dio maana mnanyang'anywa pesa aki,na unaweza pata hata mzazi hana anything
Imagine na hii hao ni pesa mob 24k pa month
Red flag hyo room kuna mtu ndani
Me naulisa , hii nyumba Samm alinunua ama ni rental,
Alinunua
@@millycentmwanisa2004 kununua room Ni ngapi coz need when I go back home
Hii nyumba ni ya rentals ama niya ryne😂😂😂
Ange b hio nyumba yenye hyo sasha alikua ana ishi so hpo mumendangwa aty ni yke so ambia dakitari a confirmed ndio hyo dem aingie kwanza swa msibebewe akili
Hapa ni pale sasha alikua anaishi alipokwamana na mfalme
Aty kitanda ya mtoi alininua kama hawajapata mtoi🤣🤣🤣🤣uyu alikua ameoa
Don't stay there Ryn for the sake of your life and your kid
Msisahau hizo dolly niza mizimu
True 😢
HUYU NI MUONGO HUYO ALETE RIST
Ata labda si yake